Рет қаралды 710,027
Jua linapochweya na kukosa kufahamu aliko mpendwa wako huleta kiwewe moyoni, na baadhi ya familia za wanajeshi zimelazimika kuishi pasi na kusikia kutoka kwa wapendwa wao kwa miaka kadhaa sasa. Mwanahabari wetu Kadzo Gunga alikutana na familia zilizosimulia miaka ya ati ati bila taarifa zozote kuhusu wapendwa wao. Hii hapa sehemu ya kwanza ya makala ya 'kiwewe cha vita'
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya