Maashaa Allah sheikh ujumbe mzuri umetufikia na ukatufunza kua mali sio kitu mbele ya Allah.Mola akujalie Umri mrefu wenye mafanikio hapa duniani na akhera.na akujalie Allah mwisho mwema.na akuongezee elimu zaidi nasi utugawanyie.Amina Inshaa Allah
@abcmnbb261010 ай бұрын
Yaarabi tupe mwisho mwema Sheikh wetu mungu akupe afya njema Yani sauti nzuri sana
@Issah-dd8oh4 ай бұрын
Allah tujaalie mwisho mwema hapa dunian na kesho Akhera!!!!
@paidenasra45484 ай бұрын
Ameen. Nimejifunza mengi sana kwenye kisa uzuli nasikiliza ndani ya mwezi mtukufu.
@pilotkillertzsilentkiller61285 ай бұрын
Inshallah 🙏mungu atupe mwisho mwema
@user-bp3gb7fy9w10 ай бұрын
Shukran sana kwa ukumbusho wajazaakallahu khayra. ALLAH atuongoze na atujaalie mwisho mwema cc na ww
@xichangyathrib516710 ай бұрын
Allahumma ameen
@user-eq3oo1md2l10 ай бұрын
Allah atujalie ujiri na kukumbuka swala kila wakati jamani kisa kinafundisha sna shehee
@wardamwikali789110 ай бұрын
Mungu akuhifadhi,akukidhie haja zako,akuongezee siku uzidi kutuelimisha Jazakallahu kheir sheikh wetu.
@user-yi1zv2jg1l4 ай бұрын
Alhamdulillah kisa chenye ibra,mazingatio,mafundisho na elimu kubwa kwetu cc tilioko hai hapa ulimwenguni,shekh mwenyeezi mngu akulipe,akuhifadhi,akulinde na shari zote za masih Ddajal nacc Allah atuzidishie subra tupate mwisho mwema inshaAllah wabillah taufiq Ammin
@omarswaleh59004 ай бұрын
Allahmdulilah
@rizikmassoud87742 ай бұрын
subhanallah allahumma ameen 🙏 🙏 22:46
@user-ff4zb2qn1l10 ай бұрын
Ujumbe mzuri wenye kuiogopesha na kuihofisha nafasi .Ameen Allah akupe afya ilitupate faidi zaidi Toka kwako insha Allah
@guriobahati753410 ай бұрын
Wape uchumbe wa ukweli wasikie wasisikie pasi olewao
@Khamis-ys2dy3 ай бұрын
Ujumbemzuri
@ChimzaBakari-xy4jr23 күн бұрын
Ameen
@w405810 ай бұрын
Na mie bora nimalize salaa tayari mawaidha mazuri Allaah akuhifadhi Yaarabiy asitujaalie kuwa katika waja wakuzuwiya mikono yetu
@KasimAbdallahSingano4 ай бұрын
Shekh wapo watu wengi wa aina hiyo wanao muabudu mungu kipindi cha shida wakipata wanamtupa mungu
@user-hf1jv2ii9j10 ай бұрын
Jazak Allah kher😮😮😮
@MbarakRika10 ай бұрын
mashll ustadh mngungu umri mrefu uzdi ktuelimish kwa sabab umnielimish vya kutosh
@mifunga341410 ай бұрын
Allahuakbar,Allahuakbar ya Allah utusamehe ya Allah ameen ameen Rabillah lameen😢
@yusufmarjan888110 ай бұрын
Jazakallahul Kheir Sheikh kwa ukumbusho
@broumaiyyah801810 ай бұрын
Allahu Akbar.Mashallahu Barakallahu fiikii
@zalinamangi803910 ай бұрын
Shukran Sana kwa ukumbusho mzuri
@HappyBeachCoast-yh4uu2 ай бұрын
Subhanallah kisa chasisimuwa mailaika mola tujaalie tuwe miongoni mwa waja wema tusighafilike na dunya kwa mali ameen
@patricknasikilizanikiwanam41082 ай бұрын
Asante Sana kwa somo lako nzuri hakika nimejifunza kitu ee mola nipe moyo wa ibada
@Kondoa80510 ай бұрын
Jazakallah Allah atuzudishie iman na subra
@bakariahmad-hw3ug4 ай бұрын
Allah tujarie mwisho mwema
@gyeong59728 ай бұрын
Takbiriiiiii Allahu Akbar
@jumakimaro42959 ай бұрын
Kisa kinasisimua sana. Allah atujaalie mwisho mwema inshaaallah ❤
@kahlanmohd53138 ай бұрын
Amiin yaa rabby
@mrisashando748010 ай бұрын
Allah atusamehe sote Ameen Ameen
@user-ff4zb2qn1l10 ай бұрын
Masha Allah kisa chenye mazingatiyo sheikh wangu mpendu
@MhamedRamadhani-yb8kv10 ай бұрын
Shekh allah akulipe kwa mawaidha yako yanamafunzo
@jassminemubarak282810 ай бұрын
aaameen
@mussayahya-37119 ай бұрын
Mwenyezi mungu tunakuomba utusamehe na madhamb yetu🤲
@zainabuabdi854910 ай бұрын
Allahu Akbar
@AllikanangwaАй бұрын
Allah sw akulipeh jambo ili insha-Allah! Piah namuomba Allah sw atupeh mwisho mwemah 🙏 🇹🇿
@KitongaKitonga6 ай бұрын
Amiin
@PillaMtwara10 ай бұрын
Masha allah
@issarashid770710 ай бұрын
MaaShaAllah Allah atupe mwisho mwema
@ernestkizaminyakangara852010 ай бұрын
Mungu anatumia sura ya kiumbe Yeyote kutekeleza mipango Yake.
