Kutana na Mama Mariam Nabatanzi mwenye watoto 44

  Рет қаралды 8,526,051

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 1 700
@margaretmburu3823
@margaretmburu3823 6 жыл бұрын
May you live long mum... I wish am a Ugandan ... aki she's still strong 💪 sisi Kenyans tunazaa wawiili unafilisika kama gari imepata accident 🤔...May God bless her with food and wealthy🙏...
@bellah7467
@bellah7467 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@lydiahnafuna8320
@lydiahnafuna8320 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@GraceSalamba
@GraceSalamba 7 ай бұрын
May God bless her
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 3 жыл бұрын
Mungu agapinga wanayosema tutazaa wawili watatu saine ndi nitaweza kuwalea hukumu ya Mungu uko juu ya watu wapingamizi n'a mapenzi ya ya Mungu Hongela Hongela mama Mungu akubariki
@bubaboy25
@bubaboy25 4 жыл бұрын
Masha Allah ewe mungu wajaalie hawa watoto wafanikiwe katka maisha yao wawa saidie wazaz wao na jamii kwa ujumla
@possibleofmathematics760
@possibleofmathematics760 2 жыл бұрын
Nakupenda Mariam ,, MUNGU akuongoze! Naomba Serikali ilitazame swala lako! Mungu Akusimamie ,, na akupatie mkate wa kila leo! Usiache kumtegemea Mungu Enjoy your Life
@cedric619
@cedric619 3 жыл бұрын
She has entered in T he Guinness Book of World Records and she should be recognized in the world, someone should contact them to look for her
@milkahwangui2353
@milkahwangui2353 3 жыл бұрын
It's very ok....She is blessed with 44healthy good looking kids...Museveni and his wife are in should have helped the family...it's very humbling just seeing how African women are healthy and energetic..But due to bad image created by whites about we Africans that is why the government can't cheap.....CONGRATS MAMA AFRICA...INDEED U DESERVE THAT TITLE
@husnaameen9309
@husnaameen9309 3 жыл бұрын
mashaAllah, mashaAllah , mashaAllah mungu mfanyie wepesi mama huyu 🥰
@brendakimaro3747
@brendakimaro3747 4 жыл бұрын
Nani Kama mama!! NI nadra kuckia mama kakimbia watoto...lkn baba hukimbia na watoto wakikua na kufanikiwa ki maisha baba hurudi!! Big up wamama wote.. Mungu azidi kukubariki..
@ashuraathumani4302
@ashuraathumani4302 4 жыл бұрын
Hongera sana mwanamke mwenzangu. Mungu akutunze wewe pamoja na watoto wako.
@ramlahamad5483
@ramlahamad5483 4 жыл бұрын
Alhamdullah.....ni riski kubwa sanaaa kuwa na watoto wengi huwez juwa...ndani ya hao watoto utaweza pata madoct walimu yaaani kila aina ya m2 mkubwa..nashangaa sanaa wa2 wanao uwa watoto nakufunga vizazi...jmnyy hiii ni riski kabisaaa Allah amlipe kila la kher na amfungulie riski
@Josh-mr8fp
@Josh-mr8fp 2 жыл бұрын
Ugandan women are gifted with fruit of the womb blessed country with a lot of food too. May the lord bless her and enlarge her territory to never lack.
@lisajohns9301
@lisajohns9301 2 жыл бұрын
Your are not normally.this kids are too much
@Josh-mr8fp
@Josh-mr8fp 2 жыл бұрын
@@lisajohns9301 No do you have any of your own
@saumukaisi7003
@saumukaisi7003 3 жыл бұрын
Huyu mama daaaah mungu atamlipa khery Mana watoto wakikuwa watamlea watoto wake Allah amzidishie inshallah
@rashidmkoga3053
@rashidmkoga3053 4 жыл бұрын
Hakika mungu nifundi wa kugawa, mama ana wavulana 23 mimi natafuta mvulana hata mmoja tu, nina wasicha 4 yeye ana wasichana 15 umri wake 38 mimi 42 sifa zote ziende kwa Mwenyezi mungu mtukufu. Watoto 44 wote baba mmoja tu, anachunga mwenyewe wengini kamoja tu wanatupa mtaroni, Mungu mjalie huyu mama watoto wake wapate maisha ya juu ili kesho afurahie uzao wake.
@MesiakiMwimo
@MesiakiMwimo 8 ай бұрын
kwa kweli mam umejaliwa watot bas na mungu piah akupe uwezo wa kuwalea
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 2 ай бұрын
Mungu akukuxie hao ulionao na akuruzuku msimamizi wao​@@MesiakiMwimo
@ronicahsarah2430
@ronicahsarah2430 4 жыл бұрын
Wat a blessing!! God give her wisdom ya kulea
@shiftinggrades
@shiftinggrades 2 жыл бұрын
Do they know one another as siblings? Does this mum know all the kids and their order, this is amazing 😍😍😍😍. I salute the father too
@emmanuellaarianda7584
@emmanuellaarianda7584 6 жыл бұрын
i low key wish this was me!,i can jst see blsings and many favours frm God,may He bls u mama and provide for u and ur kids always!
@raniaprianti7130
@raniaprianti7130 4 жыл бұрын
MasyaAllah TabarakaAllah perjuangan seorang ibu yang luar biasa
@jannet506
@jannet506 6 жыл бұрын
Praise the living God,kila jambo lina sababu hapa duniani may the mighty father bless this woman more and more to raise her children,Amen, Amen, Amen
@janecosmas8183
@janecosmas8183 2 жыл бұрын
MashaAllah Maryam nitakuombea kwa Mungu hakupe guvu za kulea watoto wako sasamtu hakitaka kukusahidia hatakupata wapi ? Hama hayo mapeni hitakuvikia vipi?
@albertokole5709
@albertokole5709 2 жыл бұрын
She deserves to be in the Guinness book of records
@teresiakinuthia
@teresiakinuthia Жыл бұрын
She is
@siznic2156
@siznic2156 6 жыл бұрын
Mola awatunze jamani..38 years watoto 44😘 congratulations mommy
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu Amina.
@nonniegathoniofficial1626
@nonniegathoniofficial1626 3 жыл бұрын
I love 💕😘 the way she takes care of her kids 💖 she never abandoned the kids ✅✅✅✅I salute you mama 🥰🥰🥰
@everlynemashiya601
@everlynemashiya601 2 жыл бұрын
l loves the way she care
@mazockijineri312
@mazockijineri312 3 жыл бұрын
Mama mungu akubaliki na aubarki uzao wa tumbo rako na akupe maisha malefu sku mmoja ule matunda yako naiman awez kukutupa kwa uzao ulio pewa wapo watao kukumbuka mungu akubaliki Sana sjui sku za mbelen baba yao hao watto atafcha wapi uso wake najua mungu ana kusud rake kwako ubalikiwe Sana mama
@rozziekristen3334
@rozziekristen3334 6 жыл бұрын
Strong nd still looking young and beautiful mama.Your children will be a blessing to you. He's Lord
@carolinemakokha4348
@carolinemakokha4348 5 жыл бұрын
Amen
@alicewambui8368
@alicewambui8368 2 жыл бұрын
Weee niukweri heri kumutumikia Mngu anaweza
@JenniferRoberty
@JenniferRoberty 4 ай бұрын
Jmn mung akupe maisha marefu mummy nakupenda sana allah akujalie bibie❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@beatricemwaura1432
@beatricemwaura1432 6 жыл бұрын
Mbarikiwa kabisa wewe na watoto wako wote, mungu awape afya njema na akupe uwezo wa kuwachunga, congratulations
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 5 жыл бұрын
Mashaallah hiyo ni zawadi kutoka kwa Mungu naamini hatakutupa Na atakupa njia ya kuwalea Mungu yu pamoja nawe.
@betashow6373asmr
@betashow6373asmr 2 жыл бұрын
I salute her. She deserves to be in Guinness book of record
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
It nulfies God’s glory,you’re a wonderful mother
@gracekimani627
@gracekimani627 6 жыл бұрын
I thought I had seen it all until I saw this. Our God reigns🙏
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Kama hapa kwetu mtu akiwa na mapacha wanne anasaidiwa basi huyo mama na watoto wake Serikali yake ingemsaidia...viongozi wanawake walioko ktk uongozi au bungeni wamemsaidiaje? Alitakiwa atengenezewe mazingira mazuri ya kimaisha na Elimu kwa watoto. Hongera sana mama!!!
@jahmarpounall9763
@jahmarpounall9763 6 жыл бұрын
I love this woman very much from jamaica
@esterkarine5780
@esterkarine5780 6 жыл бұрын
Amen. Mungu awape upondo watoto hao watoto ili kipindi watakao kuwa wa kubwa wapendane wala wasiwe na ubaguzi maana ni wengi sana
@djatm1319
@djatm1319 4 жыл бұрын
She is supposed to helped by government .... This is miracle
@marvajefferson7348
@marvajefferson7348 2 жыл бұрын
She's got to be a saint, she's super human ❣️
@cherylmontcrief7600
@cherylmontcrief7600 3 жыл бұрын
Very wonderful. May God give them all they need.
@naominyanchoka
@naominyanchoka Жыл бұрын
God bless you mum and protect you and also take care of your children. God gives you strength , wisdom and knowledge. Be blessed 🙏 am
@sandrasofia6597
@sandrasofia6597 6 жыл бұрын
Baraka za mungu ziwe juu yako na uishi siku nyingi uyo mume wako mungu akutane naye
@nehemiahaswani5531
@nehemiahaswani5531 2 жыл бұрын
Hongera kwake huyo mama Mungu hazidi kumpa uwezo respect mama ni memweshimu.
@millicentkimlat6833
@millicentkimlat6833 6 жыл бұрын
Beautiful family!....MAY GOD HELP MARIAM SO MUCH. IT'S NOT EASY AT ALL.
@simongabriel8037
@simongabriel8037 4 жыл бұрын
Namba yake ya simu tunaipataje huyu mama
@deograthiasmayala
@deograthiasmayala Жыл бұрын
Nandi q
@annalinejepkiyeny6834
@annalinejepkiyeny6834 Жыл бұрын
It's the faith and hope. God bless and open doors for you Maggie
@najma3268
@najma3268 6 жыл бұрын
Mashaallah mamy , unajua kulea na kuwapangilia muda wakula una haki kisha kila mtu anakula , ingekuwa ni mmama mwingine hapo angewagawa watt kama mbwa kila mahali halafu asingewafwatilia , lakin ww ni zaid ya mwanamke , allah akufanyie wepesi wakuwe , hao wakishakua yaan ww ni tajiri , maana hapo kunababa mama wajima na shangaz zako binamu zako babu zako huo ni ukoo tosha huna haja ya kumtafuta ndugu wallah
@wazirikiogwe1836
@wazirikiogwe1836 5 жыл бұрын
Yani nimetamani bureeee ukuje na huku uuuuuwiiiiii
@asliissacksoom4433
@asliissacksoom4433 5 жыл бұрын
Najma 3 soom
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Hongera kwa kweli nimechoka akili wangu 4 tuu na nimeona ni kazi kweli kulea maana hizo Ada mzee ujipange mungu akulinde sasa serkali ikusaidie kuwasomesha jamani?
@rosereached4587
@rosereached4587 4 жыл бұрын
Mm
@alicewairimu6181
@alicewairimu6181 6 жыл бұрын
Ngai mungu abariki uyu mama na.kuna wanazaa katoto kamoja wana kauwa ati haexi lea God bless u mam gud job kip it up
@chrisogonas
@chrisogonas 6 жыл бұрын
Wow!!! That fits the Guinness Book of Records. Hope she will afford to raise them up well. And she looks fairly well-preserved for her age and the back-breaking parenting. Great reporting, Citizen Crew!!
@joachimolomi8769
@joachimolomi8769 5 жыл бұрын
Chrisogonas Odero Mc'Odhiambo noma
@esterhee1411
@esterhee1411 2 жыл бұрын
Lgei
@beatriceingabire6169
@beatriceingabire6169 5 жыл бұрын
You are super blessed Mama don't worry ...your future is very nice ...Jesus love you....
@ladylee9002
@ladylee9002 4 жыл бұрын
Wow🥰 I love the love she has for her kids and still be able to take care of them. I'm struggling with only 1 kid and she's doing great with 38
@graceforpurposeprayer4885
@graceforpurposeprayer4885 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (+2349150350821) to prayer for you. For it is not by might nor by in power but of the spirit faith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you,
@aderanyochii919
@aderanyochii919 Жыл бұрын
bbdhdhjdfjfhffjjfhhc.bjjjjj1hhghh.jc.
@VastPhiri-ep2gx
@VastPhiri-ep2gx Жыл бұрын
Hkika ndiye wa kwanza Dunian
@luciamgaya2150
@luciamgaya2150 5 жыл бұрын
Hongera waganda Nawapeda kama nini, hatupi watoto hata kama iwaje😍😍😍
@luvmytots
@luvmytots 6 жыл бұрын
Strength of a woman. GOD BLESS YOU AND YOUR CHILDREN
@kevootarimo9793
@kevootarimo9793 2 жыл бұрын
Ongera mam
@Scientificfacts.56
@Scientificfacts.56 2 жыл бұрын
She's really very strong n ug govt shd intervene to assist that mum educate the chdn.
@micahlasoo107
@micahlasoo107 2 жыл бұрын
I love mama Mariam for his straight and God he will take care of the kids
@theson5044
@theson5044 5 жыл бұрын
Touching how I wish I could be among those children.
@jeromemenard1614
@jeromemenard1614 3 жыл бұрын
Iiiiii I
@jeromemenard1614
@jeromemenard1614 3 жыл бұрын
Opportunity
@jobadebayoolaoti8664
@jobadebayoolaoti8664 8 ай бұрын
Interesting! This woman is strong. Congratulations to you and your husband.
@emmienyarnoah5039
@emmienyarnoah5039 6 жыл бұрын
Am still shock about this story 😳😳 mimi nilizaa mmoja na nili lia sitawai tena. Naye anatoa tu 1mbaka 44 wah.. 🙌🙌She needs a trophy
@Honest_Man
@Honest_Man 4 жыл бұрын
Mbona ulilia?
@teresawanjiru5511
@teresawanjiru5511 3 жыл бұрын
what a couragous lady God bless you mum
@kambaboychampion6063
@kambaboychampion6063 3 жыл бұрын
Eti umesema nini?
@Msomale
@Msomale Жыл бұрын
​@@Honest_Manmbona asilie kuzaa mtoto so mchezoo
@habibatally6392
@habibatally6392 5 жыл бұрын
mashaallah mungu akuwekee awakuze vyema wapendane wasaidiane na pia waje wakutunze mzazi wao uje usahau shida zote unazopitia ishaallab
@TRUTHISM.
@TRUTHISM. 5 жыл бұрын
The only thing I like about her is that watoto wote ni wa baba mmoja. Congrats mama
@hasnaalnaar817
@hasnaalnaar817 5 жыл бұрын
Usijali mama Mungu akileta mtoto analeta na sahani yake 💪💪💪
@paschallikweti3284
@paschallikweti3284 5 жыл бұрын
Huyu ni malkia wa binadamu
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 жыл бұрын
mungu akileta mtoto ,analeta na sahani yakee
@hllenakae
@hllenakae 3 жыл бұрын
Ni swali tu, wameachana na miezi ngapi?? This is miracle
@ayiekoza0459
@ayiekoza0459 3 жыл бұрын
This is a great blessing!!!
@emmamutiso5459
@emmamutiso5459 4 жыл бұрын
God bless this lady some ladies cannot take care of one kid you find them in law court wanting to help from who ever they got the kid with God bless u in abundance a faithful lady u never even had no such thoughts
@sawanjema4889
@sawanjema4889 6 жыл бұрын
mungu ni mwema,magonjwa yapite mbali na familia yako mama,
@prophetdanielkolenda9175
@prophetdanielkolenda9175 4 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (09131206473) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.........
@yassinsimon9403
@yassinsimon9403 3 жыл бұрын
@@prophetdanielkolenda9175 mahsaa
@mulundamajaliwa7396
@mulundamajaliwa7396 3 жыл бұрын
Mungu awasahidiye watoto wote
@susankadzo5304
@susankadzo5304 3 жыл бұрын
@@prophetdanielkolenda9175 vvvvvvvv vvlvlbblll
@susankadzo5304
@susankadzo5304 3 жыл бұрын
V
@carolinemwangi6348
@carolinemwangi6348 4 жыл бұрын
Hongera. Mungu amjalie huyu mama neema ya kuwalea hawa watoto na awalinde
@zippyjepps2750
@zippyjepps2750 4 жыл бұрын
Waw! God is awesome, no one is like a mother. Respect to all mother's out there. How do one help this lady? 🙏🙏
@petergelevas6525
@petergelevas6525 2 жыл бұрын
Mungu akulinde mama
@anusamatembezi1757
@anusamatembezi1757 2 жыл бұрын
Fhky
@JacklineChando-s6v
@JacklineChando-s6v 7 ай бұрын
That's good example to African society we should learn that🥰🥰🥰🥰🥰
@sophiatessia3914
@sophiatessia3914 6 жыл бұрын
Congrats mummy kwa kazi nzuri sasa walae tu mungu atakuja wabariki sana watoto ni baraka🙏🙏
@jeniphertigiya955
@jeniphertigiya955 6 жыл бұрын
vizuri sana ni baraka kubwa za Mungu hizo Mungu akutunze mama
@deborahmpumwiire3691
@deborahmpumwiire3691 5 жыл бұрын
Nady Nady Hq
@josphinemumo8503
@josphinemumo8503 2 жыл бұрын
Na Hawa watoto wakona furaha ❤️I love it
@chiefthe-rock7351
@chiefthe-rock7351 5 жыл бұрын
GUINEES BOOK OF RECORDS WAKO WAPI, SHE NEEDS ALOT OF SUPPORT.
