Bashe you are visionary na unajua ukweli kuhusu uchumi, asante sana kwa kulihimiza hili . God bless you!
@deogratiashaule8958 Жыл бұрын
Hakika ninamkubali sana Bashe , ni one of our think tanks in the country. Great job
@glassdubaialuminiumprofile2026 Жыл бұрын
Ww ni kijana pia hazina kwa taifa brother MUNGU akutunze. I wish all the best
@mteweleannon9293 Жыл бұрын
This is the vision we need in Agricultural. I support you ideas
@jesusiscoming237 Жыл бұрын
I repeat this once again katika widhara ambazo mama kalamba dume ni hii
@JaneMlangwa-qd1jc Жыл бұрын
Hongera sana kaka Bashe!Nakuelewa sana! Mungu akutangulie na kukulinda kukunua katika mipango hiyo mizuri,wenyefikra tofauti Mungu awatie upofu!!
@AMBINHED Жыл бұрын
Mh Bashe nakukubali upo vizuri sana . Halima Mdee kachemsha. Bashe 🫡
@abubakaryduma5374 Жыл бұрын
Keep on pushing the horizons Brother, This is modern wisdom . May Godbless our Madam president and all Cabinet members
@mdz.d.k360 Жыл бұрын
He's right on all points. nakupa mkono waziri I second the Motion😍👍
@karenstephen8738 Жыл бұрын
This is my president for sure !!
@monicamsile2284 Жыл бұрын
Hongera Bashe,unabusara Sana,na utulivu wa kujibu hoja,hiyo ni sifa mojawapo ya kiongozi anayejitambua
@benjaminlijongwa3715 Жыл бұрын
Bashe ni wazuri Bora sana wakilimo haijawahi kutokea .Mimi namkubali sana yaani nimeamua kulima
@willibroadwilliam6798 Жыл бұрын
Brother uko vizuri sana Watanzania tuige mfano wako.
@innaenock2074 Жыл бұрын
Bashe mi nakuelewa Sana we sio mnafiki🇹🇿👍
@weastekadmin5760 Жыл бұрын
Bashe uko vizuri nakubaliana na unachosema. Lazima kama nchi tulenge kuondoka mashambani kuingia viwandani na maofisini ndivyo uchumi unavokua
@FoodAsMedicine-mb5dj Жыл бұрын
Visionary!! a dedicated Agri Minister!!
@eddovanny Жыл бұрын
What a Speech....!!!
@salimliemba3458 Жыл бұрын
Mh bashe on fire halima punguza kuvuta 🎉
@juliasmwambulukutu3461 Жыл бұрын
Wizara ya Kilimo umempata Waziri, hao Wabunge wasio jielewa wa kuachana nao. Bashe Hoyeeeeee
@mustaphampandi137 Жыл бұрын
hongera sana waziri wa kilimo bashe Mimi mwanyewe na omba shamba
@yusufunkondo512 Жыл бұрын
Good work,agriculture is only solution to build our country.
@emmanuelsamwel9970 Жыл бұрын
Nakuheshimu sanaa mheshimiwa waziri. Bwana YESU azidi kukupa nguvu, hekima, na maarifa. Ameen.
@jeromepantaleo8356 Жыл бұрын
Bashe keep it up,you are visionary
@babuusemvua4831 Жыл бұрын
Safi sana wazir Bashe Mungu akusaidie
@amsiabbas3809 Жыл бұрын
Kama Mheshimiwa Bashe namuelewa Alafu Simuelewi vile !!
@issaabdi471 Жыл бұрын
Waziri bashe wapambanie vijana wakitanzania hao ndio taifa lakesho wasikukwamishe
@elimuvisioncenter Жыл бұрын
saaaaf sana Waziri Wangu 👏
@superbillionairea5987 Жыл бұрын
MH bashe nakuona ktk uongoz yajuu kabisaa.
