Follow the Kiswahilitvonline channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Va8vvFmDOQIguahdWK2Z
@rogerabdallah43923 күн бұрын
Filimasoni mwenzake
@FortunatusDanielАй бұрын
Jamaa kafanana na Erick Omond
@JanetOchieng-z3qАй бұрын
Ukweli kabisa
@ShamsiMbago-n2qАй бұрын
Ewaaaaah mwanzo nkajua yy 😂😂
@blessedone3156Ай бұрын
Kabisa😂😂
@AkinyiTheKenyanАй бұрын
😂😂😂😂
@SELINENYANGARESIАй бұрын
Kweli
@vanvickermoviemakau1960Ай бұрын
Kama akona mtoto wako,unamwambia unataka mtoto wako,unafikiria huo wakati wote mtoto amekuwa akila Nini,akivaa nini,akiishi nini?Kama haukuwa na lengo la kumuoa,bona ukambebesha mimba?kwenda huko una mdomo mwingi.Watumishi wa Mungu hawapayuki hivyo.Akikushtaki hizo nyakati amekuwa akilea damu yako,utaweza kumlipa.
@DinahMwadimeАй бұрын
@@vanvickermoviemakau1960 Huyu kama ashtakiwe kwa kumteleza mtoto na aanze kujukumika kuanzia sasa .Na domo lake afunge na ajivue utumishi ajirekebishe.
@RoidaMbembaАй бұрын
Kweli mungu anakazi kubwa sana Hata huyo mtoto najua atakukataa Kwa sababu hukumjali Leo Martha kafika hapo mnajifanya kuongea sana,laana zenu hazina maana yoyote,mngelaaniwa nyie kwanza,siyo Kila mama anania njema na mtoto wake,angekuwa hana maisha msingehangaina naye,Martha jifunze kunyamaza.
@Osm90-m3jАй бұрын
Hakumtelekeza Bali u Msikilize kwamba alimzuia😂😂😂😂😂 Dunia simama nipande @@DinahMwadime
@margaretmkangala7774Ай бұрын
Nakutakia safari njema ya Kenya ila usimsahau kumbariki mkwe wako mapema
@MathayoAlfredsaruniАй бұрын
Huyu na yye ni mbovu kabisa.. anatafuta kik tu.. huyo mtoto anafikiri alikuwa anaishije.. na hana hata aibu kuongea utumbo mkubwa kama huu..maanake na yeye ni mzinzi tu..mtumishi gani anawatoto nje ya ndoa yake ?? Saivi kila mtu anamsapoti shetani sana ila martha mwaipaja aanguke..lakini aishivyo Mungu martha atakuwa salama.. na tujichunge sana na midomo yetu hii.. itatuponza. But for now martha azidi kunyamza na tutajua maadui zake apa hapa..
@marthaayuma7065Ай бұрын
Martha .hii ni vita Kali Sana🥺🥺nacho amini mungu hatakubali uangamie dada😢.mtetezi wako yupo.bora Tu ufungue moyo wako na mungu atakulinda.msaidie mamako.ukilala ukiamka kumbuka mamako .kwa lolote lile .mkumbuke mama😢.mkumbuke Tu mama....kumbuka mama ni dhahabu .katika maisha yako..mama ni funguo katika maisha yako.
@zeliphangubia6844Ай бұрын
The more Martha is being said, the more am loving her
@annmuringo8438Ай бұрын
Martha is high time to speak out or ignore everyone and reconcile with your mum only
@femidayahaya9293Ай бұрын
mbona kama hili linaniingia akilin mana john said analalamika kwamba martha hatak nimuone mtoto wang..bc ukute kwel ni mtoto wa huyu Dr kairuk ee YESU msaidie da martha jmn😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@LovintaAdhiamboАй бұрын
Hii nywele si ya mtumishi wa Mungu...a Man who has long hair dishonour himself.
@AnnaKimeyАй бұрын
Ni kama kana ukimwi
@joyprintspro3845Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂.!
@MariamKaremboАй бұрын
Wewe nawe kwani nywele yake yakuhusu na nini??? Sikiliza chenye anasema lkn jitho lako limepita Moja kwa Moja hadi kwa nywele akhya😂😂😂😂😂😂
@witnessmallya5114Ай бұрын
Ndo maana hawa watu wanaojiita walokole siwaamini na siwaelewag kabisa😅 mchungaji anafanya usinzi na mwinbaji yaani ni uchafu mtupu alaf unasimama madhabahuni unajifanya unawekea watu mikono na unajiita nabii, huyo Roho mtakatifu ni wawapi... Looh jaman tumtafute Mungu kwa nguvu zetu kwa kusimama na kuomba rehema wenyewe sio miujiza nadhan tumejionea hapaa😢😢😮
@MargaretChengo-qg3rwАй бұрын
Exactly, na bado anakuja kuongea na ujasiri wake wote jamani🤭🤭 Mungu atusaidie 😢
@PamelaHezronАй бұрын
Huyu si mchungaji bwana mchungaji hawezi jitanabaisha kuwa alizini.
@SaraSara-i1lАй бұрын
Bora waabudu mizimu😂
@neemamdami7466Ай бұрын
Hayo ni mambo ya ujanani na Mungu ukimuomba msamaha anakusamehe haijalishi huko nyuma ulikuwaje
@JAPHETJOSEPH-b6e14 күн бұрын
Duuuuuu,,,,,wokovu upo ,,walokole wapo ,,,huyu paster simwelewi.
@josephinepaul6169Ай бұрын
The more anaaibika the more nazidi kumpenda na kumuombea.Mungu asipungue kwako Martha. Mungu ndie mwamuzi
@slowmeditaterАй бұрын
Mungu aruhusu watu wa hekima wamzunguke Martha kwa sasa, hata kama Mungu anamrudi basi asiruhusu akose uwezo wa kujizuia na huu uchungu katika hii moment 🙏🙏
@MaliamuMaliamsaidiАй бұрын
Na kwa kwa nini umkatae mama
@dianamvuzwa-eh9ovАй бұрын
Unajisemeshasha kama wewe ulipata mzdhazi mzuri shukuru kila mtu anapenda awe na mapenzi mema namama lakini yakikukut utalijuwa@@MaliamuMaliamsaidi
@kigesomichael8061Ай бұрын
Hana adabu anaimba nn ss
@JumaKasim-v1eАй бұрын
Huu hii ngumu sana hivi nikweli au
@NdayishimiyeDerick-v1cАй бұрын
Yani martha kazungukwa namahaduwi huyu postors kazaa naye hakufatiliya mtoto wake hata huyokairuki niwakiduniya anyamanz wengin wasem
@vivianatieno4421Ай бұрын
Whatever the situation , human is human 😅 we still love Martha ❤❤❤❤❤❤❤ toa nyimbo zingine tushukuru Mungu pamoja dada , lots of love from kenya .
@AnneySyaloАй бұрын
Yes mm siezi muacha
@NtamamiloGibsonАй бұрын
Hawezi kutoboa hata akitunga wimbo hawezi kufuta machizi ya Mama yake atapata shida tu.
@AMOSMIHAYO-h7cАй бұрын
Sio wewe ila ni roho ya mashetani ndio itendayo kazi maishani mwako
@BilhaNduati-pg8wgАй бұрын
Ukisoma Bibilia vizuri sana ufwate vizuri, Yesu hakuzaliwa tarehe 25 December
@MehaiZephaniaАй бұрын
Ndio ukweli
@RehemaKasanga-i1uАй бұрын
Kuna ukwel myuma y pazia ujiulizi miti ya krisimasi na uyo Babu krisimasi vinausiana na nn na kuzaliwa kwa yesu??
@MariamKarembo19 күн бұрын
@@RehemaKasanga-i1u kumbe tuko wengi tunao jiuliza maswali hayo🤔🤔
@WinWilly4162Ай бұрын
Hii ndo shida ya kudate na wanaume vilaza😢 Siko upande wa Martha ila huyu jamaa ni hovyo sana.
@emmanueldionismbena3461Ай бұрын
Sana sana sanaaa yaani na bange huyu anatumia aki
@MsalabaniRekoАй бұрын
Wakati wa mungu umetimia ngumu sana kwa mtoto kumkataa mama hii ni htr sana
@ShamsiMbago-n2qАй бұрын
Nikwel kabisa
@healingsschool4630Ай бұрын
Martha hajamkataa mama. We sema unamtaka Martha
@Ester-y5m9bАй бұрын
@@healingsschool4630wacha ukweli usemwe
@MsalabaniRekoАй бұрын
@@healingsschool4630 duh ww sim kubwa bila bando ni mzigo jalibu kununua bando ili usipitwe na mambo ya mitandaon kwa unavofikili wew Martha ni mtu mdogo tz yani kila mtu anaweza kumfikia kilaisi ivo ukiweka bando nenda katazame interview za Mama yake alafu ndo uje kukoment kwangu
@ShamsiMbago-n2qАй бұрын
@@healingsschool4630 anamtaka ampeleke wap!ajamkataa kafanyeje ivo?we unaona raha mama kama yule kutoa machoz kwenye hazara?
@RealGiftLydiaАй бұрын
Mnakutana ki uduma na huku mna fanya uzinzi, yaani kama kuna watu wanao aibisha Yesu ni basi tu😢😢 ila siku yaja siri zote zita funuliwa,haya bado ni madogo sana.
@rogerabdallah43923 күн бұрын
Sasa uyu sialikuwa filimasoni kwaiyo poa tu
@RoseVitalisАй бұрын
Hadi machozi yananitoka jamani Martha nampenda akamalizane na mamake mambo yanayoendelea haya ili yaishe yananiumiza sana yesu alisema pale msalabani kwa mwanafunzi aliyempenda angalia Mamayyako
@floridakagemulo3183Ай бұрын
Mshaurimi akatubu na kuomba radhi
@RoseMunisi-u8gАй бұрын
Mungu akutie nguvu Martha ila Mungu yupo aikuwa sababu ya familia yako kuweka haya Mambo hadharani ,bite ungempenda ndugu yako ungemuombea ndugu ili Mungu amsaidie
@neemalambo9790Ай бұрын
Jamaniiii huku kunusurika kufa kwa Matha hata mama yake alisema, huyu kairuki namuamini
@nancyg8664Ай бұрын
😂😂😂jaman kwan kairuki hawezi kukop maneno ya mama akaja kutudanganya
@neemalambo9790Ай бұрын
@@nancyg8664 🤣🤣🤣
@JulianaSakateteАй бұрын
Ana weza kusikiliza mahojiano ya mama matha kama ulicho sikiliza Kisha nae kaongea kwenye mahojiano Hilo zaidi
@JustinaBaligeАй бұрын
Fact mi mwenyewe simuelewagi huyu jamaaa@@nancyg8664
@HappyJohn-h8qАй бұрын
@@nancyg8664 anaweza kabisa na kama mtoto ni wake kwanini aje mitandaoni si aende mahakamani kudai haki. Siku zote alikuwa kimya leo kaibuka
@MbogoSouljahАй бұрын
Kumbe wanaume wengine tunaujinga uliozidi. Hakua andiko mzazi ni Mungu wa pili, na kama lipo toeni.
@newevelastlife2571Ай бұрын
Mpe na andiko hili asome pia.Luka 14:26 Mtu yeyote akija kwangu, asipomchukia baba yake, mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi
@SelinaDorcasАй бұрын
Jifunze kusona bibilia
@AngelSimon-l6zАй бұрын
KUTOKA 20 : 12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
@madetetv6576Ай бұрын
Kasema andiko linalosema mzazi ni Mungu wa pili@@AngelSimon-l6z
@MbogoSouljahАй бұрын
@@newevelastlife2571 Kuwaheshimu tunawaheshimu lkn nimesema toa andiko mzazi ni Mungu wa pili. Yohana 17:3 Uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliye mtuma. (Kama sisi wazazi kuhesimiwa na watoto wetu, hatuwezi kuwa Mungu bali kunatufanya kuangukia katika kundi la miungu)
@tatujuma4795Ай бұрын
Ili haya mambo ya mitandaoni yaishe inabidi muhusika mkuu ambae ni Martha ayamalize kwa kwenda nyumbani kwa mama yake kuomba msamaha warudi ktk hali yao ya maisha ya upendo kama zamani, vinginevyo kila mtu hasa wenye nia mbaya na Martha watatumia mwanya huu kumuangusha. Na asisahau kuamua ni jinsi gani atabalance maisha kati ya familia na huyo Joan wake.
@annkim2690Ай бұрын
Huyu jini akiwa hapo haiwezekani
@annkim2690Ай бұрын
Huyu jini akiwa hapo haiwezekani
@annkim2690Ай бұрын
Huyu jini akiwa hapo haiwezekani
@annkim2690Ай бұрын
Huyu jini akiwa hapo haiwezekani
@annkim2690Ай бұрын
Huyu jini akiwa hapo haiwezekani
@landrinebagalwa5919Ай бұрын
Watumishi wa siku za mwisho 😂😂😂😂😂 Tuta watambua kwa matendo na maneno kabisa 😢😢😢😢😢
@Everlyne-zg2qzАй бұрын
Hakuna mtu hii Dunia mwenye hana kosa,tena hakuna boma linalo kosa maneno, jamani tuwachane na Martha,Ila tumwombee mtumishi pole Martha jitie Moyo yote yatapita Ni kipindi tu kinapita
@FBT146Ай бұрын
Sifikirii kama ni sahihi kwa mtu wa Mungu kuzungumza namna hii mtandaoni huku ni kuvunja huduma na kutokimshirikisha roho mtakatifu na je, ulisubiri haya yatokee ndipo ueleze hisia za kimwili. Samahani kwa maongezi yako upo kimwili kazungumze kifamilia muelewane Pia tusiwapotoshe wanaotaka kuifuata njia ya kweli
@joyprintspro3845Ай бұрын
Shika ulichonacho , Watumishi ni jina tu ...
@annettemalechela7543Ай бұрын
This is bringing more fire ulikuwa ukifanya uzinzi wakati ni mtumishi you need delivarence nay God give strength all of you
@AmynerNephАй бұрын
Why he doesn't want to marry her
@YOSHUAMWAMPETAАй бұрын
WEWE Umeuwa BILA SHOKA WALA PANGA! Umepigaje vile?
@mercymuturi8129Ай бұрын
Ako na mke huko Kenya alifuga ndoa na nilikuwa mmoja wa msimazi@@AmynerNeph
@MaryNjoka-i3tАй бұрын
Tubuni jamen
@MaryNjoka-i3tАй бұрын
Damu yako wadai Leo ? Ujui hata kulea kusomesha,Uko Kama ulizaa inje na wewe ni mtumishi kwa hivyo ulitenda dhambi
@LYDIAKHALUMI-h2zАй бұрын
waaah dunia inamambo kweli, huo muda wote ulikuwa wapi? ndio uanze kusema haya yote.Kwani Martha ana watoto wangapi?
@EmilianaMbwamboАй бұрын
Dunia inamambo sana watumishi wamegeuza hii kama Dili wanatafuta kiki
@esterlwesya6678Ай бұрын
Hakuna mtumishi mwenye hekima anaropoka namna hii mtandaoni 😢😢 mkweeéee😅
@philomenastephen3364Ай бұрын
HAYA NI MAJIRA YA KILA KITU KUWA HADHARANI. MUNGU YUPO KAZINI KONDOO NA MBUZI WANATAMBULIKA SASA.
@KANGAKARANIАй бұрын
Kabisaaa
@awemaqway1201Ай бұрын
Hii vita kali hadi ma ex wote watajulikana 😢😢 Kifuatacho na kinaendalea kufuata😢
@GraceDaniel-l2nАй бұрын
Nmecheka sana afu kumbe watumishi huwa wanazini😅😅😅
@annkim2690Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mwasoprince3459Ай бұрын
Ma ex wameandamana
@philomenastephen3364Ай бұрын
WAO PIA NI WANADAMU KAMA WENGINE WOTE. NA SI WOTE NI WATUMISHI WA UKWELI. NI BIASHARA.@@GraceDaniel-l2n
Martha MUNGU akutetee katika Hilo,ila mti wenye matunda Huwa unapingwa mawe hivyo usiongope MUNGU yuko pamoja na wewe , wewe ukae kimya ,BWANA YESU atakupigania
@Purity-zl4wtАй бұрын
Naona ni majira ya wazimu🤔yaani kila mtu na zake mungu turehemu
@naomikiula1252Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiii yani
@mohamedadel-tu6clАй бұрын
😂😂😂😂ati majira ya vichaa😂😂
@JohnSaqwereАй бұрын
Acha kelele. Martha is the best❤
@daisynyerere5730Ай бұрын
2024 MWAKA WA UREJESHO, KURUDISHA VITU WATU WALIVYOIBIWA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO SASA TUNAINGIA MWAKA WA UTEKELEZAJI WA MUNGU KATIKA YALE YALIOREJESHWA...KAMA HUNA ROHO MTAKATIFU HUWEZI ELEWA HII COMMENT NA KAMA UNAONA HUELEWI PITA🙏🙏
@cathyntakama5919Ай бұрын
Amen🙏
@irakozeshakiru1131Ай бұрын
Amen
@SammyLaizer-s9uАй бұрын
Good
@YustinaMorrisАй бұрын
Ameni Mungu anarudisha watu wake walio kwenye michepuko warudi kutubu
@ChazsMassaweАй бұрын
Daaaah hizi sarakasi za marta zitaisha lini Mungu wangu. Duuuu hatariiii sana
@adelaidemary5514Ай бұрын
Mmefanya nimeenda kutaza wimbo wa pastor kyande😢😢😢😢Nabii hana heshima kwao😢, Martha jipe moyo haya ni mapiti tu
@mosesg.pendael8381Ай бұрын
Umethibitisha kuwa ni nabii?
@DrkitsaoАй бұрын
Sasa martha ni Muabudu shetani ama ni nabii? Unazingua ujue😊😊
@marrieann5278Ай бұрын
Eti Nabii,unajua maana ya Nabii kweli? Nabii na mwimbaji ni watu wawili tofauti
@Launego2024Ай бұрын
Nabi wap we uliskia wap
@InnocentBirdNest-nl4egАй бұрын
Wewe tetea upumbafu
@newevelastlife2571Ай бұрын
Mtu akimkataa mama au baba kama wanampotosha kuhusu Mungu hakuna tatizo.Lakini kama unamkataa baba au mama kwa ajili ya tamaa za dunia hapo ndiyo shida.Luka 14:26 Mtu yeyote akija kwangu, asipomchukia baba yake, mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi
@amanijoseph6764Ай бұрын
Jamaa ana make sense sana..Kuna kitu haiko sawa kwa huyu Binti Martha..Kwanini wanajificha katika kivuli cha injili ? Kumbe wavurugaji sana..😊😊
@Cyp-x3zАй бұрын
Kwa kweli dunia imefika ukingoni kati ya Martha na Joan kuna siri nzito sana ila Mungu atufungue macho
@MiliamJonhАй бұрын
Wachungaji MUNGU anawaona Mnasherehekea Christmas na happy birthday.. Mbona moto unawasubir
@BandanaKavuzune-gs5zsАй бұрын
Waaah hii ni temptation lakini itaisha
@rogerabdallah43923 күн бұрын
Sana imeisha ya p didi hii poa tu
@eunicesemere5555Ай бұрын
Watanzania umemuharibia jina pastor Ezekiel mkachoka ss panga imegeukia kwenu aya angalau muanchane na Ezekiel wetu pambaneni na dada yenu ila mama ni mama habari ndio iyo dunia imeisha tuombeni mungu aturehemu tu
@sobrejazz3919Ай бұрын
Huyu hajielewi kamwe, kwanza yeye mwenyewe ywahitaji kukombolewa , ywajiita mtumishi na huku anakiri kafanya uzinzi na Martha. Akili yake iko sawa kweli ama ywatafuta kiki tuu. Sijawai kuona ujinga kama huu, kwa kweli hizi ndizo Nyakati za mwisho....hawa manabii wa uwongo wamezidi...
@ERICAHMWAKILUNGUАй бұрын
Hapo Sasa utumishi na uzinzi Mungu tusaidie this are last days
@amirliga6301Ай бұрын
Mtumishi unajiita Nabii wa Mungu bado unakiri kufanya uzinzi kupata na mtoto hadharani kanisa lipi linaruhusu manabii wazinifu log!!!😮😮😮
@RehemaLadislaus-qn5upАй бұрын
kwa umri wake inawezekana walikutana wakat hawajaokoka
@peterntandu1919Ай бұрын
Hapo Sasa anakiri uzinzi
@MargaretMunyao-m3tАй бұрын
Hakuna SHIDA mungu ndiye uhukumu Wacha kuhukumu
@SelinaDorcasАй бұрын
Heri kuungama dhambi zako maan hukuweka huru
@marthakitinusa9696Ай бұрын
Kiburi siku zote huleta maanguko.....? Vip kuhusu uzinzi hauleti maanguko. . ? Mungu atusaidie haiko sawa hii
@geraldadolf4928Ай бұрын
Acha ufala wew fanya maisha wew ushaambiwa Joan mtoto wa kipare sasa mpare na tunguri ni kama samaki na maji hakuna rangi Martha ataacha kuona
@nantaembanusurupia5674Ай бұрын
Na majumba ya konokono😢
@BarakaMbise-lk1ebАй бұрын
mungu akusaidie Sana Dada angu Martha
@KANGAKARANIАй бұрын
Wow mungu anatibitisha kitu.hapaaa tenda bwnaaa
@DamarisGichanaАй бұрын
I am with you brother save the Boy who is innocent
@SuzanaRobert-z5vАй бұрын
Miaka yote hiyo ulikuwa wapi then leo unamuhitaji hata wewe mbwa mwitu miaka yote hiyo ulikuwa wapi kumjali mtoto😂😂
@HappyStephanАй бұрын
Eti 😮😮😮😮😮 kama taperi ivii
@MercyKilonzo-kd5vu23 күн бұрын
Wanaounga mkono swala la martha kumkana mamake mungu awape hekima, someni maadiko vizuri
@DaudJohn-p3kАй бұрын
dada matha fanya ya Mungu kwa bidii usichoke wanadamu wana maneno mengi sana hila Mungu ana neno moja tu kwako mwachie Mungu aliye kuumba apambane nao love you❤❤❤❤❤❤🎉
@pjmaarifa3528Ай бұрын
Aminaaa uko sahihi ,Mungu ana neno Binadamu no maneno be cool Martha YATAPITA TU
@GetrudaTarimo-c7yАй бұрын
Dada martha wewe ongea na mama yako uombe msamaha maneno yote yanaisha ila usipo patana namama maneno yanaongezeka dada pole sana mtumshi nakupenda sana kipenzi pole jamami vita sio yako mwachie mungu pekee.
