Acha kuongea ujinga mambo ya ubara na visiwaniacha kuongea ujinga hicho chama unacho kitetea hakuna hata mmoja kati Yao mwenye hadhi hata kidogo anyeweza kuwa rais mbowe mungu akubariki sana kuwa mkweli
@manasemanase42868 күн бұрын
😂😂😂mwamba amependeza balaa... ana stress atarudishaje rushwa aliyopokea😂😂😂😂
@Meneja-m3c8 күн бұрын
Haha😅😅😅😅
@Meneja-m3c8 күн бұрын
Pombe mbaya kumbeeee😅
@MrossoBarth9 күн бұрын
Huyu ni mfanya biashara sio mwanasiasa
@KizibaDunia8 күн бұрын
Sawa chawa hahah uyo umepewa pesa uuwe chama
@ommarallyhamad74358 күн бұрын
Mtaongozaje nchi mzima hali bado yako maeneo na vijiji mmeshindwa kuweka wagombea wa serikali ya vijiji Hata mfikirie na kuñidanganya hii nchi h
@HamoudSaid-w9c5 күн бұрын
Tangu hiyo kale znz cdm ipo jina tu na marahii sidhani kama atapata kura hata moja
@KilimoMichael8 күн бұрын
Chadema itashinda wekeni wagombea ayo mambo ya kwamba mpaka tume huru tume iii tunashinda Mungu yuko upande wetu
@LightnessMushi-d4k8 күн бұрын
Kumbe mbowe ni mlevi kiasi hiki nimejisikia vibaya sana
@AhaziSichona7 күн бұрын
Huyu chawa alikua anawazunguka wenzake
@personalitiesan98068 күн бұрын
Iyo inaitwa mix by Yas....😂😂😂😂
@JumaAbedi-g6x9 күн бұрын
Sisi wapizani baada yakuangalia vipi tutaiondoa ccm madarakani tunaangalia kumuondoa mbowe na wafuasi wake
@RashidAlly-h3e6 күн бұрын
Chadema kumbe mnakichaa Bado sana mmekiua Chama cha kafu kwakujifanya mjiunge leo hii mnataka madaraka acheni uroho kama kweli mnaweza wekini mgombea mwingine wa urais miaka yote mtu huyohuyo
@Ramadhanilawoga8 күн бұрын
Wewe ni mwongo hujui siasa unadhani siasa ni ubondia CDM mmekwisha Kwa heri
@saidsalhe-d9p9 күн бұрын
Yaani mama kua mzanzibari wewe Heche unasema hawezi shinda uchaguzi?Chadema musahau kabisa kura za wazanzibari.
@AsiaAroun4 күн бұрын
Nikweli baba upinzani sio vita wanao sema waache waseme
@allyopi61019 күн бұрын
Kumbe mbowe bwege unampigia mama debe ushavuruga chama
@frankjohn87066 күн бұрын
Hapo sio kudhulumu chadema Bali ni kudhulumu wanainchi
@jamesdaud30549 күн бұрын
Mtashindwa vibaya sana nyie chadema mnajisumbua tu na hizo kelele zenu na chama chenu na kinaenda kufa hiki chama kwa sababu kinaongozwa na watu ambao hawajielewi kwa sasa
@RidhioneSabury9 күн бұрын
Wewe unajielea😂😂😂
@halimamasai22348 күн бұрын
Chadema medoda hamna hoja washenzi nye nchi hii hamtashika maisha
@RidhioneSabury8 күн бұрын
@@halimamasai2234 Bora sisi washenzi tunatuseka sijui nyie wenzetu maisha mazuri🤣🤣🤣 kwa matusi hayo tu ni haki yako kuwa CCM na hayo matusi siyo akili zako ni ugumu wa maisha🤣🤣🤣
@RidhioneSabury8 күн бұрын
@@halimamasai2234 Ulitakiwa iwe Dr Congo ndyo nchu inayokufaa maana brain ni zeroooo Yani unajiona kuwa CCM na wewe maisha umeyapatia tafuta Hela hivi vyama ni kama mpira ni sehemu za kujiliwaza tu maana wanaofaidika wachache sanaaa asilimi 99 tunashabikia kama simba na yanga ila wewe umekalia unazi na kuweka uaduni😅😅😅
@MaryNyiraa6 күн бұрын
Huyu mzee kachizika alizoea vya wiz Sasa ni lazma atapetape
@KostaJoseph9 күн бұрын
UBAGUZI UBAGUZI UBAGUZI
@rahabnkya82768 күн бұрын
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa.....❤❤
@valenakomba92189 күн бұрын
Ulevi mbaya
@ZaidAKissinza8 күн бұрын
Mangi wa Machame anahutubia huku akiwa kapiga bohora kubwa
@madegezakayo32328 күн бұрын
Mbona kama amelewa
@rahmajaffar7948 күн бұрын
Kwaaama hiyo wazanzibari watoitilia chadema watakuwa hawajielewi kwa sababu watawapatia nafasi ya kuwabagua zaidi
@saidsuleiman90187 күн бұрын
Mama kama mama alijitahidi kiupande wake
@LAMECKMSUMA9 күн бұрын
Mweshimiwa umepoteza dira kapumzike
@JosephatMuhoza9 күн бұрын
Hapa ndipo usaliti kwa CHADEMA ulipoanzia!