@happyyohana9881 Жыл бұрын
Kazi zuri kaka Mungu akubariki sana
@aishaaisha98767 ай бұрын
❤❤❤ nungu mwihifahi waziri wetu
@obeymunisi2059 Жыл бұрын
Bashe yuko vizuri sana hii sector anaiwezea
@haidaryjoe5546 Жыл бұрын
Bahat mbaya kazunguka sana na mwsho wa siku hajajibu hoja za msing...Kwa hili Bashe na wafuas wake wanaomtetea hapa 'KIPOPOMA' wamepuyanga ! ...Bahati nzur Muda n hakimu mzuri Sana..hatuombei Mabaya lkn Lina kila dalili kwamba hili Suala Halina 'Mataharisho'.....
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Huwezi kuchukua wakulima kutoka mjini vyuoni ukasema kuna impact utaiona, nendeni kwa wale wale walio field muone impact kubwa kwa muda mfupi
@stanleyevanda797 Жыл бұрын
I support you brother kwenye BBT wamejikoroga ,wangesupport kwanza waliopo
@kalolontungo8476 Жыл бұрын
Nakupenda Sana kaka Bashe
@zedymicheal9407 Жыл бұрын
Bashe wewe ndo Raisi wa baadae
@emmanuelsamwel9970 Жыл бұрын
What a leader
@chummaulid7115 Жыл бұрын
Bashe ni wazir namba moja TX nzima
@lianaelgomezulu2259 Жыл бұрын
Bashe akili nyingi sn!! Mengine sijui.
@chrisskazimoto675 Жыл бұрын
Bashe uko vizuri Mungu akulinde
@yusufunkondo512 Жыл бұрын
Agriculture for Young's is now.Kwa mazingira haya wanaweza.
@timboxlee919 Жыл бұрын
Ni kweli watapewa watoto wa maskini,au hiyo ardhi mtajilipa wenyewe
@peaceappolinarygahene9646 Жыл бұрын
Safi sana,hawo bado wanamawazo ya kikoloni ya mwaka 1960.
@christineluhanga6664 Жыл бұрын
Bashe ni Kijana safi sana!
@bakarimohammed2796 Жыл бұрын
Jamaa Anajua Sana
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Safi Bashe,waambie🙏🙏
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Watu km hawa chakushangza hawatawekwa katika ugombea urais mbeleni hyu mwamba ana vision yenye mantiki mtu muhimu san hyu kwenye hii nchi na ndo umuhimu wamawaziri wenye knowledge ya uongozi iliyo Shiba
@Sapaworld001 Жыл бұрын
OUR NEXT PRESIDENT ❤
@julianmadosh2951 Жыл бұрын
Bashe wewe Ni kiongozi Wa uwakika pambana Kaka achana Na Halima uyo Ni Wa mchongo nenda katimize malengo ya watu wengi
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Bashe waelezee hapo hakuna wazalendo, wote wanaokuuliza haya maswali hawana uzalendo!
@namsamson3443 Жыл бұрын
Huyu jamaa apewe urais
@florianminja8427 Жыл бұрын
Acha unafki
@hilmialjahdhami9787 Жыл бұрын
Flora unafiki gani Bashe Anasifa ya kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
@barakamanyasi3719 Жыл бұрын
The upcoming magufuli, #husseinbashe
@frankrowland2884 Жыл бұрын
Halima amezingua
@salumjuma3152 Жыл бұрын
Sometimes unafikiri hawa kina halima wanachotaka nn
@johnmacha2194 Жыл бұрын
😁😁😁 Indirect villagilization is back. Agriculture should be more capitalist and not socialistic. It takes an ordinary farmer 10years to adopt into Agriculture to be extraordinary, acheni siasa. I have been in the game for the past 10years its not easy it has never been easy, it takes sweat and blood my friends. Let's make Agriculture more capitalist and not socialistic, to some extent i am sailing with Halima, kwa attitude ya vijana wetu😁😁😁😁, Mungu atupe umri mrefu.
@AbdallahSaidi-xe1se Жыл бұрын
akimaliza mama tumpe nchi bashe
@brigithadidas5128 Жыл бұрын
Hivi Bashe huna mpango wa kuchukua fomu ya raisi? Maana sekta nyingi zinahitaji such a visionary leader na kwa kuwa hatuwezi kukuweka kote at once, a presidential post itakufaa sana
@dlumala Жыл бұрын
Pls week greenhousemoja k ila wilaya
@mohamednassor4294 Жыл бұрын
Hyu jmaa apewe uraisi tuu future
@The7101987 Жыл бұрын
Vijana wangapi bana hee!? Wezesha kwanza waliopo mashambani bana acha maneno mengi. Unavyojihakikishia kama vile utakuwa hapo miaka yote, kesho tu Mama akileta mkeka mpya ushahamishwa wizara
@silasjacob9132 Жыл бұрын
Acha makasiriko anamikakati ...bashe. mungu amuongoze tyu
@HaulSidney6 ай бұрын
Huyu waziri huwa simuelewi kabisa,
@peaceappolinarygahene9646 Жыл бұрын
Tanzania tunahitaji mawaziri kama Bashe.
@princekagame8203 Жыл бұрын
Chapa kazi kaka natamani siku 1 polepole awe the president and. U Minister of Agriculture
@amosepimack399 Жыл бұрын
Waziri yuko sahihi.
@furahamandai6628 Жыл бұрын
Jaman mwachen basi mh bashee ajibu oja sasa mnatakaje basi akae kimya tunataka kumuelewa
@danielkanso Жыл бұрын
Huyu mheshimiwa yuko vizuri
@nyembobea7285 Жыл бұрын
Mimi namshukuru MUNGU kwa kuzaliwa bashe pia namshukuru mh rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania samia suluhu hassan kumchagua hussein bashe huyu ndio waziri wa kilimo haswa
@JosephJoseph-tz8cj7 ай бұрын
Huyu ni kiongozi wa taifa letu badae
@dativamachary Жыл бұрын
Yes
@JosephJoseph-tz8cj7 ай бұрын
Wa mpe urais huyu anatufaa
@brightonchedego8100 Жыл бұрын
Safi sana👏👏👍👍
@EliudNnko-rw8fm Жыл бұрын
Piga kazi kijana wetu! Nimekuwa kwenye sekta ya Kilimo zaidi 30; ila umefanya mabadiliko makubwa kwenye sekta mama ya Kilimo piga kazi jembe letu.
@aretassilayo3587 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@fenrickmsigwa7437 Жыл бұрын
🙌🙌
@rev.thobias2756 Жыл бұрын
BASHE HONGERA SANA HARIMA MCHONGANISHI TU WALA SIO MPINZANI SPIKA MTULIVU TUSISAPOTI MTU HATA KAMA NI CHAMA CHAKO THAPOTI UKWELI ILI TUONDOKANE NA UMASKINI TANZANIA
@ellymathewkika5568 Жыл бұрын
😭😭😭 keep moving bro
@aminakasim1198 Жыл бұрын
Halima mdeee ajee OMANI ajifunzee maishaa ndoatajua Tanzania ni matajir tuipendee tanzania jamani
@happyyohana9881 Жыл бұрын
😂😂😂 umeona
@suzyjoseph6706 Жыл бұрын
Kabisa
@vicentdasilva4518 Жыл бұрын
nawaza Ccm wakija kumpa nafac ya rais itakuw xafi xana
@jofreydaudishamdilu1321 Жыл бұрын
Halima noma
@ezekielmabwai4614 Жыл бұрын
Kilimo cha makaratasi Si mnakuwaga wazuri kwa kuandika na utekelezaji Ina kuwa ZERO?
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Bashe apewe nchi,awe raisi
@samsonkatigiri2344 Жыл бұрын
shida sio kumilikisha vijana shida ni kuanzisha mashamba mapya,wakulima wapo kwa nini msipime hayo maeneo ambayo tayari yanamashamba ili muyawekee hizo huduma za kisasa? hapo ndipo utaona upigaji,
@irenebarakelimnene4895 Жыл бұрын
MUNGU.AKUPE.AFYA AKULINDE NA.MAHASIDI WABAYA YASIYOKUTAKIA MEMA KTK KUWAANDALIA.VIJANA.NJIA.ZA.AJIRA WANATAKA.WATOTO WETU.WASHINDE MITAANI WAKITUMIA.MADAWA YA KULEVYA TUU😂 BIG UP BASHE
@piuspanga864 Жыл бұрын
Kwani Mzumbe ni Chuo?
@abuumuhammad7133 Жыл бұрын
Matunda ya Mama Samia haya maana bila kuwasikiliza Mawaziri wako nakuwa saport hivyo hakuna kitakacho endelea hongera sana Rais wetu kipenzi chetu unaewatesa wanaeteseka na mazuri unayeyafanya.
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
Kuwasikiliza kivip yaan
@abuumuhammad7133 Жыл бұрын
Kivipi vipi kama hujaelewa ndio nyie wenyekuteseka na matunda ya Mama Samia sasa wewe endelea kuteseka kama huoni anayeyafanya, mfano Bashe bila saport ya Rais hawezi kufanya yote hayo maana Rais ndio anaemshauri ana shaurika kisha Bashe ana go on.
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
@@abuumuhammad7133 hicho kilichoongelewa na waziri kinahusianaje na kuwasikiliza mawaziri .na mama samia anawasikilizaje yaani. Ndo nilichouliza au ndo walewale wa kanga moja miaka mitano
@abuumuhammad7133 Жыл бұрын
@@leonardmathias9948 tumia akili acha chuki Bila Rais kwa katiba ya Nchi yetu hakuna nguvu ya kazi maana yeye ndio Mwenyekiti wa mapato anasimamia Ilani za Cbama tawala ikiwa kama Mwenyekiti wa Chama Tawala ndio Amir Jeshi Mkuu na kila Waziri ni uteuzi wake sasa unatakaje?
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
@@abuumuhammad7133 hapo basi ungesema matunda ya katiba siyo ya rais maana naona umeelezea katiba tu, unajua Kuna muda mnamsifia mama samia halaf unachokisifia hata wew mwenyew hujui, hivi hili tatizo Ni la akili au tumerithi wapi,
@filbertfaustine7357 Жыл бұрын
Kuna kitu hapa mtakuja kuniambia baadae
@ayububrantaya6624 Жыл бұрын
Chuma lingine hili nakubal man
@otiatobakari752 Жыл бұрын
Safi sana bashe
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
mwamba uyu hapa
@emmanuelsamwel9970 Жыл бұрын
What I leader
@Stevelosa Жыл бұрын
alichokuwa anakitaka halima amekipata
@jamesbella6692 Жыл бұрын
Kiongozi uko sahihi piga kazi
@hatibuabdulla1039 Жыл бұрын
Halima mtata usiniekee maneno
@biasharabaridi6477 Жыл бұрын
Kaniwekea maneno..haaah
@manwoka4078 Жыл бұрын
Vingereza Vingi,ni dalili ya utumwa wa kiakili.kiswahili kinajitosheleza
@mcback4384 Жыл бұрын
Ndio lugha mwanao anaitumia shuleni
@hamisipolenisanaissa8859 Жыл бұрын
umeongea ukweli
@saketnicholaus9962 Жыл бұрын
Geneus
@J4UPro Жыл бұрын
Wewe mwamba ni kiboko
@malkavoice25709 ай бұрын
Lkn hawa vijana mmewasomesha kwa pesa za serikali na mnawaandalia kazi kwa pesa kubwa mno na tunavyofahamu wakihitimu wanatakiwa kulipia boom za vyuoni je hii garama mnayoitumia kwao kujiajiri utaratibu wa kuja kuilipa endapo watafail au wakadumaza mafanikio ukoje?
@furahamandai6628 Жыл бұрын
Tulia namuelewa basheee bado
@manufredmbai9322 Жыл бұрын
Alima umefeli. Base una akili kubwa sana.
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Www bwnaa www ni nyoko seeee www unawamilza kwa point seee sina kusema shikamao