Asante saana kwa waraka wa chaso kwa umma wa Tanzania 😊😊
@johnvedastus30793 сағат бұрын
Nyie vijana acheni siasa nendeni mkasome. Rushwa kwenye siasa haiwezi kwisha, Nyie mkisaidia wajumbe siyo Rushwa maana kuna mtu mmejiegemea kwake. Kwanini miaka yote hamfanyi hivyo? Hivi nyie mnaona ugumu gani kwenye chama chenu? Wajumbe miaka yote husafirishwaje na Kwanini yawepo malalamiko mwaka huu? Mwaka huu mnayo kazi, democracy ni gharama waambie wakatafute hela waje wenyewe ikiwa hamtaki wagombea watoe hela. Nyie mko kwa lisu nani asiyejua, ukitaka Rushwa ikome ujijengee uwezo wewe mwenyewe nje na hapo mhuuu. Kwani katibu mkuu yeye hana upande au utafiti wa hilo hamjaufanya? Hivi Chadema ikifa nyie mnapata hasara kiasi gani? Kwanini mnatumia nguvu sana kwa jambo la uchaguzi wa mwenyekiti tu na kama kuna mtu kala rushwa mpelekeni mahakamani maana rushwa ni jinai au hilo hamlijui. Kama hamna hela mnaweza kuhairisha uchaguzi ili mjipange 😂
@marieconnect6389Сағат бұрын
Sawa vijana. Tumewaelewa. Kumbe jamani Magufuli alifanya kazi ngumu sana. Kupambana na rushwa si kazi ya kitoto. No wonder alipata upinzani mkubwa sana toka.kwa wala rushwa. Kupambana.na Rushwa si mchezo Magu apewe mama yake. Hongereni vijana kwa kazi nzuri
@TM-zs3rm10 минут бұрын
Safi sana. Chadema ina wanachama ambao kwa kweli wamewekeza mioyo yao katikahiki chama.
@marieconnect6389Сағат бұрын
Safi sana wanavyuo. Natamani mngetoa tamko wakati wa kizungumkuti cha bandari. Kumbe mpo? Mlikuwa wapi wakatii ule?
@GoimNikodem25 минут бұрын
Ahsànte sana chaso tunawategemea sana Kwa mtazamo wenu mzir mnaouonesha Kwa masrahi ya chama na nchi Kwa ujumla
@marysichinsambwe7708Сағат бұрын
Amen Baba
@PatrickPondamali2 сағат бұрын
Mbowe tunajuwa umebakia na mtego Moja tuu wa Rushwa kutumia mwanya wa changamoto za wajumbe kukosa pesa tunajuwa vijana wameongelea Rushwa wanakusema ni ww Mbowe Toka mudawako umeisha.
Mbowe Mzee wetu huoni haya story zimekujaa moyoni umejawa hila mmefanya makusudi ili wajumbe washindwe kija ili ushinde Mungu wa haki atakupatia haki yako Muda upo badilika Mzee wetu ona vijana wanajenga hoja ya kwamba wajumbe wapatiwe maladhi Mtego ulioutega utakunasa mwenyewe Mungu yupo umefanya mengi mazuri kumbuka yupo Mungu
@Georgemselyamwaluko3 сағат бұрын
Hapo mumenena
@SugwaKelukilwa2 сағат бұрын
Iyo poindi
@James-sz4ec2 сағат бұрын
Mbowe apumzike anakiua chama mwenyewe miaka 20 hujapata mbadala wa kumwachia chama ukweli nikwamba mbowe wanachama na wakereketwa hawapendi chama ukimalize afu watu wenye mvuto kwa sasa juu ya hiki chama ni lissu na heche umepoteza watu wengi wenye uwezo kina zito msigwa nawengine wengi kisa tu wakitaka kukuchallenge kwenye kiti chako