UKIONA DALILI HIZI KATIKA UCHUMBA,TAMBUA NI HATARI

  Рет қаралды 116,953

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 112
@neisamartin4087
@neisamartin4087 2 жыл бұрын
Ah Mchungaji Mmbaga, pamoja na kwamba nimeona na kisikilizwa hii clip baada ya miaka miwili ya wewe kufundisha , umenijibu na kunipa uhakika wa dhamira yangu ilivyokuwa inaoongea na Mimi , Asante Roho mtakatifu, na sifa zote , utukufu na heshima zimrudie yeye Mungu anayezungumza na sisi kwa mamma ya ajabu ili atuokoe na Majanga. Mungu akubariki na azidi kukutumia .Pro Mmbaga.
@nicksoncosmas2486
@nicksoncosmas2486 2 жыл бұрын
Thanks pastor I gain something through your device god bless you🙏🙏
@abednegoaman7861
@abednegoaman7861 4 жыл бұрын
Kaka , you have blessed knowledge. Give a high five GOD
@chachathibias13
@chachathibias13 2 жыл бұрын
Duh akika napenda Sana mahubiri yako God bless you pastor
@tumainsuleman8238
@tumainsuleman8238 4 жыл бұрын
Pastor asante kwa ujumbe huu roho mtakatifu aliokuongoza kutufundisha, ninamshukuru Mungu kwan niliitaji kuingia kwenye mahusiano lakin sikuwa na amani nikifikiria kuanza uchumba na huyo mkaka nashukuru jinsi Yesu alivyonipnyesha na sasa nina amani nasubiria neema yake itende jambo.
@danielpaul8969
@danielpaul8969 3 жыл бұрын
Pole Tumain usichoke kusubiri Mungu ni mwema kila wakat 🙏🙏
@tumainsuleman8238
@tumainsuleman8238 3 жыл бұрын
@@danielpaul8969 Amina
@AmmyChapuga-rg4gs
@AmmyChapuga-rg4gs 4 ай бұрын
Amina sana pastor kwasomo zul balkiwa sana tuzid kuombeana pastor
@antonychalamila8958
@antonychalamila8958 Жыл бұрын
I have learn something thanks God
@rhinakiza
@rhinakiza 4 жыл бұрын
Amen sija chilewa Asante pastor I am blessed with this words of God
@janethsanya4698
@janethsanya4698 4 жыл бұрын
Amen pastor roho mtakatifu utufunulia mengi ktk ndoto nami alinitoa mtegoni kwa ndoto nikashukuru xn
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@eunice3001
@eunice3001 Жыл бұрын
Mm ni Eunice kadii Charo Niko Qatar nikwa ajili ya utafutaji nko single mother niliachhwa na jamaa Kwa MDA wa miaka 8 xaxa xo nashkuru mungu Kwa mafundisho yako napata kitu katika kristo
@justinmwavuo2656
@justinmwavuo2656 3 жыл бұрын
thank you so much mtumishi
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Asante Mtumishi MUNGU Akubariki kwa somo zuri
@miliamuchisunga9333
@miliamuchisunga9333 Жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa Sanaa na somo paster bless you Sanaa.
@happynessjulius4385
@happynessjulius4385 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi maana unaendelea kutibu ugonjwa wangu sugu naamini nitavuka kwa neema ya mungu
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 Жыл бұрын
Amina ,nimepata SoMo kuchelewa lakini mungu aliniepusha na msani mkali kweli ,mungu atukuzwe kwa Kila jambo
@saphinacuthbet1343
@saphinacuthbet1343 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na hili somo.Barikiwa sana Mchungaji Mmbaga.
@FredyJui
@FredyJui 9 ай бұрын
Amina ubarikiwe kwa SoMo nzuri
@ZawadiMsitafa-iw2nj
@ZawadiMsitafa-iw2nj Жыл бұрын
Nnashukuru sana Mchungaji naamini tuliosikia tukizingatia bas,bado tuna nafasi ya kufanya vzr zaid
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 Жыл бұрын
Amen Amen I receive I receive
@filijumayella6724
@filijumayella6724 10 ай бұрын
Kwanza nikushukuru kwa somo zuri mungu akubariki.naomba kuuliza swali.mimi nina mchumba nimedumu nae mwaka mmoja kila nikimwomba kwenda kujitambulisha kwao hakubali na kuwa mkali huku akidai uchumba unapaswa kudumu miaka 7 au 5 je huyu ni mke sahihi kwangu
@AnageletaBakuma
@AnageletaBakuma 7 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe.
@devothafrederick4352
@devothafrederick4352 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, nimeelewa hicho kifungu
@raiskamarais8980
@raiskamarais8980 5 жыл бұрын
Mtumishi mahubiri yako yameniokoa Sana naomba namba zako ilinikutafute unikuze kiroho
@happykilangi473
@happykilangi473 2 жыл бұрын
Ubarikiwe san
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
Hapa umenihubiria mimi mchungaji,! YES mimi nina mwenzangu ambaye tunapanga kuoana lkn kufikia sasa dhamiri imekataa mara mwingi siwezi kuzihesabu na ndoto mara tatu aina moja yani naota ako na mtu mwingine mara ya kwanza kuota nilimuuliza kama pengine ana mtu mwingine akasema NO, mara ya pili nakanyamaza, mara ya tatu nikamueleze hiyo ndoto sasa akaniambia hajui kutafsiri ndoto waaah mchungaji mimi hapo naona wazi naenda kuuma mawe
@marthawaweru6776
@marthawaweru6776 5 жыл бұрын
Kabisa...jipange huyo Ni community someone
@josephsospeter8304
@josephsospeter8304 5 жыл бұрын
kweli
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 жыл бұрын
Heehee Mm pia nina mchumba twapanga kuoana but hapo kwa ndoto ndio bado sijaota,, hivi nasubiria tu nimuote hapo hapo nitamwacha
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@eliabamayi4344 shetani anaweza kutumia sura yke ili akualibie kikubwa funga omba
@happynessmushi5600
@happynessmushi5600 5 жыл бұрын
Mchungaj nimkupenda San na maneno yako mungu akubariki sana
@joyceemmanuel8806
@joyceemmanuel8806 Жыл бұрын
Kweli mtumishi SoMo lako limenigusa sana, vijana kwakwel tuko kwenye changamoto kubwa sana Mungu atusaidie
@stivenmrekatete8381
@stivenmrekatete8381 2 жыл бұрын
Dah fantastic gospel
@happyobeth8599
@happyobeth8599 4 жыл бұрын
Mtumishi ni kweli kabisa vijana wengi wasani saaaanaa mwingine anakuambia anafanya kazi usalama wa taifa mungu atusaidie kweli
@ningwaniraisaie8645
@ningwaniraisaie8645 2 жыл бұрын
Asant past
@jonasjaphetthomas6434
@jonasjaphetthomas6434 3 жыл бұрын
Somo nimelielewa na nimelipena pia! Lakin pia hapo bendera ilipokuwa inashushwa nimeipenda pia wote mlisimama kuheshim sheria ya nch! Daah nzur kwel
@jaluluhando6256
@jaluluhando6256 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana pastor
@winnieshayo1080
@winnieshayo1080 2 жыл бұрын
🙏 ahsant YESU
@joelysaid7417
@joelysaid7417 4 жыл бұрын
Mungu akupemaisha mema ya utumishi unanibariki sana
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 5 жыл бұрын
Amina sana pasta uliasha nifundisha mambo wengi sana nanazidi kukuelewa sana kila siku naposkriza kila hubili lako barikiwa sana kwa kaz hii Mungu alio kupa nausiache kila mda na kila wakati
@davidmmbaga3350
@davidmmbaga3350 5 жыл бұрын
John Saimon Amen
@veronicaenock7292
@veronicaenock7292 4 жыл бұрын
@@davidmmbaga3350 Barikiwa Pasta🙏🏻🙏🏻
@fortnataangelo4805
@fortnataangelo4805 5 жыл бұрын
Wanaume ndivo wanavo penda kuitikiwa ndio ndio,,ukipiga et huna HESHIMA ,,, ATI yeye ni kichwa cha familia,
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 3 жыл бұрын
Hakika masomo haya yananihusu sana mimi barikiwa zaidi mtu wa Mungu
@sabrinakenya2353
@sabrinakenya2353 5 жыл бұрын
Umenena ukweli Mchungaji Mungu akubariki sana.
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 Жыл бұрын
Amina Amina Amina Amina Amina
@winifridamushi3388
@winifridamushi3388 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@lazareasuku9453
@lazareasuku9453 2 жыл бұрын
Ni Kweli 😄 mubarikiwe
@saralucas5634
@saralucas5634 2 жыл бұрын
Kila lenye kheri kwako pastor Hakika jumbe zako ni tunu kwa ulimwengu
@joyceenos4397
@joyceenos4397 3 жыл бұрын
Amen mchungaji
@janethmarko1817
@janethmarko1817 5 жыл бұрын
Nakupenda pastor mbaga Nakuombea kila wakat
@melodyanne3249
@melodyanne3249 5 жыл бұрын
Amen be blessed brother.
@adelinakastory4337
@adelinakastory4337 3 жыл бұрын
Asante mchungaji tupe neno tupone
@deusdedithbyera
@deusdedithbyera 5 жыл бұрын
Amina
@TumainiTostao
@TumainiTostao 5 ай бұрын
🙏
@esthermagashi6044
@esthermagashi6044 5 жыл бұрын
Aminaaa tena ile KUBWA
@beatricemagoko3801
@beatricemagoko3801 5 жыл бұрын
Mchungajii asante kwa mahubirii Yako.. ila naomba kuulizaa wivu uliopitilizaa ndo mapenziii
@esternaftari4553
@esternaftari4553 4 жыл бұрын
Amin naelew mtumishi
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 жыл бұрын
Amen
@nathanielmgimwa3167
@nathanielmgimwa3167 5 жыл бұрын
Amina Pastor
@nicodemusbura7669
@nicodemusbura7669 4 жыл бұрын
Hongera
@thomasphilimonmolel8855
@thomasphilimonmolel8855 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@luciewajesus731
@luciewajesus731 5 жыл бұрын
Ni kweli niliachwa hoi maskini wa Mungu, dalili zote ilini kumba singe weza kuendelea mbele ningekufia njiani, nilijaribu kupa kila kitu kumshikilia lakini wapi ilibidi niachanr nayo.
@lynelee5846
@lynelee5846 4 жыл бұрын
Polee
@danielpaul8969
@danielpaul8969 3 жыл бұрын
Pole Lucie ni wachache wanaotambua hayo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Mungu akutendee muujiza
@deborahsabimbonna8279
@deborahsabimbonna8279 4 жыл бұрын
Hiii ya pili kuusu ugomvi bila sababu nakupata sana kabisa asante sana
@maureenjovial6083
@maureenjovial6083 4 жыл бұрын
Amen asante
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mchungaji yaani yenye umeyanena yote ni ukweli Mm nilikua nikiona hizo dalili kwa mchumba wangu ata kabla hatujaoana yaani namuota amezingirwa na wanawake wengi mara saa zengine tukiongea kwa simu tunakosana bila ata sababu yaani anakasirika kila wakati bila sababu,, tulipoaana ndio nilikuja kuumia kabisaa yaani alinizalisha na kunitoroka kuoa bibi mwengine na tukaachana hivo tu
@janejoseph9009
@janejoseph9009 4 жыл бұрын
pole sana
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Polee sana dear
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 жыл бұрын
Jamani mchungaji mm nitakupata wapi yaani unayo yanena yote yanabigonga,mm sasa natamani nije unisaidie
@markongatunga4520
@markongatunga4520 3 жыл бұрын
Somo zuri mchungaj
@suzymichael5532
@suzymichael5532 5 жыл бұрын
Muchungaji mimi nina mpenzi wangu kila ni kilalanae naota nyoka kilasku ni nikikutananae tu nikilala lazima niote yoka mjungaji nisaidie
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 5 жыл бұрын
kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi! jambo la pili,hapo inaoekana kuna vita za kishetani hapo au ki saikolojia. ili nielewe vizuri,nitafute kwa infomahubiritv@gmail.com
@blandonalema2913
@blandonalema2913 2 жыл бұрын
Ikiwa kwenye ndoa je inakuwaje
@janejoseph9009
@janejoseph9009 5 жыл бұрын
dah amen ubarikiwe mchungaji
@joshuakiwovele8664
@joshuakiwovele8664 5 жыл бұрын
Mungu akubariki
@adelinakastory4337
@adelinakastory4337 3 жыл бұрын
Joshua uko WAP et
@samwelmacharia3878
@samwelmacharia3878 4 жыл бұрын
Napenda somo lako
@nightstarlittlestar4301
@nightstarlittlestar4301 5 жыл бұрын
Amina, na mimi mme wangu ndio huyo wa ndio, ndio bila hata kupinga chochote.
@frankmndeme9277
@frankmndeme9277 5 жыл бұрын
Nice msg pastor
@evalynedenis
@evalynedenis 5 жыл бұрын
MUNGU ASANTE KWA KUNIFUNDISHA KUPITIA MTUMISHI WAKO
@lynelee5846
@lynelee5846 4 жыл бұрын
Nakuelewaaa
@eliasimadaha3333
@eliasimadaha3333 4 жыл бұрын
Nabalikiwa sana na mahubili
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
@sylvesteromariTz
@sylvesteromariTz 4 жыл бұрын
nikweli mchungaji yangu imekufa kabisa
@johnedward8103
@johnedward8103 5 жыл бұрын
ameeen
@emanuelaemanuel3793
@emanuelaemanuel3793 10 ай бұрын
Hii ni kweli jmn mimi boyfrend wang alikuwag ni mkali sana kuna siku nimepoteza tu kalamu ...ugomv ulikuw mkubwa san
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 5 жыл бұрын
Ni kwel baba
@mshamhemed6607
@mshamhemed6607 5 жыл бұрын
amina pastor
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 4 жыл бұрын
Aseee mchungaji huyo inanihusu lbs mahubiri yako niliwahi kusikiza mda lkn imenisaidia kumjua mania
@luciewajesus731
@luciewajesus731 5 жыл бұрын
swali langu ni huwa wana fsnikiwa kweli hawa watu!!!😢😢
@vitalramadhani8577
@vitalramadhani8577 5 жыл бұрын
Tabasamu hiro ni ra kizungu kweli nimeipata huku Australia
@MarkoSamwel-i8i
@MarkoSamwel-i8i 6 ай бұрын
Me natafut mchumb
@janethmwanja7557
@janethmwanja7557 5 жыл бұрын
amina
@shimwekagwiza2300
@shimwekagwiza2300 5 жыл бұрын
Duh, ukweli wasanii niwengi sana, Mungu atupe hekima tu jamani
@georgeperfect5696
@georgeperfect5696 5 жыл бұрын
Amina
@joeljoseph1124
@joeljoseph1124 5 жыл бұрын
Rev ,massage sent
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki kwa mafundisho mazuri mi nilikuwa na Mwanaume hataki umwuulize chochote anachofanya anasema hayanihusu nikaamwua niachane naye imefikia kajenga nyumba bila kuniambia
@annacharlesmabulathissonga179
@annacharlesmabulathissonga179 5 жыл бұрын
Amina sana
@beatricemagoko3801
@beatricemagoko3801 5 жыл бұрын
@@lucykanuti6138 duuuuuuh pole sanaa jmn inauma kwelii
@miliamuchisunga9333
@miliamuchisunga9333 Жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa Sanaa na somo paster bless you Sanaa.
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 Жыл бұрын
Amina Amina Amina Amina Amina
@zuhuramike1399
@zuhuramike1399 3 жыл бұрын
Amen
@agnessevarist499
@agnessevarist499 5 жыл бұрын
Amina ,
@angellamwamlima1498
@angellamwamlima1498 5 жыл бұрын
Amina
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 4 жыл бұрын
Pia ninazidi kufatilia mahubiri najifunza mengi ambayo nilikua hata siyajui
# DALILI ZA HATARI KATIKA UCHUMBA # 5
20:57
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 36 М.
VITA YA MIUNGU (ACHA MUNGU APIGANE MWENYEWE VITA HII)
1:00:19
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 79 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,4 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 22 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA: MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUOLEWA NA MWANAMME WA HIVI HAFAI
27:05
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 163 М.
BADILI FIKRA!! MAJIBU YA SHIDA ZAKO HAYA HAPA!!!!
39:28
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 154 М.
JITAIDI KUSIKIA SAUTI YA MUNGU NA UMUELEWE KITU ANAKUSEMESHA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
6:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 105 М.
1. EPUKA MAKOSA HAYA KATIKA MAHUSIANO SEH 1 (PR DAVID MMBAGA)
29:22
UKIELEWA MFUMO HUU UTAOMBA CHOCHOTE NA WEWE UTAPATA
47:53
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 244 М.
UNAPOHITAJI MCHUMBA ZINGATIA!!!!
24:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 97 М.
DALILI ZA HATARI KATIKA UCHUMBA  | PR. DAVID MMBAGA
21:23
Hope Channel Tanzania
Рет қаралды 482