Mama tafathali sana msaidie huyo mtt wewe ni mwanamke pls tunaomba msaidie mtt
@udaku..travel85063 жыл бұрын
Yani yule mama Muungu amsemeh miaka 70 saiv hataki kurudi kwa Muungu wake mtoto na mama kama mtu na mpenzi wake
@joycenicodemus.22323 жыл бұрын
@@udaku..travel8506 acheni kusema hivyo kuona ubaya wamtu mm Sina hamu nahawa watu tunaowasaidia..mm nilimokota mtu nikamsaidia Tena akajifanya mwema binti wamiaka 15 akidai alipokua anakaa wanamnyanyasa Ila alinibia kila kitu 😭 napesa niliyokuwa nimekopa kwenye kikoba akapitia Sasa msiseme Sana tunasaidia watu kumbe ninyoka 🐍
@omzahara59853 жыл бұрын
Jamani yule mtoto kila kitu kimepatikana na ile Aipad alificha kweli na waliomsaidia tena kawashindwa katoloka karuka ukuta ss mliomsema vibaya mama dangote mnaweka wapi sura zenu
@greatiq78353 жыл бұрын
Kwani si amesema anaye? Au amsaidiye vipi? Eti, msaidie huyo mtoto wewe ni mwanamke. Hivyo angekuwa ni kaka anaye ongea hapaswi kusaidia? Au ni vipi?
@najmaaa65483 жыл бұрын
Hyu mdada yko chonjo nimempenda sana...
@nailaomar48103 жыл бұрын
Dada stella hadi raha nkmekupenda kwa majjbu yako bila hofu haloooooo msema kweli mpenzi wa mungu
@abdulkareemchacha26253 жыл бұрын
Hongera saana dadake kwa ujasiri uliouonyesha kiasi Cha kuokoa maisha ya mtoto aliyenusurika kudhulumiwa uhai wake.....big up Stella
@eudisiaalexzanda17303 жыл бұрын
Dada ahsnte Sana kwa ukweli wako. Nimekupenda bureeeee♥️♥️
@ceciliawanjiru39173 жыл бұрын
Keep up mama👏👏👏! You are so human. God will bless you. God bless us all east africa community🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Pls msaidieni huyo mtoto, ama apelekwe Kwa embassy ya Kwa congo iliyoko TZ
@paulinaululu33483 жыл бұрын
🇲🇿🇲🇿
@abdulqareemabdallah25793 жыл бұрын
Uko vizur Dada kwa maswali kweli wewe ni mama na mzazi simama umtete huyo bint Allah atakulipa
@daladydoozz26453 жыл бұрын
Uyu mama mungu amulide ane saidia mtoto innicent ju mahari afanywe unyama surely ime backfire in Jesus name covered by God almighty in Haven above name🙏 na ata ishi!🙏
@godelivamuswahili29883 жыл бұрын
Kwani uyo mama dangote ndo mungu wawa Tanzania 🇹🇿 yaani anavyo agopwa nawa Tanzania 🇹🇿🤣🤣😂😂😅😅🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Mama dangote ndie ana masharti yate ya mwanae yakichawi dah siri ya Freemason ni ngumu jamani 👿😈👿😈👿👿😈👿👹👺👺👹👿😈😈👹👹👿👿👹👹👿👿👿👹👺👿👿👿👹👹👿👿👹👺👿👿👿👹👹👿😈👹👹👺👿😈👿👿👹👹👿👿👿👹👹👹👿👿👿👿👿👹👹👺👹👿👿👿👹👹👿👿👿👿👹👹👿👿😈😈😈😈👿👿👹👹👹😈😈👿👺👺👺👿👹👺🤡🤡👺👺👺👺👺👺👺👺👺🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡
@Agnes-qq4np3 жыл бұрын
Jameni machozi yamenitoka 😭kweli mama Dangote MUNGU anakuona hi ni dunia
@pendocishugi89693 жыл бұрын
MUNGU akubariki dada kwa roho zuri
@tikitvog3 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌...
@elizabethswai96703 жыл бұрын
Humjuwi Stella mushi,laiti ungemjuwa,ni muongo ,mm mwenyewe alinitangazia nimekufa kunduchi kumbe Niko hai
@mercywambui34003 жыл бұрын
There are Angels who walk on two feet. This Lady being interviewed is one of them. God bless you Ma'am. God will reward you.
