Pale unapotegemea kupata ulilotegemea ukapata usilotegemea. Tafadhali. SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT
Пікірлер: 497
@salumabdulla58574 жыл бұрын
subhanallah mbona munachoma moto nguo mpya hio ni kufuru munaekt vzr mumejistiri lkn mumechoma moto nguo mpya huu n mt han
@user-mo7iq2fd8g2 ай бұрын
ufaham kuhus "reality and imagination" sis😂😂
@hamzasuleiman96052 жыл бұрын
Dongo kwa vijana wa Pemba ni nambr moja , serous anaweza , ubabe ndio kwao , Mwenye pesa ndio ohoooo , basi aigize uchale ndio balaaa , mumengwa ndio shidda Inshort Dongo uko vyema sana na hili hta Jufe nadhan wameligundua sidhan km kuna movie ya Jufe ambayo hujashiriki tena kila uliposhirik ni mhusika mkuu au msaidiz mkuu 👏👏💯✔
@fatmasaid58644 жыл бұрын
Bwana harusi anangojea kitoka nyumba hahah nimecheka mpaka basi
@wambaamwambaje12724 жыл бұрын
Jaman napenda sanaa Kutunza Lafudh yetu safi sana
@alexdismas74584 жыл бұрын
wambaa mwambaje? 1
@khaithamrubea51094 жыл бұрын
Mashaallah nawapenda wapemba wenzangu munajua sana
@mgenifaraji73754 жыл бұрын
Hello
@salamakhamis72454 жыл бұрын
Hongereni yaani unaangalia na watoto wako huna wasi wasi wakutokea utovu wa nidham
@mxanginaxxor21854 жыл бұрын
Salama Khamis surutni
@mayjaally50264 жыл бұрын
Nice hii ndio sanaa yetu hi ndio asili ytu 😘
@salmabintuthman32434 жыл бұрын
Safi sana! Mie lugha inanimaliza kwa utamu na ufasaha!👏👏👏. Waume mukome kusema mwendaowa!
@meythuual-sharyff51724 жыл бұрын
Salma Bint Uthman lugha Aa'dhwimu wallah pemba raha😍😘
@alikhamisali45512 жыл бұрын
Inallilah wainna Illaihi rajiuna Bikidecha anetangulia mbele ya haki leo tarehe 31may 2022.Allah amsamehe
@bbb6nnn5613 жыл бұрын
Allah atafungua njia waruhusun tuko weng wanawake
@sadamsellemni28284 жыл бұрын
Ohhhhhhhh dah so powaa iko gudiy ile mbayaaaa imetishaaaaaaa hongeren bhnaaa iko vyem sana
@izkiwellcome554 жыл бұрын
Japokuwa kapigwa madishi lakini ameshajuwa kiasi gani anapendwa na mke wake❤❤❤
@yahyamohammed45844 жыл бұрын
Kiswabi umenifurahisha kweli hodi na dishi la USO hy noma
@hjhj62304 жыл бұрын
😃😃majungu ya nchuzi au majungu ya manenoo 😃😃😃
@JufeFilmCompany4 жыл бұрын
Masufuria
@neykweyamba2429 Жыл бұрын
Hii kila mwaka uwa napenda kuitizama sanaaa😂😂😂😂 Leo 25/4/2023 Allah Amuifadhi Bibi kiduchu na Adhabu ya Kaburi
@ummunaaleicester43374 жыл бұрын
Kitoka nuumba nimeipendaa hongereni nyote mloshiriki mambo mazur sana👍
@allyhassan73704 жыл бұрын
Ono. A
@JufeFilmCompany4 жыл бұрын
Asante, endelea kutazama channel yetu
@babayussfa39504 жыл бұрын
Umeonaaa eeeeeh
@saeedqaseem74234 жыл бұрын
Wenye sanaaa zao wamekuja..... Wale mafurukombe wakae chonjo.... Sanaaa inafunza na kuburudisha bila kukaa mtu uchi na kutukana mtu... Kazi nzuri. ...... Pemba nkwetu
@qassimmuhammad96344 жыл бұрын
Vyovyote itavyokuwa Haram tu din hairuhusu
@tausngozi74304 жыл бұрын
Habari samahni hao watu wa wapi kiswahili chao sikielewi
@learnonline80334 жыл бұрын
Saeed qaseem safi sana
@maryamjuma64634 жыл бұрын
Tausi Ngozi wa pemba hao😁😁😁😁
@abubahussen14864 жыл бұрын
Iam vc x
@salumkhator88974 жыл бұрын
Mnatuwakilisha vizuri sana wapemba,we are proud of you
@mamurama31424 жыл бұрын
Kwani kuna umiaa
@shamsahaidar36024 жыл бұрын
Napenda kiswahili cha Pemba na cha kijomvu
@andiabakar7714 жыл бұрын
"Kilichomfanya Punda asiote nundu" na "sababu ya watoto kuzikwa Yao mava". I love the saying.....
@hussainomar18494 жыл бұрын
napenda sana nikisikia munazungumza Cha nyumbani (home is home)
@meythuual-sharyff51724 жыл бұрын
Hussain Omar raha wallah😄
@hassanbinabdallah57892 жыл бұрын
Wallahy zanzibar raha...mbona raha...
@salehmasoud73874 жыл бұрын
Hongera
@mitundafmoni76994 жыл бұрын
nipo muscat lkin kanza kazi ilibidi nistop nicheke ilove my home sweeeeet pba
@nohatredbutlove57864 жыл бұрын
Mitundafumoni maashallaah.
@jumakhamis60504 жыл бұрын
kigope
@nohatredbutlove57864 жыл бұрын
@@jumakhamis6050 sio Juma hamada kilevi? 😀😀
@nohatredbutlove57864 жыл бұрын
Au Shehe Juma?
@teefahbaby28114 жыл бұрын
Upo sehem gan n mm mpemba npo mascut
@makamemufadhil6274 жыл бұрын
Jaman mimi nikiangalia hii mbavu sina kwa kuchekaaa
@mbaroukmuhamed21564 жыл бұрын
Duh nawakubali sana vijana
@aliarkam95484 жыл бұрын
Hahahhaha hongereren sana leo mumenifuarahisha kwel Kwa madishi kitoka nyumba
@ochumpemba85574 жыл бұрын
Nikiwaona2 ndugu zangu basi huwa nakumbuka huko nyumbani #Kambini Kichokochwe kazeni buti
@khalifaali33354 жыл бұрын
Kwa hiyo ww wa kambini kichokochwe
@swabirali12764 жыл бұрын
Napenda sinema zenu ..mimi natokea kenya
@salmasaidi28754 жыл бұрын
Tuko pamoja
@guyoibrahim31004 жыл бұрын
Pamoja au sio
@JufeFilmCompany4 жыл бұрын
Karibu tena
@alexreinson73604 жыл бұрын
Tuko pamoja sanaa sanaaaaaaaa ...naangalia zaidi ya maramoja....Allah awawezeshe zaidi na zaidi
@shabanhaji47904 жыл бұрын
Da
@sultanetmohd43354 жыл бұрын
Daa Yan na pnda sna film za nyumban hongera sna w nyumban
@halimasssomar87934 жыл бұрын
Mi pia nakupiga..Choo kime jaa...waenda oa mke wa pili 😀😀😀😀😀💪💪💪💪
@gagapiano94613 жыл бұрын
Bi kidecha mung hazd kukuweka mama angu napenda San unavyoigiza pia na maneno yako.. majungu ya maneno au ya mchuz😅😅😅
@zulachama10674 жыл бұрын
Mashallah filamu nzuri kutoka pemba Muko sawa nyote.
@sabrakhamis38763 жыл бұрын
Snaaa tu
@amraabdalla14024 жыл бұрын
Hongera Amina mungu akuzidishie uzidi kufika mbali
@shafiikhamis23363 жыл бұрын
Huyu mama #Bikidecha anajua sana ku-act☑️
@ashalol60454 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zangu mie eti hatwishi uroho
@halimamamuma73144 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kassimmbaruku51284 жыл бұрын
ndugu zangu wakipemba nawakuli sana kazi mzuri
@mariamsaidi76254 жыл бұрын
Haaa haaa nimecheka mpo vzr
@majuissimai35974 жыл бұрын
Hongereni muko vizuri🤓🤓🤓🤓🤓
@akidahamad142 Жыл бұрын
Dongo ezeka nyumba kwanza dada asante sana
@zulachama10672 жыл бұрын
Elimisha jamii ipate mafunzo na maelekezo bora,hii filamu nzuri sana nazipenda.
@afnanidarous13164 жыл бұрын
Hahaaaa hadi najiskia kuumia mbavu kwa kucheka
@fatmaaly96864 жыл бұрын
Hujanishida mie
@yussrakhalfani70234 жыл бұрын
Mashaallah mko vizuri
@nuhusudi88954 жыл бұрын
Hongereni sana na hasa huyo mke jinsi anavokava vizuri sana nafasi zake
@abdallahmdangadachi7030 Жыл бұрын
Huyo mama anajua sana
@shehabakarimbarouk43054 жыл бұрын
Nipo daa ila nainjoy sana walahi
@ibrahiym_khan79844 жыл бұрын
Karebu pemba😄
@alexdismas74584 жыл бұрын
Sheha Bakari Mbarouk
@abdulfirst_pilot64793 жыл бұрын
Haya ni majungu ya maneno au masufuria haya ndo mahabuba mupeyaneyo kile nilicho kifuata sija kipata nna kipata chengine sishi uruhooo ndo na muona eti anenepeana
@khamisothman99704 жыл бұрын
Dongo upo juu eti ngoja nikae mkao wa kupokelea zawadi
@mwanahawa27034 жыл бұрын
Mh
@hishamally48464 жыл бұрын
Kiswabi nakukubali sana bro
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Unalih wainailah rajiun. Bi kidecha. Umetuwacha tulikuwa tunakupenda sn kwa uigizaji wko. Leo hupo tena😭😭😭
@habiibanahassan4455 Жыл бұрын
Ela hunkwenda dokoa😂😂😂😂
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
Nakuvumilia tu sababu mwanamke hapingwi 😂😂😂😂😂😂😂yaani kazi zuri sanaa
@mtumwasuleiman45544 жыл бұрын
hongra sana amina nakuona mbli sana .alllah akuongoze inshalla umetendea vyema nafasi yako
@shemsahumood42624 жыл бұрын
😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣 jaman mtaniuwa mbavu zangu kila anaehodisha anachezea dishi 😆😆😆😆
@naysalnay50014 жыл бұрын
Shemsa Humood hahahhahaaaa hatar
@nassorkhalaf27043 жыл бұрын
😄😄😄😄watatuumiza mbavu vow
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Pole sana kaka
@mariamfritsi97614 жыл бұрын
Utani hasara.ila hakuna mtu anaeoenda kushare penzi.ni hiyo badi tuu tutafanyaje na ndio sheria.ila mhh basi tena.
@sabihahamadi22873 жыл бұрын
Haaaaaaa usilo lijuwa ni usiku wakiza jungu lakichwa linakuhusu
@shaabshashakour31114 жыл бұрын
Hapa kidogo munatufurahisha sisi tulia mbali na pemba leteni vitu
@abrahmannassor42594 жыл бұрын
inaallah la yuhb israfah cvyo hvyo jaman
@tumtumkhan31154 жыл бұрын
Mtu akiwa na hasira haswa mwanamke akiambiwa ataka olelewa
@fatmakhamis10184 жыл бұрын
mvumulie tuuu mwanamke hapigwi mbavu zinaniuma kwa kucheka
Wataka kuzalilisha haya ndomahabuba mupepeyanayoee nikizan nihili mumewangu 😁😁😁😁😁
@Chombezaflava4 жыл бұрын
Kazi nzuri alhamdulillah ushauri wangu kuhusu jufe film ni kuwa na ratiba ambayo itamfanya mtazamaji awe siku maalum mfano kwenye jumaa moja iww munarusha video zenu mfano labda kila alhamis ya kila wiki muda mtapanga nyinyi au movie nzima kila baada ya miezi miwili na hio ndio jinsi ya kuwasogeza watazamaji karibu na jufe film production waigizaji wapo sahihi na watendalo shukran sana binafsi yangu kiswabi ndie bora kwangu shurna na mlifanyie kazi
@JufeFilmCompany4 жыл бұрын
In Sha Allah.... shauri limepokelewa... Endelea kutazama channel yetu
@omarbosiomar86084 жыл бұрын
Subscribe ndo Dawa kubwa kisha bofya kengele kila watakapo kuwa hewanj utawaona
@salumkhator88974 жыл бұрын
Umeongea kitu cha maana sana
@mudiboy18944 жыл бұрын
Mohammed awadh al obthany007
@Chombezaflava4 жыл бұрын
@@omarbosiomar8608mi teyari sijui wewe na waambue na wengine maana hii ni yetu sote
@hamdukhamis74063 жыл бұрын
Amina saf nilikuwanakukubali toka shule
@masoudyrashidy90414 жыл бұрын
Jufe maa sha Allah
@mariabahati12644 жыл бұрын
Nzuri Ina mafunzo huyo mzee yeye mwenyewe ni maskini anatafuta mke mwengine
@kiri58073 жыл бұрын
wenyewe hukwambia kuwa kila ukiwa masikini uengeze mke na kweli siku hizi waume wengi huwa hawana uwezo sajitia kuoa ikisha wanawake wajichumia wenyewe almuradi ana wake 2 au 3 .
@marafundujenzi43154 жыл бұрын
Ha ha ha ha kazi mzuri sana
@hassanimussa57764 жыл бұрын
Mi napenda kiswahili chenu aisee
@adilhabibu79583 жыл бұрын
Njoo tukufunze
@faizasaid82624 жыл бұрын
Uwii ushauri mwengine uwacheni
@musabhussein28983 жыл бұрын
Mungu ibarki pmba ytu pmoja wtu wetu daaah mm shbki wa dogoo baba unatishaa😀😀😀😀😀😀
@shaabanahmed62934 жыл бұрын
Uharam huo ata kama unaigiza .... pole sana ufukara unaukaribishaaa
@salummbaruok94084 жыл бұрын
Leo nimecheka sana kuliko zote😂😂😂😂
@ladyfatush29434 жыл бұрын
Hizo kanga bora ungenipa miyee
@jamilasalim18723 жыл бұрын
Hayo ndo mahabuba mupeanayo hhhh ndo maana mwanenepa
@mohdabdi41574 жыл бұрын
dongo nakukubali😁😁😁
@damsimuali57604 жыл бұрын
Hajuwi kanlala vip wala kanaanka vip miss you lafudhi ya kwetu
@sadakhamis12614 жыл бұрын
Hilo dishi kila ajae apigwa nalo la kichwa😂😂😂😂😂😂
@user-jz8sj5us1h3 жыл бұрын
Chezea mitara weye😂😂😁😁😁
@omarsheha28404 жыл бұрын
Pemba yetu oyeee
@omaridarus88473 жыл бұрын
Oyeee
@faizasaid82624 жыл бұрын
Jamni siwezi cheka leo😁😁😁😁😁😁😁
@rahmajuma16964 жыл бұрын
Faiza Said nitakusaidia mm Hahahaha
@faizasaid82624 жыл бұрын
Rahma Juma asnte😁
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Kosa ni kutoa kitoka nyumba kabla ya mazungumzo. Somo hilo kabla ya kuoa angalia hali yako, watoto na nyumba kwa ujumla 😂. Hongera ni somo zuri.
@sadakhamis12613 жыл бұрын
Nikwel
@ummulkurthumabeid29144 жыл бұрын
Htr kwel kwel jmn 😀😀😀😀😀😀
@ramlamohammed16613 жыл бұрын
Kidira Cha vitojo tojo Kishachomwa😂😂😂
@yahyanasoro90613 жыл бұрын
Ramka
@yahyanasoro90613 жыл бұрын
Yahaya
@dullerally20154 жыл бұрын
Hahahahaha ati kumkwenda dokea
@zuwenahamad61784 жыл бұрын
😂😂😂😂haya waume jaribun.. nvizur haswaa na maisha mmazur aongez tuu😂😂😂😂c kwa dishi hiloo .. yakhe kiswabii 😂😂😂😂😂nkpnd n poz zko z ktmbea n kusema 😂😂😂😂
@swabirali12764 жыл бұрын
Jufe mnachelewa kutoa vipindi hivi vizuri
@is-hakaali57574 жыл бұрын
😂😂😂😂 tizaa ile shati ama aliekugwa mbuyuu
@hussainomar18494 жыл бұрын
Yachunguze uyahakikishe ndio uyafikishe.
@ShuraymSuleimanSaid4 жыл бұрын
Good message for sure
@sikukuuchuo30932 жыл бұрын
😅😅😅masufuri ya kichwa napenda kipemba jamani.
@salmajadi36954 жыл бұрын
Masufuria yamekupata kweli hahaha
@alhudhaify7810 Жыл бұрын
Bikidecha Allah akujaalie kaburi lako liwe miongoni mwa bustani za Peponi.
@munirasuleiman87944 жыл бұрын
Haaaahaaaaa mbavu zangu eti ndio mahaba hayo mlokuwa mnapeana na mumeo chezea sufuria haaaaahaaaaa
@ajuahaoowbw32302 жыл бұрын
naomba mijicho kama taaa
@twayibmood73194 жыл бұрын
E bwana eee nyie mku juu sana
@moonashariff93094 жыл бұрын
Sufuria limebandikwa kila mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fahadhamad68894 жыл бұрын
B
@makamemufadhil6274 жыл бұрын
Ushauri mwengine heee
@sherrybuda92484 жыл бұрын
Wallahi napenda kazi zenu mnaburudisha na kufunza
@salehmasoud73874 жыл бұрын
Hongerasana
@thamymamy31264 жыл бұрын
Jamani tunakupendeniii em msichukue mda leteni vituu
@chidydullah27454 жыл бұрын
Ruller master of the mark
@mosemose48454 жыл бұрын
Thamy Mamy hrp
@yalsadsaeed4 жыл бұрын
Hhhhh nimefurah San ila Nguo msingechoma nahis ingekuw nzur zayd ijapokuwa ni Sanaa ila maashaallah mmejitahid kuusimamia utamaduni wetu wa kiislam na pba