@HappinessElisha-b6xАй бұрын
Hizo nywele katia dawa au?
@HappyJohn-h8qАй бұрын
Zinapepeaaa hahaaaaa ndo nabii huyo
@marthamlaki6484Ай бұрын
Ulichoongea ni kweli mzazi ni Mungu wa pili yatupasa tutunze wazazi wetu.. Biblia imeandika katika kitabu cha 1 Timotheo 5:8 Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
@RehemaMtonoАй бұрын
Uwiiii nyie martha Mungu atakupiga kwa mapigo makuu
@denissasso5575Ай бұрын
eti nabii, nabii sambuli gani huyu, kwa hio ulizaa na martha nje ya ndoa sio! bure wewe kabisa, Martha tunakuombea mungu azidi kukubariki.
@MargaretOmondi-pf3uzАй бұрын
Mbona sura kama ya Eric Omondi wa kenya? Kariuki, ulikuwa wapi kabla Make Martha kulilia Joan amwache Martha? Umetumwa kumharibie Martha Jina. Tangaza Yesu sio kumchafulia STAR Jina. Hata hivyo, hii sura Martha haezi kubali kuzaa naye. Duniani kote twamjua John Saidi
@AkinyiTheKenyanАй бұрын
Umejua taste ya Martha 😂😂
@JoshRumenaАй бұрын
Ww ni mushawi uko duniyani sana martha ni mutu wa roho ni sana ndiyo mana alikuasha iyo niukweli ku toka kwa mungu
@fashionKalmahouseАй бұрын
Mtoto Joshua Tena ni mgani yawa.si mama alisema ako na mtoto mmoja alipata kwenye ndoa, Kali sana.
@NancyVugutsa-jg6evАй бұрын
Huyu ni kiki anafanya
@fashionKalmahouseАй бұрын
@NancyVugutsa-jg6ev Aki, which is very very wrong.this joke is very expensive.
@annasolomon9855Ай бұрын
Huyu mbona ni kama kiki . Haki ikigundulikana ni kiki basi hata Ile habari ya Kanumba itakuwa ni uongo 😅
@HifuftfuGudwfyАй бұрын
Mungu wambinguni nakuomba kwaajili ya martha simama sasa maana umesema tunapo kutegemea hautatuaibisha shuka sasa Mungu hii sasa nifedhea ongea sasa Mungu naomba usinyamaze 😭😭😭🙏
@AdrofinaRaymond5 күн бұрын
Kwani we jamaa ulimwona hoyo mtoto, na je ulikuwa ukimpatia matunzo?
@AnethMasaki-c5fАй бұрын
Mungu achilia Rehema ktk haya😮😮😮😮
@AnethMushi-c3eАй бұрын
Hakika inahitaj rehema ya Mungu
@michelinemapendo6652Ай бұрын
KHAAAAA NO COMMENT 😢😢😢😢😭😭😭🙌🙌🙌 NACHIDWA KU COMMUNITY NALIYAAA🙌🙌😭😭
@nancyg8664Ай бұрын
kwahyo kunywa cappuccino ndo bata😂😂😂ila watu wengine bhn
@DanielAudaxАй бұрын
Hasemi Cappuccino ni kapuChini😁😁😁😁😁
@mohamedadel-tu6clАй бұрын
😂😂😂😂
@MaryMueke-s5v27 күн бұрын
God have mercy 🙏
@AnneNamasabaАй бұрын
Pastor's tumeisha neno la mungu tumeacha tunarukaruka tu .Pastor ulikuà unaojàtu hadi Pastor's tunaoja mboga
@AnneySyaloАй бұрын
😂😂😂
@UpendoMichael-p1zАй бұрын
Sijaelewa. Mh. Midomo hii. Ni ya kuchunga sana. Hata shetani ana manabii. Na mungu ana manabii. Ukiwa na akili utajua kuzitofautosha roho. 1wakorintho 14:10-11. Pia 1yohana 4:5-6. Tuache kumchezea mungu. Si Kila roho inatoka kwa mungu nyingine zinatoka kwa yule mwovu.
@FurahaMecksonАй бұрын
We have Balthazar in Tanzania too??? 😂😂😂😂
@FaustaEvordАй бұрын
Duuh! Hawa manabii WA Dunia hii?? Mna mungu wenu nyinyi na huyo Martha wenu!Acheni kulihaibisha Taifa la Mungu aliye hai Mtaadhibiwa vibaya sana!
@PaulinaJenga-y1zАй бұрын
Jaman huo kairuki ni anatabuli kweli tena mungu amemtumia
@AgnesOnesmoАй бұрын
😂😂😂😂😂wewe achana na watu
@emmymutama2394Ай бұрын
Pauline hata Mimi namshangaa huyu mchungaji. Hajui mtoto wake ana miaka mingapi anakula nini?Hizi ni kiki
@HappyJohn-h8qАй бұрын
@@emmymutama2394 anakeraaaa
@ClementJohnson-j9yАй бұрын
Mungu yupo kazini mtake mstake kundi lina anguka chetani na mungu mungu ananguvu bola nife maskin
@kumwimbamwanabuteirene5930Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂iyi ni maneno uyu muchungaji ni problem
@lisahhans295Ай бұрын
wanawake bwana sasa Martha na huyu mzee dah😊
@kadoluxclassic5634Ай бұрын
Nilishika Likizo Juu hizi Habari niwe nazipata nikiwa nim Rlax Nimetulia Waooo ikistajabu ya P Ddy utayaona ya Barthazari apa sasa tuona ya Martha kbs waooo
@HappyJohn-h8qАй бұрын
Ila wewe eti waooooo mbona kama anafurahia hahahaaaaa hiyo waooo mpaka nimecheka sasa
@rahabulukelo8738Ай бұрын
Hakika kabisa looh!
@Launego2024Ай бұрын
😅😅😅 haloo
@BettuNdururuАй бұрын
Mmezidi. Wanahabari mbona Martha ni mzuri tuu. 🇰🇪 🇰🇪
@footballonly793Ай бұрын
Yuko vizuri kumkataa mama yako
@ANNAJustine-d1kАй бұрын
Wana Habari hawana Kosa wao wako kazini tu
@VeronicaMussa-lu1ywАй бұрын
Wakati wa Mungu kufichua maovu ya wanaojiita watumish wa Mungu umefika ili watanzania tujue ni Mungu yupi wanamuimbia!!! Mungu alimtumia Beatrice kuropoka mauz ya dada yake
@eunicesemere5555Ай бұрын
Kariuki unaongea vibaya ata km unahasira iyo sio nidhamu ya utumishi bro
@SaudaMkwizu-b7gАй бұрын
Mimi natakanikwambieuliambiwa hapo kwa Matha ulipata SHAMBA la kuotesha mbegu Acha wewe si baba Acha kujitukana wewe ni mùuaji Huna mtoto nani alimlea wewe uje kudai mtoto juu yamama yake kweli amuombe msamaha ila wewe ni mzinzi sio nabii usilitukanishe jina la mungu
@TerezaHenryАй бұрын
Kwani ulikuwa unatowa uduma kwa mtoto wako jibu ni apana msitaki kuongeza ongeza vitu vingi jamani leo hii ni kwa martha kesho ujuwi ni kwa nani acheni ivo sio sahii
@marykifolo1252Ай бұрын
Stop vitisho kwa matha.ukumufatilia dio sasa hivyo unasema mtoto ni wako.i you really apastor
@marykifolo1252Ай бұрын
Miaka kumi ujui mtoto wako akoo wapi.akuna pastor anarani mtu
@marykifolo1252Ай бұрын
Razzmatazz watu waorewe
@marykifolo1252Ай бұрын
Hatawewe sio pastor wa ukweli juu unapeana wasichana wa wenyewe mimba na ukaenda
@LUGANOMWANYINGIАй бұрын
Mtu mnapoona anaanguka Mumuombee, Unaongea as kama unauchungu sana na mama uake Martha. It's bora kumshauri kwa upendo na kumuombea. Leo unaleta mambo yako et unataka mtoto. Tena mlipata kwa uzinzi,wote mkiwa watumishi wewe Nabii ,Martha mwimbaji. Haya maneno si ya kutamba hadharqni u ajili aibisha na kujishushia hadji kama kweli ni mrumishi wa Mungi. Uzinzi umetawala makanisani,watu wansimama madhabahuni huku wakifanya uzinzi. Unasikitisha sana. Tena mi naona bora Martha hakuolewa na wewe sijui nabii, Maana huenda ndo ingekuwa mbaya zaidi. Maana unavyoongea?
@asifiwetito7065Ай бұрын
Huyu alikuwa kwenye huduma ya uzinzi au huduma gani maan sielewi uzinzi na utumishi wa Mungu ni wap na wap km ulikuja kwenye huduma ya mungu ilikuwaje kumtumia na hukuwa na mpango wa kumwoa kwanza mtumishi wa Mungu ana hekima sio roporopo namna yako😢😢
@RehemaMwamengo-mk6bkАй бұрын
Yani namimi simuelewi hakuna mtumishi apo wanataka tu kumchafua matha
@RehemaLadislaus-qn5upАй бұрын
kiukweli hyu simuelewi huduma ya Mungu na uzinzi Mungu atusaidie
@RehemaLadislaus-qn5upАй бұрын
ww sio Mungu Vp ww ushatubu hyo dhambi ya uzinzi
@josphinemwangi-mc2twАй бұрын
Huduma mkahudumiana😮😮😮😮
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169Ай бұрын
Yame nishinda Sanaa Haya ya Martha na kairuki
@melisazwale2226Ай бұрын
Na nywele vipi weee karioki rudi nyumbani 😂😂😂😂
@mohamedadel-tu6clАй бұрын
Ati karioki😂😂
@mohamedadel-tu6clАй бұрын
as a man you too mouthy🫢not good at all
@GodfreyShakaleАй бұрын
Uuuuwi jamani matha wangu mungu akufunike
@MsalabaniRekoАй бұрын
Mbaka ukiona ivo basi ujue mungu amemfunua mazaifu yake ili apate kupona ww unafikili ilo jambo ni la Jana
@g_forcemusician4242Ай бұрын
Malaya tu huyu martha
@tufikekapeta886326 күн бұрын
weeeeeeee😢😢😢😢 ukapotezea mtoto wako unaakili wewe au ila matha kama kweli umemkana mamaako umekosea wangu ludi ulipokosea tengeneza
@MARYNAFULA-d6oАй бұрын
😅😅😅😅😂hataki kuongea mengi na yale ameongea ni mengi zaidi😂😂😂
@hawakibona9402Ай бұрын
Hakuna ambacho hajaongea yote kaongea
@AnnaNgeiАй бұрын
Ndio nashangaa😂😂
@BelckEustace-di2mdАй бұрын
😂😂😂😂😂😂nimecheka sana mwenyewe,naona kamaliza amebakiza DNA🤣🤣🤣🤣
@RufinMwanza-e8v28 күн бұрын
Kaka atcha Mambo aya shida ni Nini lakini umependa kumujaribu Martha mutumishi wa mungu Yani mungu akusamee
@anneanji4818Ай бұрын
Kariuki mbona hujibu maswali unayo ulizwq😂😂😂
@BerniceOneGBАй бұрын
😂😂sio kariuki ni kairuki,usiekelee waKikuyu 😊
@anneanji4818Ай бұрын
@BerniceOneGB wewe mother wake si ni wahuko walibadilisha tu story 😄😄😄😄
@vivianoscar9344Ай бұрын
Ko alisubiri yatkee Aya aje adai damu yake, na uyo Beatrice alivyo tembea na shemeji ake ili kua sawa ila kutomsapoti ndo kosa .emu nanyie wanaabari kuwen serious iyo tayali ni vita ya x hakuna x mwenye nidham akaja kujiongelesha ovyo ivi. Mtumishi wa Mungu anazaa uku unaacha unaenda kule na familia isikufahamu iyo kwako ni sawa. Vita ya maneno ii dada Martha nyamaza
@femidayahaya9293Ай бұрын
tumuombee dada yetu naamin MUNGU atamkomboa
@eternalhappiness4000Ай бұрын
What made Martha reject Her own Mother ?
@mercykariithi7919Ай бұрын
Appearance ya huyu mtu haipendezi kama mtu wa Mungu nyoa hiyo nyuele
Pole Martha unamkataa mama huoni hata aibu kwa watu 14:14
@isaacsimon3580Ай бұрын
*Mathayo **15:19**-20* Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa. Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”
@laurentraphael5470Ай бұрын
Nabii uchwara.
@teyllalugaziaАй бұрын
Ee Mwenyezi Mungu wa rehema tusaidie, hawa ndo wanatakiwa kuwaonesha watu njia ya wokovu kweli? Mungu turehemu.
@edinafaustinez8514Ай бұрын
Huyo mchungaji minywele kama dijei hata kama mchungaji uinyoe hiyo minywele haupendezi kama mtu wa mungu
@bettykinyami5096Ай бұрын
Alishakengeuka si anaendaga kwenye makanisa ya ajabu ajabu, aangalie Sana watamchukuwa si alikuwa anatowa Siri zao
@MarthaNangalamaАй бұрын
Mchungaji ukiwa na hasira hivyo pia wewe ufalme wa mbinguni kuuona ni ngumu. Na kama hujasaidia mtoto miaka hizi zote...si ni makosa...why DNA now. Hakuna mtu safi mbele za mungu. Mungu ampaginie Martha. Vita utashinda. Mama yakp mrejelee.