BASHE AMKUMBUKA MAGUFULI - "ALISEMA ATANITUMBUA NA KUNIFUNGA, KISA HIKI"

  Рет қаралды 195,566

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

BASHE AMKUMBUKA MAGUFULI - "ALISEMA ATANITUMBUA NA KUNIFUNGA, KISA HIKI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 251
@elfacechongera6648
@elfacechongera6648 2 жыл бұрын
Who ever appreciate the work done by our Later Lovely President JPM is my friend# Rest Easy president JPm.
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 2 жыл бұрын
I wish ningekua na uwezo kulike many times 😭😭😭
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Jpm alikuwa na maono na mbunifu sana
@fredualdragonglobalnews2635
@fredualdragonglobalnews2635 8 ай бұрын
Me too is not only friend but also my brother ❤
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 2 жыл бұрын
Mh.Bashe you Deserve to be on your position as Agriculture Minister. We wish if Tanzania could have 50% of Ministers like you from others Ministry, we could be far from where we are now.KEEO IT UP MH.BASHE.
@JAKODAMO
@JAKODAMO 2 жыл бұрын
Not Agriculture Minister it is Minister for Agriculture
@jumakapesa5289
@jumakapesa5289 2 жыл бұрын
Mh Bashe "chuma kinaniangalia" Rest in peace our heart's president jpm. Mh Bashe..piga kazi ..waziri wangu nakuamini saaana.
@emmanueljosephati3192
@emmanueljosephati3192 2 жыл бұрын
Jpm Mungu akusamehe tu ulikuwa bora sana katika utedaji wako wa urais wa nich hiiiiiii
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 2 жыл бұрын
We miss you papa JPM Still I love you papa JPM JPM forever ❤️
@maryshirima1234
@maryshirima1234 2 жыл бұрын
Missing him too...😥
@majaysjrmtitu5300
@majaysjrmtitu5300 2 жыл бұрын
Bashe, Bashe, Bashe... Asante sana. Mungu akulinde, akutunze na akuongezee hekima na ujasili. Tunakuomba usibadilikie njiani. Asante.
@malugufabiani2947
@malugufabiani2947 2 жыл бұрын
Magufuli bado anaishi kwenye mioyo ya watu hasa mawazili wake walimpenda na kautani kidogo watu walikua na raha bwana
@muuu9505
@muuu9505 2 жыл бұрын
Kuna mawaziri wakishika 🎤🎤🎤 ni kumponda magufuli njoo msome comments za watZ jinsi chuma anavyoishi ndani ya nyoyo zao..,💗
@alisaidi7477
@alisaidi7477 2 жыл бұрын
Hakikqq
@janekapinga6793
@janekapinga6793 2 жыл бұрын
Bashe nakukubali Bro Mungu yuko pamoja nawe
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 2 жыл бұрын
JPM we Miss you
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Chuma kama chuma! Na wanaosema alikuwa hashauliki? Shame on them! RIP CHUMA 🙏
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 2 жыл бұрын
Wanaosema hashauliki ni waimba taarabu. Ndo maana alitumia wasomi ili kutumia maarifa na mawazo yao.
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 жыл бұрын
@@timothmwakakusyu4563 sema alikuwa hasikilizi ushauri wa kijinga
@maimunampole9894
@maimunampole9894 2 жыл бұрын
@@timothmwakakusyu4563 ATAKUOA NANI? PUMBAVU SANA. tizama video reaction 👇..... kzbin.info/www/bejne/aniVlnWLnM-Mj7c
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@timothmwakakusyu4563 kweli kabisa!
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@berthatz na wale WA vyeti feki!
@bakarikalembwe1510
@bakarikalembwe1510 2 жыл бұрын
Unauhakika huo mfumo tutatoboa, ndio mheshiwa tutatoboa wewe bariki tu God bless you bashe
@husseinmohamed1777
@husseinmohamed1777 2 жыл бұрын
Good story miss you Magu
@simonkabuka9170
@simonkabuka9170 2 жыл бұрын
Hongera Mheshimiwa Bashe. Kazi unaimudu vizuri. Mungu akulinde.
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 2 жыл бұрын
Forever in our hearts, JPM❤️
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Oh yes♥️♥️♥️♥️♥️😭😭
@alexkihongola798
@alexkihongola798 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Bashe, Mioyo yawapenda Maendeleo hakika imesuuzika kabisa, Ingawa umerudisha msiba Upya.
@wakutingwa.1635
@wakutingwa.1635 2 жыл бұрын
Inaleta raha kusimuliwa mambo ya JPm naona watu wametulia kumfuatilia waziri. R.I.p JPM
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Yaan wahuni wanapata somo kuwa JPM huu bado Ni utawala wake wanafurukuta lkn JPM bado anawafunika akitajwa Mara moja anadumu Muda watasubili sana' kaenda Mark kutubu lkn Hii dhambi ya usaliti labda Atubu kwa Umma yaani watanzania wote awaambie ukwe ndio atapona.
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
Umeonaaaa eeeeehhhhh 💪💪💪💪💪
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Utamu wa mema yake .Inaleta Raha.
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 2 жыл бұрын
Nakukubali Hussein Bashe, you are a brain 🧠 amongst brains of this country. Keep up with reforms Hussein
@catherineamos7087
@catherineamos7087 2 жыл бұрын
Rip chuma Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupunguzie Adhabu ya kabuli Baba.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Sio kweli
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Amiin yaraab
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 жыл бұрын
@@hajjiomary2383 kivipi we paka!
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Жыл бұрын
Nilimpenda sana magufuri daaah
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 жыл бұрын
Bashe kama Bashe msema kweli Shabby anafata nyayo zako Big up bro
@zawadijoel7516
@zawadijoel7516 2 жыл бұрын
Bashe wewe ni kiongozi bora. Tunakuombea siku moja uwe raisi wa Tanzania
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 2 жыл бұрын
Mtu akianza kutoa hotuba inayomhusu JPM anatulia na wasikilizaji wanatega masikio yote mawili,R.I.P mwamba JPM
@kevinomondi9358
@kevinomondi9358 2 жыл бұрын
Rest in power JPM
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
Hapo Bashe hata akimwelezea chuma JPM 🤔 hadi raha huyo ndo alikuwa jembe acha wengine wapigaji tuu
@kefajoseph158
@kefajoseph158 2 жыл бұрын
MAGUFULI alikuwa mtu jamani acheni
@aklanhassan2917
@aklanhassan2917 2 жыл бұрын
Wengine ni kundi la nyuki
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 жыл бұрын
Saivi kasha wauza oman. Wanafuz wakubwa wakubwa waende oman
@aklanhassan2917
@aklanhassan2917 2 жыл бұрын
@@joharishabani2893 wacha uongo weweee. Una ushahidi wowote kwa hayo unayosema?
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 жыл бұрын
@@aklanhassan2917 kwenda uko si juz wametangaza hujaona
@krizofrancisco5310
@krizofrancisco5310 Жыл бұрын
Magufuli hakuna mtu tu alikuwa mtu na nusu
@hendrycomonsiwenga1128
@hendrycomonsiwenga1128 2 жыл бұрын
😋🤪🤓😝😄😜😛🤣😂😅😆😁😃😀 Chuma kinaniangalia ( Rest In Peace Rais wangu Bora JPM ) DAH!
@hendrycomonsiwenga1128
@hendrycomonsiwenga1128 2 жыл бұрын
@@condegsubscribes7911 Hakuna mwanadamu aliye kamilifu!
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
Somo lililoko hapa hupaswi kumdanganya Rais!! Unatakiwa kumshauri vema na kutenda vema kwa maslahi ya Taifa.Kudanganya mamlaka ni kosa.
@OmarOmar-gq5tk
@OmarOmar-gq5tk 2 жыл бұрын
R.I.P MAN OF THE ORPHAN'S J.P.M
@ibraeliya7760
@ibraeliya7760 2 жыл бұрын
Miss you JPM
@ibba8082
@ibba8082 2 жыл бұрын
Wa Lweba Fizi D R Congo,Sijui ni Nini Ndani Yangu Kumuhisu JPJM,Waziri Aliposema CHUMA Moyo umedunda na Machozi Yakanitoka.Ama Kweli Sijui 🤔🤔🤔🤔
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Siyo wewetu. Mimi kila ikisikiliza hutubazake moyo hauna raha nalilenenolake la iposiku mtanikumbuka huniumizasana yaani 😭😭😭😭
@nestor384
@nestor384 2 жыл бұрын
Dr. JPM alikuwa mtu na nusu Mtu wa maamuzi magumu
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Na maamuzi yenye FAIDA.
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Nakukubali Mr Bashe Mungu atakuongoza katika kazii yako.
@bbyboy2477
@bbyboy2477 2 жыл бұрын
MAGUFULI BABA TUNAKUKUMBUKA SANA
@meshackmadema781
@meshackmadema781 2 жыл бұрын
#JPM wewe ulikuwa kiongozi bora sana
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 жыл бұрын
Bashe is the one of potential person in our Tanzania country .
@fortuneakankizya5336
@fortuneakankizya5336 2 жыл бұрын
Nimempenda bashe jamami kweli amefundwa na mzee chuma
@ambwenedaniel358
@ambwenedaniel358 2 жыл бұрын
Hayati JOHN POMBE MAGUFULI alikuwa ni chuma kwelikweli.....
@newtongasper8683
@newtongasper8683 2 жыл бұрын
Jpm hawezi sahaulika mioyon kwetu 💔
@tanzanian8847
@tanzanian8847 2 жыл бұрын
Chuma kama Chuma. Ukitaja jina lake mioyo y watu inafurahi.
@opendoorspoutryfarm309
@opendoorspoutryfarm309 2 жыл бұрын
Akika nimefurai kusikia chuma na nimerudia mara 10 nisikie jinalake🤣🤣🤣 R.I.P magufuri
@gracethomas683
@gracethomas683 2 жыл бұрын
Yan Mie narudishia kila muda maana alivyofanya amempatia 😂😂
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 жыл бұрын
Mwenye miwani hafurahii ndo walewale. Nina hakika huyu jamaaa tukimpa upresident na asizongwe na watu wa hovyo nchi hii mtasimulia Mambo yatakavyokwenda he is very bright brained.
@abuukamugisha5994
@abuukamugisha5994 2 жыл бұрын
Huyo kagaigai RC wa Kilimanjaro huwa hacheki hovyo
@hadija846
@hadija846 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣👍
@rahelmyombo9874
@rahelmyombo9874 2 жыл бұрын
CHUMA ❤️❤️❤️a man and half
@lusanikaseke3065
@lusanikaseke3065 2 жыл бұрын
R I P JPM
@sethmwakangata1871
@sethmwakangata1871 2 жыл бұрын
Ukweli bashe ulizaliwa kuwa Kiongozi na ni mzalendo wa kweli na kila unacho ongea unamaanisha Wala huna maigizo makubwa yako mbele yako.kuna siku Nchi utaibeba MUNGU akubariki sana.
@frankmwakatundu9856
@frankmwakatundu9856 2 жыл бұрын
S. Mwakang'ata Asante Sana umeukonga MOYO WANGU ULIPOSEMA IKO SIKU BASHE ATAIBEBA NCHI HII(ATAKUWA RAIS WA TANZANIA) ANASTAHILI)
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 жыл бұрын
Tatizo hawatutaki wa kanda ya ziwa nyelele alikufa magu kafa. Mpaka tuna ogopa
@victorfredy4018
@victorfredy4018 2 жыл бұрын
Ok
@erickkagisa833
@erickkagisa833 2 жыл бұрын
Chuma kinaniangalia!! Nitakutumbua na ntakuweka ndani
@ShijaMpanya
@ShijaMpanya 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ezekielmugeta2427
@ezekielmugeta2427 2 жыл бұрын
#JPM😢 until next tym
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 2 жыл бұрын
Uko vizuri pambana bro!naupenda uzalendo wako!rest in peace our President
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
R.I.P MAGUFULI
@beatricedaudi8233
@beatricedaudi8233 2 жыл бұрын
Bashe...My President👌
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 2 жыл бұрын
M.A.P DAD, WE MISS YOU
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
Mungu azid kukutangulia Bashee
@julianaswai7846
@julianaswai7846 2 жыл бұрын
Bash kaka Mungu akutangulia kila inapoend kwenye kazi zako. Magu alikuw jembe kwelikweli
@samwelipima3795
@samwelipima3795 2 жыл бұрын
Bashe JPM ulimkubali katika simulizi za mwenda zake hujawahi kumponda mngu akupiganie nazni hata wewe nikiongozi Bora sio Bora kiongozi jpm tulimkubali xana Ila kazi ya Mora haina makosa naona hata watu ulipo tamka jpm wakatulia tuli mwenyezi mungu amrehem mahala alipo na apumzike kwa amani mkombozi wa Africa akili mingi Kama putini
@mussahaji905
@mussahaji905 2 жыл бұрын
Dogo Yuko smart sana Ila naona watu wamenuna
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Endelea kupumzika kwaamani Rais Magufuli tumekumis sana
@mathewben9983
@mathewben9983 2 жыл бұрын
Mtu anaemwongelea JPM kwa mazuri hua namkubali ghafla kiukwel maana alikua mtu na nusu,potelea mbali wanaotafuta kueleweka kwa kumponda watajua wao
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Bashe tuna kilimo cha tanzanie kibadilike,na nchi nyingine ziige kutoka Tanzanie,Rip JPM
@jivitafoundation450
@jivitafoundation450 2 жыл бұрын
Tunawashukuru sana kwa kutuwezesha kupata taarifa ila inabidi muwe unweka mazingira ya kupata taarifa yote
@saidsemainda1005
@saidsemainda1005 2 жыл бұрын
Rais wa miaka ijayo mungu akutangulie
@alisaidi7477
@alisaidi7477 2 жыл бұрын
Bashee SIYO MNA FIKIII... siku zotee namkubal...na anapiga kazi qel cyo ujanja ujanjaaa
@openesisraelnatai2013
@openesisraelnatai2013 2 жыл бұрын
Nimeota wewe ndiye rais ujao wa badae mungu akusaidie
@sylivesterlugembe7314
@sylivesterlugembe7314 2 жыл бұрын
Katika Mawaziri ninao wakubari hapa Tz wewe ni namba moja
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie waziri bashe napiys Mungu akulinde nakila Shari yaraab kwamaana mmhhh wabaya wanakutazamatu hapoo
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 2 жыл бұрын
kama nimejifunza vizuri. naendelea kuelewa mfumo wa uongozi wa mgufuli aliamini katika mawazo yenye kuleta maendeleo hakua shingo ngumu. hii inamaanisha hata kama Kuna mahali alikua mhumu basi Kuna aliyeshauri na yeye akabariki taratibu tutapata mengi. muhimu tuendelee kuwaombea viongozi wetu ni binaadam na wanatuwazia mema
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 жыл бұрын
Jpm alikuwa hana mchezo ukifeli ww ndani ilikuwa raha tu
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
@Eliashibu Ndabalinze hatujaelewa unataka kutufundiaha nini
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
@@elizabethpetro1258 Huwezi elewa Hata siku moja kwa akili za Kawaida..
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@aronatv47 haina maana kama hujatufafanulia hatuna hizo akili za ki Mingu...!!!
@maryshirima1234
@maryshirima1234 2 жыл бұрын
@Eliashibu Ndabalinze Maneno mazito sana...yanafikirisha! Ukitendea haki nafasi yako ukagusa moyo wa Baba hata kama ukikosea kwa sababu kuna kitu ulikijenga moyoni mwake hakika atakuadhibu ila kiheshima sana maana wewe ni kati ya wapendwa wake. Mungu atuwezeshe kwa kweli.
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Rest In Peace JPM. Bashe you looks to be genius amongst the member of cabinet. Please help her excellence president to drive this nation to the promised Land. And dot fear, to tell her what you believe as you did to his former boss un forgettable CHUMA, and some times you be in position of loosing the post. May God be with you
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 2 жыл бұрын
Naagalia pembeni hivi naona CHUMA kinaniangalia nikajiuliza nimekosea nini
@hilarioussaid397
@hilarioussaid397 2 жыл бұрын
Maashallah Bashite Kwa Hilo Vazi
@faisalkamara6122
@faisalkamara6122 2 жыл бұрын
One of the brightest minister.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Bashe you are visionary like the late JPM and you are not afraid to fail. You only fail if you do not try and your decision paid off! Kudos!
@pastorbonnyphillip8945
@pastorbonnyphillip8945 2 жыл бұрын
💪Leadership
@RajeshChauhan-wb9pm
@RajeshChauhan-wb9pm 2 жыл бұрын
Good job Mrs minister
@rahmamohamed7730
@rahmamohamed7730 2 жыл бұрын
RIP CHUMA tutakukumbuka daima
@rutinginyaneysam.5087
@rutinginyaneysam.5087 2 жыл бұрын
Hhhhaa et ikifeli nakutumbua nakukufunga!! Na ingefeli angekufunga kweli,natamani arud president Maghufuli but Mungu aliruhusu aondoke hatunabud kukubali.
@princekagame8203
@princekagame8203 2 жыл бұрын
Safi Sana Bashe 👍👍
@mwemamella1483
@mwemamella1483 2 жыл бұрын
"Hayati" Sio marehemu .
@julianaswai7846
@julianaswai7846 2 жыл бұрын
Maguful bab pumzika. Maneno yako yanaishi hat kwa viongoz wengine.lalaa pemaa magu baba.
@gastonealinda7494
@gastonealinda7494 2 жыл бұрын
Chuma ni Mungu peke yake! Wengine wote tu mavumbi tu! Na mavumbini tutarudi (Zab 90:1-3).
@munyumunyu2772
@munyumunyu2772 2 жыл бұрын
Ume complicate mzee,hii ni artistic reflection ,Mungu Sio Chuma hiyo pia ni reference ni maneno ya maana kiroho sanaa.
@erickwilliam6610
@erickwilliam6610 2 жыл бұрын
Ni mtu msikivu mjanja na muelewa Sana na ni mkali kwenye masuala yanayohusu nchi yake
@HassanAlJabri
@HassanAlJabri 2 жыл бұрын
Safi mkuuuuuu!!!!!!!
@salumjuma3152
@salumjuma3152 2 жыл бұрын
Nakukubali sana
@farajastudioandstationery5798
@farajastudioandstationery5798 2 жыл бұрын
JPM 😭😭😭😭
@afropatriot7769
@afropatriot7769 2 жыл бұрын
Mheshimiwa umesahau kusema " ahiiiiiiii!! Anhaaa!!! "
@gracemima5234
@gracemima5234 2 жыл бұрын
Kutaja jina la hayati Magufuli inashitusha wengi serikalini. Serikali ya do called ya Sita inajitahidi sana kuifuta legacy yake. Kuna watu wana chuki kubwa kwa Hayati Magufuli haswa mafisadi na viongozi walioshindwa kuliongoza taifa hili.
@salha6596
@salha6596 2 жыл бұрын
Yani jembe litakumbukwa tu Ata kimoyoyo japo wengine hawataki
@iamnormal8648
@iamnormal8648 2 жыл бұрын
Mh. Bashe kuna watu wakisikia unamtajataja Chuma kwa mazuri watakuchongea utumbuliwe. Nakupongeza kwa ujasiri wako wa kumtaja Chuma kwa mazuri.
@mwakasegeshukuru3720
@mwakasegeshukuru3720 2 жыл бұрын
Nakukubali sn Bashe
@costantui9169
@costantui9169 2 жыл бұрын
Bashe my role model in politics
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 жыл бұрын
My next president
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 2 жыл бұрын
Yule alikuwa mtu na nusu hakuwa mtu wa kawaida ilikuwa ni zawadi kutoka kwa Mungu sema tunaona lakini hatuoni
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 жыл бұрын
🔥❤🔥
@philbertluhunga5932
@philbertluhunga5932 2 жыл бұрын
Kuna siku nilimkumbuka JPM nililia sana kilio cha simanzi RIP JPM
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 жыл бұрын
Hata Mimi sio mara Moja Huwa inanitokea mara nyingi.. naliga Tena kwa uchungu mkubwa na kufuta machozi na kumuomba Mungu.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 жыл бұрын
Bashe Yuko vzr
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Mwuheshimiwa heshima yako
@evelynekasalile3243
@evelynekasalile3243 2 жыл бұрын
Rip chuma kama chuma..tu nakupenda baba,..tutaonana baadae
@ramadhanmgaya1775
@ramadhanmgaya1775 Жыл бұрын
Rip Jpm, Really Leader.
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Asee bashe mtu mhimu sana
@viviankangara7492
@viviankangara7492 2 жыл бұрын
Dr. JPM daaah😭😭
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 Жыл бұрын
Wmiss JPM 😭😭😭😭😭😭
@veraniinnocent7624
@veraniinnocent7624 2 жыл бұрын
Wekeni taarifayote atakama ni episod
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 жыл бұрын
Kwakuwa alitaka haki siku zote kwahiyo ungebolonga lazima angekuzingua
GACHAGUA NDIYO BASI TENA| SIASA SIYO KAZI NI UTUMISHI TU
6:09
BASHE ASHUSHA NONDO ZA HATARI, RAIS SAMIA AMPIGIA MAKOFI
16:36
Wasafi Media
Рет қаралды 123 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 64 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Rais Magufuli atema cheche sakata la sukari ya viwandani
12:03
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.