Asalam alykum, jaman nilikua nataka kuuliza kwenye uislam inasihii kuvishana Pete siku ya ndoa?
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Wakowengi Hawa Ukweli ndoa za kitanzania nyingi zinafungwa kisheria kutokana na kipato kidogo.
@fatmanassoro94443 жыл бұрын
Shekhe samahan jee km mwanaume ameshatoa mahari anaruhusiwa kuishi n huyo binti aliemtolea mahari au mpk idhini n kibali kutoka kwa mzazi km vile kupewa mkono n baba wa binti kwa kunena maneno yale wanayoambiwa wkt wa kuozeshwa?
@salimomarmkapa4 жыл бұрын
Ila kuna kitu sijakitambua vizuri, yule binti unae taka kumtolea posa utatoaje posa bila kujuana nae kwanza na utowe posa kwa idhini yake kama ameisha lidhia? Utaona mtu tu ukurupuke eti nimeona binti flani kwenye familia ya mzee flani acha nitoe posa! Je hii ina mantiki yoyote kweli? Kwanza msichana mtajuanaje na ili upate lidhaa yake hadi kumtolea posa?
@salimomarmkapa4 жыл бұрын
Make mi sikubaliani na haya maswala ya wazazi kutaftia mtoto wao wakumuoa bila yeye kufanya chaguo lake wala hili nalo halikubaliko kidini. Ukifanyia hivo binti yako we utakua mnyanyasaji, hili nalo limeisha pitwa nawakati.