@graceforpurposeprayer4885
@graceforpurposeprayer4885 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (+2349150350821) to prayer for you. For it is not by might nor by in power but of the spirit faith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you,
@chrisschristopher9171
@chrisschristopher9171 6 жыл бұрын
Hongera kwa Huyo mathee,, mungu ampe nguvu, na rizki kila siku.
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 жыл бұрын
congra mumy ,wanaume sijui walikosea wapi aky mungu anawaona
@malikkanyago3788
@malikkanyago3788 3 жыл бұрын
Thanks so much my mama 🇺🇬🇰🇪🙏
@thediplomat6165
@thediplomat6165 6 жыл бұрын
Mungu bariki huyu mama na umwongeze masiku ale matunda ya jasho lake masiku ya usoni.
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Hivi ni kweli?maana Nina 4 kijasho nacho kinanitoka 44? Hongera Kwa kweli mungu akulinde mamaa mungu ndiye mchungaji WA hawa watoto
@prophetdanielkolenda9175
@prophetdanielkolenda9175 4 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (09131206473) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you. . .
@PriscaMasile
@PriscaMasile 6 күн бұрын
Jamn mungu akuweke na awabariki watoto wako hongera sana mama♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹
@kendralindcey5683
@kendralindcey5683 6 жыл бұрын
May Allah see you through as you raise them congrats mama 💞💞💞💞💞💞
@umufadumosahra1421
@umufadumosahra1421 5 жыл бұрын
Amiin
@Ysl20.
@Ysl20. 3 жыл бұрын
Amen
@faithnyaboke485
@faithnyaboke485 Жыл бұрын
Nakuombea mazuri mamaa.. God protect against illness
@Mateshjose
@Mateshjose 3 жыл бұрын
We need an update of this of whether she got assistance its been long
@nyahegasangi4991
@nyahegasangi4991 4 жыл бұрын
Mungu amlinde mama huyu amwepushe na balaa za bunia pamoja na wanao ,Naiomba Serikali ichukue dhamana ya kuituza familia hii bia kuitenganisha Ame
@kennedymirun4258
@kennedymirun4258 3 жыл бұрын
Congratulations Maria may God 🙏 bless you
@teresiakinuthia
@teresiakinuthia Жыл бұрын
Aaaaaaaawsome.. God Bless This Mother N Her Children.
@adelinahsangah1049
@adelinahsangah1049 5 жыл бұрын
Napendaaa et mungu nijalie na mm
@bilalymkuna6488
@bilalymkuna6488 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema mwenyezi mungu ampe ridhki AMINA.
@alisaalis9218
@alisaalis9218 6 жыл бұрын
Masha allah,Mungu akikupa mtoto lazima akupe njia ya kuwalea hata kama uko single,atakupa akili ya kuwalea
@siznic2156
@siznic2156 6 жыл бұрын
Alisa Alis ukweli mola haezi kupa watoto akunyime riski ya kila uchao..
@carolhottie862
@carolhottie862 6 жыл бұрын
Alisa Alis Nnj
@carolhottie862
@carolhottie862 6 жыл бұрын
Alisa Alis jhhh
@carolhottie862
@carolhottie862 6 жыл бұрын
siz nic nvv
@monicaannastacia9944
@monicaannastacia9944 6 жыл бұрын
Alisa Alis ppPp1
@jacobsambu2957
@jacobsambu2957 2 жыл бұрын
I Salute you mum, May Almighty the greater bless you abundantly
@winfred2546
@winfred2546 6 жыл бұрын
Wah...Wacheni Mungu aitwe Mungu. ..God is with you
@graceforpurposeprayer4885
@graceforpurposeprayer4885 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (+2349150350821) to prayer for you. For it is not by might nor by in power but of the spirit faith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@josephatnyokangi7199
@josephatnyokangi7199 5 жыл бұрын
josephat kiriago ghai,thnkz mum kw kazi nzuri mungu akubariki,rem baada ya dhiki n faraja
@luianmbugua328
@luianmbugua328 6 жыл бұрын
important is to give them education.all the best mom
@aminajafari5619
@aminajafari5619 4 жыл бұрын
Subhana Allah mama hongera sana Allah akukuuzie wanao uje ufurahie matunda yao.
@Kingdon8765
@Kingdon8765 Жыл бұрын
Congratulations to you my Mother
@winniepeterson3366
@winniepeterson3366 3 жыл бұрын
The mother is very healthy and the kids to...acha Mungu aitwe Mungu.
@abigaelchebet1454
@abigaelchebet1454 3 жыл бұрын
Amen
@judyjoy38
@judyjoy38 6 жыл бұрын
Congrats may God give u streagth to raise your kids..kudos!
@chitec4394
@chitec4394 4 жыл бұрын
Yuko vzr sana huyu mama. Mwacheni Mungu aitwe Mungu
@emmakatanu3645
@emmakatanu3645 6 жыл бұрын
May you never lack ..God bless you great mom
@happynessmakaranga2104
@happynessmakaranga2104 4 жыл бұрын
Kisuku;
@happynessmakaranga2104
@happynessmakaranga2104 4 жыл бұрын
Kisukuma
@monicahachieng823
@monicahachieng823 2 жыл бұрын
Mummy u hv blessings coz many pole r in need of even one
@monicahachieng823
@monicahachieng823 2 жыл бұрын
Many wants even one
@monicahachieng823
@monicahachieng823 2 жыл бұрын
Happy family
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 4 жыл бұрын
Daaah kweli mungu yupo mmmh na mm naomba mungu anipe hii neema 🙏🙏yan bado mdogo had raha😍😍😍😍
@davidnchoji
@davidnchoji 6 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu,❤️🙌
@julietsikote4970
@julietsikote4970 2 жыл бұрын
God give you wisdom n strength it's not easy big up 🙏🙏🙏
@ceciliakaari782
@ceciliakaari782 5 жыл бұрын
A strong woman, I must admit that.
@iscodavid8823
@iscodavid8823 4 жыл бұрын
Mungu amuzidishie baraka watoto wake wawe wasomi
@okindahtotoyoyo2741
@okindahtotoyoyo2741 6 жыл бұрын
Mm sasa nataka kuzaa hadi 10.....congrats mummy💗💗💖💖💖
@imeldanamuli4134
@imeldanamuli4134 4 жыл бұрын
I'm a ugandan, I call upon the government to buy a piece of land and build for her a school and a hospital not forgetting a home after all it has money to spend on non benefiting issues.
@mbalirehawa6204
@mbalirehawa6204 4 жыл бұрын
Please citizen TV get Nabataanzi's number some people are willing to help her God bless you all guys willing to help that mother
@khadijahassan2217
@khadijahassan2217 3 жыл бұрын
Allahu, Subaru🙏
@michaeljohn5365
@michaeljohn5365 5 жыл бұрын
Hongera mama njoo Tanzania elimu bule
@zunaiandre2341
@zunaiandre2341 5 жыл бұрын
Everytime I see a video of this woman I always go' Dangg,her glowy happy skin.
@magrethmaggy3480
@magrethmaggy3480 4 жыл бұрын
fcuk
MAMA WA KAMBO
13:29
Comedy Plus
Рет қаралды 1,1 МЛН
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 3,5 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 7 МЛН
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 13 МЛН
Family Tears 2B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
1:09:00
MAMAYANGU KICHAA FULL MOVIE
2:41:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,9 МЛН
MAMAYANGU KICHAA PART 2
18:09
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,6 МЛН
MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 8561961 TO 811)
5:50
Zabron Singers
Рет қаралды 62 МЛН
Новости дня | 29 ноября - дневной выпуск
11:49
Euronews по-русски
Рет қаралды 53 М.
NIPASHE WIKENDI | November 29th, 2024
23:55
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 7 МЛН