Hivi majitu kama haya yanaporudia clips kama hizi huwa yanajionaje?Muda si mrefu Yanga ameshinda game ngumu dhidi ya Al hilal,je huyu mchumia tumbo anaonaje maneno yake?
@YusuphAlly-y9o5 сағат бұрын
Simba juuuuuuuuuuu
@xaverykihwili5775 сағат бұрын
Simba yuleeeeee!!! Yanga anajikongoja
@JosephKulwa-rc7en4 сағат бұрын
Chemalon wampumzishe
@SelemaniJuma-h6g4 сағат бұрын
She Malone aondoke hana sifa kuichezea Simba
@KhadijaYahya-f6b5 сағат бұрын
Malone anakera jaman sijui kwann kocha anamuanzisha yy
@fedinandnjeleka41024 сағат бұрын
Ameshatoa asist mbili kwa adui kimataifa awape wengine nafasi
@BeatriceZakaria5 сағат бұрын
Chemalon ametuumiza sana leo tulikuwa tuna shinda goli 1 bila
@MwajumaNgaruma5 сағат бұрын
Tumsamehe ,, Cha msingi tushatinga robo
@charleskuyeko44004 сағат бұрын
Miaka 5 mflulizo na hii ya 6 Robo Fainali.
@husseinmayani73914 сағат бұрын
Kiukwel anaboa haiwezekan makosa yqko yawe ya kuchomesha tu namna moja anazngua sana
@YaaquobFonga5 сағат бұрын
Tuwaombee tusiwaombee.....
@RashidHamis-o6w4 сағат бұрын
Huyu chemaloni ata mtoto mdogo anayajua makosa yake, yani makosa yake yanajiludia kwa kila mchezo, wanasimba huyu Hana sifa ya kuichezea Simba ukweli ndio huo, kama tutamn'gan'gania IPO siku atakuja kuliza apigwe chini.
@ANNAMAYENGO5 сағат бұрын
Tumwombeeee jiranye2
@MwitaHassan-x2t4 сағат бұрын
Labda tumuombee afungwe
@emmanuelkarwana45065 сағат бұрын
Uyu mzee hajuwe mupira kweli nikuongeya matope tu
@raymondmilanzi5 сағат бұрын
wew mbona hujui kuandika?
@BahatiMtavangu-y7c4 сағат бұрын
Chemalone aondoke,
@BakariTlagha4 сағат бұрын
Chemalon na kocha ni mafala tu kaharibu mara nyingi tu ila anamrudisha hakuna wengine?
@YohanaSingano5 сағат бұрын
Ila shemaloni ameniuzi Leo duu anatakiwa ajilekebishe
@KhadijaYahya-f6b5 сағат бұрын
Hii ni mara ya 3 nadhani anatuchomesha
@Ramadhanilawoga4 сағат бұрын
Una matatizo ya afya ya akili yanga inafuzu ni duala la muda tu
@raymondsekabigwa59075 сағат бұрын
Mwambie back wenu kosa lake linajirudia rudia ana nini?
@Ramadhanilawoga4 сағат бұрын
Subiri uangalie mpira ea vidume siyo wewe unachexa na timu galasa zilizo nafasi ya 2na3 unasema nini