Ukimswalia Sana Mtume Matatizo Ya Dunia Na Akhera Yatakutoka / Usiku Unatumika Hivi / Shekh Walid

  Рет қаралды 57,435

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Ukimswalia Sana Mtume Matatizo Ya Dunia Na Akhera Yatakutoka / Usiku Unatumika Hivi Kwa Wachamungu / Shekh Walid Alhad
Sheikh Walid Alhad Akieleza kwa uzuri na ubora wa hali ya juu kabisa juu ya Darasa la tafsiri juu ya Usiku Unatumika Hivi Kwa wachamungu na ukimswalia sana mtume matatizo ya dunia na akhera yatatoka
Darsa la tafsiri kichangani 2021 la mwezi ramadhani mwaka 1442H lilotolewa na sheikh Walid Alhad Omar kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi tizama video zetu mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks

Пікірлер: 109
@Zainab-gs4mz
@Zainab-gs4mz 3 жыл бұрын
Napenda mafundizo yako sana mm n mkiristo inshallah inatakua mwisiramu
@alhabibismail3031
@alhabibismail3031 3 жыл бұрын
sema tu maneno haya ue muislam ashhadu ala ilaha ila llah wa ash hadu ana muhamada rasulu llah. mara tatu
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 3 жыл бұрын
Allah akuongoze...Inshaallah
@inabikorwaneema1644
@inabikorwaneema1644 3 жыл бұрын
Allah akuongoze .
@ahmedrashed7138
@ahmedrashed7138 3 жыл бұрын
Maashaallaah my mungu akuongoze ktk njia yawiislam uwe misalam
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 жыл бұрын
Allah akufunguliee moyo wako na akuongozee katika kheir
@inabikorwaneema1644
@inabikorwaneema1644 3 жыл бұрын
Cheikh Allah akuhifadhi, nakupenda kwa ajili Yaa Allah
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 2 ай бұрын
Ahsant🙏🙏🙏🙏 shekhe nilipoona video yako looho yang tuliiii mungu akupe maisha malef na mwisho mwema inshalallah ❤❤❤
@nuruabdullah7814
@nuruabdullah7814 3 жыл бұрын
Maashallah Allah atuongoze jamii islam
@MuhdharMohamed-j3h
@MuhdharMohamed-j3h 2 ай бұрын
Shukran sana Sheikh WALID ALLAH Akupe Umri Mrefu Na Maisha Mazuri hapa Duniani Na Kesho Akhera Hata Mtumi MUHAMMAD SAW Alipingwa Shukran sana Sheikh Wetu
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 2 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema na kheiry inshalah Amiin
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️❤️❤️
@yusuphnassoro6584
@yusuphnassoro6584 2 жыл бұрын
Al habib Walid,,, walwah nakupenda mwalim wng kwa ajili ya Allah,,, Allah akuhifadh
@darmaakaiyula8430
@darmaakaiyula8430 3 жыл бұрын
Shukhurani shekhee kwakutujenga zaidi nakuzid kutukumbusha
@pkmkmn6500
@pkmkmn6500 3 жыл бұрын
Napenda darsa lako mashaa sheihk
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SEIKH WETU
@halemaahmed7229
@halemaahmed7229 3 жыл бұрын
Maa Sha Allah huyu shekh napenda darsa zake saaana
@josephnjoroge5649
@josephnjoroge5649 3 ай бұрын
MaashaAllah
@nasraabdaalah2575
@nasraabdaalah2575 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie ufaham shekh walid
@barwani890
@barwani890 2 жыл бұрын
Tabarakrahmani Shukraan kwa mawaidha yako Ni kweli ukimsalia mtume unaepuka na mashakil mengi
@fatmasaid6204
@fatmasaid6204 Жыл бұрын
Aa Masha Allah Allah akuzidishie kheir
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Masha Allah 🌹. Jazakallah kheir 🙏
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 Жыл бұрын
Masha Allah Tabarakallah Allah akuifadhi sheikh Walid
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah sheikh
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 6 ай бұрын
Shukran jazakallah
@afric01
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww..... Shukran. Jazakallah kheir 🙏
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 жыл бұрын
Shukran sana jadhaakallahu kheri
@aciamwinyi3991
@aciamwinyi3991 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akujalie kila kheli Amiin.
@Munirawamunira-wf9lf
@Munirawamunira-wf9lf Жыл бұрын
Nakupenda sana ostaz unafutisha vzr nataman ungekuwa mume Wang
@zenasalum2231
@zenasalum2231 3 ай бұрын
Mmmmh
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 2 ай бұрын
Mh
@omarmotito841
@omarmotito841 Жыл бұрын
Swala Allah ala nabiyi malipo yake Allah akupe ayo
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Shekhe insha'Allah nikija kumaliza maisha ya utafutaji nitakujakusoma kwako shekhe wangu
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
SubhannaAllah na kifo je
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
@@mwanaimaabdallah7825 tafakur nzuri sana Tuzidi kujikurubisha kwa Allah
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 2 жыл бұрын
@@muddymuzungu4357 🙏🙏🙏
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
yaan mpka umalize kutafuta ndoo ukasome umeoangea namungu hufi mpka umalize kutafua kumbe kuna wanaume hawanazo 😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 Жыл бұрын
NI NGUMU KUMALIZA UTAFUTAJI
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
S.A.W
@nabiljumbe
@nabiljumbe 3 жыл бұрын
Mashaallah
@privateprinting3228
@privateprinting3228 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah atufanye nasie wepes
@AminaBakar-p8r
@AminaBakar-p8r 6 ай бұрын
Shehe unahikma
@mengirashidy-ld3lm
@mengirashidy-ld3lm Жыл бұрын
Kwa hakika dini hii ni ukweri kabisa
@jamalsahil2781
@jamalsahil2781 2 жыл бұрын
Movic
@zuenaomary8187
@zuenaomary8187 2 жыл бұрын
Mashallah mafundisho mazuri Allah akupe umri mrefu
@hadiyaally1543
@hadiyaally1543 Жыл бұрын
7
@AishaAbass-vv5uv
@AishaAbass-vv5uv Жыл бұрын
Shekhe nisaidie.nina matatizo makubwa Sana cjui nifanyeje Hadi nawaza mambo ambayo hayapo
@muniramahmud1909
@muniramahmud1909 Жыл бұрын
Tubu illalahi
@mussakantumba824
@mussakantumba824 3 жыл бұрын
Kumswalia Kama vp
@vipenziwaallah5814
@vipenziwaallah5814 Жыл бұрын
Allahuma swalli a'la Sayyidna Muhammad wa a'la Alihi waas'habihi wasallim
@KhadijaMohammed-z8c
@KhadijaMohammed-z8c Жыл бұрын
Au Allah huma swali ala muhamady walaalih waswahabihi wasalam
@swedisalim5486
@swedisalim5486 2 жыл бұрын
Asalam'alaikum'warah'maturllahi'wabarakatuh'ya'cheik'tuna'kufata'sana'nafaida'ila'namba'yako'atuna'sisi'tua'ishikcongo''tua'penda'sana'darsa'yako
@swedisalim5486
@swedisalim5486 2 жыл бұрын
Asante'sana'cheik'na'darsa'yako'ila'tupe'namba'yako'yalwathsaap
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 Жыл бұрын
Shekhe tafadhali namba yako au unapopatikana toa number zako kwenye mada zako
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Wengine Wana sifiana eti anajaza basi mbili akiwahisabu idadi aliotembea nao
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
anahesabu mazambi yake na toba hafanyi
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 2 жыл бұрын
ni kweli lakini cha ajabu huyo mtume alijiswalia miaka 23 bado akashindwa kujitoa uchawi na sumu akafa nayo. lakini aloshindwa kumshinda shetani hadi akamsilimisha. na bado akafariki akawaachia kibarua cha kumswalia. swalini hata swala 3000 kwa siku moto ni moto shekh.
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
MWZ MUNGU ANAKUTOSHA KUKUJIBU.
@abumuhammad157
@abumuhammad157 2 жыл бұрын
Hakikaa nakuombeaa Allah akuonyeshe njiaa ya kweli
@jamillamasoud5608
@jamillamasoud5608 Жыл бұрын
Kwani Lazima uongee Kila Jambo. Allah atakujibi InshaAllah
@minattamotto4712
@minattamotto4712 Жыл бұрын
Unatafuta kujulika🤣🤣 Allah akuongoe
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi Жыл бұрын
Allah Akbar 😂😂
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
S.A.W
@alifaki4651
@alifaki4651 2 жыл бұрын
Mashallah
@IbrahimSallim-xd4lx
@IbrahimSallim-xd4lx 4 ай бұрын
Mashallah
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@IbrahimMohammed-v3b
@IbrahimMohammed-v3b 5 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
49:49
Al Hijra Video Production
Рет қаралды 39 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Nuru ya Siku | Mwal Lydia LKagisa
40:47
MUNGU YUPO HAPA
Рет қаралды 20
JE WAYAJUA MADHARA YA ZINAA...? By (Mwl. Dimoso)
10:13
Mulhim Tv
Рет қаралды 4 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН