Рет қаралды 8,738
Ni ziara ya Sheikh Kishk Mpanda Tanzania 2024, Ziara hii iliambatana na Kutembelea misikiti iliyo chini ya Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Nurdeen Kishk alipata kumsilimisha mtu mmoja katika ziara yake. Inshaallah fatilia hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.