Рет қаралды 368
Ndani ya filamu ya kivuli kuna binti aitwae catheline ambaye ni mchawi anayeishi na muwewe kama kivuli huku akimshinikiza kutembea na kaka yake ili tu apandishwe cheo.
Je? atafanikiwa kumfanya kaka kivuli cha kupandishwa cheo fuatilia kisa hiki.