Napenda kipesile anavyoigiza pamoja n mama Vero n adelii
@ATHUMANSALIM-c3v4 ай бұрын
Kazi nzuri kutoka kenya 🎉❤
@UkhtyFatmah-he8vg4 ай бұрын
Da hakika Movie hii ni Nzuri sn jaman ♥️♥️♥️ ni meipenda balaa Much Love ♥️ Kipesile,Ila msikawize Next épisode ya 3,Pia Baba Halima ni mekukubali sn kabisa kwenye Movie hii,Hongereni sn kwa kutuleteeni kazi Saafi sn.
@zeitunahmedibrahim9334 ай бұрын
Wow nimewahi mapema leo much love from kenya kazi nzuri guys
@EmanuelHanze2 ай бұрын
Thanks
@wamboiwamboh4 ай бұрын
leo nmewai msininyime likes zenu basi😂😂😂KENYANS WELL REPRESENTED❤❤❤
@ElizabethOsimba-x6u4 ай бұрын
Ipo kweli 😂😂😂kazi
@mwanasitiHamisi-qz2qr4 ай бұрын
Kazi hipo kidogo kaka😂😂😂😂😂
@chescohermany90324 ай бұрын
Kipesile anajitaidi sana dogo ana confidence safi Mungu awapiqanie mfikie Lengo
@Kidoaaisha4 ай бұрын
Mbona kama mvulana
@hamisikiango46234 ай бұрын
Ata Mimi nilijua ni mwanaume nashangaa kabisa
@SophiaAlifa3 ай бұрын
Kipesilenoma
@RajabuMakheza-v8e3 ай бұрын
Kwel jaman huy mtt kauwa tunapaswa kumpa maua yake
@JoyceHosea-m9rАй бұрын
Kipesile tomboy😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol4 ай бұрын
Yaan hyoo kipesile 😂😂 ana tuchagaja balaa wallh Tena mm nashindwa hata kumletea zawadi gani sijui gauni au suruali aki ya mungu maan anatuchagaj San ss wadau wake jike au dume Dora na kazi yake kama Shani kipara
@thumasassi3 ай бұрын
😂😂😂
@Charlene-ij3br26 күн бұрын
Baba alima félicitations kwa kazi nzuli sana 🎉🎉🎉🎉
@Far-hatMohd26 күн бұрын
Woooow 🥰🥰🥰🥰inazidi kunoga hongern team adery inshaallah tukakutane mwaka mpya na mzee wetu baba halima penda sanaa❤❤❤dory ulitaka tusifik mwk mpy ila tutafika tuuu😂😂😂😂😂😂😂
@MohamedLigao4 ай бұрын
Pole ader kazi unayo kumlingania kipesile
@MarcelinAmandus3 ай бұрын
Kipesil uposaf
@MwanapiliSidi4 ай бұрын
WW kipesile,niulize tu WW ni mke AU mumet coz sijakuelewa mm😂😂😂❤
@ZainabuMathias-x6p4 ай бұрын
Huyu kipesile ni msichana amazing mvulama😅😅😅😅
@DelvinChepkorir-t1d4 ай бұрын
Dem
@Cheusi_media4 ай бұрын
Ki TOMBOY 🤣🤣
@antonshuuran-ru5mi3 ай бұрын
Yuko kiken na kiumen yàan ni dume la mbegu
@IrankundaMicheline-q6u3 ай бұрын
Na mi kacanganyikiwa
@JaphetKarisa-d4gАй бұрын
😂😂😂😂 kumbe swali lako n kama lako tu ila nimsichana
@RoseOenga4 ай бұрын
Kipesile wewe kweli 🤔 mungu anakuona😂😂😂😂
@frereamisifikiriagapao4 ай бұрын
Huyo Kipesile na Jennifer Kanumba ni mapacha? Matendo yao haya hachane kwa kweli. Daah!!! Iyo lakini ni kali mno.❤❤❤❤❤❤❤
@najmamwinyi29294 ай бұрын
Cjapenda kipesile hana adabu kupitiliza 😂
@AishaRamadhan-pw5fh4 ай бұрын
Duuuuh so kwa kipesile huyo kazid jaman
@JanethMapunda-k1z4 ай бұрын
Kaz nzur ongeren😂😂😂😂😂 nimeipenda sana
@kashimohammad75044 ай бұрын
Nawapenda sana muko na kazi nzuri ❤❤
@MonicaNyakia4 ай бұрын
Jmn adery unaichelewesh sanaa
@HalimaAlly-c6d4 ай бұрын
Hii move Kali kama kwel Nikal naomba like 1 tu
@ShadrackmutisoShsddy3 ай бұрын
Kabixaaaaa
@MaulidMsongoroАй бұрын
Sio kali na kama kali basi waache upuuzi wa kukatakata saut
@noelgypsum4 ай бұрын
Hii ni noma sana ❤❤
@min.ericmkeiofficial4 ай бұрын
This act is on other level now
@sadahamad61584 ай бұрын
Asante kwa muendelezo masta kama masta ❤❤🎉🎉🎉
@AnnaMayombya4 ай бұрын
Jamani Leo wa mwisho nipeni like 🎉🎉🎉
@GiftMalambo-l6e24 күн бұрын
Josiphin malambo
@LEILAtrtr4 ай бұрын
Ivi jamani kipesile nimwanamke au mwanaume mana me sielewagi eti😂😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol4 ай бұрын
Kila mtu
@JohnMbulo-r3r4 ай бұрын
Uyo wakike
@ZuwenaOmar-xk6gq4 ай бұрын
Yaani kiufup haeleweki
@abubakarimussa91314 ай бұрын
Wakike
@ZebuuZebuu4 ай бұрын
N mwanaume
@Nyangala-eg2qc4 ай бұрын
Kazi nzur Sana ilahuyu mtt wakik wakiume
@Mwana85Mwana85-wz1ol4 ай бұрын
Yaan hata mm pia bad sijamuelewa kwali anatuchagaj kwwli😂😂
@annamarry20334 ай бұрын
Huyu ni ladies and gentlemen 😂😂😂😂Yani haeleweki
@FurahaKatana-q5z4 ай бұрын
Nashuku Shani ndo mamake kipesile
@IbrahimShanzi4 ай бұрын
Nami najiulz wakike au boy
@AishaKamtoo4 ай бұрын
Kumbe tko wengi tunaojiuliza hilo swal
@LovenessLucas-r2x4 ай бұрын
Kipesile niwakike kweli au kakosewa😂
@BhokeMwikwabe4 ай бұрын
Wakike huyu jaman
@LovenessLucas-r2x4 ай бұрын
@@BhokeMwikwabe kakaa kama wakiume wallah
@Mwana85Mwana85-wz1ol4 ай бұрын
Yaan w acha tu
@YusraSiyaleo-yk2fz4 ай бұрын
Kipesile kama wa kiume 😅😅😅😅😅
@SelphineMusimbi4 ай бұрын
Nangojea number 3❤
@izakiel724 ай бұрын
Masta tena❤
@muzishuaybu35664 ай бұрын
Noma
@aminaskello5464 ай бұрын
Ukisikia ladies and gentlemen ndio kipesile sasa ni anatuvuruga😂😂😂
@thumasassi3 ай бұрын
ata mm kanivuruga sna cjaelewa n wa kike au wakiume😂😂
@MarkOlubayo4 ай бұрын
Kipesile hstari huyo. Napenda hiyo movie
@happinessnyaboke49404 ай бұрын
Much love from kenya guys❤
@aishaallyaishaally32204 ай бұрын
Waaah hii kali jaman❤❤❤
@EstherJoram-gt4lt4 ай бұрын
Wa pili nipeni like zanguuu
@janecharo11964 ай бұрын
Kazi nzur ñimepeñda sana🎉🎉🎉🎉
@HussenRamadhani-g9w4 ай бұрын
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉
@PreciousAmina4 ай бұрын
All the way from Kenya 🇰🇪 naombeni likes zenu jameni
@SimonSHUSCOP4 ай бұрын
Jamani kazi nzuri sana Lakin kipesile ni wakike au wakiume?😂😂❤❤🎉🎉
@NANCYNYACHAMA4 ай бұрын
Nani ameona adery akishutaka😂😂😂😂😂😂
@EmmaBlessing-us3jh4 ай бұрын
kipesile mtoto mzuri sana ilove u
@HassanSeif-mh6oh4 ай бұрын
Kaz nzr mnaweza hongeni sana👏👏👏👏
@PurityDida4 ай бұрын
Jamani mpo vizuri inafunza,kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉
@NancyMulwa-z4k4 ай бұрын
Hii filamu inaendana sawa na lile la kanumba na jeniffer.
@GloriaMtana4 ай бұрын
Nakupenda sana kipesile🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SON.GOFFICIAL4 ай бұрын
Wa Kwanza kutoka Kenya,,,naomba likes
@GizbethNdomba3 ай бұрын
Kipesile 🔥🔥🔥 Kuna mtu nampendaa hiyo nyimbo unaielewa sahna 🤣🤣
@ummy0095Ай бұрын
Yukovizuri😂
@MariamAmina-x9h4 ай бұрын
Asnt master 🎉🎉
@matildafissaoo5694 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@emaneman78994 ай бұрын
Nimeipenda hiyoo
@ImeldaSamson-wm1iz4 ай бұрын
kaz nzurii sana ader mung akulindeee muendelee kutuenjoysha🥰
@CaroMatiba4 ай бұрын
Wow kazi nzuri sana nipen likes bàsiii😅😅😅😅😅
@MariamMustafa-w8e4 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤Kipecile no Moto wakuotea mbali
@ZainaIsihaka4 ай бұрын
mwenye. nashangaa. kipesile. niwakiume. au. wakike Basi. mpeni like 15.by. nawapenda. Sana. innshall. mungu. awajalie mungu. mwema. kabisa by❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉😢😢😢😮😮😮😅😅😅😊😊😊
@AlinaNizigama4 ай бұрын
Nakwambia Mimi nashindwa kuerewa kuwa nimutoto.wakike ahoo wakiume
@AlinaNizigama4 ай бұрын
Mana kama vure nimutoto.wakiume
@janecharo11964 ай бұрын
Nashangaa sañ pia mm kama kijana vile.
@TightnotChome-fn2jy4 ай бұрын
Jenz wa Tanzania 😂😂😂😂kipesile 😂😂😂
@AmonNeimo4 ай бұрын
Kipèsile ni mambo mbaya apooo
@BlackBeautiful-v2y4 ай бұрын
Kipesile ❤❤❤ dogo anajua
@AhmadAlaee-x1r4 ай бұрын
Kipesile wakike au wakiume 😂😂😂😂 ila nampend mashallah ❤❤❤❤
@cheiknamouna20584 ай бұрын
Huyu kipesile ni mwanaume kabisa kisauti hicho cha kijana😂
@CharityMutheu-s2q4 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka 🎉🎉🎉
@OmbeniShendwaDaniel4 ай бұрын
Wa kwanza Mimi hapa basi nipeni likes
@NeshNesh-qu4ig4 ай бұрын
Kipesile nakupenda sana😁😁😁
@mectrading4 ай бұрын
jaman kipesle nae anaimba alipanga apende akiwa na miaka 20 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@VailethSolomon3 ай бұрын
Kipesile wakike wakiume huyu😂😂😂😂😂😂
@BettyDavid-u9w4 ай бұрын
kazi nzuri hongeni jamani kipesile anajitaidi caanaa 🎉
@RamakazunguGeorgeGeorge2 ай бұрын
Hii movie n Kali congratulations 👏👏👏👏👏
@MagretMwakisimba2 ай бұрын
Kipesile imechezwa kama maneno ya kuambiwa safi sana
@CassimSultani3 ай бұрын
Kipesile acha kumjeurikia baba ako
@AllyMsuya-ut5qf4 ай бұрын
Daaah ep 2 mmetish sana baba halima w KIBOKO kipesile kazi anayooo kupangilia Hilo Giza na Nuru n move ment za watu director umetisha piaaaa
@NahimanaAsma3 ай бұрын
Movie iyinizuri sana❤❤😂😂
@jackiekhajiji38894 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂❤nawapenda 🎉🎉🎉
@viktoriabohimanda72714 ай бұрын
Bonge la move
@macrinafuraha-zg3mi4 ай бұрын
Mbona uyu kipesile simuelewi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AstonMwaigwisya4 ай бұрын
Nampend xan anaigiza poa xan❤❤❤❤
@aderymasta4 ай бұрын
Mambo ? KIPESILE hapa , asante kwa kufuatilia filamu YETU ... Tafadhari nakuomba Usubscribe maana muda so mrefu tunakuletea mwendelezo
@Kitufeactorfilm4 ай бұрын
LEO nataka like zanguu zifike hata laki Moja maan hii movie 🎥🎥 nimewah kabla ya lisaa limoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@merinazyd05324 ай бұрын
Kipesile na miwani yake 😂😂😂
@OmariJuma-vs4mh3 ай бұрын
Aiseee kipesile hongera ❤❤❤❤ kazi nzuri dah
@KhamisKhamis-hd3ky4 ай бұрын
Kazi ni nzuri sana, ila munacherewa sana jitahidini ili tuwe tunakufatilieni.
@paskalpetro70854 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@LydiaJeremiah-vg4vl4 ай бұрын
Kha ani sikuizi watu mnaboa ani kila mtu aomba like tuu sasa kwenye hii igizo wapi wame ongelea like jamn kama sio hila tuu tuwe tuna eleza tulivyo jifunza ili kiwatia moyo waigizaji na watunzi lakin haya ni maoni tuu kwenu mashabiki wenzangu🤦♀️🤦♀️ Sema nimejiuliza sana mara pap itokee kuwe mchana alafu ni saa sita usiku watu tuta kufa kwa kiharo jaman😂😂😂😂 big up sana mafundisho mazuri .
@BothainaBothaina-k6c4 ай бұрын
Kipezile umenyima watu Raha kwani Nini lakini?😢😂😂😂🎉
@JuliasMalegesi4 ай бұрын
Kipesire muve nzuri sana daaaa!!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FrankMkenda2 ай бұрын
Wa kik au nmekoxea jmn😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ChristabelShumira4 ай бұрын
Movie nzuri sanaa ❤
@SumsungA03-z9x4 ай бұрын
Big up san kazi iyendereee❤🎉
@finegatwiri25974 ай бұрын
😢😢😢😢 movie Atari sana jamani kipesile .ni mwanaume au mwanamke 😢😢😢😢
@user-jm88704 ай бұрын
Jamani msieke za kustua sana mpaka mtu awezi tazama usiku😥
@EmmySanga-c3m4 ай бұрын
Kwa kweri
@jamesirungu52834 ай бұрын
Mna movie nzuri
@MufungaElectronics3 ай бұрын
Nimeipend bule jaman sema inatish japo siach kuifatilia😂😂😂😂😂
@mamaIrene-j7p4 ай бұрын
hogela sana Kwa kuigza mungu azidi kukuinua kipesile 🥰😍🤩🤩
@esthermoraa97014 ай бұрын
Kipenzile kachawi katukutu❤❤❤
@AgnesJohnson-l8m4 ай бұрын
Kaz nzur bro
@AbassAbasslubida4 ай бұрын
Mhu nimeipenda San
@DodomaNebrix4 ай бұрын
Duuuh ilojuwa la dizain nihatari😅😅😅😅
@MasauShida3 ай бұрын
Kazi nzuri sana🇹🇿
@BukuruLevis3 ай бұрын
❤❤.nawatakishia hreli😊
@TimothyMsigwa3 ай бұрын
Kazi ni nzur lakin kipesile anaboa sana apunguze kidogo ukari sio kwa ukari huo😮😮😮😮
@MercyMinoo-h5p4 ай бұрын
Kipesile ni mwingizaji anayezidi kupata umaarufu zaidi katika sekta hii ya Sanaa,, wapi like zangu?