Dadaaa kazinguaaa Sana Yan Mda wote chuo chuooo ata hatujui chuo gan
@GasparMpangaaАй бұрын
Rich nakuku bali sana ila Kwenye hii itev anakuhoji alikuwa hajajipanga
@shamsaali982Ай бұрын
Planet bongoooo❤❤❤❤❤
@Mkakafulani01Ай бұрын
Nikipitia comment zinanikata kuangalia hii intervieww ila kwasabab ya rich acha niitazame tu ila dada jaribu kuona comment za wadau then fanyia kaz itakuwa poa ukiona watu zaidi ya mmoja wanakukosoa kwenye angle moja bhas kutakuwa na shida kweli. Shughulika nayo.
@DirismaАй бұрын
Single camera inaondoa raha ya utazamaji. Studio session zinataka camera zaidi ya moja.
@sudishaban1629Ай бұрын
dada kiukweli unanikwaza muache muhojiwa afunguke tunajua unamaisha yako hatutaki kujua kwa sasa, subiri ifike siku utafanyiwa nawewe ufunguke, ntakuwa napita hapa kuangalia umeiprove au tukutoe
@eliateacher3241Ай бұрын
Rich unajua bhana
@sudishaban1629Ай бұрын
mtangazaji tulia basi
@iddsimba3849Ай бұрын
Uyoooo mtangazaji hafai kabisa fukuza uyoo mtu ata hajamaliza kuongea anamuingia maongezi
@MackameHassaniАй бұрын
Hii interview mbona imekaa kidwanzi sn hii!!! Oyaaaa Leila sued unazingua......
@LilmbunahАй бұрын
Dada ni 0 huyu yan rich akileta story na yeye ana leta yake mabonge akili hawanaga yan 😅
@sudishaban1629Ай бұрын
mtangazaji punguza mihemko
@sudishaban1629Ай бұрын
MMETISHA KUMTAFUTA HUYU MWAMBA
@MembeMoshi-d2qАй бұрын
Mtangazaji acha kuingilia maelezo ya unae mhoji
@LusegaInfo-xe1izАй бұрын
Nashukuruu nlichoonaa na nyie wenzangu mmeoanaa of ofcoz interview ipo kistory sana yan is like wanaongeaa tu sio interview huwez amin yan kuzungumzia kote cjajua hata hcho chuo alichosoma interviewer kafelii parefu San ajirekebishee yan hajafataa xtics of good interview inawezekana hapaa watu wameangaliaa tu kwa ajili ya msafi over