Mwalimu hiyo sehemu fanya tena urudi hpo siku nyengine wazakulewa hao na Allaha awaogoza inshallaha
@sleifikhajjir262 Жыл бұрын
sheikh ramadhani kazi unayo kweli kweli ila allah atakufanyia wepesi inshallah.hakika uongofu ni wa allah tu
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Sheikh Ramadhan, Mashallah, namuomba Allah akuzidishie subra maana hawa jamaa....
@MteleShadia-lc6gi Жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah ramadhan kuria bin kaguoo,, kuletaa part three Allah akuhfz zaid
@MteleShadia-lc6gi Жыл бұрын
Tukoo pmja Sanaa Allah akujazee kherii,,mtaalam,,nipo Tanzania,, nakelewa vizr snaaa
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Maashaallah baarakallah wallahi hii ndio kazi ya watu wema waliotangulia nkazi ngumu mungu awajaze kheri nyote wahubiri wa dini ya hakki ya uislamu
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Asalam alakumu huyu mzee anaushubufu sana achana nae
@umahmed8273 Жыл бұрын
Salam aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kweli shekh Ramadhani kweli hapo kuumiza kichwa hata mpk kesho hatoi jibu. Allah akulipe kw kazi yako na nia yako
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Allah akupe afya njema n elimu n hekm uzidi kueneza dini yake
@RajabuAbrahaman-l6x Жыл бұрын
Sh wangu hiyo ndio kazi ila fanta kwa ihklaswi alla atakulipa lnshaalla
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Watching this from green and spice island Zanzibar, kaka Ramadhani mtafute huyu mzee ili ajifunze tena uislamu.
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Masha allahy Sheikh Ramaradhan
@ayubibrahim1827 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie ilmi ndungu wangu ramadhan♥️
@jumanjenga7682 Жыл бұрын
Masha Allah Ustaz.Kazi nzuri.watching from Boston USA
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Masha allahy Sheikh Ramadhan
@zainabkhamis1073 ай бұрын
Mashallah sheikh mungu akubarek
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
Masha Allah kazi nzur sana mwalimu wetu Allah akufanyiye mambo yako wepesi
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Napendaga sana mikutano hii ya maswali na majibu ya dini ,sheikh Ramadhan ana kazi kubwa sana na ana knowledge kubwa sana, ila mzee pia ni anaongea sana .
@najmaalabri8835 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah ramadhani Allah akupe umri
@mohamedbaridhwan3017 Жыл бұрын
Amazing finish!!!!!
@jumamsembe1213 Жыл бұрын
Elimu ndogo hua hatari sana...pastor anahitaji mafunzo sana..
@bahatikenia39 Жыл бұрын
Mashaalah
@isseamin2017 Жыл бұрын
Niko pamoja na wewe ustadh kutoka Garissa county
@nasramusaro Жыл бұрын
Kwa kweli una subra Allah akulipe si mchezo
@jamamohamednooh5802 Жыл бұрын
MASHA ALLAH ustad ramadhan
@AngoSheriff-be5mq Жыл бұрын
Huyo pastor ni master kweli
@mohamedmithowe3923 Жыл бұрын
Mashallah barakaallah
@aburaasmedia3682 Жыл бұрын
Kwa kweli una subra Allah akulipe si mchezo. mimi singemvumulia huyu pastor na sauti yake ya utapeli
@feisalhanad7896 Жыл бұрын
Dacwa Illalah
@MohamedAhmed-ns5mi Жыл бұрын
Mashallaha
@tahlil2015 Жыл бұрын
Mashaa Allah One Islam!!
@Maryam-h4y1q Жыл бұрын
Shekh unakazi Allah akupe nguvu
@pungopungo411 Жыл бұрын
Mbona huyo shehe amastaki kwenye swali moja Mungu hajaleta dini
@pungopungo411 Жыл бұрын
Mbona unauliza hapa kuna dini ngapi?siundai ukristo sio dini unajikanyaga kanyaga
@pungopungo411 Жыл бұрын
Umekutana na vigongo
@pungopungo411 Жыл бұрын
Dini sio dili la kupotezea watu muda .mbinguni hatuingii kwa kibali cha dini
@pungopungo411 Жыл бұрын
Mavazi hayampeleki watu mbinguni
@nooor1120 Жыл бұрын
Huyo pasta ni pasua kichwa tu Allah amhidi aingie ktk uislam dini ya haki ,aamiin
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
😅😅et pasua kichwa
@nooor1120 Жыл бұрын
@@halimahbwelele694 😄😄😄
@AhmedMwaipopomazinge Жыл бұрын
Mashallah...kwa mara ya kwanza umegonga ndipo...issa bin maryam ni kiumbe cha allah.....asifananishwe na Yesu Kristo ambaye ndiye muumbaji!! Maana kwake vitu vyote viliumbwa kila kitu duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: Wenye enzi, watawala, wakuu na wenye nguvu. Vyote viliumbwa kwake na kwa ajili yake. - Wakolosai 1:16
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Yesu hawezi kufanya neno peke yke wala Yesu hawezi kufanya Miujiza wowote bila ya uwezo wa M/Mungu Mungu ndo anofanya Miujiza kupitia Yesu na Mitume wengine.
@HNs-px8mz8 ай бұрын
Kufur kubwa mnoo kusema Mungu n mtu kafa msalabani n kazikwa na kafufuka siku y tatu
@HNs-px8mz8 ай бұрын
Na yesu mwenye hajadai kua Mungu katu wala hakuwa kigeugeu leo mtu kesho Mungu alisema Mungu wangu ndie Mungu wenu mja wapekee
@HNs-px8mz8 ай бұрын
Tafakar ndugu ngu isome bibila yesu hajasema yeye ndo Mungu wala haezi fanya kitu ila Mungu yaani Ellah or Allah
@Mulki1111 Жыл бұрын
That's good hurry back.
@Mulki1111 Жыл бұрын
Marshalla
@mutomubaya Жыл бұрын
Pongezi. Ustadh unafundisha vizuri
@SalehM200 Жыл бұрын
Really i like this pastor very much, he has valid points but problem he does not reply direct Ramadhan questions. and as Sh. Ramadhan says " huyu mzee mjanja".
@Creatives254 Жыл бұрын
Si mjanja Ramadhan is forcing points on him, especially akiona anaenda Kwa jawabu anamtwist ama anachukua point Kwa mraia yenye inadivert completely na anauliza wenye hawaelewi zaidi same question...
@maryamjuma1980 Жыл бұрын
Mhh kazi ya daawa bado inahitajika ili iweze kuifufua mioyo Yao Allah akulipe kheri sheikh Ramadhan hio kazi ni ngumu mno. Allah awaongoze
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Huyu mzee anabore.
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
Mashaallah brother
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Shekh RAMADHAN unakazi ngumu Sana ALLAH akulipe kheri insha'Allah 🤲 maana hawa watu kuwavumilia inataka moyo kweli 😅
@joelkimanzi96447 ай бұрын
Umeongopa mzee
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Safi sana.
@twaine40 Жыл бұрын
As salaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh maalim achana na huyo Mzee atapotezea wengine mda yeye yuaficha mambo ili asikose sadaka
@malackmaati3234 Жыл бұрын
Masha, Allah, lakini huyo mzee anazingua
@BabuNL Жыл бұрын
RAMADHAN huyu mzee unafaa ufanye kazi na yeye he’s very funny na anajua kusoma bible
@oopsm3574 Жыл бұрын
Amesoma kwa kigugumizi mimi sijafahamu!!!
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
MashaAllah ❤
@ufafanuzi4382 Жыл бұрын
Ameamua apoteze wakati ili watu wasifaidike na kujua uislamu.
@yaqubabdi9532 Жыл бұрын
Huyu ni mjanja na anapoteza wakati
@mutiembingi-le6kz Жыл бұрын
Yesu ni mungu hakuna dini inahitwa ukristo na hakuna yesu katika dini lakini Isa ni WA dini
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Huyo Mzee nimuongo na anapiga kelele hakuna dini inayoitwa ukiristo hakuna dini hiyowala sio dini
@Adm9464 Жыл бұрын
It’s sad Wakristo can’t even Agee on anything anymore
@samxx411 Жыл бұрын
Hao wakristo wanajizonga tu hawana uhakika na dini yao
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kabisaaa
@khadijahamina8457 Жыл бұрын
kabisa makelele tu
@Maryam-h4y1q Жыл бұрын
😂weee mzee nimshindani
@benin9773 Жыл бұрын
Huyo Mzee mjanja kweli ! Alisema anawakilisha wakristo wote halafu baadaye akamsema mtu kuwa yeye ni SDA ambaye ni wapinzani wake 😳
@samxx411 Жыл бұрын
Nadhani sheikh Ramadhan mzee kama huyo huo yupo kwa ajili ya kupoteza muda sio kwa ajili ya kutoa hoja..
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
❤❤❤👏🏾👏🏾
@jumahamad9463 Жыл бұрын
HUYU MZEE ATAA SAUTI YAKE NI YA UTAPELI NAPIA MACK ANAFANYA KAMA PEREMENDE
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Huyu mzee ni mbishi anapotosha watu hakuna neno issa lamau ni maneno yake amejiwekelea tu mungu amshinde na vitimbi vyake
@dicksonmambo8623 Жыл бұрын
Hao niwachungujii wango,mbe ni sawa wakubali hajui wasemacho
@maryamyusuf-t6c Жыл бұрын
issa bin maryam, kama kweli alikuwepo...ndio kiumbe cha Yesu Kristo. Fahamu Yesu Kristo alikuwa nani kabla kufanyika mwili!!
@HNs-px8mz8 ай бұрын
Mungu aje aishi n watu ale achoke alale iyo inamake sense
@HNs-px8mz8 ай бұрын
Sote tulikua kw Mungu ilo lisiwe shaka kwako
@nelsonochieng5216 Жыл бұрын
Huyo mzee ni msumbufu ungewachana na yeye
@twaine40 Жыл бұрын
Yuafunga wakristo macho ili asikose sadaka 😂
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Huyo mzee ndio hovyo haswaa
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ni majanga kwa kweli
@yabdul1782 Жыл бұрын
😂😂😂mzee ajichanganya na mwerevu wakudanganya mwenyewe na watu😂😂😂
@princesspatra5494 Жыл бұрын
Hao wachungaji wako sawa kabisa 😂😂😂😂😂 KITANZI !!! 🫣WACHUNGAJI WAKUBALI KUWA NABII ISA (YESU) NI KIUMBE CHA ALLAH. Yesu Kristo sio issa ...hata kwa bahati mbaya!!
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Issa Bin Maryam ndie Yesu Kristo wazungu ndo wamekujakubabaisha watu wasiutambue ukweli
@saidali298110 ай бұрын
Walo wengi wanataka kudilimu huku Gilgil
@Kaweza-mu6hy11 ай бұрын
Zilongwa mbali zitendwa mbali
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Huyo mzee anapoteza tu muda, achana naye.
@oopsm3574 Жыл бұрын
Huyu pastor mkora ,maneno mengi hayana maana yoyote
@hazimamohammed1340 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Wakiristo ndio wanao vaa mavazi mafupi kanisani je wanamaana gani? Au mavazi hayo yanakubaliwa na mavazi hayo
@pungopungo411 Жыл бұрын
Hapo hupati kitu shehe wote wameiva
@PascalMwita-bv8kr9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂allah akufanyie wepesi
@ipyanamwasampeta653 Жыл бұрын
Internet ina umaliza uislam. Wakristo wajinga ndio wanao kubali kuwa Mungu wao ni sawa na mungu wa waislamu. Mungu wa Wakristo ni Roho Yohana 4:24 na mungu wa waislamu sio Roho ni kitu cha kufikirika na mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja. Pili kwa Wakristo Yesu ni Mungu. Tatu Yesu sio Isa kama waislamu wanavyo dai, maana ya isa kwa kiarabu ni shahawa za ngamia. Je maana Yesu ni sawa na maana inayo maanishwa na isa? Uislamu ni ya wanaojidanganya, wanaodanganya na wanaodanganywa. Hi ina maana Wakristo na waislamu wanaabudu Mungu tofauti.
@nyama2085 Жыл бұрын
Well said
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Allah akuogoze wapi ulipata et Mungu wa waislam ana mikono n mguu.kaa huna lakusema zip domo kimya
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Izo n porojo hazina ushahidi kaa utue
@ipyanamwasampeta653 Жыл бұрын
@@Nora-v1m3p dini yako imejaa porojo na uongo. JE YESU WA KWENYE BIBLIA NDIYE ISSA WA KWENYE KORAN? JE YESU ALIKUWA MJUKUU WA IMRAN? JE MARIAM MAMA YAKE YESU ALIKUWA MTOTO WA IMRAN? JE MUSA NA HARUNI WALIKUWA WAJOMBA WA YESU? JE MARIAM MAMA YAKE YESU ALIKUWA DADA WA MUSA NA HARUNI? JE WAKRISTO WANAAMINI HIVYO? Hizi ndizo porojo za mungu wako. Ni mungu gani huyu anaye ruhusu kasichana ka miaka 6 kuolewa na jibaba la miaka kadhaa soma al talaq sura 65:4. Mungu wa Wakristo ni ROHO. JE mungu al lah wa waislamu ni ROHO? Jibu ni hapana, mungu al lah sio ROHO ana sehemu za mwili( has body parts) ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Kwa hiyo Wakristo na waislamu hawaabudu Mungu mmoja, Mungu wao sio mmoja. Ni mijitu mijinga( wawe waislamu au Wakristo) ndio inayo sema Mungu wetu ni mmoja. YESU SIO ISSA. INTERNET INAUA UISLAMU!!
@ipyanamwasampeta653 Жыл бұрын
@@Nora-v1m3p INTERNET INAUA UISLAMU. Waislamu wengi hawamjui mungu wao, ni dini ya wanaodanganya ( mashehe na maimamu), wanaodanganywa, na wanaojidanganya. Nenda Google wewe type Allah hands (mikono ya Allah ) utalikuta somo hilo la mungu wako al lah kuwa ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Au nenda KZbin tafuta Allah hands utawaona wanazuoni wa kiislam wanakuelezea mungu wa waislamu kuwa ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Dini yenu imejaa uongo na wengi waislamu walio kwenda shule wanaachana nayo kwa sababu uongo ulio wazi na hadith za mtume nyingi zikiwa za utata mpaka kufikia mtoto wa mfalme wa Saud arabia kufikia uamuzi wa kuzifuta baadhi na hata zilizo kuwa na sifa ya SAHIHI NA HASSAN. YESU SIO ISSA!!
@ntulisuzan897 Жыл бұрын
Allah anaemswalia mtume wake?
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Unajua maana ya kumswalia Mtume kwanza?
@ntulisuzan897 Жыл бұрын
@@dulividuli5237 Najua kumswalia inatokana na neno sala au kiarab salat ikimaanisha omba ko kumswalia ni kuombea
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Wewe wacha kudanganya watu wakirito ndio wanaovaa mavazi
@SaidMgeni Жыл бұрын
Assallam Allaikum umeambiwa maana ya Islam ni isa Sallam kwanini wapinga😂😂
@SheikhNassorMuhammad Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅 leo ramazani amekutana na mashine yani haelewi mtu
@Creatives254 Жыл бұрын
Pastor bado amewakalima ten nil,you are just trying to out do him but hamuwezi..hamuwezi bishana three hours eti ukristo na Kristo...kama mtu anafuata Kristo si lazima uambiwe anaufuata ukristo. Nikama mtu aje na katiba Yao inasema uingereza akilazimisha mkenya aonyeshe katiba yake akisema ukenya...pastor amesema kunadiffernce Kwa maelezo ya Bible na Qur'an.
@abcfisheries2865 Жыл бұрын
Hata ingawa huyu Pastor MJANJA ame SHINDWA kutoa andiko 'UKRISTO' ni Dini, WaFrika walio kusanyika, wako TAYARI ku fuata UWONGO wa huyu Pastor dangerous sana! Watu wa SHAKAHOLA wali ULIWA hivi hivi na UWONGO, kama huyu Pastor, William the LIAR!
Eti isaya lol. Anasema uongo akijua hao maskini hapo wata muamini
@emmanueltoroitich8244 Жыл бұрын
Huyu pastor mkweli kabisa...story ya spelling ajana nayo Ramadan, umejibiwa kwelikweli...
@kutailass6671 Жыл бұрын
Nlijua tu kuna mkosa Elim atatokea wakumuunga mkono huyo Mzee lkn mwenye akili timilifu hata akiwa Mtoto Mdogo hawezi muunga mkono yan anaongea mambo yasiyo eleweka kabisa😢
@emmanueltoroitich8244 Жыл бұрын
Huwezi amulia mtu dini yake ewe kaka,mbona ukambeni ivo?,but to be sincere origin of Islam is Catholicism!!!
@dulividuli5237 Жыл бұрын
@@emmanueltoroitich8244ukatoliki na Uislamu ni vitu viwili tofaut wakatoliki ni dhehebu miongoni mwa madhehebu ya kikristo.
@trezynjeri8288 Жыл бұрын
Wee hungonji upewe mandiko waislamu mwapotosha watu
@pungopungo411 Жыл бұрын
Wanapumbaza watu hao muwe makini nao wanamiliki majini