Mbowe Ajibu Mapigo: Tundu Lissu ATAENGULIWA Kugombea Uenyekiti Kwa Makosa Haya Akipatkana na Hatia

  Рет қаралды 7,503

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

#Credit "Mahojiano haya yamefanyika katika kipindi cha Power Break Fast cha Clouds Media"
.
Mbowe Ajibu Mapigo: Tundu Lissu ATAENGULIWA Kugombea Uenyekiti Kwa Makosa Haya Akipatkana na Hatia
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#mboweleo #freemanmboweleo #tundulissuleo #lissunambowe #tikitvkiakilizaidi

Пікірлер: 88
@moraisachacha6375
@moraisachacha6375 6 минут бұрын
Lisu ni msema kweli, period.
@BwiganeSementi
@BwiganeSementi 3 сағат бұрын
Mzee mbowe pumzika tunamtaka lisu ukifanya ujinga utabaki na wajumbe kama lipumba
@NuruNurudin
@NuruNurudin 3 сағат бұрын
Hautufai kwa sasa mbowee!!
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 3 сағат бұрын
Mzee Mbowe Mimi ni Mwanachama Halali kabisa tangu 2009. Tunatambua Mchango wako Mzee,Lakini hebu kubali ukipigwa usihame ili tufanye Chama kukua maana sasa hivi Mpe Lissu
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 2 сағат бұрын
Mbowe achia madalaka mzee
@drnow1528
@drnow1528 8 сағат бұрын
chadema haifai kuliongoza Taifa
@Peterchipemba
@Peterchipemba 44 минут бұрын
Lissu kwanza,,mengine tuta zungumza badae,,
@EmmanueliBoniphace
@EmmanueliBoniphace 3 сағат бұрын
Huyu jamaa ùjue hajitambui hata kdgo aiseeee
@henrychacha5592
@henrychacha5592 2 сағат бұрын
Mbowe si upumzikeeee!!!!
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 42 минут бұрын
Lakini Mbowe , mbona unapata shida sana kuhusu kuachia madaraka? Sisi hatukutaki tumekuchoka, you must go!
@JosephIsrael-t6n
@JosephIsrael-t6n 3 минут бұрын
Wewe ni dicteta mbowe siamini unachofanya na kuleta maswali mengi ,itoshe kusema hkiwezekana wanachama tulio wengi basi ubaki na chama chako uweze kupokea fedha kwa wafadhili wako.
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 4 сағат бұрын
Mzee acha tamaa ondoka tu mbowe hushindi hata kwa wizi
@salehjuma704
@salehjuma704 5 минут бұрын
Mkiwa taasisi yawasumbuwa kuongoza mutaweza kyongoza nchi😊
@evancemwaky7425
@evancemwaky7425 Сағат бұрын
Mbowe acha upuuzi ila hutufai hata Lisu ni mwanachadema
@josephmlwafu3767
@josephmlwafu3767 3 сағат бұрын
Usipaniki muchie mwezio
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 21 минут бұрын
KESHO ILIYO SALAMA YA TAASISI HII?? HILO NENO NIMELISHIKA . HONGERA SANA MH: MBOWE
@Omarimakuka
@Omarimakuka 4 сағат бұрын
Samia mitano tena❤❤❤❤❤
@isdoryson1474
@isdoryson1474 Сағат бұрын
Mzee pumzika inatosha
@claudiasewando
@claudiasewando 4 сағат бұрын
huna aibu mbowe toka inatoßha
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 Сағат бұрын
Lisu hajakanyaga mtu yeyote,amesema kweli,halafu lisu anaongelea mara sera na sio mtu,lisu atakapogeukia tunageukia
@trueprophet7627
@trueprophet7627 51 минут бұрын
Wenje alienda kwa Lissu kumshawishi ama hakwenda
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 11 минут бұрын
Mbowe achia ngazi tupe lisu
@trueprophet7627
@trueprophet7627 52 минут бұрын
Mbowe umepiga pesa ya Samia kwa sababu ya kupooza utekaji na uhuni mwingi. staafu kwa heshima uheshimike
@MlengaJums
@MlengaJums 2 сағат бұрын
Mboe nawewe usie kama ccm baba pumzika tu
@FrederickMbise
@FrederickMbise 2 сағат бұрын
Lisu atakimbia nchi jamani tuangalieni sana wanachadema
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 3 сағат бұрын
Una tamaa wa madaraka
@NuruNurudin
@NuruNurudin 3 сағат бұрын
Muachie lisuu wewe!! Acha tamaaa!
@StivenMwambenja
@StivenMwambenja 3 сағат бұрын
Viva mbowe mitano tena kwako
@sylidionkatetegwa429
@sylidionkatetegwa429 Сағат бұрын
Karamba asaali mzeee
@sullekasaleh2315
@sullekasaleh2315 2 сағат бұрын
Matapeli ayo
@stanleykimbulu8431
@stanleykimbulu8431 17 минут бұрын
Mbowe umekuwa kiongozi mwema lakini wakati huu muachie Tundu ili aendeleze Chama usinganganie itakupa heshima kubwa kuliko kuja ukashindwq uchaguzi itakupa stress sana joengue Baba imetosha
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 3 сағат бұрын
Kwa wewe ni Nani ondoka usilete Uchaga ondoka
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 30 минут бұрын
Kwani hata huyo wenje anavyoropoka mbona husemi ndg
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 27 минут бұрын
Kwani chadema ni pekeyako ndg
@NuruNurudin
@NuruNurudin 3 сағат бұрын
Huna jipyaa wewee!
@chachabange4343
@chachabange4343 2 сағат бұрын
Haha mimi sikupendi unataka ufiye kwenye uongozi
@RutaJuvent-d8z
@RutaJuvent-d8z 4 сағат бұрын
Wewe ndo ulisababisha slaa aondoke baada ya kusalit chama na kumleta lowasa kugombea urais
@trueprophet7627
@trueprophet7627 49 минут бұрын
Pesa ya Abduli walipokea wapambe wako na ww mwenyewe ama lah!
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu Сағат бұрын
Umeshapoteza mvuto wa kisiasa. Mbowe ni CCM B
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 2 сағат бұрын
Mbona Mbowe aliwalinfa wale wabunge cov19 badala ya kuwafukuza
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 5 сағат бұрын
Alhamdullilah tuoeni nafasii hii , chadema kwasha jali baada ya uchaguzi, Mama 10 mengine au ukomo wa uraisi. 2025 mpka 2030 😂😂❤
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa 2 сағат бұрын
Bwowe inatosha tunakushukru huna jipiya😢😢😢😢😢😢
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 32 минут бұрын
Mbowe usialibu heshima yako
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 сағат бұрын
masudi kipanya Nauliza maswali konk
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 38 минут бұрын
Watoaji maoni wengi SI chadema lengo lao chadema iharibikiwe kuweni macho
@josephatkajange-zx2tl
@josephatkajange-zx2tl Сағат бұрын
Asali ndio chanzo cha shida hii!
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa 2 сағат бұрын
Miyaka yote ulikiwa hummwoni kama hana busara kisauwenye kitimwizi www
@stevenghambi3471
@stevenghambi3471 23 минут бұрын
Acha cc ndo wanachama ondoka Huna aibu
@AllyMohamed-w5x
@AllyMohamed-w5x 4 сағат бұрын
Katiba ya chama isomame bravo piganeni tuone mwisho
@Ba63828
@Ba63828 4 сағат бұрын
Mambo ya kihuni kabisa
@GiliardLugala
@GiliardLugala Сағат бұрын
Hatari kubwa hiii mlizoea kutukana vyama vingine sasa leo vyuma vimekutana mnoane wenyewe
@claudiasewando
@claudiasewando 4 сағат бұрын
mbwowe niccm wewe
@HatibuSozi
@HatibuSozi Сағат бұрын
Mbowe wewe ndio mhuni kwa ss achia ngazi kwa masilahi ya chama
@lawimichaelwerewere7619
@lawimichaelwerewere7619 Сағат бұрын
Wewe kwa pembeni kwa sasa hufai kuwa mwenyekiti hufai hutufai nenda ccm
@NovatMarco
@NovatMarco 4 сағат бұрын
Mbowe umeshakula hala ya mama abuduli usidanganye tunajuwa hilo
@salehjuma704
@salehjuma704 8 минут бұрын
Kiongozi wowote mwenye kukimbia nchi hawezi mapambano
@muhiyidinishabani
@muhiyidinishabani 4 сағат бұрын
Mbowe acha ujanja waachie wengine inatosha sasa
@claudiasewando
@claudiasewando 3 сағат бұрын
wewe na samia ni kitu kimoja mbowe acha uongo
@MohamedHamis-x1k
@MohamedHamis-x1k Минут бұрын
Tamaa ya madaraka mbowe hatuna imani na chadema tena nyinyi ni matapeli hakuna chama hapo
@mkingaJulius-u5y
@mkingaJulius-u5y 2 сағат бұрын
Mboe tunakuheshimu wewe kaa pembeni kulinda heshima yako
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu Сағат бұрын
Sasa hutaki kuja pembeni unataka ufie madarakani? Na ukiwa rais wa Tanzania c utatawala milele😊
@niubility5745
@niubility5745 Сағат бұрын
Elimu hana, hata akiongea till next yr hawezi ni convince
@NungulaRais
@NungulaRais Сағат бұрын
Hiyo
@esgardmmanyi1184
@esgardmmanyi1184 Сағат бұрын
Mbowe utakiua chama.
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa 2 сағат бұрын
Umeulizwa swali kwenye mariziano mbona uliwacha wenzako ukaenda mwenyewe,unaleta porojo jibu swali
@KasaKamanga
@KasaKamanga Сағат бұрын
Mzee mboe.sikuzote umekula rushwa sana.kaa pembeni.acha lisu anaijua siasa siowewe.wachaga bn
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 10 минут бұрын
Mlete lisu
@Kanyawela
@Kanyawela Сағат бұрын
Mbowe nakueshimu sana ila kama unaona wewe tu ndiye unaweza kulinda chama bas icho sio chama bali ni sacosi yako kioski chako duka lako wala usitudanganye Pumzika uwe mshauri utaheshimika
@juliussenzia
@juliussenzia 14 минут бұрын
Bye bye Chadema
@WilberforceMtedzi
@WilberforceMtedzi Сағат бұрын
Mbowe acha watu waonje sumu kama inauaa😅😅😅😅.watakuja kumbuka busara na hekima Yako.
@trueprophet7627
@trueprophet7627 47 минут бұрын
Masoud Kipanya mtaalam wa kudodosa!
@JakayaSamson-y9d
@JakayaSamson-y9d Сағат бұрын
Mbowe unajua kosa lako lilipo nikitendo Cha kumchomeka wenje kua mgombea umejipalia mnakaa mwenyewe tulia ukamliwe
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Сағат бұрын
Inamaana utamaduni wenu ni kukaa milele kwa madaraka
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 сағат бұрын
Demokrasia iwepo,anahaki ya kugombea kabisa.Hii tabia ya kufukuzana ni mbaya😢
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 15 минут бұрын
Unajua wewe mzee unazeeka vibaya, kwa hiyo miaka yote 20 ukiwa mwenyekiti hakuna hata mmoja uliyemwandaa awe mwenyekiti, wewe achia ngazi mpe mtu yoyote, wewe sio Mungu, VP kama ukifa kesho mwenyekiti atakuwa nani??
@AbdullahAhmed-t7p6l
@AbdullahAhmed-t7p6l Сағат бұрын
Kwa nn watanzania walikipenda chadema ni kupinga rushwa basi sasa km viongozi wanakula rushwa lnaendeja mbele sasa sisawa na ccm tunayoibeza taasi lnaitaji watu safi basi vyana vyote vina sera nzuru shida walarushwa ktk taasisi
@NungulaRais
@NungulaRais Сағат бұрын
Mzee kwa busra pumzika kama utakaidi utaibika
@JosephIsrael-t6n
@JosephIsrael-t6n 43 секунд бұрын
Mbowe achia ngazi uende in zako,kwani watu wote Tanzania wana chuki na wewe?
@nditiPeter
@nditiPeter 2 сағат бұрын
Sijakuelewa mbona hujazungumza unamikakati Gani kupigania haki za wiotekwa waliouwawa na waliopotea kwakupiganiwa chama kwasasa unatetea nafasi Yako tu ninamashaka nawewe nidikteta kuliko at ccm
@onessytiganga4722
@onessytiganga4722 3 сағат бұрын
Mzee umejaa busara na uenyekiti utadumu nao!
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 сағат бұрын
ila huyu mzee anabusara sana na hekima..me mwenyewe nakukubal japo cna chama
@muhiyidinishabani
@muhiyidinishabani 4 сағат бұрын
Ccm ndo chama salama
@babarungurallyteam2754
@babarungurallyteam2754 2 сағат бұрын
Kaka MBOE unaaminika Sana katika nnchihi je unavyosema hivyo kua lisu anaropoka na Hana BUSARA hayayote yanatokana na Niniii?au nikwaajili yeye kugombea UENYEKITII? NAJEE KAMA YUKO HIVYO ILIKUAJE KIPINDI CHA HUKO NYUMA MLIMPAA UANASHERI MKUU WA CHAMACHENUU? NA ILIKUAJE NA MKAMUAMINI NA KUMPA HADHI YA KUGOMBEA URAISI WA NNCHII KUPITIA CHAMACHENU?
@StivenMwambenja
@StivenMwambenja 3 сағат бұрын
Mitano tena kwa mbowe
@StivenMwambenja
@StivenMwambenja 3 сағат бұрын
Mnaomtukana mbowe kumamaye zenu mnafilwa
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 2 сағат бұрын
Kama mama yako mzazi ...alafu mchezo umemnogea mamako mpk ...amechanganyikiwa akili ....nguchiro weh!!!!
@OmaryMiraji-bt9js
@OmaryMiraji-bt9js 2 сағат бұрын
Rushwa ni adui wa haki lazima tuikemee kwa nguvu kubwa bila kupepesa maneno haijalishi ni nani juu ya Hilo hakuna siri
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
ALICHO ONGEA DOKTA SLAA KABLA YA KUKAMATWA
8:28
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 12 М.
WPAMBE WA MBOWE NA LISSU WAPAMBANA KWA HOJA
1:30:06
SK Media Online TV
Рет қаралды 7 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН