Haya ndio Masharti kwa kila Anaetaka Kuoa Mke zaidi ya Mmoja. Sh. Nurdin Kishki

  Рет қаралды 4,936

OBA Online tv

OBA Online tv

Күн бұрын

Omar Bakari Almasi online tv

Пікірлер: 16
@SaluwaMamy
@SaluwaMamy 7 ай бұрын
Mungu akupe mwisho mwema
@afric01
@afric01 2 жыл бұрын
Aslm alkm ww... Masha Allah!!!! Nakupendea uwazi Sheikh wetu kipenzi. Kweli kabisa wanaume wengine hata wa fikishe wanne atatafta na watanu. Na shida chungumzima kwake. Allah akulinde akukinge na akuhifadhi. Akupe furaha afya njema na mafanikio. Allah akulipe jannah firdous Kwa hili. Jazakallah kheir 🙏💕💕🌹
@kulwaiddi663
@kulwaiddi663 Жыл бұрын
Allahummah aamiin🙏
@JumasaidBakari
@JumasaidBakari 6 ай бұрын
Sawa
@ibrahimsalim5105
@ibrahimsalim5105 5 ай бұрын
Hio mimi nimekataaa
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 2 ай бұрын
Utakubali kaburini 🤝
@ShamimuAlly-kk7gg
@ShamimuAlly-kk7gg 5 ай бұрын
Yaan kama Mimi
@ibrahimsalim5105
@ibrahimsalim5105 5 ай бұрын
Na mbona kuna hadithi Ya Mtume, swahaba alikua maatatizo alipoenda kwa Mtume Muhammad s.a.w akaambiwa akaongeze mke, aliporudi tena akaambiwa aongeze hadi wakafika wanne
@ViolethMawanja
@ViolethMawanja 7 ай бұрын
Shehe natamani ungepitia kila msikiti kutoa hili somo maana Hawa wanaume watatutia majaribuni na hizo ndoa zao aah hawajaona suna nyingine zaidi yakuongeza wanawake wakati uwezo hawana mwanamke ukiwa na kibiashara chako Basi ndio kinageuka ndio mumeo,mume Hana habari Tena na majukumu yako
@ibrahimsalim5105
@ibrahimsalim5105 5 ай бұрын
Ama uwape kwa hiari yako mwenyewe pia inakubalika lakini sio kuchukua bila ya taarufa
@rahmaabdallah3351
@rahmaabdallah3351 2 жыл бұрын
Assalam alaykum warahma tullah. Samahani ustadhi mimi na sawali na swali langu linasema hv. Mfano mume ameoa mke wapili nahuyo mwanamke nimkubwa kuliko mke wakwanza japo sio maana ya swali langu. Swali linasema ikiwa tunaishi pamoja tunapika pamoja nakula pamoja ikatokea mmoja akauliza swali kwamume na mke mwenzie zaid ya mala tatu wakanyamaza kimya ukauliza tena akaitikia mume na akakujibu kwaukali na ujamkosea kisa lolote lile hii inamaana gani? Au mnakaa sebleni wote watatu lakni maranyingi huwa mmoja wanamuweka pembeni wao wanakaa wenyewe wanapiga stori na kufurahia mwengine anakuwa mweke hii kwenye dini imekaaje? Pia likaja jambo mkaliweka mezani mnaliongelea ukaona mume anavyoongea sio sawa ukamuulekeza likn yeye akakujibu kwa ukali au ukafanya wewr kosa ukakukalipia mbele ya mke mwezio alaf mwengine akikosea anamuongelea kwa upole hii inamaana imekaaj kwenye sheria ya din?
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 2 ай бұрын
Haifai kuishi pamoja mbele kuna uhasama
@ibrahimsalim5105
@ibrahimsalim5105 5 ай бұрын
Kwa pesa sheikh aombe apewe, akitaka aongezewe laminitis kuchukua tu hivyo mimi sijakubaliana na wewe hata kidogo
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 2 ай бұрын
Wewe kelele hujui kitu mwenziyo kasoma🙄
@MohamedMeja
@MohamedMeja 5 ай бұрын
Kishik atoa mambo kwa ushahidii khadithi na quruan hapoo ndio funga tapta
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 2 ай бұрын
🎉🎉😊
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Mambo haya yatawapeleka Wanawake Peponi. Sh. Nurdin Kishki
57:05
OBA Online tv
Рет қаралды 99 М.
HAKI YA UKE WENZA...?
17:47
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 18 М.
#LIVE: MASHARTI 5 YA KUKUBALIKA KWA NDOA - FADHAKKIR
1:58:15
Kishki Online TV
Рет қаралды 8 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03