SHUSHO ''WATU WENGI MAISHA YANGU HAWAYAJUI/KIMWANAUME GANI HIKI NAJUUTA/KUNIVUA NGUO''

  Рет қаралды 229,573

Mchezakwao Startv

Mchezakwao Startv

Күн бұрын

#mchezakwao #christinashusho #mahusiano
Fatilia mahojiano maalum yakwake Christina Shusho kupitia kipindi cha Mcheza kwao ambapo ameweka wazi juu ya taarifa zilizopo mitaani kuhusiana na ndoa yake pamoja na kile kinachoendelea cha ndoa na mahusiano ya waimbaji wa mziki wa injili ambayo yamekuwa yakiingia katika sintofahamu, Sasa hayo ni machache kati ya mengi ambayo Shusho yote katupa majibu yake.

Пікірлер: 448
@HappyAnord-fb9nq
@HappyAnord-fb9nq 5 ай бұрын
Kristina mnamlaumu tu Bure na kumtukana Ila ninachojua shetani Yuko nyuma yake sio yeye kabisa, Mimi na wewe tumuombee Mungu Sana, mwenzenu kakamatwa
@StevenAnord
@StevenAnord 4 ай бұрын
Diamond kesha mnusa huyu mwanamke tayari,kesha nogewa
@adeladaudi2047
@adeladaudi2047 4 ай бұрын
Urudi kwa mmeo, acha kujiuza mitandaoni dada! Umelitukanisha jina la BWANA😢😢
@jameskipara711
@jameskipara711 4 ай бұрын
Huyo Alisha muasi Mungu kitambo sana tamaa yamafanikio imempoteza
@mage5371
@mage5371 5 ай бұрын
Christina acha manjonjo kiukweri umetuangusha sana kina mama
@dominickmrope3009
@dominickmrope3009 5 ай бұрын
Umalaya tu
@dokasa9176
@dokasa9176 5 ай бұрын
Sasa mm ushauri wangu mama nakuomba urudi kwa mumeo na watoto wako kwa kuwa ni sawa na kwamba umemvua YESU KRISTO Utukufu wake na kumkanyaga chini ya miguu yako
@sifa.mwandetele
@sifa.mwandetele 4 ай бұрын
Dada kumbuka ndoa ni pingu ya maisha,sasa imekuwaje ww umwache mume,tunavumiliana kwenye shida na raha,rudi kwa mume unapotea
@ANNAMLAKI
@ANNAMLAKI 2 ай бұрын
Mshukuru mungu atauliolewa mdogo ni mungu alitaka iwe ivo naalikuwa na sababu pengine usinge kuwaapo alikupa mume watoto ukamjuwa mungu umekuwa sta sema mungu asate na mungu anasababu tena jivuniye wapo wazuri awana kitu atamungu awamjuwi muweshimu mume wakoo kunaneema sana mkiwa wawili utengano ni zaifu majina sikitu kitu ni yesutu
@JosephSongolo-lb9fr
@JosephSongolo-lb9fr 5 ай бұрын
We malaya shusho kama malaya wengine nilikuwa nakukubali sana sana kwani hujawahi kuwa na skendo za ajabu.ila toka umpandishe diamond jukwaan toka siku hiyo mara nasikia upumbavu ulioufanya na utu uzima huo hakuoi ujue diamond anakugonga na kukuacha kama aliopita nao acha usenge wewe unawafundisha nini jamii na watoto wako?
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 5 ай бұрын
Hata mama Yako ni Malaya pia ndio kakuzaa akili tahira..unamtusi kisa nini...alikuusisha akiianzisha familia yake ?? Your comment is useless...amuacha asimuacha yakuusu nini.maisha ni ya kwake..
@elfridaezekiel4478
@elfridaezekiel4478 4 ай бұрын
Christina ulianza vizuri, bt sasa hatubarikiwi na mziki wako.
@meyasadavid9801
@meyasadavid9801 5 ай бұрын
Christna umekengeuka sana kumuacha mmeo huna bei duniani rudi kwa shusho haraka umepotea tamaa za dunia zina mwisho ucje kufa kibudu mama
@esthermwaibasa4778
@esthermwaibasa4778 5 ай бұрын
Daa kweli watu wanabadilika,kweli leo unajua kuongea maneno mawili matatatu unajiona umefika?huyu mume alikubeba wakati ukiwa mweusi hujui kujipaka hizo cream,Huyo mume wako alikubeba sana mpaka umejulikana unamkimbia?kwanini usingemwacha zamani?Mrudie Mungu dada duniani tunapita,nyimbo unazoimba naomba jenga kwanza kwenye nyumba yako,umepoteza mwelekeo sana,Mungu anawabariki mnawakimbia waume zenu?sio ushuhuda kabisa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 2 ай бұрын
Andiko lako zuri sana. Be blessed Esther
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 5 ай бұрын
Achana na Shusho mtangazaji,ni Malaya wa kiroho na kimwili.Smen
@WillKilulya
@WillKilulya 5 ай бұрын
Malaya tu huyo.
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 5 ай бұрын
Kwenye Karia yangu nimegundua kua usimwamini mwanadamu watu ni wepesi Sana kusahau walikotoka sasa ndo umuacha mumeo kwasababu za kitoto hizo soma umepata kidume Cha bongo freva kimekupa jeuri ya kumuacha mumeo Sasa huko umetoka kwe mikono ya Mungu unamkimbilia shetani Rudi nyuma ujitafakari
@eziritawaYesu
@eziritawaYesu 5 ай бұрын
🎉 kweli sababu hawezi endelea na mmewe ka ako kinyume na hzo chama chake lazima watengane ndio mambo yake yaende sawa light ed darkness can't stay 2getha
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 5 ай бұрын
Shut up huwez kuipenda familia yake zaid yake yeye..ebu muache afanye maamuzi yake mwenyewe...
@festogangata7202
@festogangata7202 4 ай бұрын
DADA YANGU, TUKUMBUKE KWAMBA SISI NI BARUA YA YESU KRISTO NA NI YA MUNGU, ILIYOANDIKWA SI KWA WINO BALI KWA R.MTAKATIFU, TUNASOMEKAJE KWA HUU MGOGOLO???, TURUDI TUJITAFAKALI, TUSIANGLIE vile viaribikavyo Bali vidumuyo ambaye ni YESU kristo
@nassontunyande1109
@nassontunyande1109 4 ай бұрын
Mengi utaongea sana lakini dhambi ya uzinzi inakuhusu!! Acha tuone kama MUNGU ni wa dhihaka!
@dedanmwangi
@dedanmwangi 5 ай бұрын
I pity you Christina... May God have mercy on you... From your conversation... God has left you...
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 5 ай бұрын
Shusho unajidanganya unesahau ulikotoka. Umaarufu hupotea utu huharibika.
@frenziangella6676
@frenziangella6676 5 ай бұрын
Yesu alikuja kwa wenye zambi hata gospel acha ipigwe kokote maana nyimbo NI mahubiri
@damarisanekeya3354
@damarisanekeya3354 4 ай бұрын
wewe jichunge sana umepotea,, jiatharii sana utasahaulika,, kama kiwanda cha,kamisiii wewe
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 5 ай бұрын
Dada napenda sana nyimbo zako ila tabia yaco ya usaliti Mungu anakuona
@duke6318
@duke6318 4 ай бұрын
Huyu hajielewi kabisa. Being famous has ruined her.
@KisaMwakyagi
@KisaMwakyagi 5 ай бұрын
Mungu akusaidie nimambo yakutisha kama hujampa YESU maisha nivema ungeokoka Itakusaidia kutambua mema na mabaya YOHANA 1:12 wote waliompokea walifanyika Wana wa MUNGU
@12345678938129
@12345678938129 5 ай бұрын
Yaani ukitimaza comments za wanawake wengi hapa , utapigwa na butwa. Yaani imani na neno la mungu nawaweka pembeni. Interview wanaielewa kiAkili za mwili tu . Neno takatifu linasema je ?
@clarencemikao9708
@clarencemikao9708 5 ай бұрын
Duuuh kumbe mpaka una sauti ya kidume. Basi Uoe wewe Cristina. oa tuone Utazaaje
@IsackJoram-pj3pb
@IsackJoram-pj3pb 2 ай бұрын
Umepotea sana japo ulianza vizuri ila usiporudi kwa mumewe jehanamu inakuhusu
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 5 ай бұрын
Huyo Christina Shusho ni kahaba tu
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 2 ай бұрын
Ndo hichooo
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Ile ngozi ya kondoo ilisha vuliwa tume kujua kumbe ni fisi
@KalepaMusam
@KalepaMusam 4 ай бұрын
Christina Shusho Mungu gani aliku ruhusu kuachana na mme wako ? Umeni vunja moyo kabisa hata kufuata nyimbo zako na shindwa na nilikuwa nazi penda saana kabisa
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 5 ай бұрын
Wewe tumekujua umalaya ,wako,mawaziri,wanaume mpaka mume kukukamata,leo unadai Mungu amekuita ,siyo Mungu ni shetani ,acha kudanganya.Amen
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 ай бұрын
Dah😢😢😢😢 ctaki kuamn
@sylviahslyelvo7942
@sylviahslyelvo7942 4 ай бұрын
Husiukumu husije kuhukumiwa
@polokotomwalusamba1132
@polokotomwalusamba1132 4 ай бұрын
Kabisa huyu ni kahaba tu hana lolote afu muongo tuu
@YalireAriane-mv9ls
@YalireAriane-mv9ls 4 ай бұрын
Umechanganyikiwa dadangu kumbe kunasiku ungeongekea ibilisi katika interview yako pia msani wakidunia? Pete ya ndoa dadangu ni riziki toka kwa Mungu kuwa naadabu mbele ya mmewako,kwanini unapenda tanguliza shetani katika maneno yako kuliko Mungu?? Umetutoka kweli😂
@KENETHANDARSON
@KENETHANDARSON 4 ай бұрын
Wewe mbona hukuwa na mekap na ukapendwa siuseme tu unapenda vinavyong' aa lakini cyo vyote ni zahabu nen'geneka Tu utayaona.
@JosephMwaipaja-mg1kj
@JosephMwaipaja-mg1kj 5 ай бұрын
Muuliza maswali una akili sana! Umeitendea haki taaluma yako Neema ya Mungu iendelee kukuongoza but anayeulizwa anajibu by emotional hana lolote Mungu amrehemu
@onesmosogomba1129
@onesmosogomba1129 4 ай бұрын
Nilicho mpendea christina amesema ukweli kwamba, hata shetani yuko tayari kufanya naye kazi ,ameutangazia umma kuwa yeye nimfanyakazi wa shetani,angalieni hiyo singn ya pete alizo vaa
@HappyLamceklima-gj7pj
@HappyLamceklima-gj7pj 4 ай бұрын
Hata mimi nilishituka!! Sikupenda ile kuwa umeachana na mume wako. Naomba ibaki tu vile unasema kuwa wewe ni msaidizi wa mume wako. Inakupandisha kama mwanzo.
@elbinNdalzi
@elbinNdalzi 4 ай бұрын
Kama kuna waimbaji nilio wathamini ulikuwemo ila natowa pole kwakuharibu kazi uliyo ifanya mwanzoni.basi tuombe Mungu atusaidie kwani biblia inasema Heri mwisho mzurikuliko mwanzo.mama unakokwenda ni pabaya kweli.
@EsauBanda-cw3cf
@EsauBanda-cw3cf 5 ай бұрын
Unapendeza Sana kuwa changu doa Una mwili mzuri utapiga hela Sana Kwa kina harmonia diamond
@fridamallya9224
@fridamallya9224 5 ай бұрын
Dada tubu maana hujui unachoongea umepotea wacha kujitetea ujinga
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 2 ай бұрын
Nahisi alikutana na "mahaba niue" akafeli kukaa kwenye ndoa yake na "akadata". Kwa kiasi, habari zake tunazo!
@ErastusMwendwa-jj3bo
@ErastusMwendwa-jj3bo 4 ай бұрын
Utakuaje pastor na umemwacha mume wako?hilo kanisa ni ya makahaba tupu.
