Рет қаралды 13,491
Simba Pro tunafahamu kua klabu ya simba inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati Imourane Hassane mwenye umri wa miaka 21 nyota huyo mwenye uwezo mkubwa anamudu kucheza eneo la kiungo mkabaji
Heavyweight Dullah anatupitsha kwenye undani wa nyota huyu
maisha yake ya soka na bora wake
Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 tukupe utaratibu