Barakallahu sheikh Tumestafidi alhamdulillah Mungu akuhidhini nyote apo Kwenye kipindi
@ndikumanamoussa4103 Жыл бұрын
Naaaaa mahan mwenyw
@AlbaloshiAlbaloshi-f1w Жыл бұрын
Maasha Allah , Tabarakallah , Barakallahu fiika sheikhe wetu mpendwa
@shemsafafa3917 Жыл бұрын
Swadakta❤
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰 naona mambo ni 🔥🔥❤️❤️❤️
@omanmuscatmus2155 Жыл бұрын
Manshaallah shukurani sana🌹🌸
@mwaju7868 Жыл бұрын
Allaah awahifadhini shukran kwa kipindi kizuri
@nourzajeastmedia Жыл бұрын
Naaaam swadakta
@AlbaloshiAlbaloshi-f1w Жыл бұрын
Sheikhe wetu Hamza Mahane Allaah akujaze kila lenye Katika Dúnia na akhera .Kwakweli tuna muomba 🤲 Allaah azidi Kuku hifadhi wewe na Kundi lako zima ,bila kuwa sahau ma sheikhe zetu wote kwaujumla . Barakallahu fiikum jamiãn . Tuna wapendeni nyote kwa ajili ya Allah .
@alhudatvburundi304 Жыл бұрын
Amiin tupo Pamoja Dua zenu ni muhimu kwetu
@nduwimanafatma9948 Жыл бұрын
Shukran allah ambariki shekh misigaro na ww bwana hamza Mahane but tunaomba ziwe dakika 40 in sha allah ili pawe ata daklika 10 za kujib maaswal matano Swali langu ni hili hapa Kwayule aliekwisha towa ujauzito kwa kujuwa na yeye ana taubah ikiwa ataadhimia kutorudia? 2 .Kwann mashekh zetu mnapo waambia watu kufanya mathna hamuwaoneshi faida na madhara yake pia na kuwahimiza kwanxa kuesh kwa wema naa wake walliotangulia na kutendea haki watoto? .hakuna mwanamke anaepinga ukewenza kama inavyosemekan bali yale waume wanayopitishiwa wengine kwenye ndoa za ndio inakujaa changamoto yawatu kuupinga ukewenza.allah tuongoze sis na waisllam wote