YESU NI NANI? PART 2C
30:24
2 күн бұрын
Пікірлер
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 21 сағат бұрын
Jamaa kasoma ila kujieleza kiimani Bado ajuwi ila historia yuko vizur
@hassanmuktaar1198
@hassanmuktaar1198 21 сағат бұрын
This blue t shirt is Dom
@salmaminja7714
@salmaminja7714 Күн бұрын
Subhanallah Lailahailallah Allahu Akbaru. Hakika kazi wanayofanya Uctadh Ramadhan na Halifa ni ya kipekee... OMBI LANGU KWA NINI WAISLAM KOTE DUNIAN TUSIUNGANE NA KUCHANGIA HII KAZI KWN TUNAONA WANAVYOJITOLEA KWA HALI NA MALI. DAIMA ANAYEWEZA KUCHANGIA KIKUBWA SHIME ALAYKUM, MWENYE KDOGO ALHAMDULILAH. KWA MAONI YNGU TUWAUNGE MKONO NA C VIBAYA MTU AKICHANGIA HADHARAN KWA MLIO KARBU NAO SIO RIA ILA ITAWAPA WATU MORALI NA KUCHANGIA HATA KDGO AMBACHO KITAWAWEZESHA. KM NIMEKOSEA KULISEMA HILI NAOMBA MNIWIE RADHI. HAKIKA NI KAZ NGUMUU, HATA KM HUYU SHARIF ANAFAA KUSAIDIWA KTK HHUU MWNZO WAKE WA KUIONA NURU HII. ASALAM ALAYKUM....
@HurumaJobu
@HurumaJobu Күн бұрын
Mashallah mimi ni mmoja kati ya walio silimu hakika dini ya haki ni uislamu inshaalah ALLAH azidi kuwapeni afya awaepushieni Shari mpate heri nyingi katika harakati zenu.
@SadricAjjam
@SadricAjjam Күн бұрын
Sheikh Ramadhan mnafanya kazi mzuri ya Allah. Allah atawalipa ujira ulio mwema inshallah katika pepo yake ya firdaus inshallah
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Huyu Bishop ni wale wale tu confused people,
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Yesu alilala kwenye boat ,wakivuka mto, akienjoy usingizi kabisa😅😅
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Elohim arameic,Allaah arabic,,thats the truth,
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Hii trinity ilikuja na hao baada ya yesu kuondoka,kwahio waliitengeneza wenyewe, na ndio maana sisi waislamu tunasoma original arabic qur'an how it was revealed,
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Baba wa whenye amesimama na original old testament anamsingi, anakataa kuhusu hao walio edit Enjeel, na ndio kukorigeka ,baba anasema mungu ni mmoja Ellah, yes
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Sasa hio maandishi si ni yale yale tu yaliyoandikwa na watu kui translate enjeel tu
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Jesus didn't claim divinity
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Mungu ni mmoja ila sio yesu,hilo pia ulijue Bishop, maana confusion inakuja hapa wanasema mungu ni mmoja na akiomba namuomba yesu hapa ndo nashirikisha
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Allaah akubariki kila siku Sheikh wetu ramadhan kaguo Aamin
@abdiidaawah-yv9bg
@abdiidaawah-yv9bg Күн бұрын
MashaAllah Ustadh wangu mnafanya kazi kubwa Wallahi Allahi Atulipe sote Jannah
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Subhaanalllaah huyu mzee ,nimempenda japo tu ni vile bado haamini mtume wa mwisho mtume Muhammad salallahu alayhi wasallam,
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Na hii kugeuza majina yote kuyaita kizubgu pia sio vyama, Suleiman acha abaki Suleiman na kama ni musa abakie musa sio Solomon na Moses
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Hii ndo Allaah alisema wangelijua biniowapa vitabu wangeisoma na lugha yake original, Siku zote nikiwaambia hii kuita tawrat kumbukumbu la tawrat ni kwamba waisahau ,sasa tangu Lini maneno ya Allaah yazeeke,
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Not kumbukumbu,ndio wameikataa original book of Yeshua
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Afathali huyu baba hapa anashukuru Elohim, (Allaah)
@harunmuriiki8011
@harunmuriiki8011 Күн бұрын
Barallahufiqum ,ndugu waislamu tumshikilea huyu ndugu kwa ajili ya Allah
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 Күн бұрын
Mashaa allah
@MariamJuma-g7w
@MariamJuma-g7w Күн бұрын
Bangi mbaya tena wanavuta ktk masikio
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn Күн бұрын
Apo hakuna parsta
@magrammagreens3873
@magrammagreens3873 Күн бұрын
Subhana llah hii Hali wallahi inatisha na inasikitisha Sana. Ona binaadamu wanavyolala subhanallah. Allah atuhifadhi Sheikh Ramadhaan Allah akulinde na akuhifadhi na mitigani ya Dunia hassad n.k . Allah akulindeni na mitihani ya Maradhi. Allah yuko pamaja na nyinyi mwende salama mufike salama safari njema inshaallah. Allahumma barrik.
@nurki001
@nurki001 Күн бұрын
Bishop umepigwa na butwaa 🙆🙆🙆🤦🤦
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x Күн бұрын
Sharif Insha Allah MUNGU akuongoze na Mashekhe wote MUNGU awalipe kheri hapa duniani na kesho akhera
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l Күн бұрын
Allah ambarik apa n kesho akhera ndugu yetu sharif
@vyisinubusa2541
@vyisinubusa2541 Күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. Alhamdulillah sheikh wangu Allah akuwekey wepesi kwa jitihada zako insha Allah. ❤❤❤
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Күн бұрын
Allahumah Ameen
@Allymbaruku991-lj1om
@Allymbaruku991-lj1om Күн бұрын
Ma sha ALLAH
@user-fh7wu8vx1y
@user-fh7wu8vx1y Күн бұрын
ALLAH akuongoze usome dini. naufanye ibada
@linetkikin4023
@linetkikin4023 Күн бұрын
Mashaallah ni neemah kubwa kwa sharif
@AshaRamadhani-px9ov
@AshaRamadhani-px9ov Күн бұрын
@straightpath Asalam aleykum warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Ramadhani vipi msikiti wa mzee daud uliisha ama Bado
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Allaah akujaze ewe Ramadhan kaguo akupe khayr na mafanikio
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Күн бұрын
Ustadh Khalifa ni mtu wa wapi?
@Natashaamina-u7w
@Natashaamina-u7w Күн бұрын
Allah akibra 😢😢
@Ozihamza
@Ozihamza Күн бұрын
Inaitwa sleeping bag huko kwa jeshi
@adamjaama9746
@adamjaama9746 Күн бұрын
Wacha uongo@ozihamza
@adamjaama9746
@adamjaama9746 Күн бұрын
Mimi mwenye jeshi @ozihamza
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Nimelia sharif akitamka shahada amekua emotional. Mi pia nimehisi kutoka machozi
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Күн бұрын
Kisii na Sda waah
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Күн бұрын
Masha Allah, Allahu Akbar. Allah azidi kumuongoza na apate elmu itakayo mfaa na itakayo wafaa wengine Amiin Ya Rabina Alamiin
@amransaid4286
@amransaid4286 Күн бұрын
Allah SW atakulipeni khery
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Күн бұрын
😭😭😭😭
@mohammedbadi6757
@mohammedbadi6757 Күн бұрын
Masha ALLAH.
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 Күн бұрын
Mash ALLAH alhamdulilah Neema ❤❤❤
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Күн бұрын
Allah yazidi kukupa nguvu na subra kutokana na mitihani na changamoto unazo kutana nazo hakika allah ndio mjuzi ya anacho kulipa kutokana na juhudi zako kwajili ya dini ya allah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
Allahu.AkbaruMadhaAllah
@samxx411
@samxx411 Күн бұрын
Ingawa sheikh Ramadhan mnapata changamoto wallahi mnafanya kazi kubwa sana ya kuwatoa watu katika giza japo ndugu zetu hawalipendi hilo.
@samxx411
@samxx411 Күн бұрын
Sheikh Ramadhan na ustadh Khalid nakutakieni kila la kheir Allah akulipeni jannat fir-daus
@ContentAnglerfish-qw1vo
@ContentAnglerfish-qw1vo Күн бұрын
ماشاءالله استاد رمضان
@mryarrowkenya5556
@mryarrowkenya5556 Күн бұрын
May God help us