@rogerabdallah4399 күн бұрын
Wewe umenunuliwa
@DoraNyandamba7078-ef2rz9 күн бұрын
Mbowe endelea kufanya imani chadema chadema bado inakuitaji sana
@StellaKaluwa8 күн бұрын
SASA MNALETA UKANILA NA UJISIA MNATUPELEKA SIKO ACHENI WATANZANIA WAAMUE
@JoshuakitilaKilauli7 күн бұрын
Alafu huyu jamaa kalewa aise
@halimamasai22348 күн бұрын
😂😂😂😂 kumbe mbowe alilewa siku hiyo 😂😂😂😂😂
@AsiaAroun4 күн бұрын
Afu kama kalewa vile
@margarethpolepole74389 күн бұрын
Acheni ukabila na udini
@shaabaniali64218 күн бұрын
Mwili wa jk sura ya mbowe
@humoudseyd73109 күн бұрын
Daaaa kumbe bora alivo Angushwa......angeleta maharibiko
@SiwakoKalengela4 күн бұрын
Je ni kweli mbowe umesilim cm?
@RobisonJulius8 күн бұрын
Achen usariti usariti ni mbayaaaaa,
@FahamuHamza8 күн бұрын
Huon ni ubaguzi mzanzibar hawezi kuongoza kwani sada ndio mtaona ataongoza mzanzibar tena mwanamke
@AhaziSichona7 күн бұрын
Kalewaaaaaa
@RahmaAbeid-u8h8 күн бұрын
Unajuwa kumshukuru mtu ni jambo la kawaida ila mtu akiamua kukiacha chama sawa kikubwa je mfumo upoje ktk chama? Mimi nashangaa watanzania mfumo wa chama kimoja ktk Dunia hii haupo hivi tunenda wapi kwa hiyo mnakubali watu waende ktk mfumo wa chama kimoja???
@beathapontian21878 күн бұрын
Pombe nishetani
@JumaBakir8 күн бұрын
Yoyote kuama chama nijukumu lake na kubaki ni jukumu lake
@janiafaomaa51209 күн бұрын
WEWE KHADIJA UTAMU UMEKOSEA MBOWE ANATAKA KUKUOWAWEWE AU HUJUWI MNAFIKI MKUBWA
@EzrahMassawe-ug5uo3 күн бұрын
Acha kutapatapa
@MalandoJilala-m3r9 күн бұрын
Huyo hakuwa mwanasiasa maana asiyekubali kushindwa siyo mshindani
@HenryShaury-j4d9 күн бұрын
Mwamba yuko konyagi kinoma,
@JamesAlphonsus-x1y9 күн бұрын
Duh! Kumbe bro ni bwabwa kiasi hiki???
@salhaomar53829 күн бұрын
Nyinyi waandishi wa mchongo wagombanish san
@justineliasi80678 күн бұрын
Jamani allcohol inasoma ngapi ikipimwa hapo?
@Evance-e1e8 күн бұрын
Kiongozi mbona sikuelew kaulizako
@deodatusmugalulamugalula8 күн бұрын
Kanywa konyagi nini?au kimpumu?
@SebasitianKikoricho9 күн бұрын
jamaa kalewa
@valenakomba92189 күн бұрын
@annaombay94179 күн бұрын
😂😂😂
@rogerabdallah4399 күн бұрын
Kalewa pombe ile inaitwa pingu
@AmenMushi-j2j8 күн бұрын
Mm
@MohamedChambela8 күн бұрын
Duuh
@allymwinyi9708 күн бұрын
Huo uzanzibar unakujaje kwenye hoja zako mjinga mkubwa wewee. Mbona hina hoja zenye utulivu wa kisiasa
@AdiaAhmad-s5o9 күн бұрын
Komaa mjaruo mkubwa umtaki we wanaccm tipo kibao wewe nani
@charlesmoseti91406 күн бұрын
Kamanda gani wewe ni ccm b
@QaahtaQaahta9 күн бұрын
UKWELI UTAJULIKANA TU
@judithmwamukinga44489 күн бұрын
Msituambie mbona mtanganyika harusiwi hata kipande cha ardhi zanzimbar
@nurumwene44218 күн бұрын
Kweli mbowe 💯
@ommarallyhamad74358 күн бұрын
Mtaongozaje nchi mzima hali bado yako maeneo na vijiji mmeshindwa kuweka wagombea wa serikali ya vijiji Hata mfikirie na kuñidanganya hii nchi h
@ommarallyhamad74358 күн бұрын
Mtaongozaje nchi mzima hali bado yako maeneo na vijiji mmeshindwa kuweka wagombea wa serikali ya vijiji Hata mfikirie na kuñidanganya hii nchi h
@ommarallyhamad74358 күн бұрын
Mtaongozaje nchi mzima hali bado yako maeneo na vijiji mmeshindwa kuweka wagombea wa serikali ya vijiji Hata mfikirie na kuñidanganya hii nchi h