Рет қаралды 2,251
KMK EXECUTIVE GALA 2024
Tukio kubwa la kumshukuru Mungu kwa mema mengi aliyotutendea kwa mwaka mzima pia ni siku maalum ya kukutana, kutengeneza na kutanua wigo wa mtandao wako na wadau mbalimbali.
TIKETI
GOLD - 250,000
SILVER - 100,000
BRONZE - 50,000
Jipatie tiketi yako mapema maparokiani na kupitia NILIPE APP.
Unaweza kufanya booking kwa kupiga simu namba+255742000089
Karibuni tumshukuru Mungu pamoja.
#kmkmakuburi
#kmkexecutivegala
#amaninasalama
#concert