Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

  Рет қаралды 99,725

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

4 ай бұрын

track.pari-tz.com/dc83e7da-03...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema asilimia kubwa ya watu wanatunza fedha ili ziwasaidie uzeeni na kusahau kutunza afya zao.
Janabi amesisitiza tofauti na kutunza afya hakuna kitu kitakachokuwa na manufaa uzeeni kama afya imetetereka ikiwamo fedha.
"Nafikiri ungetunza afya ikusaidie uzeeni kwa sababu fedha hizi zitakuja kukusaidia kulipia matibabu ya magonjwa hospitalini. Unafanya kazi miaka, unahangaika mjini miaka yote ili ukipata fedha uanze kuja kulipia betri za moyo nafikiri hiyo sio nzuri," amesema Profesa Janabi.
Janabi amesema hayo alipofanya mahojiano na vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam, huku akisema hajawahi kuwakataza watu wasile chakula, bali wasile ovyo na kula kwa wastani ili kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
"Tunashauri kupunguza vyakula vya wanga na vyenye sukari.”
“Pia tunakataza ulaji wa vyakula vya kusindika, kwa sababu ili vikae muda mrefu kwenye shelfu lazima viwekwe kemikali, chumvi na sukari," amesema Profesa Janabi.
Ili kufahamu zaidi alichozungumza Profesa Janabi, usikose Jarida la Afya Februari 23, 2024 pia endelea kufuatilia gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii.

Пікірлер: 217
@Mwananchidigital
@Mwananchidigital 4 ай бұрын
Cheza sasa kupiti shorturl.at/jqzU6 na ushinde
@restitutamallya-pk5dr
@restitutamallya-pk5dr 4 ай бұрын
Hongera Dr Kwa somo zuri.... keep it up.... achana na hao wanatoa kweli.
@SalumYasinichambo-fk7lx
@SalumYasinichambo-fk7lx 4 күн бұрын
Mungu akupe umri mrefu DK wetu, Na Allah ampe moyo wa huruma zaidi mama yetu mpenzi mh .rais samia she luhu Hassan kukupa kazi bora zaidi
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 ай бұрын
Binadamu bwana baba wawatu katuelimisha kama hujamuelewa acha endelea kuishi maisha yako hakulazimishi lakini siyo kumvunjia heshima siku ukuendea pale afya imegoma ndipo utajuwa umuhimu wake tujaribu kuwa na heshima jamani
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 4 күн бұрын
Sawa sana daktari ila ukumbuke Kuna kukosasa na inakula chochote unachoata. Hali za maisha kwa Sasa hata kutunza afya ni vigumu labda isile
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 9 сағат бұрын
Huyu dr mi namkuli mno na namfuatilia sana,tatizo la watz wanapenda mno kula sijui kwnn
@patrickKitambo
@patrickKitambo 4 ай бұрын
Baada ya kusikiliza hii maisha yangu yamepata mwanga mpya sana.. Ubarikiwe sana daktari kwa haya maarifa mimi ninafanyia kazi, kiukwel afya ndio mtaji wa kwanza ukichezea afya leo utaaabika sana kesho utatumia gharama kubwa sana
@jasminomary8754
@jasminomary8754 4 ай бұрын
Pr janabi yaani elimu yako mimi naifutilia sana na inanisaidia sana mungu akubaliki akulinde uzidi kutupa elimu
@stafordchamgeni8430
@stafordchamgeni8430 4 ай бұрын
Watanzania tusiwe wabishi faida za kuwa na maprofesa ni hizo tujivunie kuwa na wasomi wetu wenye mioyo ya kutuelim8sha. Na mambo ya ubishi juu ya maisha yetu siyo tija kabisa.
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana Prof. Janabi. Nimebadili mfumo wangu wa maisha. No soda, no wali, no ugali. No ngano, no Juice. Nimeona mabadiliko makubwa ktk maisha yangu Mungu ATUSAIDIE.
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 4 ай бұрын
Mungu akulinde Prof Janabi. Wewe unaupendo wa kweli kwa wa Tz
@user-yf6kn9cr6z
@user-yf6kn9cr6z 4 ай бұрын
Asante dr.janabi kwa elimu nzuri mimi nimekuelewa sana mungu akubariki.
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 4 ай бұрын
Mangu aku bariki sana sana kwa elimu na maelekezo yako afya yangu ni bora kabisa yani nime pona kabisa Dr
@allyfutto8763
@allyfutto8763 4 ай бұрын
mashaAllah this is the best education that we need to understand the most.
@frankkulwa3981
@frankkulwa3981 4 ай бұрын
Safi sana Professor, unaelimisha sana.
@vibetz9991
@vibetz9991 4 ай бұрын
Sikuhizi Kila niki taka kula chipsi au kunywa soda, natokewa na sura ya huyu jamaa😢😢😢
@crispakyando8854
@crispakyando8854 4 ай бұрын
Mungu tusaidie tu
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
AISEE tunafakamia tu
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 3 ай бұрын
Aisee kama ulikuwepo hata mimi hivohivo, afu nikimwona mtu anakunya soda namhurumia sana na nikiona mtu anakula chumvi ile ya pemben mwa sahani ya chips au nyama had nashtuka kama vile mtu kaniwekea barafu ktk uti wa mgongo😂😂
@user-ol7de5fo7j
@user-ol7de5fo7j 3 ай бұрын
Hahahaha 😂nimecheka kwa sauti
@user-ol7de5fo7j
@user-ol7de5fo7j 3 ай бұрын
Dr swali langu ni kwamba je tatizo la presha huwa linapona?
@mkanotimmass4691
@mkanotimmass4691 3 ай бұрын
Very true Dr Janab.Mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu, tunajifunza mengi kutoka katika mada zako.
@desderipatrick8392
@desderipatrick8392 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sana Prof kwa elimu unayotoa ingawa wengine wanachukulia kama mzaha.
@dalilahmubago5131
@dalilahmubago5131 3 ай бұрын
Barikiwa Dr. kwa kutuelimisha
@fridamwakyambiki3255
@fridamwakyambiki3255 3 ай бұрын
Mungu akubariki. Dr
@juliethmallya6821
@juliethmallya6821 3 ай бұрын
Nilijifunza zaidi kwenye vyakula vya wangaa, kekiii kweli cjui tena, asante Baba Mungu akulinde.
@allyfutto8763
@allyfutto8763 4 ай бұрын
Janabi yupo sawa mlo mmoja kwa siku ni kitu kinacho fuatwa na wengi waliohamka mimi ni mmojawao kwa miaka7 na tangu hapo sijawahi kurudi hospitality nashangaa watu wanamuona kama kituko wataofaidika ni watakaomfuwata na elimu ya LISHE ni Dhahabu 🇹🇿
@consolataaloycemgumba3735
@consolataaloycemgumba3735 3 ай бұрын
Tatizo mazoea
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 2 ай бұрын
Kwenda hospital ni swala la Mungu kakaa Shukuru sana Mungu kwa kutokufika huko Kunawatu hata mlo mmoja kuupata ni kipengele lakini wanaumwa kila siku... Wanashindia matembele yasiyo na mafuta matunda na vyakula kama hivyo lakin wanaumwa kila siku
@alexwilla4260
@alexwilla4260 4 ай бұрын
Hongera sana Prof Tbs wamerelax sana hata hawajiangaishi na maisha ya watanzania wapo kimya tunakula na kunywa ving TBs wapo kimya dawa nazo zinapitishwa kinyemela'mafuta ya kula nayo hayapimwi ma tbs kazi kwelikweli
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Kweli 100% tutunze afya yetu itakuja kutusaidia Uzeeni. 👍asante Doctor.
@odettevianney3026
@odettevianney3026 4 ай бұрын
Prof nimefuatisha mawaidha yako yamenisaidia sana mfano intermittent fasting, kupunguza sukari yaani hata kuzeeka kumepungua! Nakupa maua yako Prof. Ubarikiwe sana
@OswardWilson-gx2hy
@OswardWilson-gx2hy 4 ай бұрын
Asante Dr
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 4 күн бұрын
Mungu wangu uwe nasi siku zote amina tanzania 🇹🇿
@hanspop6961
@hanspop6961 4 ай бұрын
Asante Prof kwa Darasa
@reginas1832
@reginas1832 4 ай бұрын
Asante sana Dr. Janabi kwa hii elimu. Mungu akubariki
@dork8749
@dork8749 4 ай бұрын
Ubarikiwe Prof.
@selinalawala2270
@selinalawala2270 4 ай бұрын
Dr asante Kwa SoMo hili, umesaidia watanzania wengi mno wanaochukua hatua na kubadilika mwenendo wa ulaji kiafya.
@mkilimamoses2311
@mkilimamoses2311 2 ай бұрын
Wananikera sana baadhi ya waandishi wa habari.Badala ya kuongeza msisitizo wataalam wavyo tufundusha wao wanatoa dhihaka.Niliwasikiliza sana hawa clouds,haukua ujinga waliokuwa wakiufanya bali ni upumbavu.Mpo kwaajili ya kutuelimisha na kutuburudisha,ila linapokuja swala la afya zetu hiyo ni elimu tusifanye mzaha.Tusipotunza afya zetu ujanani afya itachezea pesa zetu uzeeni.Bora umewapa kubwa profesa Janabi.Ninakufuatilia sana,Mungu akupe maisha marefu.
@twahaayubu8686
@twahaayubu8686 4 ай бұрын
Hizo Mada Zako ni Nzuri Nakuomba Tunga Kitabu ch Kiswahili itakuwa Umeacha Urithi Mzuri Kizazi na Kizazi Mwenyezi MUNGU akubaariki
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 3 ай бұрын
Watanzania wengi hatusomi vitabu acha atuambie kwa mdomo tunamuelewa kuliko kuandkiwa kitabu acha mambo ya kiAmani
@user-un5bo6ks1q
@user-un5bo6ks1q 3 ай бұрын
Comment makini kuliko zote 🤝
@tunkuh661
@tunkuh661 3 ай бұрын
Yeap kwa faida ya vizazi vijavyo itapendeza hizo nondo ziwekwe kwenye docomentary
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 3 ай бұрын
Apewe maua yake Le professor mm namkubali sana
@marymremi1051
@marymremi1051 4 ай бұрын
Asante ubarikiwe abarikiwe aliekusomesha
@user-fk8qv4rf5c
@user-fk8qv4rf5c 4 ай бұрын
Asante Prof kwa ushauli ni nzuri sana na endelea mimi nafuata nadha i na wengi
@loisndossi9877
@loisndossi9877 4 ай бұрын
Prof.,thank you Sir .My God bless you man of God.
@Nyanda_Jr
@Nyanda_Jr 4 ай бұрын
Clouds mmemsikia Daktari acheni mambo yenu ya kufanya dhihaka mnapotosha jamii
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 4 ай бұрын
Kweli dokta anatoa elimu nzuri sana sana japo kuna watu wanakejeli elimu anayotoa yaani tunafanya utani kwenye kila kitu inasikitisha utani wa dini mpaka kwenye afya
@Kanyawela
@Kanyawela 4 ай бұрын
Asanten sana je Kahawa tunywe kiasi gani
@susanpetershio3196
@susanpetershio3196 4 ай бұрын
Mungu akubariki Prof. Usichoke kutushauri
@desderipatrick8392
@desderipatrick8392 3 ай бұрын
Afya ni mtaji kwa maisha bora ya sasa na baadae, tukishupaza shingo lazima tutamkumbuka Prof. Janabi tukiwa kitandani.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Asante dr. Kwa ushauri. Mimi nipo tayari kubadilisha lifestyle.
@EkelyNkanda
@EkelyNkanda 5 күн бұрын
Elimu nzuri sana
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 2 ай бұрын
Asante
@reginajoel3785
@reginajoel3785 4 ай бұрын
asante kwa masomo,,
@dinachitungo8795
@dinachitungo8795 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@OswardWilson-gx2hy
@OswardWilson-gx2hy 4 ай бұрын
Dr asantee
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 4 ай бұрын
Ukiwa bado huna panapo kuwasha Unaweza jua huyu mtaalam ana chekesha usiombe yakukute ya sikie kwa jilani yako. Fata maelekezo
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
Daah kaka Emmanuel umesema kweli
@EliaoleshengEa-pv8fu
@EliaoleshengEa-pv8fu 6 күн бұрын
Umenisaidia sana
@machongomika1206
@machongomika1206 4 ай бұрын
Ubalikiwe sana
@emmanueljoshua903
@emmanueljoshua903 4 ай бұрын
Golden Star...
@user-kg9jt3ry5z
@user-kg9jt3ry5z 4 ай бұрын
Ahsante sana kwa elimu d.r upo sahihi kabisa ,endelea kuelimisha Jamii ya Watanzania
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana dr kweli kula ovyo kunazeesha unakula masukari mengi mawanga mwisho unakuwa manyama uzembe
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 4 ай бұрын
Kwa nini kitengo cha lishe kimefungwa.
@mpegesaaswile6581
@mpegesaaswile6581 2 ай бұрын
Ahsante sana kwa elimu,siku hizi watu wakiambiwa watembee na mtu mwenye UKIMWI wapewe 5000000[5M] wanakubali.baadaye mambo yakiaza kubadilika wanaanza kujuta.
@niahmosha4146
@niahmosha4146 4 ай бұрын
Yaani Ur very good hakika unatuelimisja saan
@mwanaimamsangi971
@mwanaimamsangi971 2 ай бұрын
Doctor Mungu akuweke nimeacha soda nashukuru Mungu
@gastonkaduma2503
@gastonkaduma2503 3 ай бұрын
Exactly
@nangatv9218
@nangatv9218 Ай бұрын
Mukali sana
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 4 ай бұрын
Allah atulinde na maradhi dr MashaAllah antoa elimu vizuri ,ningefurahi zaidi angelinganisha elimu yake na kitabu kitakatifu cha quran
@annalyimo4143
@annalyimo4143 3 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 2 ай бұрын
Mashaallah mungu atakulipa
@msabahaali758
@msabahaali758 3 ай бұрын
binafsi mzee amebadisha maisha yangu namuelew sana mzee ana nia njema na anatoa sadaka kubwa kwenye jamii
@jamesgeofrey8692
@jamesgeofrey8692 4 ай бұрын
Heavy Talk
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 4 ай бұрын
Mzee Yuko sawa ana nyoosha huu kwele japo Kila kifo kina Sababu
@leonardmaganga9921
@leonardmaganga9921 4 ай бұрын
Zingatia maelezo yake kwa faida yako. Kejeli hazisaidii.
@daisyahmed1998
@daisyahmed1998 4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@priscajoseph261
@priscajoseph261 4 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa ona watu wanavyo dhihaki wakati ni elimu nzuri kabisa.
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@margaretkapolesya3979
@margaretkapolesya3979 3 ай бұрын
NASHUKURU SANA KWA ELIMU UNAYOTUPATIA DR. JANABI. HIDUMA HII NI UONYAJI KAMILI. MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
@ChristerShao
@ChristerShao 4 ай бұрын
Prof,husichoke kutoa elimu,wapo wanaokuelewa,watanzania wanatabia ya kuchukulia mambo mzaha.
@EliaoleshengEa-pv8fu
@EliaoleshengEa-pv8fu 3 ай бұрын
Nimekuelewa
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 4 ай бұрын
Kwenye kusoma nakuunga mkono profesa, watanzania wengi hatuna uzalendo wa kusoma
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 4 ай бұрын
Jamani dokta yuko sahihi sasa mnapoleta matan sio sawa
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 4 ай бұрын
Wanongo jmn punguzeni mizaha walah😂😂😂😂
@stephenjonas4866
@stephenjonas4866 3 ай бұрын
Prof kama prof
@magdalenasirikwa517
@magdalenasirikwa517 3 ай бұрын
Dr boazalikuwa sahihi
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 4 ай бұрын
Yaani watz mna dharau sana"mnapewa elim kwa faida yenu"unamponda kisa mlevi na unavuta sigara
@elirehemaringo188
@elirehemaringo188 29 күн бұрын
Dah watu wanakejeli kwa kuwa hawajakutwa na tatizo ila siku ukibanwa ndo utamkumbuka kwa kejeli
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 4 ай бұрын
Upo Sawa anaongea na watu wasiojitambua na upuuzi mwingi umewajaa wasio jua lolote ndio wanaongea mitandaoni watu walioishi vijijini waliishi salaama Sana hata maji kunywa maji tofauti ni hatari Kwa afya maji Yana madini tofauti kulingana na mahali yalipo hilo watu hawaelewi wanatwanga Tu blabla tu.
@kheriakida3309
@kheriakida3309 3 ай бұрын
Professor anafanya jambo kubwa sana ,Ila kizazi cha ovyo hakielewi, Elimu ya afya ni bora kuliko tiba,na ndio inayotakiwa sio kuongeza kujenga hospital na kuongeza madaktari
@user-ug1rt2ki8d
@user-ug1rt2ki8d 3 ай бұрын
Maradhi utatunusuru wanaadamu huwaezi bro .
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Nimecheka utafikiri mazuri..eti bia kama haiwezi kupanua moyo itawezaje kupanu moyo.
@kibbysaidi7813
@kibbysaidi7813 4 ай бұрын
Allow me to give you my humble advice my dear professor. Avoid political issues. Please stay a scientist as is your profession
@priscajoseph261
@priscajoseph261 4 ай бұрын
Mmh am not seeing where has spoken political issues we here scientific speech.
@kibbysaidi7813
@kibbysaidi7813 4 ай бұрын
@@priscajoseph261 Then you haven't followed his clips properly. A man with his very high qualifications suddenly becomes a man of press conferences then you know something is adrift...he is exposing himself for a political appointment...mark my words
@user-rz3vi3tm5d
@user-rz3vi3tm5d 4 ай бұрын
Doctor naomba kuuliza kula mchele mbichi kunasababiasha unene wa mwili
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 ай бұрын
Hawa, na serikali yao wamewatengenezea watanzania mawazo ya uchungu, kwa ufisadi, yanayopelekea watu kuwa na magonjwa sugu,,,, tumeibiwa sana, hadi watu kukata tamaa, kisha kulewa pombe, kuvuta bangi, watu kukosa pesa hadi kushindia soda na andazi. Nyie mungu anawaona! Amini nawaambia
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 4 ай бұрын
Kumbe anavuta sigara,jmn
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 4 ай бұрын
Huyu doctor mhhh😢😢😢😢😢
@matukutajuma156
@matukutajuma156 4 ай бұрын
PRO WANAKEJELI NAOMBA WANITAFUTE MIE NILIEKUTANA NA WEWE NA DR KISENGE NA DR NYAWAWA HAPO JKC NIWAONYESHE USHAHIDI WA MATESI YA KULAKULA!
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 4 ай бұрын
Ila ilo koti sielewi .roho yangu imeinama
@rogatemsangi6418
@rogatemsangi6418 4 ай бұрын
Tatizo Hela tu utazeekaje mapema !?
@Jafreez
@Jafreez 4 ай бұрын
Watu wabishi kweli, eti kama imeshindwa kutanuwa chupa itawezaje kutanuwa moyo😂😅
@ChristerShao
@ChristerShao 4 ай бұрын
Kweli hatusomi tunabugia tu.
@mfalisayo
@mfalisayo 4 ай бұрын
Prof,Kwa wasio na smartphone wanapataje elimu hii?
@jumamaganga5064
@jumamaganga5064 4 ай бұрын
Nadhani ww ndio utakua smart yao
@janethalley4046
@janethalley4046 2 ай бұрын
@@jumamaganga5064😂😂😂😂
@maase2023
@maase2023 2 ай бұрын
Kuzeeka sababu ya shida tu nchi za kiswahili hizi
@namsamson3443
@namsamson3443 4 ай бұрын
Ila hata huyu Doctor anaonekana ana kisukari au kuna ugonjwa unamsumbua
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 4 ай бұрын
Huyu Dr mie ananichosha yeye mwenyewe anazeeka kwa kasi
@amanididas7660
@amanididas7660 3 ай бұрын
hehehehhe kweli
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo 4 ай бұрын
Waandishi wa kibongo Wana jua kushabikia utapeli tuu, oneni umhm wa kuelimisha jamii yenu
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Yeye mwenyewe amezeeka
@user-eg2wk4xx3h
@user-eg2wk4xx3h 4 ай бұрын
Nardhis Mhagama.Wewe umekuja mkweli mbona Hana Nuru sio lazima uwe mnene ila kazeeka
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Amezeeka lakini haumwi, tatizo mna akili ngumu kweli
@misembe
@misembe 4 ай бұрын
Janabi alika sawa na baba yangu 70 unafikili ni mtoto
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 4 ай бұрын
Amezeeka na AFYA NJEMA . unamuonaje yupo comfortable
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 3 ай бұрын
hajasema tukiwa na hizo discipline hatuta zeeka. amesema hatuta zeeka kwa kasi . uzee usioendana na umri.
@amanididas7660
@amanididas7660 3 ай бұрын
kuonekana mkubwa zaid ya umri wako muda mwingine ni maumbile ya mtu fullstop
@mazikumathew8873
@mazikumathew8873 4 ай бұрын
Sawa umetoa elimu nzuri Ila Mimi binafisi sikuamini Wala kukukubali maana uli,,,,,,,
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 4 ай бұрын
Prof kazungumza mambo ya msingi kabisa. Hivi kula sana kuna faida gani? Haya kwa wale wanaokunywa bia kreti vipi ili iweje? na mengine kibao..nimezingatia ushauri wa mazoezi kidogo na kupunguza vyakula vya sukari.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 4 ай бұрын
Huyu ñdiye alikweñda urus8
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 4 ай бұрын
Ila prof kula utakufa aiseee duuuh😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 4 ай бұрын
Hata ukinywa beer moja kwa siku ni mbaya doctor
#AfyaYako: Mtaalam aeleza dalili za ugonjwa wa moyo
7:19
Daily News Digital
Рет қаралды 57 М.
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 3,8 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 32 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO
13:16
MCHUNGAJI HANANJA Afunguka kuhusu wachungaji wanaotabiri vifo
16:48
Mpoki na Ulaji wa Profesa Janabii
9:18
CHEKESHA
Рет қаралды 102 М.
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 3,8 МЛН