KIPATO KIMEONGEZEKA BAADA YA KUPATA MTOTO| UJIO WA ALBUM YAKE | SINA BIFU NA ABIGAIL CHAMS.

  Рет қаралды 5,378

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

@marioo_tz anathibitisha ni baraka nyingi zimekuja upande wake baada ya kupata mtoto na moja kati ya baraka hizo ni kuongezeka kwa kipato katika maisha yake kwa ujumla.
Kama baba, @marioo_tz anadai jukumu lake pendwa katika malezi ya mtoto wake ni katika sekta ya kumbadilisha diapers pale anapojisaidia! 🤔• #XXLyaCloudsFM •

Пікірлер: 8
Harmonize Avujisha video yake mpya na Rick Ross Tazama
2:10
Eli TV
Рет қаралды 2,3 М.