Wanakosa Oxygen sababu ya surface tension, Utando unaoota juu ya Uso wa maji sana sana, yaliyotulia ndio maana inatakiwa yachezeshwe Ili surface tension ivunjike
@chayogasperi97839 ай бұрын
Sahihi kabisa .
@amosjose3104 Жыл бұрын
Naomba namba za huyo mzee
@siasasiasa62384 ай бұрын
mtangazaji jifumze kuwa na mtiririko mzur wa kuhoji
@JumaSwedy9 ай бұрын
Ndug mim nahitaji kufuga sato hiv nahitaji mafunzo na maelekezo
@KennethAmman9 ай бұрын
Tunaomba namba mzee
@JumaSwedy9 ай бұрын
Naomba namba za mzee albando au hy kijana nahitaj kufuga samak
@ZubedaAbdallah-s5p9 ай бұрын
Naomba namba ya huyo mzee
@JumaSwedy9 ай бұрын
Ndug mim nahitaji kufuga sato hiv nahitaji mafunzo na maelekezo
@chayogasperi97839 ай бұрын
Uko wapi , nenda Ofisi ya Halmashauri karibu na wewe Tanzania nzima ,, Kuna Afisa Uvuvi nenda onana nae atakupa elimu kuhusu ufugaji wa samaki .
@chayogasperi97839 ай бұрын
Mtandaoni KZbin / Google Kuna videos mbalimbali za watu wanaofuga samaki , angalia nenda kaanze mradi wako .
@JumaSwedy9 ай бұрын
Ndug mim nahitaji kufuga sato hiv nahitaji mafunzo na maelekezo