@user-dl3ep1ow3y8 ай бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-tt4hm1ru9x10 ай бұрын
😊 cc tx.Allah atujaalie riziki za halali
@gitu4me10 ай бұрын
Kisa hiki nimekipenda mno
@saudaabasi482510 ай бұрын
Allah tusamehe na utuhurmiee😢
@rarkia74529 ай бұрын
Ya allah tupe mwisho mwema 🤲🏻
@user-ur3ui1fw6g10 ай бұрын
Mashaallwa mungu atupemwisho mwema
@ratifaiddy21848 ай бұрын
Yallab Tujaalie Mwisho mwema 🙏❤️
@salmaomar2924 ай бұрын
MashaAllah jazakaAllah kheir🤲
@laylayl516610 ай бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu atunusuru nayadunia
@habibaali73642 ай бұрын
Rabbana Atinaa Fi dunia Hassan Wa Fil Akhirati Hassana Wa qinaa Adabanar Aamiin Ya Rabbal Alamiin
@AthumaniNawasha4 ай бұрын
Alhamdulillah, mungu akikujaalia neema usisahau kurudisha shukran kwake
@samuelmweipongwe14010 ай бұрын
Mwenyezi Mungu tusaidie tafadhali tupate miisho mema. Dah! Hakika sisi si lolote wala si chochote juu yako na njia zako. 🙏🏻
@georgembunda37839 ай бұрын
Amiiiin🙏✋👋
@HakizimanaSalima-sg7cvАй бұрын
Jazzakallahu khayra Allah akuifadhi sheikh Ameen
@oman1oman1799 ай бұрын
Subhanallaah mugu atupe mwisho mwema kweli na umasikini ulaniwe
@user-ff9by8xz9y10 ай бұрын
Manshallah jazakallah hellih
@user-gf5sd1ye7n10 ай бұрын
😢😢😢 yarabiii tujaalie mwisho mwema ,,,,,,,kisa kizuri sana allah akuzidishie moyo wakutufungua macho
@user-nu8gy3ip4o10 ай бұрын
Fan a'udhu billah min dhalika
@user-tr4ix1tp6o9 ай бұрын
Allah atuajaalie miongon mwa wakuyatekelwza na kupata mwisho mwema😢
@shakilamasoud298310 ай бұрын
Allahu Akbaru
@AubinNijimbere2 ай бұрын
Ewe mwenyenzi mungu uzidi kunibariki nakuku abudu pesa siyo kitu mbele yako❤
@pwasasawasasa10 ай бұрын
maasha-allah 😢😢😢😢😢
@hawasalumu137410 ай бұрын
Subuhana Allah
@user-nj2eo7kk7j3 ай бұрын
Daaaaah mm ni mkristo lakn mawaidha yameniingia sana mungu azidi kukupa pumzi na sauti ya kusema
@AzirinhAshidi8 күн бұрын
Mashallah ujumb mzur sana Allah atujalie mwisho mwema
@MirrajiAllyMtoi4 ай бұрын
Ashahaadu Allah Muhammadan rasurullah ❤
@erickabel62014 ай бұрын
MASHAALAH ❤
@KubraChande-en7ni9 ай бұрын
mungu akupe maisha malefu uzidi kutoa mawaidha
@AminaHussein-po8ii5 ай бұрын
Innashallah
@WaridiAbduli2 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema Ameen na taqwa ya kweli
@abdirizackkanchoro282010 ай бұрын
Masha Allah jazakumullah ustad Allah atustiri ❤
@user-og5ck9ze7gАй бұрын
Mimi ni mkristo lakini nimependa sana uhu ujumbe MUNGU azidi kukubariki shekhe kwa kutukumbusha
@SalmaKhatib-tq6uiАй бұрын
Asha Allah
@MwanasomoFamau4 ай бұрын
Kisa kizuri kina mafunzo mazuri MashaAllah
@user-tu9pe1qn5v9 ай бұрын
Sheh Allah akupe maisha marefu.
@husseinkazungu510110 ай бұрын
Masha ALLAH shukran sheikh
@mohamedswamadu200010 ай бұрын
ALLAH ATUJALIE MWSHO MWEM
@SaimonFalasia-lc5hz4 ай бұрын
Allah tuzidishie wema na mwisho mwema nimejifunza katika shehe huyu kwa umauti Allah nijaria mwisho mwema na uzima wa Dunia na roho yangu unitunzie na siku yako ya toa roho uniondolee maumivu Allah uzeeni
@user-yp6hn5dx7r4 ай бұрын
Allihamndulilah Allah akulipe kwaswadaka hii zuri sana nime jifuza
@user-wq5gc1gc4r4 ай бұрын
Ahsante kwa hakika inatufundisha vizuri simulizi hiyo mungu akubariki
@user-lf5my9bb3j7 күн бұрын
Mashallah ❤ ALLAH atuongoze
@hawasalumu137410 ай бұрын
Subuhana Allah
@msondehamisi774610 ай бұрын
MASHAALLAH
@NuratNuru3 ай бұрын
Jazakharahu kheri inshallah
@mulhatfamau488210 ай бұрын
Masha Allah
@salmamwangi434310 ай бұрын
Takbir Allah akbar
@user-bp4wv4jo2iАй бұрын
ujumbe mzuri sana haki tumtizame Mungu muumba wa yote duniani
@HusseinnurishambaroWario4 ай бұрын
MashaAllah Allah's akulipe mema insha'Allah
@leilaekesa33944 ай бұрын
Shukraan sheikh
@godlistenray89198 күн бұрын
nashukuru kwa kunipa habari njema mungu nijalie nafasi ya kukumbuka watu sasa wanataka miujiza ya kupata pesa 9
@sitimwarakwe18304 ай бұрын
Mashaallah shurkan sana sherk kwa kisa chenye mafunzo