@StraightPathDawah #RamadhanKuria kwenye Dawah mitaani akishirikiana na baadhi ya wana Dawah kutoka jijini Nairobi. Tafadhali subscribe..
Пікірлер: 111
@EvangelistGichure5 күн бұрын
Ramadhan... Mwenyezi Mungu akujalie neema; uifahamu Biblia ili uitafsiri kwa nia ya watu wamjue Mungu. Sio wawe waislamu.
@chiefmkalikibz15037 ай бұрын
Hai ipo wazi masheikh zangu, na hata wao kwa wao wadhihirisha kwa kukarangana. ALLAHUMMA TUJAALIE TUFE KATIKA UWANJA WA MAPAMBANO BALI SIO KATIKA VITANDA VYETU TUKIWA TUMESIBA #MANDIY. #Armie2Palestine #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah
@MohamedMeja7 ай бұрын
Mashallah mungu awaongozea wakristoo
@Noorein-ws8wk7 ай бұрын
Amiin
@Noorein-ws8wkАй бұрын
Aamiin Yaa Rabb Al a'alamiin
@HamzaAkilimaliАй бұрын
Jibu ni "7:55 Matendo ya Mitume" (Yesu akiwa hata huko mbiguni, anatambulika kabsaa ni Mwana wa Adamu)
@josemu8707 ай бұрын
Barikiweni sana sana
@Ihsankeizer7 ай бұрын
Sheikh leo kuna shida,munabishana na hawa mkitumiya story na fikra badili ya kuwanyamazisha na maandiko kama kawaida yenu.Kuna aya nyingi ndani ya biblia ya kuthibitisha yesu siyo mungu. Hii ya leo imekuwa story. ALLAH awabariki kwa kazi mzuri
@StraightPathDawah7 ай бұрын
Hakujasomwa vitabu au umetazama nusu na kuhukumu?
@nassrasalemu14036 ай бұрын
Qql0) mm@@StraightPathDawah
@AssdfAssd-g3y6 ай бұрын
Akkah bariki kazi nzuri sana mungu awajaakie heri
@aishaali95836 ай бұрын
Subhana Allah sheikh una kazi mungu akupe mwisho mwema
@twaine407 ай бұрын
Hawa uelewa wao nifinyu Sana yaani Mtu yuasoma andiko na Bado yuabishana Sub'haana Allah
@skauly2547Ай бұрын
Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh. Sheikh Ramadhan . Jaribu kujadilia na mmoja mmoja ndio ujumbe ufike vizuri kwa sababu wengine waweka mikutano mingi
@HisMajesty647 ай бұрын
Hao wa leo wamekuja kwa nia ya ushindani na kuharibu muhadhara. Na leo pia utaratibu umeharibiwa na hao jamaa. Musiwakubalie kamwe siku zijazo. Shukran
@fardoshnassor78477 ай бұрын
Mashaallah Allha 💖
@MohammediSemndili7 ай бұрын
Masha allh mungu awabariki nasubir part3 kama itakuwep
@StraightPathDawah7 ай бұрын
insha'Allah
@morallyify6 ай бұрын
Subhanallah
@dominicwafula39977 ай бұрын
Sheikh Abbas amenikosha sana alipo wafunga kwa kuwauliza sai yesu upo wapi na tena kma nani nilingoja swali hilo sana mpaka raha MashaAllah😂😊
@adanabdi52497 ай бұрын
Sawa
@Mimein-vn7or7 ай бұрын
Allah akujaze kheri ya Dunia na akhira.
@seifissa97057 ай бұрын
Yaani hao jamaa mungu awasamehe
@ashrafnuru64026 ай бұрын
Yaaan Bibilia n mtihani
@azizashiundu57787 ай бұрын
Mashallah
@mohamedmaina22797 ай бұрын
Shukuran
@morallyify6 ай бұрын
😊
@prettyaysha78927 ай бұрын
Hii kazi haitaki hasira wallah mm ni mwanamke lakini naskia kugonga huyo wa white aki hata ingekua mm ndio nnafanya hii ningekaa na manundu ya uso kwakupigwa😊
@HamzaAkilimali7 ай бұрын
Huyo Anaejifunika kofia usoni, anaona aibu, kwa ukweli uliomo ktk. Biblia kitabu wanachokiamini. Kubali hamkubali, Yesu si Mungu, yeye alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu.
@morallyify6 ай бұрын
Haoni haya nawe
@HaliaKheri7 ай бұрын
Asalam alaykum 🤲🤲🤲☝️😊
@hythamhashiem44587 ай бұрын
Tomaso ni chizi! hio ni kali
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
NimechekaetiTomato.nichizi@🇹🇿🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@peterthuo14047 ай бұрын
Yaani😢 I can't believe wakristo wanakuanga wamechanganyikiwa hivo😂
@abufirdaus42542 ай бұрын
Hadhahhahaah
@MwanaidyMwambez7 ай бұрын
😂😂😂 subhana Allah yaani binadamu kazaaa Mungu wawakristo daaaa
@hythamhashiem44587 ай бұрын
Hawa niwabishi tu hawana wajuwalo
@zizuphbaya77254 ай бұрын
Haya ni mambo ya wakoloni.
@Adm94647 ай бұрын
Confusion continues. Wakristo hawasikisani.
@MullasKhamis6 ай бұрын
Dalodi
@patrickndichu39057 ай бұрын
Huu upumbavu wa kulinganisha imani mtaacha lini...Mtu akae na imani yake...Mungu mwenyewe ndiye atatendea kila nafsi hukumu yake.
@AzizaNurdin6 ай бұрын
Vita ni Vita muraa
@patrickndichu39056 ай бұрын
@@AzizaNurdin Vita za kijinga hizo.
@dulividuli52376 ай бұрын
Watu washadanganywa snaa sas ni mda wa kudhihirisha Ukweli tu hamn kulinganisha imani hapa ni.ukweli tu ujulikne sio watu kupelekw kibubusa
@patrickndichu39056 ай бұрын
@@dulividuli5237 Mchina si mkisto na si mwislamu lakini ujuzi wa maendeleo anao....nyinyi bakini hapo kwa dini yetu.
@samxx4117 ай бұрын
Huyu jamaa alovaa kofia hajui hata anasema nini?? ilimradi na yeye aseme.
@zainabhussain41147 ай бұрын
Kweli 😂😂
@Ozihamza7 ай бұрын
Bro naona wengine wako na feelings chunga usivamiwe
Yani wamejazwa imani ambayo kwa maandiko hakuna mpaka wanaikataa Bibilia yenyewe...duh! Mtihani kweli na hawa marafiki zetu
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
SubhanaAllah.
@muddathirkassim24077 ай бұрын
Eti yesu alikuwa kwakanisa,,,😂 hata hana haya 😂
@wakeshojana7 ай бұрын
HIYO SI ISHU YA AJABU....HATA WAISLAMU WA MADHEHEBU TOFAUTI HUITILAFIANA JUU YA KORAN.......TAFUTA RUTO AKUPEE KAZI HUNA HOJA.
@abdulJambe7 ай бұрын
Qur'an ni Moja Wacha makasiriko mlaji nguruwe
@StraightPathDawah7 ай бұрын
Sijaomba KAZI labda wewe uje nikuajiri
@sofymoha7 ай бұрын
@@chapchap-oz1ou Quran ni moja dunia yote kwa taarifa yako...then ibada yetu ni moja..dunia kote
@samxx4117 ай бұрын
Hakuna hicho kitu, qurani ulimwengu mzima ni moja tu....labda useme tafsiri inaweza kuwa tofauti kulingana na lugha ya sehemu..lakini qurani ya asili inabaki kuwa ni moja tu.
@mahmudmugarura21757 ай бұрын
@@chapchap-oz1ou mnapotea sababu hamjui maandiko wakristo walio kuepo wangapi wametoa Andiko,,? Chunga usije ukaolewa tena wewe ni mwanaume.mburukenge
@Inagole42337 ай бұрын
Hats kuna wakiristo wanaoituwa Jesus Kama Mchesaji maarufu Wa mpira Gabriel Jesuus,
@akonkwojryorondo45046 ай бұрын
hata kna mwingine anaitwa...jesus navas😂😂😂
@BARUAYAKRISTO7 ай бұрын
Kama nyinyi vidume kweli muweke video yote mnakata mahali niliwagaragaza
@ramadhanchenga46067 ай бұрын
Maustadh hawanaga elimu eti baali yesu ni mtoto wa yesu ujinga kabisa
@badmanno.16506 ай бұрын
Story nyingi 😅😅 maandiko sifuri
@benwambua9027 ай бұрын
Kuria is a kikuyu name,kikuyus believed that their Supreme creator lived in Mount Kenya, this man should focus on his culture rather than going around with the name Mohammed, shouting everywhere to people, we should go back to our roots Africans