@ChristinaPaulo-nx5xq
@ChristinaPaulo-nx5xq 3 ай бұрын
Hapana kabisa dada unachofanya si sawa kabisa najua hata wewe mwenyewe unakielewa lakini kuna roho imekuvaa embu rudi nyuma ulikotoka ukaribu wako na mungu je,inafanana na ulivo leoo unatuvunja moyo watumishi chipukizi weenye huduma kama yako,fanya kurudi kundini bhana
@tetritetrino693
@tetritetrino693 2 жыл бұрын
Mama imba uimbavyo lakini kama kweli umeachana na mumeo mzee Shuo wewe kwangu nakuchukulia ni Malaya uliyelewa umaarufu, umaarufu una mwisho
@innosentmolel8057
@innosentmolel8057 5 ай бұрын
nyinyi mnalaumu tu ila ndoa inachosha na wengi wamekimbia ila tu kwasababu wengine sio marufu
@ErastusMwendwa-jj3bo
@ErastusMwendwa-jj3bo 4 ай бұрын
Kama wewe ni pastor utawashauri aje walio na shinda na ndoa zao na hali wewe umeacha yako?
@fridamallya9224
@fridamallya9224 5 ай бұрын
Ulikuwa ni wajibu wako kumsaidia mume wako wacha ujinga wewe
@ChristineMwambuga
@ChristineMwambuga 3 ай бұрын
Yaani watu waliochangia mafanikio humtaji mume wake eti wazazi na wachungaji sawa lakini mumeo mpe heshima yake naamini mumeo Ana change mkubwa katika mafanikio yako
@joxehphilip2093
@joxehphilip2093 4 ай бұрын
na hao àmbao unaenda kutimiza nao hiyo assignment ya Mungu, je na wao wameacha waume au wake zao??
@geraldleger5793
@geraldleger5793 3 ай бұрын
Najiuliza ! Kanisa lako linafungisha ndoa za aina gani ? Mme moja au wengi !
@CharlesIsaya
@CharlesIsaya 5 ай бұрын
Sister Shusho!! You left your announting somewhere. You are not the one i used to know. Turn arround, go back to your position. God is calling you again!!
@JoelOkenja
@JoelOkenja 5 ай бұрын
Christina kamakweli weenimyumishi semaukweli
@IsackJoram-pj3pb
@IsackJoram-pj3pb 2 ай бұрын
Sister unamtumikia mungu ni jambo jema,but nakuomba mrudie mume wako
@mariakalama3014
@mariakalama3014 5 ай бұрын
Alikuwa anapita tu halafu mama yako akamwambia akuchukue kweli
@geraldleger5793
@geraldleger5793 3 ай бұрын
Naamini umetambua hila za shetani. Pambana kurudisha kibali mama !
@GamalielMwema
@GamalielMwema 4 ай бұрын
Dada uyu olewake anafurayi kudjunga na shetani
@hoseammbaga1357
@hoseammbaga1357 5 ай бұрын
Huyu mama kwa maana siwezi kumwita mtumishi kama mwenyewe anavyojiita. Ameamua kuacha ndoa yake na sasa anawadanganya wengine hasa kwa wale wasiotaka kusoma Neno La MUNGU. HAWA watu walitabiriwa hapo mwanzo. Sasa, kwa watu wanaopenda kusomewa na watu kama huyu, wataangamia. Ukisoma ktabu cha Hosea 4-6 WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA..... Wamekosa maarifa na kuikataa sheria ya Mungu hasa swala zima la ndoa.
@ErickMachwara
@ErickMachwara 5 ай бұрын
Wewe umejichanganya wakati umeingana na Wana illuminati.
@georgepeter9665
@georgepeter9665 4 ай бұрын
Hakuna mwamamke wa sasa anayekuja kwenye ujenzi mume hivi sasa anakuka kwa ajili ya kukuchuna na kujenga kwake binafsi
@TimotheoSHEBILA
@TimotheoSHEBILA 5 ай бұрын
Naona tatizo shusho ulikubali kuolewa na Mume mtu mzima sana kwa hiyo balance ilikosekana
@mohammedjuma7216
@mohammedjuma7216 5 ай бұрын
Hapa umeongea brother hiki kitu muhimu sana katika mausiano
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 2 ай бұрын
Hahahahaaaaaa!
@legalumanija1592
@legalumanija1592 4 ай бұрын
Na siku hizi anajifanya hata kiswahili hajui wakati ni mtu ya kongo
@gloriakahangwa
@gloriakahangwa 3 ай бұрын
Wanawake wapewe nafasi ya kutimiza ndoto zao
@alexpangani1944
@alexpangani1944 5 ай бұрын
Usimuachie maumivu mmeo kwa kuwa mbali naye jamaniii. Wewe ulikuwa mama wa mfano!
@mtimti3912
@mtimti3912 5 ай бұрын
Kwabibi wewe unaendelea kujiremba sasa
@MagdalenaSamuhenda
@MagdalenaSamuhenda 4 ай бұрын
Bas wakristo wote warembo waachike.
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 4 ай бұрын
Wewe achazarau kumzalau mume wako utajuta
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 жыл бұрын
Hamna kitu shusho unamdharau sana huyo mzee hakuna siku unatoka na mumeo umeshajulikana imekuwa tabu wabembe wote wanakujua
@isaacmboi8692
@isaacmboi8692 5 ай бұрын
Kwendaaaaa ushapotoka mpuuuzi wewe
@jjmooo4186
@jjmooo4186 5 ай бұрын
Diamond anamega tunda.
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 2 ай бұрын
Chezea Simba wewe
@demetriamulenge1786
@demetriamulenge1786 5 ай бұрын
maana biblia inasema nuru aichangamani na giza.
@henrysalala8818
@henrysalala8818 5 ай бұрын
Hatimaye shetani atatawala dunia?😮
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Mm musilimu lakini kiukweli nakuelewaga sana dadaake
@NeemaSitta-i2b
@NeemaSitta-i2b 4 ай бұрын
Ninakuombea jamani nipigie
@TimotheoSHEBILA
@TimotheoSHEBILA 5 ай бұрын
Shustoke wewe mrembo sana
@dokasa9176
@dokasa9176 5 ай бұрын
Sasa mm ushauri wangu mama nakuomba urudi kwa mumeo na watoto wako kwa kuwa ni sawa na kwamba umemvua YESU KRISTO Utukufu wake na kumkanyaga chini ya miguu yako
@onesmosogomba1129
@onesmosogomba1129 4 ай бұрын
Aseme ukweli ameachana na mme wake?
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 8 ай бұрын
Ulianza Kwa roho,unamaliza Kwa mwili
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 5 ай бұрын
We wayaona mapungufu ya wenzio na Yako vip...usituchoshe... Ushawai hubiria mtu hata moja akaokoka ?
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 4 ай бұрын
Umenena vema kabisa
@BornfaceFumpa
@BornfaceFumpa 5 ай бұрын
Hili li dada nilikahaba tu
@robertabel6984
@robertabel6984 2 жыл бұрын
Ila huyu manzi kakaa kishikaji SANA..!
@kenyayangu-zh8bn
@kenyayangu-zh8bn 3 ай бұрын
👎👎👎👎👎 alianguka mtiani
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 4 ай бұрын
Mh ni ushetani tu kafata huko
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 4 ай бұрын
Mwanamke wa hovyoo huyu
@onesmosogomba1129
@onesmosogomba1129 4 ай бұрын
Aseme wameachana na mme wako?
@CalebuMelkizedeki-v9b
@CalebuMelkizedeki-v9b 8 күн бұрын
Amechanganyikwa na dunia
@TembelaAbdalah-tr7tf
@TembelaAbdalah-tr7tf 5 ай бұрын
Duhhhhhhhh! Hata shetani?
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 4 ай бұрын
Mwongo huyo shusho kama ana changamoto kwenye maisha ameona vyema kuwainua wa bongo flava.angetoka kwenye ndoa na kuwainua wakkristo ningekubali ila wabongo hapana mwongo huyo yupo kimaslah sio kiroho
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 4 ай бұрын
Msimsikilize hata kidogo mnafiki huyo
@drallan6879
@drallan6879 5 ай бұрын
why you abandoned your husband?
@BeniteMASIME
@BeniteMASIME 5 ай бұрын
Shushu ameanguka aiko tena mtoto wa mungu 'kwasa babu amevunja 'dowa yake masiku itatupa naye
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 5 ай бұрын
🎉
@robertjoseph8968
@robertjoseph8968 14 күн бұрын
Wacha wee hadi raha
@mwalimupeternkilijiwa6170
@mwalimupeternkilijiwa6170 3 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji, Gospel is not an industry, it is a ministry
@magswanji4482
@magswanji4482 3 жыл бұрын
It’s a ministry and an industry to some coz not all take it as a ministry some do gospel for money which is wrong
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 5 ай бұрын
🎉
@mathewndunguru4224
@mathewndunguru4224 4 ай бұрын
Wewe ni shetani
@SimonKefa-lz1kd
@SimonKefa-lz1kd 5 ай бұрын
Kahaba mkuu, kwanini unamhoji huyo malaya? huwa unanya vipi uzinzi wake, achana nae laana huyo, hilo kanisa lake ni sinagogi la shetani siku sio nyingi litafika mwisho na hizo sadaka alizo chukua kwa watu atazitapika,
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 5 ай бұрын
Eeeh kalala na babako ..niyeye aliyemyongoza..unamtusi kwa nini ungefurahi mamayako aiiitwa Malaya umbwa hii
@Caroline-mc5ro
@Caroline-mc5ro 5 ай бұрын
Aki kweli na mungu akupe macho uone unachokifanya
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 4 ай бұрын
😂😂
@VictoriaJulius-zk4mc
@VictoriaJulius-zk4mc 3 ай бұрын
Songà mbele
@claudinemaxime936
@claudinemaxime936 3 жыл бұрын
Wonderful interview,,, Intelligent woman of God,,, Endelea ku expect vitu vyote, Christina! Mungu anakupanulia wigo:-)
@AgnesMmila
@AgnesMmila 5 ай бұрын
Christina Christina Christina nakuita mara 3 usijifanye mjuaji dada dunia hii duara ukihangaika utahara tuombe uzima Mungu aliekupa mdomo ataunyamazisha acha jeuri
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 5 ай бұрын
@12345678938129
@12345678938129 5 ай бұрын
Sifa za mtu na ndo majaribu yake!!!! Wenye Akili hawana mali na wenye Mali hawana Akili ila wana wa Mungu wanazijua siri za mungu
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 2 ай бұрын
Tatizo dawa hazirihusu mharo siku hizi.......
@mercymeriy7851
@mercymeriy7851 2 жыл бұрын
shusho tuimbie ..nimapito..tunayo pitia song..ii maisha ya siku hixi weeee.......
@frolatimotheo8107
@frolatimotheo8107 5 ай бұрын
Mungu.akufungue.macho.ya.rohoni.ujue.wapi.ulitoka.wapi.upo.na.wapi.unakwenda.mchana.umekuisha.usiku.umekuja..ludi.nyimbani.kwa.baba.yako.wa.mbinguni
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 5 ай бұрын
👏
@mtimti3912
@mtimti3912 5 ай бұрын
Mume ni mwili wako mwenyewe lakini baba ni anaother level dada.
@kombokombogaston1957
@kombokombogaston1957 3 жыл бұрын
Shusho ,na pendant kujuwa,uko na mumewe vizuri hâta sa sa? Usiyano ni nzuri? Basi mume ndiye wakwanza Kuku saidiya,hapana watu wengi OK ,mukristo ans fahi kujuwa vile.
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 5 ай бұрын
Naona uku anayerekeya ni kubaya
Ozoda - Lada ( Ko’k jiguli 2 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 15 МЛН
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 93 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 22 МЛН
GOODLUCK GOZBERT AFUNGUKA MENGI_TAZAMA MAHOJIANO HAYA
29:33
ImbaNasi
Рет қаралды 41 М.
LIVE SENTRO YA CLOUDS TV NA CHRISTINA SHUSHO
32:22
Christina Shusho
Рет қаралды 23 М.
Ozoda - Lada ( Ko’k jiguli 2 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 15 МЛН