Mheshimiwa John J Mnyika,umeyajibu vizuri maswali yote ya Waandishi wa Habari na hasa swali la tuhuma za Mheshimiwa Tundu Lissu juu ya ubadhirifu ndani ya chama chetu.Hongera sana na mwenyezi Mungu akulinde na akujalie Afya njema.
@mamafaiza172013 сағат бұрын
Au km kuna dispensary karibu nunua huko
@melch309710 сағат бұрын
Mi nampenda lisu lkn. Mbowe anahaki pia
@nestorysylvester808514 сағат бұрын
tundu lissu anafaa kuwa mwenyekiti wachama
@kakanicodemus363215 сағат бұрын
Mwamba mbona ni anaonesha kama ni yeye na mbowe damu damu
@rashidissa588714 сағат бұрын
BINAFSI NAWAOMBA MMOJA WAO UCHUKUWE UWAMUZI KAMA VILE ACT