Dalili za ukomo wa Hedhi
3:39
16 сағат бұрын
Israel yashambulia katikati mwa Beirut
1:04
Ingekuwaje kama mwezi ungepotea?
1:02
Huwa unazitupaje takataka?
1:02
Күн бұрын
Namna polisi walivyomkamata Mbowe
1:46
Пікірлер
@TrustElbashil
@TrustElbashil 4 сағат бұрын
daaaa
@JacobernestMlula
@JacobernestMlula 6 сағат бұрын
Ni hatari
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 7 сағат бұрын
Pole sana ndugu zangu wa Congomani 🇨🇩 .Uho ni uzaifu wa serikali.
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 7 сағат бұрын
Waislamu tunajuwa nyie kazi yenu ni kulialia kupigana na lsraeli naawa na kupigana na mungu
@MarckMasaki
@MarckMasaki 7 сағат бұрын
Ila. Izrael ilipigwa hamtangaziau mnawaogopa hao mashoga
@ssenlubi1163
@ssenlubi1163 7 сағат бұрын
Magharibi ndo walivo vitu vyao huwa wanavikuza sana..... story zao mara nyingi hua hazina uwiano. t
@isayamwambene6522
@isayamwambene6522 9 сағат бұрын
Hapana. Si vizuri kuua kiumbe hai maana Mwenyezi Mungu alifanya kazi kubwa sana kuumba. Ivo nikutafuta namna ya kuwafukuza Mbu katika eneo lisilo takiwa.
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 12 сағат бұрын
Usalam wa inchi yako unalindwa naweye mwenyewe sio usalama wako uhakikishwe na marekani thubutu
@JumaParmayo
@JumaParmayo Күн бұрын
Lakini mtu aliye anza shida hii ni Raila
@GibishiMadaha
@GibishiMadaha Күн бұрын
Poleni Sana wapendwa MUNGU awatie nguvu
@JosephEkidor
@JosephEkidor Күн бұрын
Wivu ndio mbaya
@JosephEkidor
@JosephEkidor Күн бұрын
Good news 😂😂
@TumainiMunale
@TumainiMunale Күн бұрын
👍👍👍👍
@LameckOtuomameshack
@LameckOtuomameshack Күн бұрын
KENYA ni nchi chafu sana kweli makamu wa Rais anasema serikali ni kampuni kweli anayo akili sawasawa . Huyo makamu afukuzwe
@SUZANASUZANA-ku3jk
@SUZANASUZANA-ku3jk Күн бұрын
Asante
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Күн бұрын
Mbona viongozi wa kiafrika ni kama wakolini tena wanaiba Hela wanaenda kuweka ulaya Wana watesa wa afrika wenzako nchi Toka zipate uhuru maji tu shida waki ingia madarakani hawataki kutoka wabadili katiba wanajiongezea muda kuongiza yaaani ni maajabu tu
@rosemarykipesha4242
@rosemarykipesha4242 Күн бұрын
Dr. Vipi kama umetoka kufanya tendo la ndoa je nisahihi kusafisha uke ndani au usafishaje baada
@ShijaJafari-o8s
@ShijaJafari-o8s Күн бұрын
Rest in paradise for guys
@MtotoKanya
@MtotoKanya Күн бұрын
Nini.kîatotekea.ivita.muhandixi
@Awezae-w8o
@Awezae-w8o Күн бұрын
Bwana ally Mali mungu akulinde kaka umeongea Kweli nakuweka mambo yote wazi Africa viongozi wengi Ni vibaraka Na wengi Ni manafki nakujiangalia wao nafamilia zao nandio maana umaskin ningumu kututoka maana myoyo ya viongozi wetu bado nimbaya
@NashriAbdalah
@NashriAbdalah Күн бұрын
Dw mnasikika vizur
@ZakariaYahya-c3n
@ZakariaYahya-c3n 2 күн бұрын
Kumbe Israil ana wivu kwakua Iran iko na mafuta napige majeshi isipige mafuta
@IsmailBagayabakwe-bb1pl
@IsmailBagayabakwe-bb1pl Күн бұрын
Wewe jeshi ya israeli inanguvu kubwa sana kuliko iran sana zaidi israeli alisha pigana vita mengi sana zaidi
@kevicristian2738
@kevicristian2738 Күн бұрын
Kunywa maji ukalale😂😂😂​@@IsmailBagayabakwe-bb1pl
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 күн бұрын
Endapo Israel itajibu mashambulizi Iran Iran isijaribu itashidwa vibaya
@SamsonChipata-ov9ml
@SamsonChipata-ov9ml 2 күн бұрын
Nawapata vizuri sana
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 күн бұрын
Inchi ngumu sana iyo Korea kaskazini
@LoipllOnhye.Mama.Claudi
@LoipllOnhye.Mama.Claudi 2 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu okoa wanao👏👏👏
@Ndambatvshow
@Ndambatvshow 2 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5y2aGiCeZVnosUsi=UglJunN9EHJ8PPic
@NeemaBeny
@NeemaBeny 2 күн бұрын
😭😭😭polen jaman wanakongo
@SuzyRobert-d3i
@SuzyRobert-d3i 2 күн бұрын
Poleni San
@HeryethAleck
@HeryethAleck 2 күн бұрын
Sjapenda waandishi kuuliza watu nani kafa 😢😢
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 2 күн бұрын
Wakenya wanaiharibu nchi yao,ukabira tu
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 2 күн бұрын
Poleni sana allah awape subra wafiwa
@HawaOman
@HawaOman 2 күн бұрын
Poleni jamani mungu watendee uponysji
@RajabuAbdi-rs7sp
@RajabuAbdi-rs7sp 2 күн бұрын
😂😂innalillah wainaillah rajuun
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 2 күн бұрын
Wa Africa ni wakufa kufa tuuuu tatizo la wa Africa liko wap Tuna angamia kwa kukosa maarifa
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx 2 күн бұрын
ww si uchambuzi
@jailosjoel
@jailosjoel 2 күн бұрын
Mungu wasamehe watu wako
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 2 күн бұрын
Kwan wame mkosea
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 күн бұрын
@@OnesmoEphrata hakuna asiemkosea mungu, kwaiyo tunatakiwa kuombeana msamaha kwake mda wote.
@Saidi1581
@Saidi1581 2 күн бұрын
😭🇨🇩Najisikia maumivu makali sana mimi kama mkongo hasa nikitazama ambacho kinaendelea katika inch yangu, Sina la kufanya namwachia Mungu aliye juu mbinguni tangu Ukoloni mpaka sasa ni miaka 30 wakongomani tunaishi maisha ya shida vita watu wanaendelea kufa kila siku Mungu ni wewe ndiye uliye tukabidhi inch hii tajiri lakini kwa ajili ya mataifa mengine yameuza mali zetu zimekuwa laana kwetu sisi wakongo .
@ChrisJohn-w5z
@ChrisJohn-w5z 2 күн бұрын
Mungu Awe Mfariji Wenu,Baba Zetu Waliamuwa Kukimbia Nakuwa Wakimbizi Kwenye Inchi Jirani Kuhu Tanzania,Tumezaliwa Ukimbizini Kwa Ukosefu Wa Amani Inchini Kwetu Eeh Mungu Kongo Yetu Hilikulaga Vya Nani?? 😭😭😭🇨🇩🇨🇩🇨🇩Ndgu Zetu Wataendelea Kuisha Tu Nimeumizwa Sana Kweli Kuna Muda Tunatamanigi Kuona Inchi Yetu Lkn Kwenda Kongo Nikama Unaenda Kutafuta Kifo Chako Mungu Okoa Kongo Yetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭
@Rehemaponera
@Rehemaponera 2 күн бұрын
Pole sana ndugu. Inauma sana. Baki tu hapahapa Tanzania 🇹🇿. Sisi kama watanzania tunawapenda jirani zetu , Mungu asimame katika yote
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 2 күн бұрын
so sad
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 2 күн бұрын
Poleni sana yaarabb wape subra wafiwa na uwaponye wale walio nusurika yaallah
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 2 күн бұрын
Poleni sana wakongo KWANINI wa Africa ni wakufa kufa tuu jamani ajali Zina tumaliza eet EEH MUNGU TUSAIDIE 🌹🌹🌹🙏🙏🙏 MAXXAWE wa TANZANIA
@birangwaphilip1736
@birangwaphilip1736 2 күн бұрын
Philip kutoka marekani poleni sana dungu uko goma.
@Jitenge98
@Jitenge98 2 күн бұрын
MAKIWA ,
@jumaseif4263
@jumaseif4263 2 күн бұрын
Dunian muuwaji mkuu ni marekan ambae hana huruma anajali maslah yake tu kuna wasom lakin ni wasomi wa kumwaga dam ni vigeugeu wanaocheza na akili za watu mungu awalaan watu hawa
@NnalaNsangalufuMwangati
@NnalaNsangalufuMwangati 2 күн бұрын
Poleni sana ndugu zetu 😭😭🙆
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 күн бұрын
Mnapenda vita ss wtu wamekufa kwa maji mnali
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 2 күн бұрын
Wape pole ww ndio nn sasa nyoko
@NajmaAmir-j9x
@NajmaAmir-j9x 2 күн бұрын
Huna unachokijua funga mdomo unajua vita vya Cong vimesababishwa na nn
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 күн бұрын
@@NajmaAmir-j9x bits ni vita tu hata kama angedababisha babu yk
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 2 күн бұрын
SASA wewe umeenda ulaya kuna mambo mangapi ya kuwafundisha watanzania wewe hembu toka
@Awezae-w8o
@Awezae-w8o 2 күн бұрын
Nyie wa Congo kwanini chochote Kile mnashindwa hata miondo mbinu ya Bara Bara mnashindwa kwani hakili Amna ao Ni roho zenu mbaya Kila mtu serikalini anajiangalia mwenyewe Na familia yake basi gaweni inchi
@GodfreyMagembe-yw9or
@GodfreyMagembe-yw9or 2 күн бұрын
Polen Bhatu ba Congo
@SazafKiba
@SazafKiba 3 күн бұрын
Polen sana ndugu zetu congo mm sazaf kutoka Zanzibar