Kisa Cha Mama Mkwe Kuitwa Mchawi | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro

  Рет қаралды 19,376

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@felistamwashibanda7764
@felistamwashibanda7764 3 ай бұрын
Nikweli kabisa!! nimeshuhudia mama yangu mzazi alivyotupambaniapaka baadh yetu tunafanikiwa,lakini baada ya mafanikio vikainuka vikwazo vyaibilisi mama yangu akaugua akafa😢😢😢😢😢 bila kula matunda ya watoto wake 😢hakika inauma
@neemataris3273
@neemataris3273 3 ай бұрын
Acha tu mama yangu pia yaani niliumia sana kama mshale aliondoka
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 3 ай бұрын
Kwa kweli hizi tabiri chonganishi sio nzuri sana,Amina
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 3 ай бұрын
Mch.Kimaro hili jambo limeniumiza sana sana.Hawa MANABII wanachonganisha sana watu hata zaidi ya Waganga wa Kienyeji.
@lizpallangyo8057
@lizpallangyo8057 3 ай бұрын
Bwana Yesu akubariki mchungaji akuinue zaidi na zaidi,roho chonganishi zimetenganisha familia
@restitutapetro4705
@restitutapetro4705 3 ай бұрын
Amen, Nayakubali maneno yako, na mimi nina mtoto mmoja, Mungu anikumbuke!!
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 3 ай бұрын
NAMI pia
@RehemaChisonjela
@RehemaChisonjela 3 ай бұрын
Nawachukia sn wanawake wa style hii, yaan wakiolewa wanawadharau wakwe zao,wanasahau kuwa bila kusomesha hao waume zao,wasingewaona, ila malipo ni dunian,unawasahau wazazi wako kisa mwanamke😢😢
@LenahAlindaMashasi
@LenahAlindaMashasi 3 ай бұрын
Asante mchungaji kwa ujumbe mzuri nikweli nisingemzaa huyo mme angempata wapi na kwanini nimroge mjukuu nisimroge baba yake
@mariamluther9219
@mariamluther9219 2 ай бұрын
Kweli kabisa, inasikitisha Sana kuona wanawake nyakati hizi wanavyodhani kuwa wana uhalali wa waume zao kuliko familia iliyompa support mpaka alipofika.
@JulianaChacha-k5b
@JulianaChacha-k5b 3 ай бұрын
Mmhhhhhh mungu awaone hao wanaogawa familia za watu!wawe wakamwana au wakwelima! M/mungu asiwacheleweshe kuwalipa ubaya wao😮
@JacksoniJoseph
@JacksoniJoseph 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@ReginaMeitanavi
@ReginaMeitanavi 3 ай бұрын
Yaani Mungu atupiganie wazazi
@TumpeFord-om1wv
@TumpeFord-om1wv 3 ай бұрын
Mungu atusaidie
@neemakijazi2363
@neemakijazi2363 3 ай бұрын
Amen Mungu anisaidie na mimi sasa hivi naitwa mchawi ninaua watoto wa mwanangu wa kwanza wa kiume mwanamke anayeishi naye ananiita mchawi hivyo sithubutu kwenda kumhona mjukuu wangu japo moyo unaniuma na anadai amekwenda kwa nabii akamwambia watoto wako Wanatogwa na mama wa mwanaume wako. Mungu atusaidie.
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 3 ай бұрын
Pole sana pole Tena naelewa mapito yako,Kaa utulie ukihisi maumivu Sali,majibu watayaona! HAYA mambo yapo sana Tena Kwa wingi
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 3 ай бұрын
Kweli hao manabii baadhi wamekua wapiga lamuli wanaotumia jina la yesu wanaomjua wao SI yesu kilisto wa nazareti aliye hai miji mikubwa imevamiwa sana tunaomba mungu wakweli aonekani bila hivyo kunamadhala makubwa sana asante mtumishi kwa mafundisho mazuri ameni
@KissaSampeta
@KissaSampeta 2 ай бұрын
Hao wanabii wa uwongo kweli Mungu awashughulikie kwa namna iwayo Wachonganishi wakubwa
@FlorenceJohn-z5n
@FlorenceJohn-z5n 3 ай бұрын
Inaumiza kwa kwelii
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Mchngaji Kimaro umenena ukweli,ni ulimbukeni tu,wamama tunamaneno mengi mno wengine uwachukia wakwe zao bila sababu,ni ujinga na ushamba.huo ni upande mmoja,mchungaji angalia upande wa pili wa muolewaji anayotendewa.
@RehemaKawogo
@RehemaKawogo 2 ай бұрын
Actually wanaoona wapo ,semw huyo bint alikosea pa kwenda
@EvenaManjira
@EvenaManjira 3 ай бұрын
Lanye oko
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 ай бұрын
Kabisa mchungaji kama siyo mama wewe ungemkuta huyo mume wako? Jamani kumbukeni wa mama waliozaa hao waume zenu.
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 3 ай бұрын
Malipo ni hapahapa dunian
@VictoriaZakaria-d3n
@VictoriaZakaria-d3n 3 ай бұрын
Ukimfanyia mama wa mwenzako vibaya na wewe utafanyiwa hivyo hivyo
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 3 ай бұрын
Sina hamu na hao wanaojifanya wanaona Wanagombanisha watu sana muda mwingine
@BettyGeorge-sn2nn
@BettyGeorge-sn2nn 3 ай бұрын
Mm niliambiwaga ni mganga yan
@tinamwashilindi6807
@tinamwashilindi6807 3 ай бұрын
Kwa kweli
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 3 ай бұрын
Haya mambo yapo kwa kuhani mussa
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 ай бұрын
Na kiboko ya wachawi
@ReginaMeitanavi
@ReginaMeitanavi 3 ай бұрын
Yaani mimi sijawahi kwenda kwake ila rafiki yangu anaabudu huko kila house girl wake anaambiwa mchawi
@happiness_713
@happiness_713 3 ай бұрын
🥹😭😢🥺
@fleviahella9818
@fleviahella9818 3 ай бұрын
Tikskwcpa Hfujfjtfuaw
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 3 ай бұрын
Apandacho mtu ndicho anacho vuna utavuna tu
UKITAKA KUJUA MWANAMKE NI KIUMBE CHA MAANA AONDOKE NYUMBANI "PASTOR MGOGO
1:33:17
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 16 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 108 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 273 МЛН
Sikiliza Shuhuda Hizi 4, ya Mwisho Inasikitisha  | Rev. Dr. Eliona Kimaro
9:13
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 10 М.
Aogeshwa na Kupandishwa Mamba Mto Malagalasi Akitafuta Maisha Bora | USHUHUDA |
13:02
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 22 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
DR. REV ELIONA KIMARO. NI MBAYA KUWA BABA WA FAMILIA AFU UWAJIBIKI.
2:53
JERUSALEM FAMILY TV. MWL PETRO AND EVODIA MAZWILE
Рет қаралды 32 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
JINSI YA KUTEMBEA KATIKA ULINZI WA KIUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 04/12/2022
39:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 25 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 16 МЛН