AMBOKILE; ARAJIGA AKIPEWA DABI SIMBA ANAFUNGWA / YANGA ITAFIKA FAINALI YA CAF/STARS HAIWEZI DR CONGO

  Рет қаралды 10,599

KISHAMBA MEDIA

KISHAMBA MEDIA

Күн бұрын

"Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market"
#sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate

Пікірлер: 55
@omanbarka1588
@omanbarka1588 9 сағат бұрын
Usimtetee krementi Kali zalilisha taifa
@SamwelLaizer-o3x
@SamwelLaizer-o3x 5 сағат бұрын
YANGA Hatuna tabia hizo za kumfukuza Kocha...
@abdallahmbwate7134
@abdallahmbwate7134 9 сағат бұрын
Uyu jamaa mshamba Sana unasema simba watakamiwa kwenye mpira Hanna kukamia au njaa inamsumbua ajui chochote kuhusu mpira wa miguu
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 8 сағат бұрын
Huyu jamaa Mshamba kwelikweli ana Miaka kama 6 mjini Haujui mpira na hazijui hizi Timu.
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 7 сағат бұрын
Tumecheza Tegeta - K/Koo amesha sahau kwao Tukuyu - Uyole. Dar pazuri sana.
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 9 сағат бұрын
Hapana kwenye swala la gamond kibarua kuwa atarini kwakuwa yanga sisi tunataka ubingwa na siyo kumfunga simba kumfunga simba nisawa na kuifunga geita gold au Dodoma jiji ila kocha akikosa ubingwa hapo ndiyo tutaanza kumfikiria kocha
@haydomlutheranhospital3868
@haydomlutheranhospital3868 2 сағат бұрын
Mungu tusaidie yanga sport club tupate point 3
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 11 сағат бұрын
uko sawa kaka kamala ni kipa mzuri ila simba walijua cost ni watoto wao , nakamala alitaka kujifanya kocha wadogo walimsoma
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 10 сағат бұрын
Ila huyu jamaa bana😊😊😊
@AlfredMpepo
@AlfredMpepo 10 сағат бұрын
Arajiga hatumtaki. Huwa ni shabiki wa yanga. Msenge sana . Tena anakula hongo
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 7 сағат бұрын
Kwa hiyo mnamtaka SASII😂😂😂
@MzansiDiski27
@MzansiDiski27 12 сағат бұрын
Kwasababu Arajiga hapendelei wala kubeba ujinga.
@charleslinhege690
@charleslinhege690 5 сағат бұрын
Huyu refa Araziga Yuko kwenye payroll ya uto ndiyo maana mechi zote nne za debi alisimamia Araziga na Simba alifungwa
@salehmussa9371
@salehmussa9371 5 сағат бұрын
Arajiga anazijua faulo wanzofanya Simba tu za Yanga huwahazioni. Kwasababu hio nakuelewa manenoyako nisahh. Ila sio Kwasababu zaidi yahio.
@DindoAbwe-ze8yx
@DindoAbwe-ze8yx 5 сағат бұрын
Yanga na yenyewe iyo ni dua na maombi..kwanza yanga mazembe itamfunga.
@fatherjaytz
@fatherjaytz 8 сағат бұрын
Libya ilikuwa na machafuko??
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 6 сағат бұрын
Nikweli Ushindaji Hata Yusuf Kazi Kepenga Chamwisho Simba Kabebwa Mechi Tatu Hizo Kwa Maelezo Yake Ni Drooo Dodoma Jiji Na Azam Kunatim Nyenge Nimeisaha...ila ina Droooo..4...Pamoja Na Coastal Unian
@PaulinaJoseph-q3k
@PaulinaJoseph-q3k 8 сағат бұрын
Bro aubin kramo hakuwa MVP alikotika MVP alikuwa pacome
@josephgalandu128
@josephgalandu128 3 сағат бұрын
Baada ya tar 19 Ateba atatafutiwa mshambuliaji mwingine😂😂😂
@fatherjaytz
@fatherjaytz 8 сағат бұрын
Kumbe ukija bila discipline na sio ukienda manake huyo mchambuzi ni Yanga
@haydomlutheranhospital3868
@haydomlutheranhospital3868 2 сағат бұрын
Ni ngumu simba kufika fainal ata waende sumbawanga
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 сағат бұрын
ARAJIGA CY REFA BORA. HUWA ANAUPENDELEO SANA KWANI NYIE HAMUONI?
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 6 сағат бұрын
Taifa stars humjadiri shida ya waandishi
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 сағат бұрын