@jyohana00593 жыл бұрын
Mmoja mmoja tutaisha?
@judithmelvinealuchio89683 жыл бұрын
dunia inapita hakuna kitu kitabakia kitabaki milele ni milima🙏🙏🙏samba mapangala aliimba ukweli mungu turehemu🙏🙏🙏
@Atotibabe3 жыл бұрын
Huyu madam Yuko sawa kabisa..nimempenda Bure....she has confidence
@danielbisimu67453 жыл бұрын
Asifike tena congo 🇨🇩 tamuuwa ule malaya maman namutoto
Naombeni part 2 huyo mtt alifikaje bongo kwa mama Dangote
@mathewsimon92473 жыл бұрын
Hapo sasa
@tikitvog3 жыл бұрын
Part 2 inakuja muda siyo mrefu, asante kwa kuichagua na kuifuatilia Tiki Tv, hakikisha ume SUBSCRIBE ili usipitwe +Dushyant Savania pamoja na wakali wote mnaoendelea kuifuatilia Tiki Tv.
@mrokayonetime76013 жыл бұрын
Mungu asimame naww amlinde mtoto
@michisalo66272 жыл бұрын
😀😀😀mwaeza kumu hoji tena uyu mama kwa ajili yanguuu😀😀😀yani comedy
@nyandwiniyera55353 жыл бұрын
Kweli dada nime ku penda saaana kikubwa msaide huyo mtoto uta barikiwa na mungu 😭😭
@nannakhamis53503 жыл бұрын
Ila ukisikiliza vzr kuanzia alivyojiwa mtoto mpk hapa hii ilitekenezwa na uyo Boda aliyeiba wanamfahamu
@bosssoul25522 жыл бұрын
Si hatupendi.. atuache.. ukorofi 😂😂
@lelozaina87113 жыл бұрын
Jirani zangu wa Tanzania wongo umewapita na freemason mumeipenda sana fateni Mungu ni mwema mwacheni ushirikina na wongo
@zubedarichard23112 жыл бұрын
Tutaacha sku mkiacha kutufatliaa
@Noah-se3ni3 жыл бұрын
Damu ya Congo ni ngumu kuhuwa huyu mama Diamond wa Congo wanam support sana mtoto wake kwanini wamfanyi mtoto mdogo unyama waivo ka.
@funnycomedyvines14673 жыл бұрын
Duhh haya sasa ni mazito, ndiyo maana diamond hawez kudumu na mwanamke so sad.
@aminajuma7173 жыл бұрын
Mhhh...
@amanikanaelmollel80973 жыл бұрын
Mama ni tatizo
@Mazoea3 жыл бұрын
Diamond na Mama yake wote washirikina
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
@@Mazoea ndio
@carolinenduku67223 жыл бұрын
Wote ni kitu kimoja,diamond na mamake,lakini kila jambo lina mwisho wake
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Hudada nimependa kweli dah Asante my kumsaidia huyo mtt
@surujajwie47683 жыл бұрын
shukurani dada yang hii Ndo TZ from Oman tz
@hassanabubakar30013 жыл бұрын
Mungu atawanusuru waja wake. Malaika wa mungu amepata nusra 😭😭😭😭
@tikitvog3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@rosehaule2203 жыл бұрын
Tusilaume bila.kujua ukweli nilifatilia hii story bint alichukuliwa kwenye familia nyingine ya wakongo wenzie baada ya kuinekana anaonewa kwa mama dangote huko alikopelekwa pia kwa wakongo wenzie akasema baba mwenye nyumba.mbaya sana alitaka kumbaka baada ya kuishi kwenye hiyo familia mtoto ni mtoto lakini tuangalie pande mbili inaonekana mtoto kuna maisha aliishi akayazoea maskini tuwaombee tu watoto wetu na Mungu watoto wetu wana mambo mengi sana tuaioyajuwa tuchunguze vitu kabla ya kuingea ila tusiache kusahidia watoto
@hamisiissa40303 жыл бұрын
Yani huyo mama dangote anakuwa kama mungu
@sarahmichael75383 жыл бұрын
Machoni kama watu, Moyoni hawana utu....Imani Imetoweka mabaya yameongezeka
@mariammzee31863 жыл бұрын
Biiiig tune🎶
@tiffatzhemedy94853 жыл бұрын
Watu. Tunajisahau Sanaa Kama hii dunia inapitaa
@anthoniarevocatus4963 жыл бұрын
Tangu diamond aingie kwenye izo tupo za BET kila siku watu wanatafuta kiki juu yake jaman.dah mama wa watu kamsaidia mtoto kakaa Kwake then yanamkuta mabalaa ni bora asingemsaidia tu.shukran ya Punda ni mateke. MUNGU ANGALIA FAMILIA YA MAMA DANGOTE kama ni kweli yanayoongelewa bas wabadilishe lakin kama mi uongo MUNGU SIMAMA NA FAMILIA HII NA UWATETEE.
@allymatilda75193 жыл бұрын
We nae peleka usenge wako ukoo unafikiria kwa matako
@galary86883 жыл бұрын
@@allymatilda7519 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@judithmelvinealuchio89683 жыл бұрын
now i see hata mimi kama siwezi mpikia mume wangu basi niwe na mpenda vipi wacha hiyo mapenzi yaishe ati mama ampikie mwanae wakati ni mpenzi wangu!? but labda anathani wanaweza muwekea mwanae kitu mbaya ila mungu ndiye mwenza🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@merinaboniface59083 жыл бұрын
Jamani wamuache diamond Kiki Kama hizo hazifai
@aishanassir1413 жыл бұрын
Kweli kabisa Stella
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Kitendo cha kumchekecha kilikua na lengo la Kumuua bila kumtia kovu, Kitendo kama hicho kilitokea Tanga kwa wanajeshi walimfanyia Kondakta wa daladala na alifariki baada ya muda mfupi alipo achiwa na wanajeshi walikamatwa na ilizua gumzo sana Tanga. Hao walomfanyia hicho kitendo sema hawaku mfanyia kama inavyo takiwa na watu kuwawahi ndio pona ya huyo Binti lakini ilikua Afe ndio lengo hao niwauaji.
@blandinamyinga94893 жыл бұрын
Mama Kama mama pika chakula mwanao ale habari ndiyo hiyo.
@rodriguealphano7005 Жыл бұрын
Niatar kweli
@sarahmichael75383 жыл бұрын
Dai hata akisafiri anaenda na mamaake ili akampikie. Wengine wataweka sumu ndio maana tanasha alikuwa anaona bora kununua chips kuliko kuhangaika kupika hlf MTU hali
@orlandamirasse80473 жыл бұрын
Granda ambiciosa
@esterabonga79473 жыл бұрын
Hilo tukio likn yake ipo wapi I want to see it plz
@sagandamalechampullo6593 жыл бұрын
HUYO MAMA DANGOTE AFUNGWE JERA, MAMA SAMIA TUSAIDIE KWA HILI, WATU WENYE PESA WASIWE NAKIBURI
@rashvokotz12053 жыл бұрын
walikuwa wanataka wampeleke kwenye chumba cha madudu waka mweke mtt wawatu aliwe namadudu
@frankkikambako92813 жыл бұрын
Toka kamuokota getini kwake na siku zote hizo alizokaa nae kwa nini hasimzuru. Acha mihemuko wewe sikiliza maelezo ya huyo dada yanajitosheleza...
@changanikisesa70213 жыл бұрын
Watu wa sheria wanaoshughulikia haki za watoto wapo wspii.Huyu mama mbaya sanaa sheria lazima ichukuliwe.Haijalishi huyu mama ni nani sheria ichukuliwe.Sijui kwa nini wanamchelewesha.Haki hapo ujue atahongaa wee ili asichkuliwe hatuu soo sad
@bernardjohn87883 жыл бұрын
Mwambieni huyo mama aache kuchafua jina la tajiri wa NIGERIA ajiite MAMA NYANGE
@pedrorachidekalamaga92333 жыл бұрын
Chuki sana
@vicentvenent4473 жыл бұрын
Uyo mama ana matatizo...kuchekechwa unakujua? Au unabifu na mama dangote?...mbona ulimwambia uyo bint aende get la mama dangote...ili apokelewe na asaidiwe?....sio vzr ila we mtangazaj nimekukubali sana...ila uyo mama amelewe c amesema alikua amemaliza kufunga bar
@ramlaleila3743 жыл бұрын
Inawezekana amelewa ama chuki mana sikuwa povu hilo
@halimasalim53443 жыл бұрын
Analea wajukuu wapi
@shannycateringservices..3 жыл бұрын
Waaah!!Polisi vituo vyote? Pole sana.Some people are so inhuman!!
