Рет қаралды 120,077
Kinara wa Azimio Raila sasa anasema majaji wa mahakama ya upeo wanapaswa kumtangaza kuwa rais mteule kwani kulingana na ushahidi uliowasilishwa mbele yao, alishinda uchaguzi wa urais wa Agosti 9. Akizungumza katika kaunti ya mombasa odinga amesema ameweka mawakili wa kutosha wa kuonyesha mahakama kuwa udanganyifu wa hali ya juu ulifanyika ili kumnyima ushindi.