kama na wewe ndio mara kwanza kumsikia huyu msanii wa nyumbani ukiwa nnje ya nchi na mkoa gonga like
@zakariachense8717 Жыл бұрын
Safi Sana mko vizuri
@MuyangaMipawa6 ай бұрын
Vizur sana Toka buhongwa mama Abi mke wa jangalilage@@zakariachense8717
@manenomwadegu9983 Жыл бұрын
Nakukubari Sana kisima by maneno mwadegu Toto ra kinyiha kutoka mbozi mkoa mpya was songwe pamoja sana jamaa rangu
@naominyaitondi22416 ай бұрын
I salute you baba from Kenya nchi jirani, Ngoma yako ya nzuki tunaipeda sana na watoto wangu hata ka hatuelewi lugha, inaslap sana
@evansvalecx Жыл бұрын
Hko poa sna njmaa jpe Myo swa ❤❤❤❤❤❤hongera sna ndguuuuu
@danielmwaluki88812 жыл бұрын
Tabora hapa, chapa kazi jamaa wenye wivu haooooo
@RamadhaniMponela-o2j21 күн бұрын
Wewe no msanii wa kataifa achana na hao wanaohangaika na ubaji usio na mashairi ya kueleweka honger sana
@SophiaShija-ji6rn8 ай бұрын
Uko pouwa San 🎉😅😅
@msumbasinzi3 ай бұрын
bloo uko vizuri mungu akpe life malefu
@RamsonChamtangi8 ай бұрын
Kisima wew ni nomaa ,kwa ngoma za kisukuma unatsha,pamoja na kaka yetu budgala mwna malonja kule serengeti ni rik roos
@BonifaceMarashi13 сағат бұрын
Nakukubar sana kaka
@PaulKidula-o9g3 ай бұрын
Well done brother
@PaschalLukeleshaАй бұрын
Nakukubali sana kisima
@jevalineouma3905 ай бұрын
Song 🔥 napenda sana nyimbo zako ❤❤
@IvanorassMhanga Жыл бұрын
Nakukumbali sana mwanang mimi nipo DaR nakini ngomazako naziftiliya san kaka kaza san😂
@selemaniismail44062 жыл бұрын
Upo vizur kijana kila kheri kwako wa jamii yetu
@nasrahassan73462 жыл бұрын
Kazi iendelee ulimba jisumba gete natapenda kusikiliza nyimbo zako nafalijika nikiwa oman
@immateimma96042 жыл бұрын
Kazi zur Sana Kaka nakuamini piga kazi broo
@JoelMasele-uc5yq Жыл бұрын
Uko sawa kisima hata huku Kenya tunakupata vizuri obheja saaana
@abelygeorge2 жыл бұрын
Nakubak
@PauloMihayo-zb3cs Жыл бұрын
Kazi nzur🤝🤝🤝
@wanzokiwanene79312 жыл бұрын
Kama umekubali nyimbo hii gonga like hapo twende sawa
@cleofacemakota11412 жыл бұрын
Daaa umefunika mze baba
@johnkilogeja72962 жыл бұрын
brother piga kazi wataona vumbi tyuu mtc tz
@mikailmasham26022 жыл бұрын
Sipitwi na ujumbe wako mt c. mashamba wa mashamba from kaliwa tabola
@millardtz6493 Жыл бұрын
King of New generation 🔥
@homevideozproduction4782 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kijana
@jilalagenhinje71672 жыл бұрын
King wa nyimbo zenye ujumbe wataendelea kufata nyayo
@kisimamajabala1352 жыл бұрын
Asante
@petermagwala68722 жыл бұрын
Unanikoshaga sana kisima
@JoyceSindibu7 ай бұрын
Nakubali hiyo shoo
@jumastephano26886 ай бұрын
Nakubali sana kaka piga Kazi
@mugishamajeba96282 жыл бұрын
mwabeja sana mudogowane
@toweman64842 жыл бұрын
Mziki mzuri ujumbe sana saf sana kijana keep it up
@arrymagembe-lm1si Жыл бұрын
Kaka unafanya vizur sana nakukubari sana pande za mwakitoryo
@jumahalifa64362 жыл бұрын
Hao wadada wananikosha
@lucascharles36122 жыл бұрын
nimekuku bali broo
@mashaboyjategi4862 жыл бұрын
Noma sana msanii mwenzangu
@SalomeSai9 ай бұрын
Kwann jina la dada angu neema aa mama bry neema ppte ulipo chukua hiyo
@mohamedibrahim73162 жыл бұрын
Songa mbele kisima wetu mpaka mungu aseme mwenyewe kwanba Rudi nyuma Kama bado kusema chapa kazi
@jthedjmusicngudukwimbatv77072 жыл бұрын
Niite j the dj music pande za ngudu kwimba mwanzo mwisho kazi juu ya kazi tumeshaipata hyo
@DanielSamweli Жыл бұрын
ongel sana kwa nyimbo nzuri naikubar san
@RamsonChamtangi8 ай бұрын
Nice
@marcokasuka1052 жыл бұрын
Hongera father mapyamapya du
@leahdaud14932 жыл бұрын
Wasukuma tuko juuuuuu❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@teddyemmanuelyemailteddyemmanu Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@mayalazebedayo71992 жыл бұрын
Toka lulembela mashabiki zako wanataka kwa mwaka uwe unakuja Mara 4 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kisimamajabala1352 жыл бұрын
Asante
@msumbasinzisinzi47682 жыл бұрын
Nakbari Sana bwana Kaka tubebe wasukuma
@leonardibawa4868 Жыл бұрын
Uko vizuri sana unafundisha jamii
@furahiamtandao53352 жыл бұрын
Pamoja kaka me piah Niko njian nahtaji sapot
@SixtusMasota Жыл бұрын
Nyimbo za kisukuma ni nzuri
@josephndekele35862 жыл бұрын
Kazi inaendelea. Niko macho muda wote kufuatilia nyimbo zako zote.
@angelobundala3468 Жыл бұрын
Oya mwanangu unajitaidi sana keep it up brother ongeza ubunifu usiige sana waliopita mziki wako uko tofauti ndo maana watu wanauzimia
@maickokoronelimaickokorone60052 жыл бұрын
kisima nakupenda sana baba ipo nitakuona
@joelkahuya67192 жыл бұрын
Nakumbuka tuliwahi kusota siku Moja Nyaumata na nyimbo yenu ile ya Frola na mimi nikiwa na single ya Ligembe neshule dah! shoo haikua na hela tukaambulia zero, ila hongera mwanangu kwa kuendelea kukaza hatimaye leo k2 kimeeleweka.
@yehoshuadontayali99132 жыл бұрын
Safi sana wamwise hapo kazi tu.
@berithaemmanuel53632 жыл бұрын
Kazi nzuri brother nimeenjoy tuko vizuri wasukuma jamani
@GeofreyJohn-d2g Жыл бұрын
Ogeza bidii kaka angu nimeenjoy san
@yohanamathias63262 жыл бұрын
Nifurahi Sana huu wimbo maana kuna wadada waziguaji sana
@youssoufadaoud47132 жыл бұрын
Santé sana Ndugu zetu... Wana mziki...Gnororo..Y.
@petersegeja20662 жыл бұрын
Woooooooow..... Super kisima... Imefundisha San hii... Naiskia kutolea Zambia
@piliramadan8752 жыл бұрын
Upo Safi sana brother kwa nyinbo
@salujohn76792 жыл бұрын
Kazi nzur MTC Mungu akuongoze kwa ujumbe mzuri
@michaelmosiany99752 жыл бұрын
ebwana ngoma imeweza Sana unauhusiano wowote na.hbaba a.kaa,sunami nijibu
@engobeid29437 ай бұрын
KAZI KAZI jiran
@johnnkelebe73602 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana. Hongera sana kwa nyimbo ya #kisukuma kabila langu.
@budaganzagabulu17562 жыл бұрын
Hongera .....kisima kazi nzuri😎
@suleimanigwashuguri78722 жыл бұрын
👑👑👑👑👑 hakuna hakuna mwingine hakuna huu mwaka nakupenda sana kiongizi pamoja na dongo chura mwambie tunataka video karbu sana MAJI MOTO 🙏🙏🙏
@kisimamajabala1352 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mathias58682 жыл бұрын
Nakubali
@denischarles64092 жыл бұрын
Nakukubali Sana brother kwa nyimbo zako au kwa kazi zako
@josephmwaka6722 жыл бұрын
Nakupata kutoka Kenya na inapendeza.tudfasirie kwa kizungu angalau tukicheza tuelewe ina maana gani.nabambika tu aise. 💕
@jumajulius26662 жыл бұрын
We ni hatari kisima
@allan37232 жыл бұрын
OBADALAHAA PWEE BAYANDA BA MZENGOOOO.ujumbe mzuri
@allionphiri27012 жыл бұрын
I love the video, despite having not understanding the language,, from zambia
@sylivestermachunda64272 жыл бұрын
Umesomeka vizuri Nyanda M
@getrudemasesi32032 жыл бұрын
Ongera brother kwa nyimbo nzuri
@wanzokiwanene79312 жыл бұрын
Sijawahi kupenda nyimbo ya asili yeyote kwa hii umenifanya nianze kufuatilia uko vzri kija
@emmapeterink61532 жыл бұрын
nyimbo kali jamani
@NeemaMethodia10 ай бұрын
Kwanini neema😢😢
@nkoslatimwanyangala93332 жыл бұрын
Asante umeweza kuwavisha wadada hao na uchezaji wao hapo kazi kazi ila wa kaka umewaangusha mavazi
@ezeedi8712 жыл бұрын
Broo toa remix ya iyo nyimbo kwa kiswahil ni bonge moja la ngoma
@genelnchera56072 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana kaka tuzo inakuhusu wasukuma oyeeeeeee!
@jenkinssianyuka1656 Жыл бұрын
I love your songs ,great sounds son of the soil
@boazimaganga2 жыл бұрын
1 nyanda majabala
@rubenmsase35082 жыл бұрын
Nooma sana hao watoto Ni wasukuma kweli?
@mathias58682 жыл бұрын
Nakubal San
@kakasteve71172 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana. Kwenye kiitikio ndio umevunja ni nomaaa
@ZidaAbuu Жыл бұрын
Milemo ya wiza sana natogwaaaaaa😂😂😂😂😂 yan oo neeema
@MarwaMarwa-br9dy2 жыл бұрын
Wimbo mzuri, sauti nzuri, ujumbe mzuri ila kwenye korasi wameharibu
@jaffaryrashid23662 жыл бұрын
Shemejiii
@kwilasacharles17472 жыл бұрын
Hakika tunafarijika sana sisi wasukuma tulio uhamishoni big up sana kiongozi 🙏
@samuelobiegbu39602 жыл бұрын
Amazing, i love your muzik bro
@isacksamwel4972 жыл бұрын
Kaza boti my brother 🔥🔥🔥🔥
@alhassankamama78812 жыл бұрын
You guys are one of the best in Africa this is AL-hassan from Sierra Leone
@CharlesBTz-lc4se11 ай бұрын
hiii kisima unatisha saana
@youssoufadaoud47132 жыл бұрын
BJ... Bels Rythmes depuis fort lgtemps...Youssoufa amateurs en Combi -. Couple...shows..
@emmanuelmbako3262 жыл бұрын
Hongera Miami unajitahidi
@adamucharesi71362 жыл бұрын
Nakuamimi kijana pambana gude hakuwez
@jastinandrearwesabura142 жыл бұрын
Hii ndio tofauti yako na wasanii wengine wa nyimbo za asiri story inaendana na video na pia upovzuli Katika utunzi 2nakkubali saana pambana kisima nyanda majabala
@jamesngatia10202 жыл бұрын
Good songs.keep it up
@tubekesupperj19652 жыл бұрын
Umetisha sn kaka
@juliuskhan51342 жыл бұрын
Tupo pamoja
@johnmelikiory12002 жыл бұрын
Nakubali 👑 of melody
@dradamswayneawmedicallabs52912 жыл бұрын
EXCELLENT MUSIC AND PERFECT DANCE
@deejaywillyking2542 жыл бұрын
I like your songs even though sielewi kisukuma but am in love with your music
@Sounding.the.trumpet2 жыл бұрын
Great amazing job,wabeja sana,unatuwakilisha wasukuma.keep teaching the world about marriage and life and God continue expand your territories in Jesus’s name.safi gete .much love all the from London-UK,proud to be a sukuma.