@anjelinakasembe8452 жыл бұрын
Nakazeeka kweli huyo mama
@masengelidominic2103 жыл бұрын
Makubwa hayo
@ZainaB-vt6uv3 жыл бұрын
😄😄😄😄asante dd kwakumsaidia huyo bt
@nabintukadende23883 жыл бұрын
Pole mcongo mwezetu mdongo wetu, uyu Mama D anajishauwa kweli, 😏😏😏😏
@fahadmohd27433 жыл бұрын
Pole mkongo mwenzetu +243
@KADALAtv2553 жыл бұрын
PESA BILA NIDHAMU NA UTI NI HOPELESS. HAMNAZO USHAMBA TU WA UTAJIRI UMEKOSEA NJIA
@salomejohn86112 жыл бұрын
Yanga
@aminakawawa19353 жыл бұрын
Zena my sister mama dangote mungu anakuona 😭😭
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Huyo mama wacha tu
@kingmanyota66383 жыл бұрын
Nakubar
@malkiamariamvuga33423 жыл бұрын
Watanzania kwa wivu M/MUNGU kawajaalia ss happy mama dangote kosa lake liko wapi jamani muacheni mama wa watu kumsakama alie pewa kapewa jamani
@kennedyluvegah91863 жыл бұрын
Kwa ivo we unaona alicho kufanya ni Sahi ibilisi wewe
@ashuramhando52853 жыл бұрын
Ile familia huwa nawambia niyakishetani Sana 😭😭😭😭
@aishahaji31283 жыл бұрын
Qkomeshwe mama Dangote qkomemaana anqjidai huyo mama
@mpiluka42323 жыл бұрын
Alafu wewe dada mbona kama wewe unachuki na mama diamondplatnumz
@merlinhope83963 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama kwa kumuokoa this young girl ila family ya diamond na family yake nzima ni watu wa shetan hawana hofo ya Mungu ndomana huwa wanafanya kufuru na unyama haya maisha tu Mungu anawaona malipo nihapa hapa duniani
@Amanaoman3 жыл бұрын
Mama dangote ana roho mbaya
@shamimhayat76373 жыл бұрын
Tik Tv nice interview
@ibradx30293 жыл бұрын
Inawezekana mama alikuwa anania njema kutuma watu wampeleke kwake mana ndo alie msaidia huyo dogo wabongo nahic chumvi imeongoza
@lylyjaydia37143 жыл бұрын
Unaongeya kweli Maman Yani iyo familia inakera Sana mitandao yote ni wenyew kwa Akuna wengine Wa Star nawako n'a Wa zazi ila iyo familia ya diamond inakera muno kila mwezi ni familia yawo tuuu,awo muwajunguz siyo Wa Tanzania originaux
@mathewdeus30363 жыл бұрын
Huyo mtoto aulizwe mpaka kununuliwa chakula cha buku na anatoka familia ya geti kali hapana hapo kuna maswali mengi
@bimkubwaali16053 жыл бұрын
Hakika kabisa
@JumaShimende10 ай бұрын
Huyu mama nimempenda sana 🤣🤣🤣🤣
@SHADRACKFRIEDRICH10 ай бұрын
umempenda kvp kwa sababu ya msaada aliyotoa au
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Mmmmmh jamani
@mbezzoprince94623 жыл бұрын
😂😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂 waandishi nmemaliza kazi dayl mwaenda kuhoji mwenda wazimu duuuh
kaka kitambo cjakuckia ulikuwaga global tv cjui karibu tena jmn kelvin shayo😄😃 hii irudiwee irudiwee🙌🙌 haki itendeke
@tikitvog3 жыл бұрын
Asanate sana +De chagga Girl pamoja na wakali wote mnaoendela kuifuatilia na KU-SUBSCRIBE Tiki Tv tupo pamoja.
@dechaggagirl16143 жыл бұрын
@@tikitvog oryt ✌🔥🔥😍
@gracekaniki7893 жыл бұрын
Kumchekecha ni kutaka kumuuwa hyo mbinu inatumikaga sana kwa watu wenye kupoteza ushahidi. Ukimchekecha vitu vyote tumboni vinasagana na unakufa.
@joharishabani28933 жыл бұрын
Mama ivi kwer mama angu nimeogopa
@theopistachialo103 жыл бұрын
Haaaaaaa kumbe
@gracekaniki7893 жыл бұрын
@@joharishabani2893 ni kweli wanatumia sana wasomali hasa wanaoishi south Africa. Huu ndio uuwaji wao
@suntzu89593 жыл бұрын
Eti kwa nini mama anatrend zaidi ya msanii mwenyewe 😃😃
@tikitvog3 жыл бұрын
😂😂😂😂......
@salmahalfani63073 жыл бұрын
Ukisikia chuki binafsi ndio hiyo
@juxjemc57683 жыл бұрын
@@salmahalfani6307 chuki gan wewe mma yule hafai
@juxjemc57683 жыл бұрын
@MAFIA RESPECT STUDIO 2 kumnyanyasa mtoto kwa sababu ya pesa ya mtt wake allow kama mtu umemsaidi hata haki ya kumsema haitakiwi tena yatima yeye anataka kumuua halaf analeta dharau
@juxjemc57683 жыл бұрын
@MAFIA RESPECT STUDIO 2 kwa hyo wewe kila unaloliona kama huna ushahid nalo huez ongea au Hata hii mitume yetu hukuiona na tunaifata na kuiamin allow Simaanish kwamba binadam tumlinganishe na mtume allow mtume nilevo za juu usimgeze na binadam yoyote wala hawa makafir wengne kina gwajima allow
@maseiafricano12503 жыл бұрын
Walikuwa wana mficha ndani kwa ndani ili wamtowe kafara mungu kamuokowa yaoneka wako wengi wamewaficha ambaye wanawaotowa kafara bado mingi yatafichuka tuuu
@Mazoea3 жыл бұрын
Yap Diamond na Mama yake ninwashirikina sana
@betsyakoko68103 жыл бұрын
Kweli kabisa
@tabuomary10163 жыл бұрын
Uongo mtupu, binadamu tumuogope mungu, kuwa na maendeleo au kuwa na pesa sio ushirikina. Acheni familia za watu.
@juxjemc57683 жыл бұрын
@@tabuomary1016 hkuna utajir wa halal kwa muda mfupi allow fatilia dunia yote utajir w miaka michache ni utajir w ushirikina ama njia so halal
@salamamohammed54463 жыл бұрын
@@juxjemc5768 kweli my umeongea point awa kun kit kat y mtt n mwana akun lizik km ya daimond niyaushilikina san
@jareengeorge54782 жыл бұрын
Kweli ailiiba.lkn maneno mengine nyongeza ya wabongo.tafuteni pesa acheni wivu
@akidajulius83973 жыл бұрын
YULE MAMA cjui anaroho gani jaman mbona Kama jini ,
Bwenge mtoto wamyaka kumi naine anatafuta kiki wapi
@tatotato5063 жыл бұрын
Kiki gani wakati watu WA ICU waliendakumuoji
@teddylameck213 жыл бұрын
Ukwel nyau wewee
@taturajabukhalfani79533 жыл бұрын
Kiki aifanyie nn Sasa!.
@juxjemc57683 жыл бұрын
Mwanakher wewe mpumbavu
@sameeraidd21093 жыл бұрын
Muheshimiwa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN tazama huyu mwanamke mwenzetu anavyovuka mipaka. Muheshimiwa tunaomba utoe tamko kwake sababu hizi tuhuma zingemkuta mtu wa Hali ya chini sasa hivi Mambo yangekua mazito lakini vile anajulikana basi anakua juu ya sheria
@saumsalum78003 жыл бұрын
😃😃😃 mama samia tu ndio mama em like kwanza hapo chini kama unakubaliana na mama manka
@shamimushittindi14183 жыл бұрын
Uwongo mama dangote akisafiri week diamond anakula wapi?
@charleskanoni94893 жыл бұрын
Acha waongee tu, binadamu midomo mali yao. Mama Dai endelea kumpikia mwanao! Shida ulizozipitia ukiwa na mwanao wakati mdg hadi akawa mkubwa hakuna aliyekusaidia, unazijua wewe mwenyewe! Sana uliitwa Malaya anazaaza ovyo, wakuache! Dai sasa ana UWEZO wanaanza maneno mengi, mara oh, freemason, mara uchawi unatumia! Na wao wafanye kwao km ulivyofanya, watt wao wawe matajiri! Mama Dai mpikie mwanao, usiwaamini anaokuletea, eti ni wazuri wa na ampenda, hakuna! Wote wanafuata pesa na sofa tu! Kati ya wakwe zako na wewe mwenyewe unajua; aliyempenda kikweli ni mmoja tu anajulikana, w wanasema hivyo; wanataka kumwekea nini ndani ya chakula? Acha kuamini hata kdg!
@ramlaleila3743 жыл бұрын
Hilo nalo neno mama wivu utamuuwa
@aminaamina75363 жыл бұрын
Maskini akipata ataona dunia kaibeba yeye mungu anakuona we mama nasibu
@eshaabute8213 жыл бұрын
Sai mliotukana mama dangote haya limewashuka tablet ilipanikana penye alificha huyo msichana
@johntay88133 жыл бұрын
Naona mmecomet ana nyanyasa uyo mama nivyema sababu asili ya bina Adam wenye wamepitia kwenye shida uwa natabia kama izoo
@lilianphilemon9073 жыл бұрын
Yaani familia ya dangote Ina Kiki jamani 🤣🤣
@stellah38443 жыл бұрын
Huyu dada hizo nywele😂😂😂, ila msilaumu inabid na upande wa pili waongee maana unaweza kuta Ishu imetengenezwa hii tupo hapa
@mbezzoprince94623 жыл бұрын
Mama dangote mama dangote wivu utawauwa na alie pata kapata hata mshinde mkibwabwaja Simba ndo mumewenu
@minazsaid24703 жыл бұрын
Mtoto aeleze ukweli kilichomtoa kwa bi sandra ni nn? Au aligombwa au alitishwa ndio akakimbia
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
Afuu mtt mdg kama kweli umri 14 vip umfanyishe kazi jaman bila hata huruma mtt wamwenzio niwako
@kiri58073 жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 mtoto naye mtihani . na hapo boader ya Tzn nako watampitishaje mru na mtoto under age bila yakuthibitisha uhusiano wao ?
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
@@kiri5807 mtihan
@candidadilemile58823 жыл бұрын
Yule mtoto alipoulizwa na Martha akasema yeye hawajawahi kumnyanyasa cha kujiuliza yule mtoto kuchukuwa tablet nahisi alikuwa na mpango atoroke Mungu anisamehe tuweni makini chamuhimu mtoto asaidiwe wangekuwa wabaya wasingemchukuwa tuache kuwahalibia watu majina yao
@kiri58073 жыл бұрын
@@candidadilemile5882 hata hivyo alivyosema mwenyewe alipomchukuwa alimuahidi kumsomesha , badala yake alikuwa anamfanyisha kazi kwake na kupelekwa kuwa Esma afanye kazi . Na pia you ushahidi ulotolewa kuwa kasema wafanye unyama ikisha wamtupe barabarani bado hajafanya kosa tu ? yeyr kamind kiIpad cha mjukuu wake hata awe kakiiba huwezi kumpelekea mabouncer kumfanyia vituko . akaa kweli munawapenda lakini sheria na huruma
@rachellebahati61263 жыл бұрын
Mama anapika chakula.da
@Elsah-ee4ec3 жыл бұрын
Waaah!! Okay so mama Dangote cooks for Diamond?🤔 she controls his son’s life too much! This family is full of drama!
@michelinemapendo66523 жыл бұрын
Eeee jomana ataki wanawake wadumu na uyumwanaume
@betsyakoko68103 жыл бұрын
They need sacrifise
@omarathuman58133 жыл бұрын
Ata wanakulana
@benjaminchokela35773 жыл бұрын
Sasa hapo shida ni nini.. kupigwa huyo mtoto? Au kutrend kwa mama dangote mbona kama anatoka nje ya mada.. mara amuache diamond aimbe ...hahahaha kwamba anaetuimbia muziki ni nani! Daaah
@cautharrudolf22573 жыл бұрын
Yaan hii n imetengenezwa my dear
@khadijaabdullah63283 жыл бұрын
Upuuzi mtupu mijitu inatafuta kiki mjini ata kuoga haiogo kutoa ushaidi wa kipofu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@theopistachialo103 жыл бұрын
Hii issue ni kweli sema huyu dada mcharuko
@khadijaabdullah63283 жыл бұрын
@@themop5408 kwenda zako kuma la mama ako kicheche mama ako ametombwa kwa mtungo kakosa kumjua baba ako mjaalana mkubwa ww msungo tope nyooooo