Ma sha Allah Tabaarakallah Allah atuongozee vizazi vyetu vilivyo hai na vitakavyo kuja in sha Allah
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
Mashallah Mashallah nataman watoto angu wasome alhikma foundation lkn siko Tanzania Mashallah Alla Allah Awafanyie wepesi zitimie ndoto zenu Wadogo zangu😍Mashallah Allah awafanyie wepesi katika safari yenu ya masomo muyafanyie kzi muliyofundishwa na walim wenu Allah aikuze Alhikma foundation Jazakumullahukheir👐👐👐😚😍
@DjumaAsha Жыл бұрын
Allah awajaalie wafike Kwenye malengo yao🤲🤲
@zainabuRashid-pf8cd7 ай бұрын
MASHAALLAH TABARAKA Allah
@khadijahali48373 жыл бұрын
Maa shaa Allah, wadada wanahekma kweli, wadada wazuri pia.
@ismashaakaadiano89673 жыл бұрын
Masha Allah may ALLAH reward jannatul firdows
@naimamunishi12413 жыл бұрын
Masha Allah Allah awahifadh in sha Allah
@abumasoud19963 жыл бұрын
Mashallah Allah awazidishie elimu na upeo wa juu.salamu kutoka uholanzi
@MussaMussa-gf4hv3 ай бұрын
Dah ulikuwa mthn wetu 2019 ila Allah alitusaidia alhamdulillah tukafaulu ,Allah awajaalie mutimize malengo yenu
@asyaasya37663 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ma shaa Allah inafurahisha mnooo nimetamani wanangu wangesoma shule hiyo kama tungekua tunaishi dar
@SwafiyyaMohamedКүн бұрын
Na sisi zanzibar tunaomba tufunguliwe shule nadrassa na maahad za alhikma foundation inshaallah 😢😢😢
@salimmariga1493 жыл бұрын
Ma Shaa Allah...Allah awahifadhi watoto wetu
@ms_caramel26883 жыл бұрын
MashaAllah yarabby nijalie nami kizaz chang
@sakinat25273 жыл бұрын
Amiin
@zuwinaalamri38343 жыл бұрын
Amiin🙏🙏 Atujarie sote
@clickerscyber1553 жыл бұрын
MaashaaAllah....Allah awabaarik vinara hawa, pia aibariki Al-Hikma Girls, na awape Waislamu wote na watoto na viai vyetu mifano mizuri kama haya kuigwa, bali kuizidisha khaswa. Ningeshauri tu, kichwa au mada, ingemulikia faida nyingi MaashaAllah iliyozungumzwa na mabinti hawa MaashaaAllah. Mfano, Umuhimu wa Elimu, ya Dini na Secular, bali pia Changamoto, na umuhimu na namna ya kujipanga khaswa kama kumtegemea Allah, na pia kuitumia kikamilifu neema ilio mbele yetu ikiwemo wakati, umri, waalimu, na fursa nyenginezo, na ulazima wa kujitahidi ili kupata ufanisi bi idhniLlah. Allah awabaarik nyote, pia mtangazaji Al'Akh, na nimefurahishwa sana nanyie hata ningetamani watoto wangu wafwate mkondo huu mzuri MaashaaAllah. Nawatakia kila la Kheyr. Akhuk, AbdulRauf Kamruddin, Mombasa-Kenya.
@skjjsj18893 жыл бұрын
Ma sha allah Allah awahifadhi wtt wetu
@halima25493 жыл бұрын
MashaAllah Allah atuongoze sote na atukuze katk maadili mema kwa kufaidika na elimu zote mbili
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@khadromaftux4672 жыл бұрын
Mashallah nimesoma naye
@a.8563 жыл бұрын
Mashaallah mazingira mazuri sana mlochaguwa yanaendana sana na mada mlochaguwa
@ismashaakaadiano89673 жыл бұрын
Masha Allah bless protect them against all shary walhasad Wal FITNA WAL BALAA ALLAHUMA AMIN THUMA AMIIN
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh kijana wetu #yahyatweitin Maasha Allah Mwenyezi Mungu azidi kutuongoza na awaongoze wengine wote, shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fikum
@sakinat25273 жыл бұрын
Amiin
@humairamajengo66163 жыл бұрын
Mashallah hongen na Allah awatangulie inshaallah
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Watoto wazuri, Allah awalinde
@abuurauzwat10063 жыл бұрын
Dah ! Subhanallah hii pia ndo dini jamani hii duh ! Tuwache ushabiki wa kipumbavu Yani wee mwanao au dadayako au ndugu yako anaenda kuwekwa Apo wanakhanithika eti mtu u asema maashaallah dah ! ALLAHULMUSTAAN.
@rahmamohammed76763 жыл бұрын
Wamaanisha nini ndugu yangu
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Wanao wanasoma shule chumbani au
@assoum_N3 жыл бұрын
Kaka inawezekana ulikusudia kusema kitu kiko very logic lakini uslubu uliotumilia uko very rough, amend your attitude!
@nyatya1993 жыл бұрын
Kama hujui kufikisha acha kukurupuka
@Emedroadtocanada3 жыл бұрын
kwan shida iko wapi hapo
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Allah awajaatie watimize ndoto zao,waje waajiriwe,Alhikma hospital,Aamiin
@Emedroadtocanada3 жыл бұрын
maashaallah vinara ni warembo atar
@zainabmaulidi98463 жыл бұрын
Waalykum salam warhamatulh wabarakatuh Masha Allah tabarakaAllah
@shameelashameela98572 жыл бұрын
Ada yake kiasi gani hiyo shule jaman na jee ina boarding
@shemsaali76462 жыл бұрын
Its depend na kila mwaka, lkn haivuki milioni 2
@ibrahimusaidiy87473 жыл бұрын
Mashallah allah awahifadhi 💗
@nuriyaabuu3 жыл бұрын
Ma sha Allah...ila @yahya tweitin ningependekeza kichwa kingekua cha kuwavutia macandidate wapate kunufaika mana wengi wakifika class 8 ama form 4 hawaendi madrasa eti mtihani wa kitaifa...shukran sana Allah awazidishie kheri
@yahyatweitin3 жыл бұрын
👏
@ibrahimlaiza50863 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@rawnaqalbasti21583 жыл бұрын
Mashallah
@shameelashameela98572 жыл бұрын
Hiyo shule natanimpeleke mwanangu
@a.8563 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah
@thabitimkufi33023 жыл бұрын
Maashaallah alhikma nawakubali
@samwaoo995 Жыл бұрын
Mm nataka nijie kuhusu nasar nije wapi ili jijue utaratibu
@sakinat25273 жыл бұрын
Maa shaa Allah maa shaa Allah tabarak Allah
@karamakhalid27793 жыл бұрын
MashaAllah
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
Nyie siyo masalafi. Wanawake sura zinaonekana. Nicab wajibu.
@rehemamohamed87053 жыл бұрын
Kweli kabisa ni mtihan
@omaryntagala37403 жыл бұрын
Kwani kutokuonekana sura ndo ikoje
@sharifahamisi98123 жыл бұрын
Mmh acheni kuwekeana madhehebu kwenye uislam kwani nikabu inaulazima sana usipoivaa unapata zambi tunaomba aya iliyo lazimishwa nikabu apo mbona wamejistili tu vizuri
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
@@sharifahamisi9812 Hadithi za mtume zipo. Ibnu Khuzaima uk 718)
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
@@omaryntagala3740 Sura ndo sehemu 1 kuvutiwa na mwanaume. Ndo mana hata wanamuziki huwa wanasifia. Jiko lake lege lege, ananifanya nakuwa Bwege. Mashavu yake Dimpozi, na midomo pia. Hatari fitna
@mariammuscat43003 жыл бұрын
Amin
@zulekhajama28948 ай бұрын
Asalaam Aleykum Kishki Online TV - mie ni Mwalimu wa kingeraza hapa uigereza bali huwa nakuja nyumbani kila mwezi wa nane - nilipenda ku volunteer bali hata siku moja kwa wiki nikiwa Dar es salaam kwenye shule kufundisha English in Secondary School. Je tuna pata wapi contact za Head teacher?
@samsungj7pro64gb53 жыл бұрын
MashaAllah Allah awadhidishie
@idarushabib95153 жыл бұрын
How can I register my children? They live in UK, am willing to do whatever it takes to give them deen of Islam. Please tell me the process
@salmaalkyumi60303 жыл бұрын
Contact them, They will give you enough imformation
@hamisiallymwenda51033 жыл бұрын
0718207297.whatsap
@sharifahamoud84713 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah BarakaAllah 😍❤
@simplehomechannel3 жыл бұрын
mashaAllah hii shule iko wapi
@jumanne_mlewa3 жыл бұрын
Temeke Mwembe yanga dar es salaam
@ameyashey31743 жыл бұрын
@@jumanne_mlewa ASLAM Alyekum ada yake sh.ngapi
@simplehomechannel3 жыл бұрын
jazakala khair
@yahyatweitin3 жыл бұрын
@@ameyashey3174 piga no. 0716 020101 kwa maelezo zaidi
@ameyashey31743 жыл бұрын
@@yahyatweitin InshaAllah
@raheemarahman14353 жыл бұрын
Masha llah tabaraka llah mungu atujalie vizazi wetu waje kuw watot wema kam hawa man ilimu yadunia wanayo naya akhera pia na ni muhim mnooo
Kwanini mkaopt wote kutoka combination ya science? Ata kama wa art or business hakuna alopata hio 1st div lkn you had to wahoji them too😂this would definitely convince ata wale watoto walobase zaidi kwe hizo combi zingine as they need to be motivated as well, other than that mnaonesha wazi kwamba masomo mengine si chochote si lolote ni SCIENCE tu, ikiwa umesoma science ww ndi MSOMI lol🙄 you still have that mentality heeeee jamaniiii tubadilikeee masomo yote ni sawa na yote ni muhimu. I hope next episode itakuwa ni artists wenzangu na mamoney makers pia😂😂😂😂😂
@assoum_N3 жыл бұрын
Kitu chengine nataka kumrekebisha chinara cha tatu kidogo😂jamani ata hio art & business zipo wider pia na sio tu science peke yake😥huku pia kuna mavitu teeeeele mpka utashindwa mwenyeo kusoma na sio tu utasoma hichohcho kitu kimoja kama ulivoset mind yako dear😥sawa? Halaf first speaker anajua kujieleza na kujibu masuali vzr MashaAllah😍
@yahyatweitin3 жыл бұрын
😅
@khadija.kkhadija.k78852 жыл бұрын
Mashaallh wa dada
@mbwanadadiabdallah6523 жыл бұрын
mashaallah Allah awahifadh vijana wtu
@sakinat25273 жыл бұрын
Amiin
@hasnahasna60093 жыл бұрын
Nataman kujua ada yake
@mereyamhomesmariamhomes34643 жыл бұрын
Kwakua hii ni ya day nasikwenye milion mbili hivi mana shule yao ya watoto wa kiume iko kigamboni ya bodi ada milioni 2 na nusu
@shemsaali76462 жыл бұрын
Nimemaliza mwaka jana na nilimalizia kwa million 1650000 hivyo nahisi mpaka ss haifiki miliion 2
@ابومعاذاحمدناصر3 жыл бұрын
Waficheni wanawake zenu jakik anuso zao pia katika uchi n asaut zao ni shubha