KISHAPU MKOANI SHINYANGA WAANZA UPANDIKIZAJI WA SAMAKI ELFU 12 BWAWA LA MHUMBU.

  Рет қаралды 82

MUHIDIN MICHUZI

MUHIDIN MICHUZI

Күн бұрын

Katika kuongeza zao la samaki nchini wilaya ya kishapu mkoani Shinyanga imeanza zoezi la upandikizaji wa samaki (12,0000) aina ya sato, katika bwawa la mhumbu kata ya Somgwa wilayani humo
Kaimu Mkurugenzi halimashauri ya wilaya ya kishapu Sabiusi Chaula amesema kupitia bajeti ya mwaka 2022-2023 wameweza kununua vifaranga vya samaki elfu 12 ili kuwawezezesha wavuvi kuendelea kujipatia kipato.
Akieleza malengo ya kufanya upandikizaji wa samaki katika bwawa hilo Afisa uvuvi wilaya ya kishapu Moses Zacharia amesema nikuongeza wingo wa upatikanaji wa zao la samaki,huku Katibu tawala halimashauri ya wilaya ya kishapu shadrack Kengese amewataka viongozi wa vijiji, kata na jumuia za watumia maji kulinda vyanzo vya bwawa hilo.
Nao wakazi wa wilaya ya kishapu wameahidi kulinda na kulitunza bwawa hilo ili liweze kuwanufaisha huku wakiiomba serikali iweze kuwapatia ushirikiano kuhakikisha vifaranga hao wa samaki wanakua ili wameze kuwapatia kitoweo na kipato.

Пікірлер
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 74 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 275 МЛН
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Dhow Countries Music Academy
Рет қаралды 83 М.
Siva Music Feat Willy One - MWENGE WA UHURU (Official Video)
8:32
UFUGAJI WA SAMAKI (SATO) FAIDA ZAIDI YA MIL 4 KWA MIEZI SABA MKADAENDA, MASASI
20:01
MHE RAIS DKT SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA VIONGOZI
3:05
MUHIDIN MICHUZI
Рет қаралды 204
SCALING WITH PRECISION: VALUATION TECHNIQUES FOR GROWTH-STAGE COMPANIES
3:21:24
Financial Sector Deepening Uganda
Рет қаралды 831
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН