Пікірлер
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 18 күн бұрын
Eti muungano una faida Gani kwetu watanzania? Wapinazini wanaeleza viziri kuhusu muungano lakini kila nchi Ina rais wake na mamlaka yake kamili muungano tunagawana nini?
@ZablonKibuga-ef9gw
@ZablonKibuga-ef9gw 22 күн бұрын
Wewe unaeleza badala ya kuacha tusikilize hicho alichokisema Mwigulu na Lissu.unaungaunga kutumalizia mabando yetu. Kuwa mstaarabi
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 23 күн бұрын
Watanzania tunawami sana wapinzani hasa wapinzani asitulete upuzi wake
@shimarevo3701
@shimarevo3701 27 күн бұрын
Huyu kijana ni 🔥 ananichekesha mpaka natokwa na machozi
@KeisiMwasanyika
@KeisiMwasanyika Ай бұрын
😰😰
@Siilalevasianonzaro
@Siilalevasianonzaro Ай бұрын
Uko vizuri sana kaza komaa
@alainpicainirakoze-rz2nt
@alainpicainirakoze-rz2nt Ай бұрын
Jama huu anaweza kbx
@JeniferMinja
@JeniferMinja Ай бұрын
Apo kweny dibeit shule atar😅
@Officialabshry
@Officialabshry Ай бұрын
Kipotoshi..... Ni kidanganyifu
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 Ай бұрын
Duuuhhh jmn Leonardo naijuw huo et ''mapenz n mbel 2 nyum mwiko'' nimeielewaa hyo big up sanaa kwakoo unanikoshaa hatar❤
@ezekieldeus6022
@ezekieldeus6022 2 ай бұрын
Mweshimiwa tundu lisu tunakuelewa Sana kinacho subiriwa hapa ni muda tu tunakuomba awamu hii ugombee nafasi ya urais, na MUNGU akulinde.
@user-ih6yy3so5q
@user-ih6yy3so5q 2 ай бұрын
Wape wape AKILI coz they are numbs
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 2 ай бұрын
Kwanza nape na kundi lake ndo wezi mana alivyo kua tuu wazir wa mawasiliano dah mungu ndoanajua ametubia sana mb
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 2 ай бұрын
Aisee!!! HATARI SANA.
@amourmzeeali8464
@amourmzeeali8464 2 ай бұрын
Tundu wewe udini unakusumbua hebu weka wazi kwanza muungano huu wa Zanzibar na Tanganyika wameongana nni na rais wa Tanzania anatakiwa atoke wapi na makamo wake atoke wapi kwaiyo mama ni alikuwa makamo wa raisi ila katiba inasema rais akifa makamo ni atakuwa raisi pia hebu wakumbushe kipindi rais ali hassan alikuwa rais wa Zanzibar nan akachukuliwa kuwa rais wa Tanzania kuna Mzanzibari au wewe uliweka kelele kama hizi au yye alikuwa Mtanzania.
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 2 ай бұрын
Rais wa Zanzibar ni mtanganyika mbona husemi
@umlaith2611
@umlaith2611 2 ай бұрын
Tumeshakuchoka Sana wee Mzee. Usitake madaraka ambayo huyawezi kuyapata.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 ай бұрын
Nape mwizi hili la mkono
@user-fw5qw2ew6w
@user-fw5qw2ew6w 2 ай бұрын
Ukweli mtupu
@MwitaBoy-pn5rm
@MwitaBoy-pn5rm 2 ай бұрын
Ila bwana risu ww ni mwanaume wakweri au ww ni mkurya jasiri kwerii
@taitatimotheo3075
@taitatimotheo3075 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu lisu una akili sana ndugu nakupenda bule
@hassanrwitita2503
@hassanrwitita2503 2 ай бұрын
Nape anajua kuwa TL anabagua wazanzibar mbona yeye ana ubaguzi anatunuima umeme kutwa maji matibabu galama kama tunabaguliwa Tu huku kusini umeme ni kitubcha anasa
@yohanaibrahim4128
@yohanaibrahim4128 2 ай бұрын
Iissu ni jembe
@yohanaibrahim4128
@yohanaibrahim4128 2 ай бұрын
Iisu umepiga penyewe duuu mi nilikuwa sijuhi
@user-eg1fi6gi7b
@user-eg1fi6gi7b 2 ай бұрын
Nape anapanua mdomo lakini hayo anayo tufanyia tunamuajia mungu
@filbertnyoni2352
@filbertnyoni2352 2 ай бұрын
Elewa neno mimi hawanizongi zongi ila angekua mwingine wangemzonga
@amosmerama3680
@amosmerama3680 2 ай бұрын
Tundu lisu uzuri wake anazungumza facts, anatema katiba mwanzo mwisho!! Huyu chawa Nape anaimba ngonjera tu!!
@user-sp2pp9yl8g
@user-sp2pp9yl8g 2 ай бұрын
SISI WATU WAMIKOA YA PWANI TUNAUNGA MKONO MUUNGANO MNAOTOKA MIKOA NJE YA PWANI MSIINGILIE BANDARI ZETU ZUNGUMZIENI MAZIWA MAKUU
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 2 ай бұрын
jamaa yupo sahihi kabisa hapo
@emmanuelmwanzalima8337
@emmanuelmwanzalima8337 2 ай бұрын
Akili KUBWA SANA HII DUUU noma sana
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 2 ай бұрын
Haki ya mungu tangu ukoloni hadi leo hakuna mwanasiasa mpumbavu kama lisu
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 2 ай бұрын
Endelea kutoa Elimu Lisu uokoe kizazi chetu!! Watawala hawapendi kuambiwa Ukweli lakn pia tuna kila sababu ya kudai Katiba mpya na kuondoa vifungu vya kuwawekea Kinga Viongozi ili washitakiwe
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 2 ай бұрын
Tundu Lissu ukiacha kuongea kwa Jazba na mihemko,ukatawala hisia zako utawateka watu wote na wewe ndo utakuwa rais.Pia usitumie saana point ya kumsema Maghufuli itaonekana kama umefilisika ki mawazo na wala usiongee kwa chuki coz watanzania wengi bado uelewa ni mdogo saana.Tanzania sio kama Kenya
@AtanasKameja
@AtanasKameja 2 ай бұрын
Sema baba
@HarunaSaidi-lb8oe
@HarunaSaidi-lb8oe 2 ай бұрын
Olewako kufa Kwa Makufuli
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 2 ай бұрын
Tundu lisu hua unasema mambo ya ukweli ,na unafichua ukwel
@user-be6yx1ck8c
@user-be6yx1ck8c 2 ай бұрын
Mweshimiwa tundurisu uo ndiyo ukweri ingewezekana wajitegeme na sisi tujitegeme TU utanzania apa akuna
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 ай бұрын
Facts tupu
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 ай бұрын
Nimekuelewa sana Mkuu, hiki kichwa
@kassimabdulwakil5693
@kassimabdulwakil5693 2 ай бұрын
tundu lisu nimuongo haelezi ukweli wote, mtanganyika anaweza kumiliki ardhi zanzibar akiwa na kitambulisho cha mzanzibar mkaazi, na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi mtanganyika anakipata akikaa zanzibar miaka 5 haya hayaelezi siasa zake ni za kuwazonga walokuwa hawasomi
@abouayman8713
@abouayman8713 2 ай бұрын
Nape nae Mwizi tuuu nd Mana jpm alimkataa
@bwanapima8473
@bwanapima8473 2 ай бұрын
Duh
@bwanapima8473
@bwanapima8473 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@bwanapima8473
@bwanapima8473 2 ай бұрын
Huyu mzee ni mchekeshaji
@alanmwijarubi
@alanmwijarubi 2 ай бұрын
Wanajua sana wanajizima data tu
@NathanChuma-cz2vb
@NathanChuma-cz2vb 2 ай бұрын
ME NAONA MUUNGANO NI MZURI WA USIVUNJIKE, ISIPOKUWA KUNA MAMBO BAADHI TU KWENYE KATIBA YANATAKIWA KUTOLEWA AU KUBORESHWA ILI MUUNGANO WETU UWE RAFIKI KWA NCHI ZOTE MBILI🙏
@NathanChuma-cz2vb
@NathanChuma-cz2vb 2 ай бұрын
Kweli kabsa🙏
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 ай бұрын
mungu ibariki tanzania
@sidachomela7871
@sidachomela7871 2 ай бұрын
Mungu akulinde mkuu
@ndegeofficial9928
@ndegeofficial9928 2 ай бұрын
Da Asante Kwa kufumbua wantanzania.