Рет қаралды 5,935
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo
-Milipuko ya mizinga imeutikisa mji wa Goma, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kutoka kundi la waasi la M23 kuingia mji mkuu huo wa Mkoa wa Kivu Kaskazini.
-Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutoa wito kwa nchi za kiarabu wa kuwachukua wakimbizi wa Kipalestina, Wizara ya Mambo ya nje ya Ujerumani imesema Watu wa Palestina hawapaswi kuondolewa katika Ukanda wa Gaza.
-Na viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuongeza muda wa miezi sita wa vikwazo vinavyolenga kuinyima fedha Urusi kutokana na vita vyake nchini Ukraine.
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Januari 27, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari