Kisa Cha Majini Walipokutana Na Mtume / Waislamu Wa Leo Wanashinda Kununua Jezi / Sheikh Rusaganya

  Рет қаралды 34,255

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Kisa Cha Majini Walipokutana Na Mtume / Waislamu Wa Leo Wanashinda Kununua Jezi / Sheikh Hashimu Rusaganya
Darsa la tafsiri Mwinyimkuu 2021 la mwezi Muharramii mwaka 1443H lilotolewa na sheikh Hashimu Rusaganya kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Пікірлер: 57
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 2 жыл бұрын
Na kwa kweli huyu ni miongoni mwa wanazuoni wachache sana nchini ambao unapo wasikiliza unapata ucha mungu na Allaah anaweza kukuongoza na ukaongoka bi idhnihii.
@mrbigdreamer3088
@mrbigdreamer3088 2 жыл бұрын
M.aa
@Rama_Mwaguya-254.
@Rama_Mwaguya-254. 2 жыл бұрын
Mussa nakubaliana nawe.
@mzurzamzam1877
@mzurzamzam1877 Жыл бұрын
🕊🕊
@khamisamos1166
@khamisamos1166 Жыл бұрын
Masha Allah
@Ertuglubey
@Ertuglubey 8 ай бұрын
Mashaa Allah shekh hashimu lusaganya umeeleza kwauzuri kabisaaaa
@ibrahimusultan8646
@ibrahimusultan8646 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi sheikh in sha Allah
@saidsfaudh4336
@saidsfaudh4336 3 жыл бұрын
Mungu akupe kheri nyingi
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x 4 ай бұрын
Masha Allah zidi kutufunza mengi shekhe wetu na MUNGU akujaalie kheri hapa duniani na kesho akhera
@fatmajuma9065
@fatmajuma9065 2 жыл бұрын
Allah ihafdhik
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
Poleni Ndugu wa Majini Njooni kwa Kristo Yesu Mwana wa MUNGU mpatee Uzima wa Milele
@hadijamushi8674
@hadijamushi8674 2 жыл бұрын
Barakallahu fikhy sheikh wetu
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
ALLAH Akujalie kila la kheory Sheikh wetu na akujalie maisha mazur ya japa Dunian na kesho Akhera pamoja na family yako na waisilam kwa ujumla
@binothman9284
@binothman9284 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah walaa kuwwata illaa billah laaliyyu l aadhiim
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Musipo tubu Mungu Atawazibu nyinyi wa Islam
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 6 ай бұрын
MashaAllah shkh
@marwamuhammad5703
@marwamuhammad5703 2 жыл бұрын
maa sha allah tabarakallah.
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Majini pepo mbaya
@muhammadmassoud3576
@muhammadmassoud3576 7 ай бұрын
Mashaallah
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww... jazakallah kheir 🙏
@neemamichael997
@neemamichael997 2 жыл бұрын
Me ni mkristu ila kupitia mawaidha ya huyu shekhe navutiwa sana na uislam..mungu akutunze sana kwaajil ya kutimiza kaz yake
@cabdikarim4590
@cabdikarim4590 2 жыл бұрын
Vizuri sana dada Neema Nakuombea Allah akuongoze katika kutambua ukweli na haki...fanya research kwa kina ili kuelewa njia sahihi ya mwanadamu ni ipi katika kumuabudu mwenyezi mungu
@aminatatu5692
@aminatatu5692 2 жыл бұрын
Amin allah akuwoneshw haki uwifatee. Insha allah
@nicksnicks6201
@nicksnicks6201 2 жыл бұрын
Usivutiwe na majini dada kaa kwa yesu
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Nenda haraka, biblia inasema mlikuja Kwetu lakini hamkuwa wa Kwetu maana mngekuwa wa Kwetu mgekaa nasi,mimi nakushauri ondoka haraka kwa Yesu nenda kaabudu jiwe jeusi na mtume mbumbumbu
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
Inawezekana Bado ujawa Wakristo ww Yesu aliwashinda Majini
@saidimsagula7673
@saidimsagula7673 2 жыл бұрын
Mashaallah allah akuhifadhi na akulinde ili uzidi kutukumbusha
@omanmct135
@omanmct135 2 жыл бұрын
Nampenda uyushekh sana kwajili yallllah
@MrsAmina-y7l
@MrsAmina-y7l 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@hajrahally7230
@hajrahally7230 2 жыл бұрын
Naomba namba yashekh
@zainabusalum2365
@zainabusalum2365 2 жыл бұрын
Allah baarik
@swalesale2229
@swalesale2229 Жыл бұрын
💯
@ustadhally3744
@ustadhally3744 3 жыл бұрын
TVIMANI TVIMANI
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 2 жыл бұрын
Sheykh wangu kipenzii Na Mwalimu wangu Shaykh Rusaganya, na namba yake nmepoteza kwa bahati mbaya naomba nitumiwe namba yake. Mimi ni Mwanafunzi wake. Mussa Ally Kantumba.
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 2 жыл бұрын
Mwanafunzi wake!! Samahani Sio Mwalimu wake, Bali mimi ni Mwanafunzi wake.
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 7 ай бұрын
Soma biblia kitabu cha ufunuo sura 12:9 inaeleza vizuri bi Aisha aliwaona majini alafu wakabadilika kuwa nyoka utajua kwamba majini ni mashetani.
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Eti majini
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Eti majini ya mesilim
@jamilasalam1405
@jamilasalam1405 2 жыл бұрын
Assalam alaykum,mm nnaomba no za huyu shekhe Nina shida nnataka anipe fatua ,
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
E Wa Islam Musidanganywe
@DanielDaudi
@DanielDaudi Жыл бұрын
Alikutana na majini namna gani alikuwa ana ushirikiano gani nao
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Mbone munatisha eti majini ya mesilimu
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Eti majini mutowe ukafiri apo
@TatuRehema
@TatuRehema Жыл бұрын
Majni???
@FridayMwassa
@FridayMwassa Жыл бұрын
Shehe ningependa kujua kama shetani naye ni mwislamu au lah kwasababu nimesoma kitabu cha asili ya majini kinasema ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa mwislamu
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 8 ай бұрын
Jini ni kiuumbe sheitwan ni sifa ya waovu baina ya majini na watu mashetani hata wale wenye mabar ni mashetani kama hujui
@FridayMwassa
@FridayMwassa 8 ай бұрын
​0:00 ​​@@abdalahsuleiman8989sasa kwanini koran isiseme ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha jini akawa mwislamu.Na pia kwenye vitabu vilivyotangulia kama torati na injili hatuoni mahali popote pakifanyika ushirikiano Kati ya majini na wanadamu zaidi ya kwenye koran 0:00
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
​@@abdalahsuleiman8989shetani ni umoja na mashetani ni wingi,sasa ni shetani yupi aliyemslimisha mtume bali na wale wengi waliokwenda kusikiliza Koran kwa Muhammad.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Жыл бұрын
Kumbe mtume mohamard alikua na ushirikiano na majini duu hii dini kweri ni ya shetani
@AzizMatimbwa
@AzizMatimbwa 7 ай бұрын
Shida uwezo wako wa upapanuz ndo unao kusumbua mana unajua majini wote ni mashetan
@nicksnicks6201
@nicksnicks6201 2 жыл бұрын
Mtume kakiri si mtume Quran yasema
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Plz usiongee kit'u hujui heshima haiyuzwi
@barakaharony4396
@barakaharony4396 Жыл бұрын
@@jaymwinyi6957 Kwan amesema uongo Kwanza majini na MUNGU vitu viwili tofauti
@muhammadmassoud3576
@muhammadmassoud3576 7 ай бұрын
Mashaallah
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
027 2 OTHMAN MAALIM   KISA CHA HASSAN AL BASRYA
1:06:41
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 41 М.
Kusoma kwa mifano - Uganga - Imani Sheikh walid Al had
46:07
DARSA TV
Рет қаралды 23 М.