Assalam aleykum naitwa Abdulrahman kutoka Zanzibar mashaallah kwa mawaidha mazuri Allah akujaalie kila la kheri "Inshaallah"
@mawabashirgodo91934 жыл бұрын
Masha Allah ,,,nurdhin khishk may Allah reward you from dunia until aakera
@faizanassor63364 жыл бұрын
Mashallah shukrain shekhe mawadha mashallah allah akujaliye afya njema akujalie kila lenyekheri duniani mpaka akhera
@Asmamshihili-pp3pn Жыл бұрын
Mashallah
@hasnahasna60094 жыл бұрын
Shekh tunashkuru kwaelimu nzuri kabisa ,sasa mm ninaswali shekh tafadhali naomba jibu ,mm nipo Oman kdg nilitofautiana namume wangu ata akatokwa nakauli yakunambia mke wangu kama ukipata sehem yakwenda nenda tu kwasababu ata mm kunamipango yangu nafanya ikikaa sawa ntaondoka apa ,sasa bc mm nikifanya mipango yangu kwasiri nikafanikiwa nikaja Oman sasa nilivoondoka akawa ananiambia mke wangu niasira tu mpaka nikaongea vile namm nsina kinyongo nae tunawasiliana sasa uku mpaka miaka miwili ndokurud tena tanzania sasa ndoa itakuwepo apo kwamda uwo wakukaa mbali mbali ivo
@ayubuathumani19184 жыл бұрын
Shukrani kwa kutuelimisha
@OmanOman-zc5dt4 жыл бұрын
Masha Allha mambo mazuri Yalinipita
@mawabashirgodo91934 жыл бұрын
Masha Allah shk nurdhin khishk, may Allah u with more knowledge
@zaitunijuma78314 жыл бұрын
yan kwa izo ndoa za lazim zipo nyingi sn ten sn sheikh jee kwa haw badhi ya waume wanaotak kufanya mapenzi kinyume na maumbile ndoa Ina swihi
@saay42734 жыл бұрын
waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@khamisakidoti50664 жыл бұрын
assalamalykum shekhe mm naitwa hamisa kutoka muscat mm nataka kuolewa lakin hapo katika mawalii ndy sijaelew mana baba yng sio mwislam nab kashatangulia mbele ya haki pia ninandugu zangu ambao tumezaliwa mama 1 wakiume pia ndugu wa baba yng yupo yy ni mwslam lakin awali alikuwa cyo mwislam yaafaa kuwa walii wangu au ndugu zangu tuliozaliwa mama 1
@zainabukanuata65064 жыл бұрын
Assalam alaikum,naitwa zainabu frank kutoka Moshi. sheikh nauliza je kaka ambaye mma yenu mmoja baba tofauti je anafaa kuwa walii wangu
@zulfatdidas3694 жыл бұрын
Hpn mpenz inatakiw kka WA dam upnde wa baba kwakuw uwalii ni upnde WA kiume tu
@hawakiza60674 жыл бұрын
Hafai
@KulwaMurungwani8 ай бұрын
Je ni halali mzazi kupokea posa mala mbili
@khadijamsongo76814 жыл бұрын
Mm nauliza ndug zang katka imani na jee kama mtt siyo wa ndoa anaolewa na je anatakiwa baba yale atoe idhini ya ndoa na yy hakumzaa ndani ya ndoa
@humoudseif33844 жыл бұрын
Ndoa hiyo sheria yke ifungwe na kadhi
@rukiasaid20394 жыл бұрын
Asalaam alhykum naitwa rukia natoka Omani nauliza ikiwa mpo mbali mbali mmoja yupo omani mmoja Tanzania mkiachana inatakiwa ukae eda ya kuachwa?