KIONGOZI wa TLS AMPONGEZA CDF MSTAAFU MABEYO -"ANGEKUWA na TAMAA ANGEKUWA RAIS -ALISIMAMIA KATIBA"..

  Рет қаралды 21,761

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@globaltv_online
@globaltv_online 8 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u6Dk3QxRsVCJ7kW2e
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 8 ай бұрын
Jamaa yuko poa sana kwenye updates za mahakamani
@jumamaisara7557
@jumamaisara7557 8 ай бұрын
Fitna tayari ishaamza mungu awadumishe alafu mtu alie fata katiba hawezi kupata changamoto hapo hamna urafiki kiapo mungu awadumishe
@daudimangalo8002
@daudimangalo8002 8 ай бұрын
CDF mtaafu General Mabeyo hakika nimekupenda kwa uzalendo wako . Nchi ilibaki salama chini yako hususani ktk mabadiliko baada ya kifo cha Rais wetu Makofuli. Mungu awabariki na kamati yako yote. Umeweka historia. Mimi NKYA,
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 8 ай бұрын
Mimi mwenyewe Cdf ni Mzalendo na anaheshimu katiba ila wale aliowapambania wao wanaivunka katiba na hawataki kuiheshimu.
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 8 ай бұрын
Mahojiano mazuri kabisa. Hongera Mwanasheria mwenye weledi wa hali ya Juu na Mwanahabari mwenye weledi wa hali ya Juu. Ni nadra sana hapa Nchini kwetu kupata mahojiano mazuri kama haya. Kuna haja kubwa ya kuwa na wanataaluma waliobobea kwenye taaluma zao hapa Nchi.Hasa taaluma ya Wanahabari ni majanga matupu!!!?
@bobwangwe748
@bobwangwe748 8 ай бұрын
Hongera sana mura🔥
@MwatijaFikoti
@MwatijaFikoti 8 ай бұрын
Mabeyo apongezwe sana na amongezee muda wa kuishi Kwa kuivusha nchi vizuri.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 8 ай бұрын
Alifanya hivyo lakini ajue kuna siku anayemlea mlafi atapinduliwa na mlafi.
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 8 ай бұрын
Mda mwingine mapunduzi Yana faida kama tu aliyepindua ni mwadilifu, hawa viongozi wa katiba na chaguzi wanazingua
@hijazhija316
@hijazhija316 8 ай бұрын
Hamia West Africa mkuu
@kayombogregory8241
@kayombogregory8241 8 ай бұрын
Kwa kawaida ni katiba sio tamaa.
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 8 ай бұрын
Hapo ndipo nilimdharau Venance na kamati ya majenerali wake walioukua pale Upanga. Wangepindua tu ili tuigeuze Tz
@josayajohn7324
@josayajohn7324 8 ай бұрын
Upelekwe milembe wakutibie
@kombidin..2583
@kombidin..2583 8 ай бұрын
Una akili finyu kama manyumbu
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 8 ай бұрын
Hahahaha
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 8 ай бұрын
Tanzania ni nchi ya amani. Watu katika nchi nyingi wanatamani nchi zao ziwe na amani na utulivu kama Tanzania. Kuombea mapinduzi ya kijeshi ni kuombea ukosefu wa amani katika nchi yetu. Idi Amin alipoipindua serikari ya Uganda wananchi walisambaa mataani kushangilia. Baadaye walikuja jutia sana. Nchi yetu ina fusa nyingi, ambazo zikitumiwa vizuri zinaweza kutuondoa kwenye maisha umasikini. Sasa hivi hata nchi ingetawaliwa na malaika wa mbinguni watunzania ambayo hawaoni fusa zilizopo wataendelea kuzama katika lindi la umasikini. Wakati wengine wanaziona fusa za maendeleo, wenyewe wenatamini labda kingeshinda chama cha upinzani. Labda tungetawaliwa na serikari ya kijeshi. Hata hao wakiichukua nchi maisha yatakuwa vilevile.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 ай бұрын
Kupindua haihitaji siku maalum.
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 8 ай бұрын
Ninge tegemea mngetuambia hii awamu ya sita imekujaje kikatiba?
@personpeter2221
@personpeter2221 8 ай бұрын
Mm naona haya ni maigizo tu kwann asingejitangaza tu akawa rais
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662 8 ай бұрын
Mabeyo ni mwanajeshi na mkatoliki tena mseminari, amejengeka imara ktk misingi mizito ya weledi, haki na ukweli.
@winstonmwalukasa4997
@winstonmwalukasa4997 8 ай бұрын
Kwa nn? Ili hali katiba ni kijitabu tu!
@YohanaMagembe-i6z
@YohanaMagembe-i6z 8 ай бұрын
Asa Kama mgonjwa akagunduwa hapa so salama
@MfizoCrypto
@MfizoCrypto 8 ай бұрын
CDF AJENGEWE SANAMU
@ChristerShao
@ChristerShao 8 ай бұрын
Tumpongeze sana kutokuipindua nchi.
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw 8 ай бұрын
sasa angependiane nchi na raisi hakuwepo? apo angedhulumu
@stevemahely
@stevemahely 8 ай бұрын
​@@NM-yl2uwUnadhani kupindua nchi ni Rais ni vile kuitoa serikali iliyopo madarakani nasio kumtoa Rais tu.
@masungamashauri4070
@masungamashauri4070 8 ай бұрын
Mjadala huu mbona mnaendesha kwa hisia zenu tu bila nukuu yeyote
@gidongailo7174
@gidongailo7174 8 ай бұрын
Tanganyika irudi
@ericapingi8354
@ericapingi8354 8 ай бұрын
Tz ina katiba nzuri
@pauloropian2367
@pauloropian2367 8 ай бұрын
Kwa kweli wamekoseya Sana, check now watu wanao ishi pembe zoni mwa mahifadhi wanateseka sana serikali kujali Sana wanyama kuliko uhai wa watu, check bahari zetu mungu ndo aliiinuzuru, waarabu kutaka kuinyemelea kila sehemu ya uridhi wetu likes, national Park and others but God be still God.
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 8 ай бұрын
Huyu ni mjinga ingekua mm nakumbia nimimi ukweli kbs
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 8 ай бұрын
Muhimu katika katiba ni Rais wa Tanganyika .Ndio maana kuhusu nafasi ya makamu wa Rais haina issue kama serikali ya Tanganyika ipo.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 8 ай бұрын
Hakika!
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 8 ай бұрын
Kuna hakiza mgonjwa ,ikiwa pamoja kukataa matibabu,ipo hiyo.
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 8 ай бұрын
Kupuuza vipi na katiba wasijue vipi hao wahuni waroho wa madaraka
@charlesjishuli4355
@charlesjishuli4355 8 ай бұрын
Hao waliokuwa wameisahau katiba wanaweza kushughulikiwa kisheria au kisiasa.
@charlesjishuli4355
@charlesjishuli4355 8 ай бұрын
Wanaoisahau katiba wanaweza shughulikiwa pia kisiasa
@ngana8755
@ngana8755 8 ай бұрын
Jina la rais wa TLS (Tanganyika Law Society) ni nani? Naomba mtambulishe.
@jacksonbuchocho12
@jacksonbuchocho12 8 ай бұрын
Rais wa chama cha wanasheria tanganyika
@bobg611
@bobg611 8 ай бұрын
DJS??
@Leminelimited
@Leminelimited 8 ай бұрын
Kikweete
@MzeeBonge
@MzeeBonge 8 ай бұрын
Dogo inakuwa chawa
@kianda973
@kianda973 8 ай бұрын
Mjadala wa kisiasa
@jaberalyafei274
@jaberalyafei274 8 ай бұрын
As
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,5 МЛН
Новости дня | 24 ноября - утренний выпуск
4:44
Euronews по-русски
Рет қаралды 48 М.