My almighty lord bless you for this sweet melody. I have kept listening since morning. Mungu awazidishie baraka Amen Victor Bassline from st joseph Kahawa sukari
@johnbasil90542 ай бұрын
Tumtumikie mungu ndio hija yetu ya kwenda mbingini.Asante mungu
@franciskironjo93693 ай бұрын
Was looking for it here...God bless your singing..we love you🇰🇪
@HeniryKifikilo3 ай бұрын
Hakika vemaa,huwaa mnapendezaa saaana endopo rojo iki produce kazii yenuuu
@michaelwambua39113 ай бұрын
❤❤ Hakuna kutaka tamaa katika safari ya kuenda Mbinguni. Wimbo mzuri sana.
@melkizedeckmwanda14513 ай бұрын
Glory be to God. Thanks for all writing about this song
@diomedesmuchunguzi88583 ай бұрын
Nimebarikiwa na wimbo mzuri
@lawrencekioko85423 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Huu,unakuza sana imani katoliki❤
@Imaginable-Image.3 ай бұрын
wakuu sana katika utume..kazi imetuliaaa🎵🎹Vocal Nation🎶..
@MtumishiEphrem3 ай бұрын
Hongereni mno KMK yaaan ktika kwaya zoote ninazozijua KMK mnanikisha sana moyoni kuanzia Ile albam ya Mimina💗
@vincentperuviah73693 ай бұрын
Tenors -💥💥💯💯💯 Nice song 💯 Makuburi u never dissapoint 💯💥 jamani huyo mwana tenor hunifurahisha..., simjui kwa jina ningemtaja,Sundays he plays the big drum 💯💯💥
@MysticalRose-v1l26 күн бұрын
Hakika 🎉 I think his name is Gasper
@ELEONORAKILAKA3 ай бұрын
Hakika kumwimbia mungu kunapendeza,kusifu kunawafaa wanyofu wa moyo🎉🎉🎉🎉🎉❤
@hanningtonmsinga98372 ай бұрын
St. Ignatius of Loyola pray for us
@albertamligo13503 ай бұрын
Hongera sana kwa.wimbo Wakutokata Tamara.ya.kwenda mbinguni
@Blessedhopefamily3 ай бұрын
Safi sana KMKM the Icon of catholic Music
@ELEONORAKILAKA3 ай бұрын
Atukuzwe mungu katika kao lake takatifu🎉🎉❤🎉❤
@SaimonLyavatwa3 ай бұрын
Sauti ya tatu you killed it 👏 🙌
@robertombogo89273 ай бұрын
Hongera Kwa wimbo Bora zaidi.Hakika unavutia sana.
@agatonngailo66323 ай бұрын
Honger San Mt kizito kwa wimbo mzuri
@MeshakiMkuchu-v7yАй бұрын
Mbarikiwe Sana Kwa wimbo mzuri Nahisi kubarikiwa ❤🎉🙏
@petermachariandegwa4492 ай бұрын
Sauti tamu za malaika zapendeza hongeleni❤
@SimionIro3 ай бұрын
Mjazwe baraka mnapoendelea utume huu. Nice song
@AdertusKamugisha-rk8ny2 ай бұрын
Napendaga sana Mimi haya mambo. Mnatisha.❤🎉🎉na Mukasa 🎉🎉🎉
@calvinmwalo3 ай бұрын
First to comment. Great music. Always refreshing music from KMK Makuburi
@lucymwita59753 ай бұрын
Hongera KMK, Holy Trinity Studios na Divine Studios kwa kazi nzuri 🔥🔥
@godsonsylvester10973 ай бұрын
All thanks to Kmk mnatubariki sana kwa utume wenu uliitukuka🔥🔥
@fridoliusrushunju90933 ай бұрын
Hakika nabarikiwa sana na uimbaji wenu, Barikiwa sana 🙏 💪
@ignaskagoye74303 ай бұрын
Mt. Ignas mtuombee wimbo mzr
@peterronald54163 ай бұрын
kazi safi, inaguza roho za wengi
@musichealsTz3 ай бұрын
Kazi nzuri mnooooooooo,,,ila hili sijui ndo group A sijui B.. Wengi sijawaona.
@lazarusmulwa61283 ай бұрын
First to comment❤❤❤❤
@StudioiRisPro3 ай бұрын
Always cool staff
@thomasnduva96623 ай бұрын
Bonge la wimbo
@FredrickMpoma-sg4em3 ай бұрын
Duuuu wimbo Tamu Hili balaa
@eddahfrancis84783 ай бұрын
Nimebarikiwa mno na huu wimbo
@albertamligo13503 ай бұрын
Mbarikiwe kwa utume wa uimbaji
@hillary67622 ай бұрын
Beautiful song! Beats ❤! high quality video! costume ❤❤❤❤
@JacobKazoba-k1k3 ай бұрын
Wow! Muziki Mtakatifu
@antony68433 ай бұрын
Hii ndio inabamba sasa
@felisterligwa3 ай бұрын
❤❤❤❤❤ amina kubwa
@frolencesimchile4719Ай бұрын
amina saaana
@JosephJoseph-sm2be3 ай бұрын
Wow❤🎉
@kilonzoshayo78483 ай бұрын
❤❤❤❤ nyc sana
@Mr_destiny3 ай бұрын
G .O. A. T. 👍🙏
@irniceméthode3 ай бұрын
Ni moto🔥🔥
@IvanNangoli3 ай бұрын
So encouraging
@teddyjude7063 ай бұрын
Amazing..
@hannahmontana92673 ай бұрын
Nice 👍
@Arati33 ай бұрын
Safi🎉
@SaimoniIloghwe3 ай бұрын
Saimon amosi: napenda kusikia kwaya msifuni Emanuel ya mkoani singida;