Рет қаралды 3,064
Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepinga wito wa rais William Ruto wa kuandaa mazungumzo ya kitaifa akisema kuwa kile wakenya wanataka kwa sasa ni utekelezaji wa matakwa yao. Kalonzo amekiri kuwa hakuhusishwa katika maamuzi hayo ya rais na kinara wa muungano wao Azimio la umoja one kenya Raila Odinga.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya