Рет қаралды 23,176
Khutba hii ilitolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Mwaka 16/3/2018, Mada hii inamgusia kijana masikini aliyemshawishi Mfalme kupitia maisha yake ya kila siku hadi kupelekea kuongoka kwake, je alimshawishi na kipi? fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika, pia tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah.