KIUFUNDI: USAJILI BORA ZAIDI KWA SIMBA NI HUU HAPA...

  Рет қаралды 47,356

SoccerData

SoccerData

25 күн бұрын

Пікірлер: 37
@samponews1689
@samponews1689 24 күн бұрын
Haya ndo mambo tunapenda soccerdata tunaomba na uchambuz wa kocha fadlu🙏
@andreangweshemi7706
@andreangweshemi7706 23 күн бұрын
Nilishawahi ku-comment huko nyuma kwamba analysis zako zina mshiko. Huongei tu bora kuongea, bali unatumia evidence kusupport unayosema. Sisi wengine tunapenda hivyo. Siyo porojoporojo tu zilizojaa unazi, ushabiki na uongo. Kazi yako ni nzuri.
@SoccerData.
@SoccerData. 23 күн бұрын
asante
@SprianNana
@SprianNana 24 күн бұрын
Kaka tupe tathmin ya kocha fadlu tujue falsafa zake na pia jean charles ni mchezaji wa aina gani
@stevekassanda5303
@stevekassanda5303 24 күн бұрын
Unachelewa sana kaka kutupa madini. We jamaa niatari na nusu 🔥🔥🔥🔥🔥
@Immahjr
@Immahjr 24 күн бұрын
Kuna ulazima wa kumfatilia kwanza mchezaji ili aje na uchambuzi sahihi👏
@SoccerData.
@SoccerData. 23 күн бұрын
mkuu tukitoa kila siku zitakuwa Porojo tu... lakini pia nakiri kama Production iko chini, tutajitahidi Ipande zaidi; sapoti yako ni muhimu...
@qualitymediaproduction
@qualitymediaproduction 23 күн бұрын
Ahsantee Soccer Data Tunaomba Na Uchambuzi wa Kochq Fadlu Davids
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 24 күн бұрын
Kongole Mr sekwao wewe ni mtu na nusu
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 24 күн бұрын
Nimebarikiwa na kutiwa moyo sana!
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 23 күн бұрын
Dhahiri dhahiri Simba tumefanya usajirii boraa maanaa kikamtuh anakujaa na mtu wake Bora kwa Hans rafaeli Debora ndo usajili wamwisho kwa ubora
@TheMrisho
@TheMrisho 23 күн бұрын
Sema bro sisi hatuna haja ya kuwa na kopi ya Aucho. Simba sio kama jirani kwahiyo wachezaji wetu wasifananishwe na wao😂
@user-xk3ve2wo3l
@user-xk3ve2wo3l 24 күн бұрын
Ninavyojua na nimemfatilia Debora ni mzuri sana akitumika kama box to bos na sio holding ana makosa mengi sana ni sawa na ngoma
@user-xk3ve2wo3l
@user-xk3ve2wo3l 24 күн бұрын
Soccer data nisaidie hapo
@SoccerData.
@SoccerData. 23 күн бұрын
box to box unatakiwa kuwa MCHAFU wa ROHO, Pumzi ya Mbweha, Ukatiri wa simba... Deborah Utamtesa tu bure...
@juliuschacha3386
@juliuschacha3386 17 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@ricardomichael5065
@ricardomichael5065 23 күн бұрын
INSHALLAH!! GOD BLESS SIMBA.
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 13 күн бұрын
Debora😮🎉😂
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 23 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Asante sana
@SoccerData.
@SoccerData. 23 күн бұрын
AAAAH Familiaaa
@ezrahtossitz2853
@ezrahtossitz2853 15 күн бұрын
😂😂😂. Tunasubili soka lianze
@SprianNana
@SprianNana 24 күн бұрын
Kaka tunaomba uchambuzi kuhusu fadlu falsafa zake
@RaphaelKaswahili
@RaphaelKaswahili 24 күн бұрын
Lete jiwe la kocha
@user-qw2vl5hi4e
@user-qw2vl5hi4e 24 күн бұрын
Tupe uchambuzi wa kocha wa simba
@stevekassanda5303
@stevekassanda5303 24 күн бұрын
Tanzania hii Kuna garibu, mwaduke na ww. Hao ndo watu wakiongelea mpira unasikiliza na ujutii bado lako, mambo nimengi sana ila msimu huu upo slow sana kaka. Nini shida?❤❤
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 18 күн бұрын
Ngoja tuone taree8
@GildoAntonioLinguaLingua
@GildoAntonioLinguaLingua 24 күн бұрын
Ana machaka tumtumaini ni wetu
@longlive_k10
@longlive_k10 24 күн бұрын
Tusila akikusikia kaka utakoma
@allybadimzava
@allybadimzava 23 күн бұрын
Bado hatujawaona
@user-ne6bp7lo3q
@user-ne6bp7lo3q 24 күн бұрын
❤❤❤❤
@civianipyana4915
@civianipyana4915 23 күн бұрын
Samahani soccer data kwa niaba ya sisi wapenda michezo tunaomba tupe uchambuzi kuhusu fadlu na simba je wataoana kifalsafa na kiuchezaji
@SoccerData.
@SoccerData. 23 күн бұрын
huu unakuja Very Soon; Utaupendaa...
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 23 күн бұрын
Unatosha sana Kwa uchambuzi
@SoccerData.
@SoccerData. 23 күн бұрын
Subscribe kabisa, Bofya alama ya kengele, kuna mawe mengi ya kulevya yanakuja
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 23 күн бұрын
nguvu moja
@sailoo5722
@sailoo5722 24 күн бұрын
😂😂😂😂
TOP 5: USAJILI BORA ZAIDI KWA YANGA YA GAMONDI HUU HAPA.
11:00
SoccerData
Рет қаралды 2,7 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,4 МЛН
JOSHUA MUTALE SKILLS
5:15
Muu mtwale
Рет қаралды 29 М.
Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
10:34
Paddy Pimblett vs King Green delivered! #UFC304
0:37
UFC India
Рет қаралды 2 МЛН
Paddy Pimblett vs King Green delivered! #UFC304
0:37
UFC India
Рет қаралды 2 МЛН
Mbappe recreates CR7#football #art #creative #shorts
0:13
Artzy
Рет қаралды 1,1 МЛН
Diyora Keldiyorova Judo Paris-2024  Oltin medal sohibasi✊
0:55
Surxon 75
Рет қаралды 2,5 МЛН