WEWE NDY UTAFUNGWA 3 NA USHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI. KM PANA WACHEZAJI WANAWAWEKA MISUMARI C WAWAFUNGIE MAISH?HAO NDY WANAOHARBU MPIRA
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 сағат бұрын
WEWE MWANDISHI NI MCHOCHEZI SANA
@Babyegeya
@Babyegeya Сағат бұрын
Huyu tahira tu anafanya uchambuzi kimapenzi
@chemstry409
@chemstry409 18 сағат бұрын
Nyuma ya Camera my Love not Nyuma ya Camela....😂
@Ramadhanitwalibu
@Ramadhanitwalibu 6 сағат бұрын
Hilo tunalijua mwamuzi huyo niduka la yanga nakivuli hicho tushakifweka sahivi nikweupe yanga hataakichuchumaa tunawaona wako uchu tu
@anthonysegereti9795
@anthonysegereti9795 10 сағат бұрын
We hazitoshi chuma cha kinyakyusa C mjerumani
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk Күн бұрын
Inawezekana huyu jamaa akatukanwa lakini ni kama yuko sawa asilimia 100
@peterkandaya565
@peterkandaya565 15 сағат бұрын
Jamaa kila kukicha mara CHAMA atalips kisasi,mara akichezesha Aragija Simba anafungwa yaani wiki nzima jamaa kageuka kuwa mtabiri wa utopolo, Si ukachukue tu kadi ya UTO Kama ndugu yako Salamba😂😂😂
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 12 сағат бұрын
​@@peterkandaya565 Acha maneno ambayo Ayana tija km umeona iyo bhas acha kumfatilia😅😅 tulia tu
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 10 сағат бұрын
Hu​@@peterkandaya565huenda anayo utjua vipi ila Pole Kwa maumivu hayo
@sittandaki2135
@sittandaki2135 23 сағат бұрын
Kweli chuma Cha mjerumani
@fatherjaytz
@fatherjaytz 8 сағат бұрын
Kwann unaita watu takataka eti mukwala
@Babyegeya
@Babyegeya Сағат бұрын
Mpuuzi tu
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 10 сағат бұрын
Ateba ni bora kulko dube na baleke? Shika adabu yako
@DindoAbwe-ze8yx
@DindoAbwe-ze8yx 5 сағат бұрын
Uwezi uchambuzi acha ..wewe ni wale wale..kama wewe ni mtani sema ..
@Neema-vh6mp
@Neema-vh6mp 8 сағат бұрын
😂😂😂😂eti subutu
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 10 сағат бұрын
Huyu mchambuzi haelewiki ni fala tu
@omanbarka1588
@omanbarka1588 9 сағат бұрын
Ambokile we ni ngwegwe Ndomana unaongea propaganda tu
@BizzBoy-g4o
@BizzBoy-g4o 8 сағат бұрын
uhalo mtupu
@ScolaGidion
@ScolaGidion 22 сағат бұрын
😂😂😂😂
@boazgodfrey865
@boazgodfrey865 21 сағат бұрын
Acha uchonganish,timu ipo inajengwa usiambukize ujinga kwa watu,hata wakiishia makundi hatumlaum yeyote,tutaanza kuwahukumu mwaka kesho ambapo tunaamin watakiwa wejipata,,,,hayo yapo kila timu inapokuwa inajijenga
@chotark1881
@chotark1881 11 сағат бұрын
Hawa wacha-mbuzi 😅 mbuzi kweli
@TheGreat-lq9tg
@TheGreat-lq9tg 10 сағат бұрын
mburura fc, mkishinda mnasema mko vizuri, mkifungwa mnaibuka na swaga za kujenga timu
@omanbarka1588
@omanbarka1588 9 сағат бұрын
Tushajua mipanngo yanu matopolo hata ungee Sana Tusha ijua mipanngo yenu
@kasumnirashidi1468
@kasumnirashidi1468 8 сағат бұрын
Hata kuandika tu hujui
@omanbarka1588
@omanbarka1588 7 сағат бұрын
@@kasumnirashidi1468 ulilazimishwa kusoma koment kenge we mitege yenu ya upropaganda Tusha ijua manyang'au nyie Tusha itegua
@kasumnirashidi1468
@kasumnirashidi1468 6 сағат бұрын
@@omanbarka1588 subirin tarehe 19 tuwape tena kimoja cha nguruwe
@JabirJabir-c9o
@JabirJabir-c9o Сағат бұрын
Huyu mchambuzi atafute bwana hajui mpira.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 96 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 18 МЛН
🛑God YANGA Madunduka Labda wakaroge kwa P. Diddy TAREHE 19 GARI LIMEWAKA
4:39
YPDSI INTERNATIONAL TV
Рет қаралды 1,6 М.
"LAZIMA TUAMBIANE UKWELI NI PAGUMU MNO" SEMAJI AHMED ALLY HOFU KUELEKEA DERBY
9:01
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН