PIKO NI ILE RANGI NYEUSI AU RANGI YEYOTE INAYOBADILISHA NYWELE ILI ZIWE NYEUSI AU VINGINEVYO, WENYE MVI KICHWANI WANAITUMIA ILI KUONDOA MVI KICHWANI.
@catherineawinja7417 Жыл бұрын
Asante
@rakaieva5472 Жыл бұрын
Oho ok Asante sana kwa ufafanuzi nilikuwa najiswali kama piko ni nini. Mubarikiwe sana Watumishi wa Mungu.
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Piko kama ni dye si Kuna rangi tofauti, sio tu nyeusi pekee.
@nancymerinashaidi6525 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@nancymerinashaidi6525 Жыл бұрын
Jaman up wap
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Mwenye sikio la kusikia na asikie ujumbe huu wa Bwana. Mimi nimesikia na kutii. Naomba Mungu anisamehe kwa niliyoyafanya kimakosa. Ninatubu sasa na kumrudia Mungu aniongoze hapa duniani na hata atakaponichukua mbinguni nikae naye milele yote. Amina.
@FaithMuhumpa6 күн бұрын
❤Hakika Mungu ni mzuri,anasema nasi kwa namna nyingi,ahsante kwa rehema na neema.
@daudindelembi6206 Жыл бұрын
Asante sana kwa ushuhuda wako naamini umenibadilisha na kuwa na mwelekeo mpya wa Imani . MUNGU azidi kukutia nguvu.
@annethiongo6899 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa ushuhuda wako. Nilionywa pia juu ya kupaka piko na kubadilisha nywele zangu rangi. Ni makosa kumtoa Mungu makosa kwani nywele nyeupe ni yeye huwa anatupa.
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Amina, mwenye kujitakasa aendelee kujitakasa na MWe kujichafua azidi kujichafua, UJUMBE HUU KUNA MTU AMEPONA.
@frenziangella66765 ай бұрын
Mungu wangu nimefanya Mambo mabaya Sana Mungu nihulumie Mimi naomba toba naomba rehema katika gazabu yako kumbukizi rehema ee Mungu wangu nihulumie
@ErneusMlelwa-vk3pu Жыл бұрын
Haleluya acha Mungu atujalie kuwa watii ,ubarikiwe sana mama yangu mwenye sikio na asikie
@DominaPatrick-ri8sc Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
@EuniceElbarick11 ай бұрын
Asante MUNGU kwa sababu bado unatupenda Nina kutukuza sana
@SalomeMideva4 ай бұрын
Eeeiii🙉hakika ametenda nikutubu Tu n kumrudia mungu Asante Kwa ufunuo🙏barikiwa
@KhadijaKonyesha Жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen in jesus name mama ubarikiwe sana pamoja n kizazi chako mim ni mkenya acha Mungu aitwe Mungu
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu kwa ajili yako Mungu alivyokuokoa kwa Neema yake kuu hata ukaweza kutufikishia ujumbe huu muhimu kwa Binadamu wote. Mimi nimeokoka nampenda sana Yesu lakini nilikuwa bado napaka piko. Ujumbe huu umekuja kwa ajili yangu na sitajipaka tena piko. Uzuri ni wa kumjua Mungu na si wa kujipendezesha mwili huu wa udongo ambao hautamwona Mungu bali Roho yangu iwe salama mikononi mwake. Ubarikiwe sana Dada yangu. Mungu akuzidishie Neema.
@consolataanyambililemwakib1111 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe nzuri maana umetufundisha mengi tusiyoyajua na mungu akubariki
@janewaititu80519 ай бұрын
I must commend the host..amemwachia mgeni ajieleze bila interruptions...the flow is awesome.barikiwa sana
@naketizainabu78036 ай бұрын
👏👏👏vizuri sana
@fortunadafura Жыл бұрын
Natumbu Mungu anisamehe sana kwa yote nimetenda ya siyo mupendeza asante mama kwa ujumbe🙏
@JemaMbwilo11 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu kusikia nimesikia tena Roho wa Mungu amenishuhudia kabisa ila Mungu nisaidie niwe mtii A
@NeemaKiza5 ай бұрын
Amen Amen 🙏 Asante sana kwa ushuuda ime nijenga sana
@SalomeSylivestor Жыл бұрын
Amen,Asante kwa ujumbe mtumishi wa MUNGU
@mercykibunguchi9581 Жыл бұрын
Please ujumbe mzuri kweli kweli mama Mungu akubariki saana....uendelee kutufundisha mengi
@cyprianmwasanga6041 Жыл бұрын
Amen Mungu Akubariki sana,kwa kutufikishia Ujumbe huu utatuokoa wengi.
@VioletNamz-tq4tg Жыл бұрын
Asante mama kwa ujumbe mzuri, Mwenyezi Mungu akubariki umenifundisha sana.
@RubaR-nr5wz Жыл бұрын
Ak ubarikiwe sana mamangu umenifungua akili na ujumbe huu akika ntakufanyia kazi nahata wengine ntawaambia ili wajihadhari na haya
@abigaelwamboi8149 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada... nilikua nimepanga kuweka piko kwa sababu nilinyoa..lakini kwa ujumbe huu sitafanya hivyo.Nimejifundisha mengi kupitia ujumbe huu
@ElizaPetro-fy2rm Жыл бұрын
Amin mutumishi NAMI pia Nisha wahi kuweka piko kichwani mwenyezi mungu anisamehe sitaludia tena
@ElizaPetro-fy2rm Жыл бұрын
Nitabu Kwa jina layesu kirsto
@NasimiyuJosephine Жыл бұрын
Be blessed mum for your powerful testimony I'm so blessed pia Mimi nilionywa kuhusu nywele
@MamaIbra-kx4hm Жыл бұрын
Nisamehe Mungu wangu kama ulivyomtendea HUYU mama nitendee na mimi. Kwani nimekukosea kwa mengi hta Kwa kubadili nywele rangi ujumbe umenigusa sana niurumie Mungu wangu
@anithasanga361 Жыл бұрын
Mungu tusaidie kupitia roho wako mtakatifu atufundishe jinsi ya kuenenda ktk maisha ya hapa dunian
@bajkljs9058 Жыл бұрын
AMEN Glory to God ubarikiwe sana mtumishi Wa MUNGU mimi pia nikua namaswali juu yahizi vitu lakini Ashukuruwe MUNGU wambinguni kwa kunijibu maswali yangu wacha nikae kama alivyo niuumba MUNGU wangu❤❤❤
@RebekaMwangomale Жыл бұрын
Asante mtumish mungu anisamehe kwakutenda dhambi
@mmangasalum2195 Жыл бұрын
Mwenye sikio na asikie,Asante kwa ujumbe tumeupokea
@DiarraLimited-nt2th Жыл бұрын
Hakika ashukuriwe MUNGU Asante mama kwa ujumbe mzuri nimejifunza kitu nanimeelewa sana
@AnnWanjiru-j1v Жыл бұрын
😭😭😭😭😭Asante Sana Kwa huo ujumbe nitatubu na ninajua Mungu atanisamehea, Kwa maana simu nimejaribu,kujinyonga pia,na hata ajali,Bwana wamajeshi azidii kuinuliwa❤❤
@GraceKelc Жыл бұрын
mungu aturehem wamama hakika kwa mungu mimi ni mdhambi na mungu akubariki sana mama kwa hushuuda
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Mungu Akubariki madam Ujumbe Umeutoa mungu yupo pamoja nawe
@HawaJeremiah-s2y Жыл бұрын
Amina mama nimeogopa sana mungu nisamehe kwa yote👏
@justinekalunga8488 Жыл бұрын
Amina. Mungu aendeleye kuku jaza na Roho wake milele yote Amina.
@RachelThomas-ox3jr Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama kwa ushuhuda huu kweli tumejifunza.
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Mungu tusaidie tupe kuyatambua mapenzi yako maana yapo mambo mengi tunayoyaona ya kawaida kumbe ni machukizo kwa Mungu
@HappinessMathias-p3t Жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@felicitemihungo3600 Жыл бұрын
Amen Mungu nimwema ubulikiwe kwakufikisha ujumbe . Mungu anapenda waliyo wake azidi kufundisha nawengine maana sisi wa mama ulembo utasababisha tunayikosa Mbingu pamoja na dawa zagupanga uzazazi wengine wanasema za kuachanisha mimba. Nimakosa sasana nimauwaji tunafanya Mungu arinionya kwahivyovyote.
@LavenderMakuli Жыл бұрын
Asante Mama hili jambo limekuwa ngumu sana kufunza kanisani hasa Wake wachaga
@richmwaij33687 ай бұрын
Hakika mungu yupo kwajili yetu anatulinda kupitia watumishi wake anatufundisha mungu akubaliki zaidi mamaangu mungu ametufikishia elimu ya uzima wa milele kupitia wewe ubalikiwe sana
@deborabrownsentimea39015 ай бұрын
Yesu mwana wa Mungu nisaidie na mimi
@JudithElias-ig5nb Жыл бұрын
Asante YESU KRISTO kutufunulia haya
@dekarisaomiro9009 Жыл бұрын
Asante mtishi wa Mungu kutuelimmisha kwani hata mimi na uzee wangu natumia rangi kufanya nywele nyeusi, Mungu turehemu na tunaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu ubarikiwe sana mtumishi
@evelinarwabuhaya1803 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama Mungu twakuomba uturehemu
@margretokuku8220 Жыл бұрын
Amen. Mungu. Akubariki
@PraksedaKweka Жыл бұрын
Haya jamani
@alicengumi9488 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@joycelongo1213 Жыл бұрын
Mungu akubariki huu ushuunda umenibaliki sana 🙏🙏
@AshaSaimon-z7q Жыл бұрын
Siludii. Kupaka .piko Tena Asante mtumishi wa mungu
@HatangimbabaziSenzoga-f9i Жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda na MUNGU Yehova Asifiwe kwa kukutosha mbali.Habari za mtoto aliyezaliwa Mungu Muumbaji wa vyote awabariki katika jina la YESU KRISTO Amen
@Eustina-g9l Жыл бұрын
Amen asante sana kwa ujumbe wako ubarikiwe
@PriscaKilalu Жыл бұрын
Asante sana mama Kwa ushuhuda
@JAMESNGOME-j9o Жыл бұрын
Asante. Sana. Mama. Mungu. Akubariki na aendelee. Kukulinda ili. Uendelee. Kutoa. Ushuhunda wa. Mungu
@reginahghati160 Жыл бұрын
Amen umezidi kunifuta karibu na Mungu
@FatimahAlshehri-gt1gj Жыл бұрын
Amen mungu atusamehe kabisa
@MasamElisha-zu5ve Жыл бұрын
Ubarikiwe sana nimejifunza mengi ila nikwa neema 2 nimesikia
@KikubilaJunior Жыл бұрын
Amen na mungu aku bariki kutu leteya neno na message njema kwetu
@neemamwakasaje2801 Жыл бұрын
Amen
@KeziaAbel Жыл бұрын
Amen mungu atusaidie kuyashinda yadunia tuishi kwenye kusudi lake
@bahatikilingo7176 Жыл бұрын
Ameeni ameeni mungu aturehemu tusimame ktk kristo yesu
@SophiaJosephKiumba Жыл бұрын
Asante Yesu
@AminaMoreen-l8c Жыл бұрын
asante yesu
@SilasStanwell Жыл бұрын
Yesu unipendae kwako nakimbilia niww utoshae nisaidie kutenda mema
@NshimirimanaGerardine-xo3ht Жыл бұрын
Wana WA Mungu Wana Roho WA Mungu wakuwaelekeza ndomaana MTU hawezi kujipeleka kihivohivo Tu sababu anae Roho WA Mungu wakumuelekeza,mbinguni ni pazuri ndugu zangu kwahiyo tusije tukampinga Roho waMungu,ukimpinga siku nyingi naye atakuacha
@ernestmshana3752 Жыл бұрын
Hili ni kweli kabisa, pia Mungu alinionya sana kuhusu jambo hili la kubadili rangi ya nywele.
@angle3600 Жыл бұрын
Muhimu ni tujitahidi kuacha Madhambi Tumuabudu mola wetu,Madhambi ni mengi sana hata ukiatafakari sioni wa mbinguni hata mmoja,Ila ajuaye zaidi ya yote ni Mungu.wanadamu hakika tuko kwenye pazia
@christinashaban7262 Жыл бұрын
Yaan kama ni hivi wote ni WA moton maana hakuna tulilokuwa hatujalifanya
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
Kuacha kutubu,Msalabani tulikombolewa Wapo Watakatifu Wanaompenda Mungu
@AbekMbalukha Жыл бұрын
Emen,emen,asanti sana mchungaji ume nijenga sana hakika mungu wacha aitwe mungu naomba roho mtakatifu aniongoze❤
@FelicianAndrea7 ай бұрын
Asante mama mtumishi nashukulu kwa ushuhuda wako umenibaliki amy
@CATHERINEMAPUNDA-m3i Жыл бұрын
Amina mdogo wangu 12:36
@hellen9467 Жыл бұрын
Ameeen waaah dadangu ameyaona mungu azidi kukutia nguvu
@AmerdaKavishe-pu3cf Жыл бұрын
Abarikiwe Sana kwa kutumika kwamafundisho hayo mungu amemtendea kwani nimesadiki kwani yamenitoke japo Mimi niwatofauti kidogo mungu atukuzhwe
@MusaMniko-y5p Жыл бұрын
mungu azidi kukulind na kukuonesh mengi.maan sis binadam hatuamni kuwa mung anaponya mung atusaidie amen
@RachelKihombo-qh1jb Жыл бұрын
Amina mama ubarikiwe Sanaa ujumbe tumeupata
@RevinaJaphet-n7m Жыл бұрын
Amina Asante Sana nimejifunza mengi ubarikiwe
@ALINDAJONAS-t1v Жыл бұрын
Mungu atusaidie Sana na Mungu aturehehemu
@elizakituzaleyaapoline5283 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@deooisso-wv3ex Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi nikweli kabisa ata mm majaribu kama hayo nimepitia mepelekwa huko kuzimu acha tu mungu atusaidie
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Barikiwa sana mama yetu kwa ujumbe huu
@MokenaMailula Жыл бұрын
Amen dada kwa ujumbe
@chumamasaka Жыл бұрын
Amina tutatubu ujumbe mzuri
@frenziangella66765 ай бұрын
Amen my was Mungu sehemu yako umefanya kazi kwetu
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Amen Amen, asante Kwa Ujumbe ubarikiwe
@Farijimvela-fp8jy Жыл бұрын
Amen watumishi wa Mungu
@SarahWilson-g2u Жыл бұрын
Aisee!! Mungu atusaidie wa mama na wadada tunapenda sana mapambo
@luthgadeschrispin6554 Жыл бұрын
Hongera jamani mch kumbe kuna kanisa takatifu la Mungu kibondo naamini kuna ck litakuwepo hapa morogoro mjini natamani sana
@ChausikuMarko-mt3gl Жыл бұрын
Mamy MUNGU wa mbinguni akubariki ,,
@RebekaShumbi Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana 29:50
@jacquelinelukambuzi5085 Жыл бұрын
Ee Mungu Baba turehemu maana tumekutenda dhambi sana sana hata kulijua hili ni kwa neema yako Baba🙏🙏asante mama kwa ujumbe mzito
@JoyceMawede Жыл бұрын
Mungu atulehemu tuu
@StrongWomen-ob8yq Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa shuhuda kama hii inatujenga sana na inatusaidia sana naomba mungu anisaidie niyatende kwa upendo na amani yake
@CatherineMakiya Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama kwa ushuhuda mzuri mwenye sikio na asikie
@MoraaLilian-fp5ny Жыл бұрын
Glory to God mungu yuko ameni
@olyconstantine1550 Жыл бұрын
Watu wa Mungu, MUNGU anasema na mtu mmoja ili kuwaonya watu wake wasienende katika njia sizizo sahihi,sasa nyinyi mnaobeza msidhanie MUNGU atashuka kutuonya,bali yatupasa kufanyia kazi tunayoambiwa,maana MUNGU wetu ni mwingi wà rehema,wengi wanakosea sababu ya kutokujua.ni wakati sasa umefika wa kuwa halisi ili MUNGU aweze kujitwalia utukufu
@emyhelenKichawele Жыл бұрын
Mungu nimwema sana ubarikiwe mama ukawe mwalimu wa wote walio hai
@GladysNakale Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mum mungu atusaidie tuenende katka mapenz yake
@Maryam-rr8le Жыл бұрын
Asante mama nimejifunza kitu kuhusu ushuhuda wako
@HildaPaul-v5p Жыл бұрын
Amen ubarikiwe kwa ujumbe. Mungu nisaidie
@ElizaMakaranga8 ай бұрын
Amena mama mungu anisaidie na mm
@MwanahamisNikoras Жыл бұрын
Amina sana dada yangu umenigusa
@GraceMaryogo Жыл бұрын
Mungu tusaidie hatujui tulitendaro
@vailethpauloPaulo10 ай бұрын
Mungu nisamehe,,,mimi ktk makosa yangu niliyoyatenda naomba msamaha wako😢😢😢🙏
@gobregobre9964 Жыл бұрын
Asanteee kwa ujumbe mzuri mama tumepona
@swaijohn7923 Жыл бұрын
Amina kwa ujumbe mzury ubarikiwe
@pendaelimartin Жыл бұрын
Amina Mungu akubariki
@aloycesilwela3485 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana, Mungu wa mbinguni akubariki sana