MH MBOWE ASANTE SANA KWA SPANA ZAKO KWA HAWA WADHALIMU
@albertkamala68437 ай бұрын
Brilliant presentation Mh. Mbowe! Uwasilishaji kwa kiwango kikubwa umeweza kuweka wazi kikwazo kikubwa ktk kufanikisha uchaguzi huru kuwa ni viongozi wa CCM! Kwamba, mabadiliko yaliyohitajika kufanyika tangu enzi za Jaji Nyalali hadi sasa yamekwamishwa kwa makusudi kwa CCM kukosa UTASHI! Kwa kifupi CCM haiko tyr kufanya mabadiliko wananchi wanayotaka yafanyike!
@JosephatMushi-ne9hn7 ай бұрын
Mabadiliko yakifanyika, Sisi tukatoka madarakani tutakula wap? Tutaishi vip? MWAnangu ataweza pata kazi BOT? Kweli
@JosephatMushi-ne9hn7 ай бұрын
Upinzani ni kama BOYER La kuzugia Wazungu, maisha yaendeleee
@sylvestercameo62637 ай бұрын
@@JosephatMushi-ne9hnAre you serious?
@jovitadaniel71617 ай бұрын
@@sylvestercameo6263 usishangae ndugu yangu afrika kuna mambo ya kipuuzi mno watu hawataki mawazo mbadala!
@joshuaswai82037 ай бұрын
Mbowe ni mtu muhimu sana ktk taifa ilianaonyesha uwezo mkubwa kufafanua mambo nashukuru sana Mungu kwa Ajili ya huyu mtu abarikiwe sana
@BonaBonala-bp5qm7 ай бұрын
Mbowe Usipo mwelewa basi Wewe nikibalaka wa mfumo dume wa ccm uwezi mwelewa kabisa
@AliAbdalla-lb8su7 ай бұрын
Huyu mbowe ni mtu wa maana sana anaongea point
@lulungensindimahttpcm7 ай бұрын
Hongera sana mkuu mbowe mungu akuongesee ubidii na matamshi mazuri katika malumbano
@HezronKaaya7 ай бұрын
Kama kuna watu Mungu aliwaandaa kwa ajili ya kuogoza Taifa hili Mbowe ni mmojawapo.Kwa maoni yangu kupata fursa ya kutekeleza mapenzi ya Mungu ni vigumu,kwa vile tu ni mpinzani,ni mchaga.Ndio ufjnyu wa akili wa badhi yetu.
@Samwel-kz4nq7 ай бұрын
Ongeraaa kaka uko vizuriii
@aymanhusseinaslam72664 ай бұрын
Mbowe anajua sana kujieleza, naukubali ufaham wake. Tundulisu huwa nashindwa kumuelewa, apunguze jazba anapoongea.
@nsajigwasilisye44167 ай бұрын
ccm ni sikio la kutosikia dawa....tufikie mwisho wa uhuni wao
@RoseKipimo-e4g7 ай бұрын
vibaka wamezoea kuiba mwizi ni mwizi CCM ni vibaka
@GilbertGombeye7 ай бұрын
Benki za Tanzania ziache ubaguzi kwenye mikopo kwa sekta binafisi
@BozaDizamile-u1d7 ай бұрын
ONGELA MBOWE KWA SPANA UNAZOWAPA CCM SHIDA YA CCM WANAJIAMINI SANA KWAKUA WANATUONA WAJINGA CCM NI SIKIO LAKUFA CCM WOTE WANAJUA KATIBA MPYA ITAWAPOLA MADALAKA HILA WACHENI SSIV WATAKAOKIMBIA NI KINA. NAPE KABUDI NA MACHAWA WOTE WA CCM SIO KINA LEMA TENA CCM WANATUFANYA MCHI HII NI MALI YAO BINAFSI
@abdallahmsham-eb7jz7 ай бұрын
hahahahaha asante mkuu pamojaa
@ndimimaskati36417 ай бұрын
Tanganyika hakuna Democracy kuna mfumo wa chama kimoja.
@MosesMnyantope-zw4ed7 ай бұрын
Mboe
@namsifubwana21527 ай бұрын
Hivi Chenge, Kabudi na Kinana hawaoni aibu kuwa hapo😭😭😭😭ningekuwa mimi ningeficha uso wangu
@Mima-cl2im7 ай бұрын
Wizi ni sifa mojawapo kwa viongozi wa Africa. Mbowe katafuna fedha za chama chake. Alikuwa tayari kunyakuwa jengo la National Housing muchana kweupe, Kama Hayati Magu asingepiga stop bila kuona AIBU. Viongozi Kama hawa ndiyo hupendwa na nchi za wazungu. Ni lahisi kuachia mali za watanzania kuwafaidisha wageni. Ndiyo mana wazungu hawakosekani kwenye mikutano yawo. .
@obedlwinga91947 ай бұрын
@@Mima-cl2im ulikuwa wapi kuyasema haya kabla?
@GilbertGombeye7 ай бұрын
Bado Kuna ubaguzi wafanyakazi wa sekta binafisi wanabaguliwa kwenye mikopo benki
@TomasiklistophaMwinuka7 ай бұрын
Kwer kamanda wetu Mbowe ccm wanajua jinsi wanavyo iba kura zetu mpaka inatukatisha tamaa kwenda kupiga kura tunachagua watu tunawatakia Sisi wao wanateua wakwako tunachoka kwakwer
@AlexPetro-z1e7 ай бұрын
Mbowe waambie ukweli,, wananchi tumepigika
@Mima-cl2im7 ай бұрын
Hakuna ukweli hapo ni ubabaishaji tu
@JaphetJackson-p6b3 ай бұрын
Uhuru na haki, tunaomba
@namsifubwana21527 ай бұрын
CHENGE USO UMEMKOMAA KWAKWELI NAONA AIBU IMEMSHIKA NA KABUDI
@GilbertGombeye7 ай бұрын
Eti mfanyakazi wa sekta binafisi anabaguliwa kwenye taa sisi za mikopo kwenye mabenki
@athumanhassani8057 ай бұрын
Wewe unafaida kati yawale wachache kaa jwakutulia
@namsifubwana21527 ай бұрын
Mbowe nafasi imefunguka kwa Chadema na ACT tuu, bado hawaruhusu watu wengine kuregist vyama. Na kumbuka kuna vyama vya mfukoni
@MmohamediSaidi7 ай бұрын
Mwaaamba
@mashakalukinda23507 ай бұрын
Nikweli kabisa mweshimiwa Mbowe maneno yako yanaukweli mtupu wahalibifu ni CCM halafu Leo ndo Wana tutungia Sheria za uchanguzi haiwezekani kamwe
@SimonAmon-dr8xw7 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@namsifubwana21527 ай бұрын
MJADALA WA MUHIMU SANA HUU KWENYE NCHI YETU. MLIOANDAA CONGAMANO HILI PLEASE KILA MIEZI MIWILI WAITENI WAONGEE ILI INYESHE TUONE WAPI PANAVUJA
@Mima-cl2im7 ай бұрын
Wizi ni sifa mojawapo kwa viongozi wa Africa. Mbowe katafuna fedha za chama chake. Alikuwa tayari kunyakuwa jengo la National Housing muchana kweupe, Kama Hayati Magu asingepiga stop bila kuona AIBU. Viongozi Kama hawa ndiyo hupendwa na nchi za wazungu. Ni lahisi kuachia mali za watanzania kuwafaidisha wageni. Ndiyo mana wazungu hawakosekani kwenye mikutano yawo. .
@deniseliuter30027 ай бұрын
Acha kuleta propaganda za CCM wkt azikusaidii chochote Zaidi ya Kua chawa