Рет қаралды 1,994
Muhadhara uliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Jumaa Pangani Tanzania Tarehe 30/03/ 2012 . Mada ikielezea Msimamo katika dini, Je ni msimamo upi? Inshaallah fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.